katika

Kathikas (Greek: Κάθηκας) is one of the Laona villages in the Paphos District of Cyprus. It is situated on a plateau 23 kilometers north of Paphos. It has an altitude of 655m and a population of 333.
It is well known for its grape production, such as xynisteri grapes.
It also has a flourishing agrotourism industry.
Kathikas has a very active Residents Association Additionally, Kathikas has residences that are over a century old and serve as examples of folkloric architecture.

View More On Wikipedia.org
  1. Mwanongwa

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Mbeya: Kemikali za kuivisha Ndizi zimehamia katika matunda mengine, Wataalam wa Afya watueleze kama ni salama

    Habari Wana Jamiiforums wenzangu, ndugu yenu Mwanongwa katika pilika zangu nikakutana na Stori za kwamba kuna Wafanyabiashara wa Ndizi pamoja na Maparachichi ndani ya Mkoa wa Mbeya wamekuwa siyo waaminifu katika biashara hiyo. Kawaida ndizi zinapokomaa huwa zinavunwa na kuvundikwa kwenye sehemu...
  2. BigTall

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Mwenyekiti CHADEMA (Siha - Kilimanjaro) adai kuna Watu 200 wameandikishwa ambao sio wakazi wa kitongoji chake

    Mwenyekiti wa CHADEMA, Jimbo la Siha Mkoani Kilimanjaro, Imma Saro anadai katika ziara ya kuangalia majina yaliobandikwa aliyofanya amekuta Kitongoji chenye Makazi 101 kimeandikishwa Watu zaidi ya 375 ambao Watu 200 sio wa Kitongoji cha Ekunywa Kata ya Makiwaru.
  3. Mtoa Taarifa

    JamiiForums Tanzania LGE2024 TAMISEMI: Wananchi 26,769,995 wamejiandikisha katika Daftari la Uchaguzi wa Serikali za Mitaa hadi kufikia Oktoba 19, 2024

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa TAMISEMI Mhe. Mohamed Mchengerwa amesema kufikia Oktoba 19, 2024, Jumla ya watanzania wenye sifa Milioni 26,769,995 sawa na asilimia 81% wamejiandikisha kwenye daftari la Mpigakura, tayari kushiriki Uchaguzi wa Serikali za Mitaa...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Ramadhan Kayoko ndiye mwamuzi mbovu katika NBC Premier League! Freekick uliyowazawadia Yanga imeigharimu Simba

    Yaani baada ya kuona TFF imemchagua Kayoko kuwa mwamuzi katika mechi ya Derby ya Kariakoo moja kwa moja nikajua Simba hashindi mechi hii. Yaani kila nikirejea picha za tukio ambalo ameizawadia Yanga freekick sioni kosa alilolifanya Okejepha. Na baada ya kuona Chama ameingia na anaenda kupiga...
  5. Jamaa Fulani Mjuaji

    JamiiForums Tanzania Wazazi tumefeli wapi katika malezi ya watoto wa "2000" tujisahihishe

    Wanajukwaa Nakuja Hapa kwa Moyo Mzito Sana Na Umejaa Majonzi Makali Mno Hasa Watoto wa Kike kwa Kizazi Hiki Cha 2000. Mabinti wengi Karibia 85% waliozaliwa 2000 Wameshaharibika naongea nikiwa na ushahidi Tosha na Asilimia Yote hiyo mabinti wanatumia "LAINI MBILI" au "WANAPIGA MIGUU YOTE" tena...
  6. Expensive life

    JamiiForums Tanzania Mwanaume mwenzangu katika pitapita zako usiombe ukutane na wanawake wa sampuli hii. Hakuna rangi utaacha ona

    Wanawake wa namna hii hakuna anachowaza zaidi ya shughuli, kwa masifa anatunza malaki ya pesa, hawazi maisha au baadae ya watoto. Yeye ni shughuli ukiwa hauna sasa anaenda kukopa huko, na vitu vya ndani anaweka bondi. Mjamba wangu alioa mwanamke wa sampuli hii, mkewe akiwa hana pesa ya shughuli...
  7. Genius Man

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Katika shindano la stories of change 2024 nilieleza wazi udhaifu wa sheria zetu za uchaguzi

    Katika shindano la "stories of change" ambalo lilikuwa likilenga maboresho ya msingi yanayopaswa kufanyika ndani ya taifa ili kuipata Tanzania tuitakayo katika nyanja mbali mbali ikiwemo masuala ya sheria. Niliezea wazi udhaifu wa sheria zetu za uchaguzi kwamba zipo kama mapambo na Haziwezi...
  8. Backend

    JamiiForums Tanzania Nawezaje kuagiza bidhaa kutoka China kwa kununua katika mtandao wa Alibaba nikapata hiyo bidhaa Kwa bei nafuu zaidi?

    Wakuu habari ya muda huu, hongereni kwakuendelea kupambana kuhakikisha ndoto zenu zinatimia🤝 hakika Atukuzwe Mungu anaye tuwezesha katika Hatua hizi zote🙏. Wakuu nimekuwa nikiangalia Bei za bidhaa mbalimbali zinazouzwa katika mtandao WA Alibaba kwakweli zina Bei nafuu kuliko hapa nyumbani..Sasa...
  9. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Utaratibu wa kuombea maji au mafuta kisha ukawapa watu watumie upo katika dini zote.

    Naona watu wanapinga mafuta ya upako na wengine wakikubali. Binafsi napinga utapeli unaofanywa na baadhi ya watu kwa kutumia dini . Ila naomba nitoe ufafanui kidogo Mwaka 2002 Babu yangu aliporudi Tanzania kutoka Saudi Arabia Macca katika mji wa Madina alikuja na maji Kama Lita tano hivi...
  10. B

    JamiiForums Tanzania Waziri TAMISEMI abadili kanuni katika mchakato wa vyama kuteua Wagombea

    17 October 2024 JOHN MNYIKA - WAZIRI WA TAMISEMI ATOA WARAKA MPYA KATIKATI YA MCHAKATO AMBAO ULISHAANZA NDANI YA VYAMA, HII NI MBINU NYINGINE ... https://m.youtube.com/watch?v=BeuXJmbVxUA&pp=ygUJSmFtYm8gdHYg Katibu mkuu wa CHADEMA kamanda John John Mnyika aelezea kubadilika kwa muda na kanuni za...
  11. Pfizer

    JamiiForums Tanzania Mradi wa Tsh 678.6 bilioni wa TPA kuleta mapinduzi ya upakuaji mafuta katika bandari ya Dar es salaam

    Dar es Salaam. Tanzania, kupitia Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA), inatekeleza mradi wa Sh678.6 bilioni ambao utaboresha utaratibu wa upakuaji mafuta katika Bandari ya Dar es Salaam. Ujenzi wa Tanks Farm (Matanki ya Mafuta), ambao umefikia asilimia saba, unatarajiwa kuboresha...
  12. Anonymous77

    JamiiForums Tanzania Nudreen Kishk kujibu kama katika Usilam kuna upako

    Hivi karibu baada ya kusambaa kwa video fupi mtandaoni ikimuonyesha sheikh aliekuwa akinadi mafuta na akidai kuwa ni mafuta ya upako. Hatimae mhadhiri wa kimataifa SHEIKH NUDREEN KISHK, amekuja na mada ninayosomeka JE, KATIKA UISLAM KUNA UPAKO? OCT 18, IJUMAA HII MASJD IHSAAN TEMEKE VETENARY...
  13. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mbunge Mwanaisha Ulenge katika Mkutano wa Jukwaa la Wabunge Wanawake wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU)

    MHE. ENG. MWANAISHA NG'ANZI ULENGE KATIKA MKUTANO WA JUKWAA LA WABUNGE WANAWAKE WA IPU Mhe. Eng. Mwanaisha Ng'anzi Ulenge ameshiriki katika Mkutano wa 149 wa Umoja wa Mabunge Duniani unaofanyika Jijini Geneve, Switzerland Wenye Mada Kuu ya kuunganisha Sayansi na Ubunifu kwa Amani na Kesho...
  14. BOB LUSE

    JamiiForums Tanzania Kujiandikisha Ili upige kura ni kurasimisha uharamia wa CCM katika uchaguzi

    CCM imejipanga kukalia viti Kwa hila, hata kumwaga damu na kupoteza watu kama tulivyo shuhudia Mwaka huu. Ni ujinga wa Hali ya juu kwenda kupanga foleni, ujiandikishe, upige kura wakati CCM wameshaandaa nani atashinda wakisaidiwa na vyombo vya Dola. Vizuri, tuwaachie wenyewe, ndani yao...
  15. Mhaya

    JamiiForums Tanzania Misikitini waanza kutumia mafuta ya Upako, Sheikh aonekana akinywesha watu mafuta katika ibada

    Sheikh huyu amekuwa akitumia mafuta ya upako na kuwanywesha watu wenye matatizo mbalimbali waliohudhuria swala msikitini.
  16. T

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Shughuli za uandikishaji haziwezi kuwa na amsha amsha katika mazingira ambayo inajulikana nani atashinda!

    Tuwe wakweli na serikali pamoja na wadau wengine tutoke kwenye blanketi la unafiki inajulikana wazi kwamba mahali popote ambapo matokeo ya uchaguzi yanatabirika, hakunaga ari ya ushindani. Watu huona kwamba hakuna sababu ya kwenda kupangishwa foleni na kupigishwa kura wakati hata mshindi...
  17. Abtali Mwerevu

    JamiiForums Tanzania Interview Iringa Ajira za Ualimu

    Kuna mdau hatumii JF, kachaguliwa kwenda huko Iringa, ila kaniomba nimtangazie group lake kwa waliochaguliwa kwenda huko ili mshirikiane mawili matatu wasomi nyinyi. Jiunge moja kwa moja kupitia link hii: Iringa Interview
  18. Gulio Tanzania

    JamiiForums Tanzania Wachina na wahindi wamefanikiwa sana katika kuanzisha viwanda vidogo vidogo hata sisi naamini tunaweza

    Kwa dunia ya sasa haina haja ya kusubiri aje mwekezaji mkubwa kutoka nje ya nchi aje atuletee maendeleo tutabaki kuwa watumwa katika nchi yetu kila muwekezaji anakuja kwa lengo la kuchuma nazani Mimi kwa mtazamo wangu naona wakutukomboa ni sisi wenyewe tunapaswa tuongeze jitihada mahali flani...
  19. Ritz

    JamiiForums Tanzania Siku moja baada ya maafa ya Golani Airbase, inaonesha kushindwa kwa ulinzi mwingine katika kituo cha kati katika eneo la Sharon

    Wanaukumbi. ⚡️Vyombo vya habari vya Kiebrania: Hillel Bitton Rosen: Ndani ya bomba la maji taka-hivi ndivyo askari wetu walivyoonekana leo, mara mbili, wakati wa operesheni za kengele katika eneo la kati, kutokana na ukosefu wa nafasi za ulinzi katika msingi mkubwa na wa kati. Makamanda wa...
  20. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Low Profile ni Mbinu itakayokusaidia katika mapambano ya Maisha

    LOW PROFILE NI MBINU ITAKAYOKUSAIDIA KATIKA MAPAMBANO YA MAISHA Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Nilisema, usitafute Wala usilazimishe kuheshimiwa na kîla Mtu. Nikasema, siô lazima kîla Mtu akuheshimu, nikimaanisha siô kîla heshima ni muhimu kwako. Nasema, kîla heshima inakuja Kwa Wakati...
Back
Top Bottom