kauli

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Nani ametoa Kauli ya kukubali Kujiuzulu kwa Ndugai? Hajajiuzulu!!?

    Nauliza tu maana bila kuambiwa kama amekubaliwa kujiuzulu anaweza kutengua barua hiyo na hakutakuwa na la kumfanya. Unapojiuzulu mamlaka unayowajibika kwake inatakiwa iseme imekubali. Hii ndio sababu wakati mwingine mtu anaweza kukataliwa kujiuzulu (mifano ipo mingi). Taarifa ya Katibu wa Bunge...
  2. JamiiForums Tanzania Tanzania ingekuwa na 'Strong Media' Kauli ya Spika Ndugai ingeeleweka vyema kwa 'Public' ila tuna 'Rotten Media' yenye 'Kujikomba' kwa Rais

    Kama ni Rais huyu huyu Samia Suluhu Hassan alishasema katika moja ya Hotuba yake Kubwa kuwa Watanzania tusiache na wala tusiogope Kumkosoa leo hii Spika Ndugai nae katoa Maoni yake kwanini aandamwe na aonekane Mkosaji Mkuu? Moja ya Kazi Kuu ya Media inayojitambua ( Siti hii yetu ya Waswahili )...
  3. JamiiForums Tanzania Serikali tunaomba mtuambie je, na huku Kuadimika kwa 'Soft Drinks' nchini kumesababishwa pia na Kauli ya Spika Ndugai au?

    Katika Gazeti la Leo la The CITIZEN ukurasa wa Nne ( 4 ) nanyi ( Serikali ) mmekiri 'Kuadimika' Kwake na mmeahidi Kufanya Uchunguzi wa kwanini hivyo tunaomba majibu yenu ya haraka ili Wanywaji wa Soda na tusio Walevi wa Bia na Mvinyo tujue tafadhali.
  4. JamiiForums Tanzania Kwa masahibu yanayompata Ndugai, pamoja na kauli yake kwamba anaumwa,ana faili Mirembe na kauli ya Erasto Ngole, asiendeshe Bunge Februari 2022

    Bunge litakuwa na vikao vyake Jauary-February 2022. Nashauri CCM wamzuie spika asiendeshe vikao hivyo kwa sababu jamii haina imani naye tena, ikiwemo CCM na wapinzani, pia aliwahi kusema ana faili mirembe, na juzi Katibu wa Uenezi CCM Njombe alisema inawezekana bado anaumwa, kichwa chake...
  5. B

    JamiiForums Tanzania Spika Ndugai, pamoja na Msamaha kukataliwa atembee Kifua mbele

    Mheshimiwa Ndugai kwa kutoa maoni yake kama mtanzania na kama mbunge hakuvunja sheria yoyote. Kilichofuata baada ya kauli yake hakuna asiyekijua. Labda ilikuwa katika kudhania afunike kombe, kumbe hapo tena ndipo sasa wale nyuki wa mama walipokuwa wanasubiri! Kwa matukio mawili haya sasa...
  6. F

    JamiiForums Tanzania Ni udhaifu mkubwa sana kumshambulia Ndugai ilhali aliomba msamaha na kutolea ufafanuzi kauli yake

    Nimeshangazwa Sana na Kauli za kejeli na michambo illiyoelekezwa kwa spika ndugai siku hi ya leo na mkuu wa nchi mawaziri na makada was chama changu. Kama Job alitumia muda mwingi hivyo kusahihisha makosa yake na kuomba msamaha hata Kama kwa unafiki,walipaswa kumstahi. Hii inaonyesha hakuna...
  7. T

    JamiiForums Tanzania Askofu Bagonza na kauli fikirishi na tata.

    "Kufafanua kauli si kubadili kauli" Hii imetokana na Spika Ndugai kumuomba msamaha Rais. Ndugai ameombaje msamaha ikiwa amesema waliosambaza wamepotosha. Je waliisambaza wameigiza sauti ya Ndugai?
  8. M

    JamiiForums Tanzania Jumuiya Wanawake Vyama vya Siasa: Ndugai aombe radhi kwa kauli yake kuhusu mikopo

    NDUGAI AOMBE RADHI Shirika la Ulingo Tanzania linaloundwa na Jumuiya za Wanawake wa vyama siasa hapa nchini (TWCP) kupitia Mratibu wake Dkt. Ave Maria Semakafu limemtaka Spika wa Bunge na Mbunge wa Kongwa, Job Ndugai kuomba radhi kutokana na maneno ambayo ameyaongea hivi karibuni...
  9. JamiiForums Tanzania Jibu rahisi tu Kwenu kwa wale mnaomshangaa Haji Manara kwa Kauli zake kwa Pro - Magufuli dhidi ya wale Anti - Samia

    Ni kwamba tayari kuna Mstaafu Mmoja aliye karibu na Mteuzi Mkuu Kikatiba nchini Tanzania ameshampigia pande ili nae apewe Cheo kama cha Mwenzake Jerry Muro. Baada ya Yeye ( Haji Manara ) kuona kuwa tayari Mambo yanaenda vyema kwa kuwa na dalili za Kuukwaa Uteuzi anachokifanya sasa ni...
  10. F

    JamiiForums Tanzania Kauli ya Ndugai kuhusu mikopo ya serikali inapiga king'ora cha tahadhari kwa taifa

    Ninaifananisha kauli ya Mhe. Ndugai kuhusu deni la taifa na hadithi hii niliyoghani. Vumilia usome mwanzo mwisho utapata cha kujifunza kwa nchi zetu hizi maskini. Taifa moja maskini sana duniani huko bara Asia limepitisha sheria ambayo haikuwahi kuwepo duniani na Mbinguni ili kukusanya mapato...
  11. JamiiForums Tanzania Kwa kauli hii ya Rais Samia, ni wazi kwamba watu wanamdharau (wanamchukulia poa)

    Kauli ya Mama yetu Raisi Samiah Suluhu Hassan wakati akishuhudia utiaji saini wa awamu ya tatu ya reli ya SGR "..Ubora wa vifaa vinavyonunuliwa uendane na reli inayojengwa kwa sababu miezi michache niliyokaa serikali, nimeona mambo mengi sana ambayo huko nyuma yalikuwa hayafanyiki lakini sasa...
  12. JamiiForums Tanzania "Ukifa utaniacha nateseka na watoto" kauli ya ajabu kwa wanawake

    Utasikia "ukifa utaniacha nateseka na watoto" Aaaaghhh hii kauli ya kiwaki sana. Huu ni ushahidi mwingine wanawake ni watu wa ajabu sana. Yaani ananiwazia kufa tu. Hivi serikali haiwezi kupiga marufuku hii kauli? Huku ni kunitishia kifo
  13. JamiiForums Tanzania Kauli thabiti ya kufungia mwaka

  14. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Watz mkimzingua Zuchu na hizo kauli zenu za "Nipe mkono kama unabisha" tutaonana wabaya, huyu mtoto anapendwa sana +254

    Hili toto la Kizanzibari limefunika mbaya mno Kenya, kwa umaarufu huu msije mkamfanyia maushirikina kama Harmonize na kauli zenu za "Hauniwezi Kiserikali, Kipesa, Kishirikina na kama unabisha nipe mkono"
  15. M

    JamiiForums Tanzania Kama kauli hii kaisema Mzee Bulembo, naomba wana CCM watunukiwe tuzo ya unafiki uliotukuka

    "Serikali ya Hayati Dkt. Magufuli ilitengeneza Maadui wengi na nchi za Kimataifa kupitia Waziri Kabudi ila Serikali ya Rais wa sasa Samia imerejesha Mahusiano mema na Mataifa mbalimbali kupitia Waziri Mulamula" Mzee Bulembo Kada Mwandamizi wa CCM na aliyewahi pia kuwa Mwenyekiti wa Jumuiya ya...
  16. JamiiForums Tanzania Maneno na kauli za Masikini wanapojifariji

    Faraja ya maskini ni tajiri akipata masahibu. Kuna kauli za maskini wanapotafutaga faraja. 1.Utaondoka na kuziwacha. 2.Hata mbuyu ulianza kama mchicha 3. Leo kwangu kesho kwako. 4. Licha ya mihela yako bado unagongewa mke Endelea.......
  17. S

    JamiiForums Tanzania Kati ya Nape na Kolimba, nani ametoa kauli hatari zaidi kwa chama cha CCM?

    Marehemu Horace Kolimba: CCM imepoteza dira. Nape: Chama kina wenyewe Tukumbuke hawa wamekuwa viongozi wakubwa tu ndani ya CCM hivyo kauli zao sio za kuchulia mzaha. Japo Kolimba aliongea ukweli, tunasikia aliitwa kujieleza; je, Nape nae hastahili kuitwa na chama chake ili ajieleze?
  18. JamiiForums Tanzania Kauli ya Jaji Mkuu Profesa Ibrahim Juma ni vema ikajadiliwa' ni kuhusu Mitandao ya Kijamii

    MwanaHalisi Digital imemnukuu Jaji Mkuu wa Tanzania akikemea vikali tabia ya baadhi ya watu wakiwemo wanasheria ya kumkosoa Jaji au mwanasheria wa upande mwingine kiasi cha kumtaja kwa jina na picha yake, na wakati mwingine kutaja hadi mahali anakokaa. Amekwenda mbali hadi kufikia kusema , wote...
  19. JamiiForums Tanzania Tundu Lissu apongeza kufutwa kwa kesi, atamani kauli ya Serikali ya Rais Samia

    Imefahamika kwamba kesi tano zilizokuwa zikimkabili Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu zimefutwa tangu Rais Samia aingie madarakani. Gazeti la Mwananchi, limezungumza na Tundu Lissu aliyepongeza kufutw akwa kesi hizo kwa kusema ni JAMBO JEMA. Licha ya kwamba hakuna mahali ambapo Serikali...
  20. S

    JamiiForums Tanzania Kwa kauli hii ya rais Samia ni dhahiri awamu ya tano ilikuwa 'One Man Show'

    Rais amesema " upigaji ulifanyika awamu ya tano lkn jumba bovu inaanushiwa awamu ya sita. Sitakubali". Kama angekuwa mshiriki mkuuktk uendeshaji wa serikali ya awamu ya tano rais SSH asingekubali hata awamu ya tano idhalilike. Lkn anaona ni sawa kwakuwa hakuhusika kwa chochote. Alikuwepo kama...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…