Ukiuwa Kwa upanga utakufa Kwa upanga,
Wanasimba waliongoza kununua jezi za Mamelod Sundown mwaka Jana na walizivaa hazwa
Leo wanalilia support ya Yanga ila mwaka walishangilia na kuwa follow Mamelod, hadi wao wakashangaa
Wanasimba waliwaimba Kwa majina akina na Peter Shalulile, Mokoina...