Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mwigulu Nchemba amesifu utendaji kazi wa Mbunge wa Lushoto ambaye ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu -TAMISEMI, Prof. Riziki Shemdoe kwa namna anavyotumia uzoefu wake wa utendaji kazi Serikalini katika kuwahudumia na kuwaletea maendeleo...
Habari.
Ni mwezi sasa mfumo wa ajira portal unasumbua kwamba kwa tunaohitaji kucreate account sms ya kuactivate account hairudshwi kabsa, unajaribu kupiga simu kwa namba walizotuwekea pale lakini simu haijawah kupokelewa mwezi umepita nimetuma email mara kibao kwa changamoto hiyo haijawahi...
Najaribu kujiuliza tu wakuu.
Mimi hua napenda kuongea na watu walionizidi umri sana, hususani wale waliosoma enzi hizo kabla ya Uhuru haujapatikana 1940-1959 hawa ni wengi kwenye play list yangu, wakaja wakasoma enzi za Nyerere baada ya Uhuru 1962 kuendelea, nk.
Sasa katika maongezi na dodoso...
Hata kama ni uoga huku kumepitiliza, sio uoga tena ni kukosa akili ya maisha.
Mtu analipwa salary kwa dola, zikibadilishwa kuwa madafu zinakaribia milioni 12 per month kabla ya makato lakini hata kama anabakiwa na milioni 10 (milioni 120 kwa mwaka ) bado ni pesa ndefu, mambo yake safi kabisa...
Habari wana jamvi kuna mdau anauliza yeye ni mfanyakazi katika wizara moja hapa nchini na ndio kwanza ana miezi nane kazini sasa ameona tangazo la Ajira sekretarieti ya Ajira katika taasisi moja ya elimu ya juu anauliza vipi anaweza kuomba?
Au mpaka asubiri ipite miaka mitatu
Karibuni ma HRO...
TAMISEMI yatangaza ajira 21000 afya na elimu 2023
======
Kwa mujibu wa taarifa ya Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Rais Samia Suluhu Hassan ameridhia ajira mpya 13,130 za kada ya Ualimu watakaofundisha katika Shule za Msingi na Sekondari.
Aidha, idadi ya watumishi...
Wapendwa habari zenu
Naomba niende moja kwa moja kwenye mada. Wanajamvi hivi ikitokea umepata kazi lakini kwasababu fulani ukahitaji kutokwenda kazini. Je ni hatua gani unatakiwa kuzifuata ili uwe salama hata baadae utakapoomba kazi serikali uwe eligible kupata kazi?
Nimetafakari sana baada ya report ya CAG jana kwakeli hawa wenzetu wa serikali sijui ni bahati au ni nn
Imagine watu wanaongeza masifuri tu ila wala hawashughulikiwi wanasemwa tu.
Yaani unaambiwa tu boss ulizochukua hazikutosha?? Aya tupishe..
Jaman mnatuvunja moyo sana walipa kodi sana...
Ndugu wanajamvi, habarini za majukumu. Kutokana na wimbi la uhaba wa ajira na hasa ajira za Serikali, baadhi ya vijana wameonekana kukata tamaa juu ya ajira hizi za serikali.
Wengi huwa tunaomba kazi za serikali pale zinapotangazwa na hatujawahi kubahatika kuajiriwa.
Najaribu kufikiria kutuma...
Wakuu, poleni na majukumu ya hapa na pale.
Mimi ni mtumishi wa serikali kwa miaka takribani 7 hivi na mwenye mshahara (take home) usiozidi 700,000/= kwa mwezi. Kwa hili namshukuru MUNGU.
Kuna biashara ninafanya ya vyakula vya binadamu kwa miezi takribani 8 sasa, ninaingiza faida ya kati ya Sh...
Nimepata kazi Serikalini dereva mshahara 300,000/ kwa mwezi, wakati Mwendo kasi nachukua 800,000/. Nimechanganyikiwa!
Wanabodi mimi ni dereva mzoefu wa daladala kisha nikaajiriwa na Mwendokasi ambapo nakula 800,000/per month .
Wandugu kwa sasa nimevurugwa kwan baada ya interview iliyohusisha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.