Ndugu zangu Watanzania,
Nipo Nafanya Maandalizi Mazito kwelikweli ya Kutoa video itakayoonyesha Mkusanyiko wa Kauli Tata na za kichochezi zilizokuwa zikitolewa na viongozi wa CHADEMA na wanaharakati kabla ,wakati na baada tu ya zoezi la uchaguzi kufanyika.
Ambazo kwa kiasi kikubwa zilionyesha...
Kuna kauli ilitokewa kwenye kikao Cha genge la wanaccm walioitwa wazee wa daresalama inayosema 'who are you ' sasa swali langu je kauli hiyo inafanya kazi? Hapa zingatia hatua ambazo US, Commonwealth na EU wameshaanza kuzichukua na matokeo ya hatua hizo.
Pia soma: PostGE2025 - Balozi wa Umoja...
Ukishasikia mtu anasema "sisi hadi tutoke ndio tule" ujue huyo mtu ni zwazwa, mjinga na lofa tu. Hii ni kauli moja ya kijuha na kipumbavu sana.
Nani unamuambia aliyesababisha wewe kuishi hayo maisha ya kilofa ya "hadi utoke ndio ule"?
Nani unataka akuhurumie kwa wewe kuishi hayo maisha ya...
Chanzo cha kuaminika kimenipa taarifa kuhusu uongozi wa SBS kuchukizwa na kauli za Msemaji Simba Ahmed Ally kwa Mmiliki wa AZAM FC Mzee Jamal baada ya Mzee kudai TFF haiwatendei Haki.
Chanzo kimeniambia Mzee Jamal alitoa malalamiko kwa TFF ila wameshangazwa Ahmed kumkejeli Mzee Jamal ili hali...
"Wamepanga kupiga Risasi Waandamanaji ili Waseme ni Serikali "
Hiii Kauli haikupaswa kutolewa na Mtu wa aina yako kiuongozi hata km ni Serikali Haramu.
Hii ni Kauli inayovua Nguo Vyombo vya Usalama na wakati huohuo kuweka Usalama wa NCHI hatarini.
Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba leo Juni 27, 2026 akizungumza na wananchi wa Ikungi, Mkoani Singida amesema
Pia soma > Waziri Katambi apiga marufuku mikutano ya siasa kwa vyama vyote
Kuna watu wanataka kuwatumia vijana wa Kitanzania kwa maslahi yao binafsi. Kama serikali ambayo tuna wajibu...
Wapendwa, katika siku za karibuni nimekuwa nikiona ndoa za kifahari zikifungwa na ndugu zetu Waislamu, ni harusi ambazo ni funika bovu ni sherehe za kifahari kwelikweli, lakini kinachonishangaza ni kuwa waoaji yenye familia za upande wa kiumeni hawaonekani ni kama wao wameolewa, upande wa kike...
Nikikumbuka, TAARIFA ya waziri mkuu mstaafu dhidi ya Afya ya Hayati magufuli kwa wananchi wa Tanga, aliwambia naomba kunukuu" Rais WENU ni mzima wa buheri WA afya, yupo imara kama CHUMA na anawasalimia wotee" wananchi heheeeeeeee vicheko na nderemo😚🤣😊😁😂😊🤣 staki niamini km pm hakuwa na TAARIFA...
Nitoe mfano wangu binafsi. Mie sio mwanasiasa, na wala sijawahi kujihusisha na siasa. Lakini mtu yeyote akisoma thread zangu anaweza kuhisi mie ni mwanachama wa Chadema au chama kingine cha upinzani. Si kweli.
Nakiri walionifikisha hapa ni CCM na viongozi wa serikali. Unakuta mara nyingi...
Leo bungeni Waziri wa Mambo ya Ndani, Patrobas Katamb ameagiza Jeshi la Polisi kusitisha vibali vya mikutano ya siasa kwa kipindi kisichojulikana.
Moto umekuwa mkali na uwanja umeinama kwa upande wa CCM hadi kuomba tena Msaada wa jeshi la polisi , ingawa wananchi tuliwaonya CCM kuwa vita hii ya...
jeshi
jeshi la polisi
katambi
katambi marufuku vyama mikutano vyama siasa
kauli
marufuku mikutano vyama vya siasa
mikutano ya siasa
polisi
sheria
uhuru kufanya mikutano ya siasa
waziri
waziri katambi
Nchi Ina viongozi na wote wameapa kuilinda kuiheshimu katiba ya Nchi kwa hali na Mali, wameapa kuilinda amani ya Tanzania kwa hali na Mali, kwahyo nyie viongozi na wafuasi wa chadema jueni kuwa hamna nafasi ya kuvuruga amani ya Tanzania hilo halipo kabisa huu ndo ukweli.
Hamna mtu mwenye uwezo...
Wakuu salama,
Kama mnavyofahamu, nchi yetu hivi karibuni imekuwa kwenye taharuki kubwa ya matukio ya watu kutekwa na kupotea. Lakini katika hali ya kushangaza na inayoacha maswali mengi, Sheikh Said Mwaipopo naye amejitokeza na kudai kuwa kuna watu walifika ofisini/nyumbani kwake wakiwa na...
Wanabodi,
Kile kilichotokea October 29 kilichangiwa na kauli mbofu mbofu za baadhi ya viongozi wa umma ziko kinyume cha maadiili ya viongozi wa umma!, Je Media tuwaripoti viongozi hao bila uoga na Secretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma, ianze utaratibu wa kuwakeme kama afanyavyo Msajili wa...
Wanasema urafiki wa kweli hujengwa kwenye misingi ya kuaminiana, kusaidiana kwenye shida na kulindana dhidi ya jambo lolote linaloumiza. Lakini maisha yangu kama mwanafunzi wa mwaka wa kwanza chuoni yalikuja kunivuruga kabisa, na kunifanya nianze kujihoji:
Hivi kweli nahitaji watu maishani...
RC chalamila anafanya kazi ya 7/7 kua nyepesi sana kauli zake ni Kama chachu ya kuongezea watu hasira , hapo hapo zinaogeza vaibu chuki kwa serikali na kuongeza hamasa ya watu kuingia barabarani kipindi hiki kauli za vitisho hazina tija. Wote tuliona October 29...
Matumizi ya nguvu kupita kiasi mwisho wake ni KUUA WATU KAMA 29.10.2026.
BADO HAMJAJUTA!
HATA MKIWA KABURINI MTAWAJIBIKA!
Soma Pia: RC Chalamila: Wanatamani kuleta chokochoko, nguvu tutakayotumia awamu hii kulinda amani, haijawahi kutokea
Wakuu salamu,
Wakati timu yetu ya taifa ya vijana chini ya umri wa miaka 17 (Serengeti Boys) ikielekea nchini Morocco kwenye fainali za AFCON U-17, mchambuzi mahiri wa soka nchini, Miraji Maramoja, alitoa kauli fupi lakini nzito sana: “Tuwaache tusiwaingilie.”
Wakati ule, wengi walichukulia...