kauli

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Kwa hii Kauli ya Kidharau niliyomsikia nayo huyu Mtangazaji wa Kike wa TBC1 Janet Leonard leo Asubuhi kwa Atakayemtongoza awe na Gari ya MERCEDES BENZ

    Tusipotezeane sana muda kwani bado nina HASIRA KALI ya Timu yangu ya WAPUMBAVU SC a.k.a Kisingizio cha bado TUNATENGENEZA Kikosi kufungwa tena Wiki iliyopita na kuendeleza ule msemo kuwa Mke huwa hana Ubishi wa Mume. "Kuna Clip moja niliiona Tembo akinyanyua Kigari cha ki IST hadi nikaogopa"...
  2. D

    JamiiForums Tanzania Kauli gani ya motivational Speaker iliwahi kukuacha hoi?

    Kuna huyu aliyesema; " I stared my restaurant with one spoon of rice and one drop tomato sauce"
  3. JamiiForums Tanzania "Ungekuwa Mzuri ungekuwa Umeolewa" kauli hii Wanawake wanapenda kuambiana inaukweli kiasi gani?

    Habari za Sabato Mkûu! Ni Jambo la kawaida Kabisa kusikia Watu hasa Wanawake Wakitumia kauli za namna hii katika mazîngira tofautitofauti Kwa mfano wakichambana, kusutana au Wakati wakisikia unamsifia Mwanamke mwenzao àmbaye hajaolewa lakini amefikisha Umri WA kuolewa. Mfano wa kauli hizô; 1...
  4. JamiiForums Tanzania Ney Wamitego ameendelea kupigilia msumari kauli ya vijana inayosema kataa ndoa kupitia wimbo wake wa bachela

    Ney Wamitego ameendelea kupigilia msumari kauli ya kataa ndoa kupitia wimbo wake wa bachela Katika wimbo wake chorus inasema "sisi ndio mabachela hatutaki ndoa mabachela tunakula ujana mabachela waache waoane" https://youtu.be/mzQ-K56cCDc?si=0FPFHb3wTrkPoM9f
  5. JamiiForums Tanzania 'Kama mwanaume kweli nipige,,'hii kauli ingenifanya niwe polisi saivi

    Wakuu...kuhusu ndoa Nathani sio kwa ajili yangu mimi nibakie single for life,imagine nina hasira to the maximum halafu mwanamke anaongea kama kasuku kunidharau mimi na kuushusha uanaume wangu..aisee leo mungu ameninusuru na polisi eti kijitu kinanisimamia halafu kimeshanitukana kinaniambia...
  6. JamiiForums Tanzania Tujikumbushe Kauli hii ya Rais Samia Atafanya Kazi na TLS ya Aina Gani? Hizi ni Salaam kwa Mwabu,. Swali ni is He A Bow Down Type or a Stand Firm?.

    Wanabodi, Wakati tukisubiri salaam za pongezi za mihimili kwa rais mpya wa TLS, sio vibaya tujikumbushe kauli hii ya Rais Samia atafanya kazi na TLS ya aina agani! https://youtu.be/fZ7MWhPeyko?si=LtHTK8wfeAXMAtun Hizi ni kama salaam kwa rais mpya wa TLS, Wakili Boniphase Mwabukusi . Swali nI is...
  7. JamiiForums Tanzania Kauli za kipuuzi zinazotolewa na viongozi kukwepa uwajibikaji

    1. Serikali imejitahidi sana 😪😪 2. Ungekuwa wewe ndio kiongozi ungefanya nini?😥😥 3. Sio kazi ya serikali kumletea mwananchi maendeleo binafsi, kazi ya serikali ni kutengeneza mazingira. 😕😕😕 4. Tanzania ndio nchi pekee yenye kiwango kidogo cha ———, mmeona nchi X, Y, Z?😠😠 5. Deni letu ni...
  8. T

    JamiiForums Tanzania 4R, Tume Huru na Kauli ya Nape, tupo njia panda kwa sasa

    Wananchi tuko kwenye mtanziko kilichopo hasa ni nini. Twende na kipi, Serikali imetumia pesa nyingi kutunga sheria mpya ya uchaguzi, mikutano ya Mabaraza ya vyama na kadhalika. Lakini sasa tunaambiwa kuwa ushindi utapatikana nje ya sanduku. Sasa kipi ni kipi hasa,Kauli ya kukanusha ya Makalla...
  9. R

    JamiiForums Tanzania Tudadavue kauli hiiya Rais Samia: Polisi hongereni sana, nchi imetulia

    "Nawapongeza jeshi la , polisi wanatekeleza mapendekezo ya tume, lakini wanatekeleza maelekezo yangu na kama mnavyoona pilikapilika za kisiasa zinaendelea, nchi imetulia kabisa. Polisi hongereni san sana sana... by Rais Samia Maelekezo gani? My take: Polisi wanashukiwa kutekeleza utekaji...
  10. JamiiForums Tanzania Hakuna kauli nyingine za kuombeleza kifo kwa Waswahili zaidi ya hizi

    Kila mara mtu anapofariki Waswahili huwa hawakosi hii misemo, 1. Maisha ni fumbo, 2. Tumeumbiwa kifo, 3. Kifo ni kitendawili 4. Tunatembea na kifo 5. Mbele yake nyuma yetu( hii hata huwa sielewei inamaanisha nini) Mtu anapokufa unatakiwa kusikitikia marehemu na waliobaki, sio kujisikitikia...
  11. JamiiForums Tanzania Tusifumbue macho hii kauli "Wanaume wameisha" inatweza utu wa Wanaume

    Inasikitisha kwa Mwanamke mwenye Kaka, Baba na Babu kutamka Wanaume wameisha hii ni disrespectful ya kiwango cha umeme wa grid ya Taifa.. Hili ni zaidi ya tusi Mwanamke anayeweza kutamka haya maneno inaonesha ukuaji wake ulijaa changomoto inawezekana vipi udisrepect baba na kaka zako
  12. JamiiForums Tanzania Kauli ya mkuu wa mkoa Chalamila, kwenye mgomo wa wafanyabiashara ilimrudishia Yusuf Manji maumivu makubwa sana

    Juzi wakati wa mgomo wa wafanyabiashara mkuu wa mkoa wa dar es salaam ambayo ilizua maswali mengi sana kama tutawashughulikia kama serekali ilivyomshughulikia manji ni kauli ya hovyo sana kutolewa na mtu kama yeye Nauhakika manji alivyosikia ile kauli ni kama iliyonesha kidonda ambacho kilikua...
  13. JamiiForums Tanzania Kauli ya "Rais katoa hela" ni sahihi kwa kiasi gani?

    Ni kauli ambayo ilianza kutumika sana kipindi cha Magufuli na kutia mizizi katika utawala wa Samia. Ni kauli inayotumiwa na wanasiasa na watendaji wa Serikali! Kwa sasa ni kawaida kusikia: 1. Rais katoa hela ya kujenga maabara! 2. Mama katoa fedha za kujengea shule 3. Dr. Samia katoa...
  14. JamiiForums Tanzania Bukoba: Kauli ya kanisa juu ya Padri anayedaiwa kuhusika kifo cha Mtoto mwenye Ualibino.

    kwa majibu wa taarifa iliyotolewea na msaidizi wa askofu samuel mchunguzi ni kuwa suala hilo nao wanashangaa na hawajui kama mtajwa ni padri wao la maana hawakuhusishwa au kuulizwa kabla ya kutoa taarifa hizo. mtazame kwa mjibu wa millardayo https://www.youtube.com/watch?v=Wo0HElBQcTs
  15. JamiiForums Tanzania Kauli za Lema zinatimia kinachoendelea sasa kuhusu usimamizi wa Rasilimali za Nchi?

    Kauli za Mhe. Lema zinatimia kinachoendelea sasa kuhusu usimamizi wa Raslimali za Nchi? Msikilize hapa akiwa Bungeni
  16. JamiiForums Tanzania Mangungu atoa kauli sakata la Try Again kumteua MO kuwa Mwenyekiti Bodi ya Simba

    Yeye Try again kama amejiuzulu sawa hayo ni matakwa yake Binafsi, Ila Sisi wenye 51%ndio tutachagua Mwenyekiti mpya wa kufanya nae kazi hata huyo Mo mwenyewe hana maamuzi ya kuteua Mwenyekiti Tuheshimu katiba. © MANGUNGU 🙌
  17. C

    JamiiForums Tanzania Papa Fransis kikaangoni tena, arudia kauli yake dhidi ya ushoga kwenye kikao cha faragha

    Roma — Papa ametumia tena neno la dharau dhidi ya mashoga ambalo tayari alikuwa ameomba msamaha mwezi uliopita, shirika la habari la ANSA lilisema Jumanne. Vyombo vya habari vya Italia vilihusisha papa kutumia neno chafu la Kiitaliano linalotafsiriwa kama "f*****ry," tarehe 20 Mei wakati wa...
  18. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kauli ya Kikwete uchaguzi 2025 CCM haitaweka mgombea mwingine wa Urais, labda mambo yaharibike, bado haijatimia? Nauliza tu!

    Ni kauli ya mh Rais mstaafu Kikwete aliyowahi kuitoa katika moja ya vikao vya viongozi wa CCM akisema CCM, haina mpango wa kuweka mgombea mwingine kwenye uchaguzi ujao (2025) labda mambo yaharibike zaidi Ndugu watanzania, Tanzania ni nchi yetu sote, kumchagua mtu ili awe Rais wetu, ni...
  19. JamiiForums Tanzania Kauli ya Waziri Nape inaonesha Waziri wa Mawasiliano hataki mawasiliano

    Waziri wa Mawasiliano, Nae Nnauye ametoa kauli ambayo kwangu naona inashida aidha kwake kwenye kuitambua mawasiliano au digitali kwa ujumla. Bajeti ya Wizara ya mawasiliano ya mwaka wa fedha 2024/25 imetaja “Mapinduzi ya Kidijitali” mara kadhaa. Sera na mipango mingi ya wizara inataja Kwenda...
  20. JamiiForums Tanzania Kwako Mbunge Hamisi Mwinjuma (Mwana FA) kauli hii inaweza kukosesha Ubunge

    Aliyekuwa msanii wa hiphop, Mwana Fa kwenye mahojiano amesema kwamba kama sio mazishi yeye hawezi kumchangia yeyote harusi yake. "Mimi huwa sichangi harusi ya mtu, kama ni mazishi nitachanga kwa sababu hilo halikupangwa, kifo kinakujaga tu". Mwamba ameongea ukweli hapa! WATU MPAKA WAFE NDIO...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…