katika

Kathikas (Greek: Κάθηκας) is one of the Laona villages in the Paphos District of Cyprus. It is situated on a plateau 23 kilometers north of Paphos. It has an altitude of 655m and a population of 333.
It is well known for its grape production, such as xynisteri grapes.
It also has a flourishing agrotourism industry.
Kathikas has a very active Residents Association Additionally, Kathikas has residences that are over a century old and serve as examples of folkloric architecture.

View More On Wikipedia.org
  1. JINSI YA KU CUT CIRCLE NA WATU WANAO KUONA HAUFANYI KITU KATIKA MAISHA

    Habari za mda huu Kuna watu tunajuana nao kwenye maisha ambao ni Bora tusingewafahamu Kuna watu ambao wanapenda kuwapangia wenzao jinsi ya kuishi mara Fanya ivi mara Fanya ivi na hapo wewe hauwapangii maisha yao They call you when they need you only mbinu ipi ya kuwa epuka Hawa watu?
  2. A

    DOKEZO Wanafunzi tunaosoma Shahada ya Usingizi na Ganzi Salama tupewe haki za kimasomo, Serikali ifanye maboresho katika hii Shahada

    Sisi ni wanafunzi tunaosoma Shahada ya Utoaji Dawa za Usingizi na Ganzi Salama (NURSE ANAESTHESIA) Shahada hii inachukua miaka minne mpaka kuhitimu. Dawa hizo ni mhimu sana katika Huduma za Kiafya hasa katika sehemu ya vyumba vya upasuaji (theater), kwa wagonjwa mahututi, emergency, clinics na...
  3. Kwa nini Lissu hajahudhuria msiba wa Mzee Kibao, na katika hotuba zake hajawahi kumtaja Soka?

    Najiuliza tu, kwa nini Lissu hajawahi kwenda Tanga kuhani msiba wa Mzee Kibao, na katika hotuba zake,mbali na kugombania madaraka ya uenyekiti na urais, hata hajawahi kuwataja akina Soka?
  4. Bashungwa aitaka menejimenti ya wizara kuviwezesha vitengo vya mawasiliano kwa umma katika utoaji wa taarifa

    Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent Bashungwa ameitaka Menejimenti ya Wizara hiyo kusimamia na kuviwezesha vitengo vya Mawasiliano kwa Umma vilivyopo katika Vyombo vya Ulinzi ikiwemo Jeshi la Polisi, Magereza na Uhamiaji katika utoaji wa taarifa akiamini taarifa ni hitajio la msingi la...
  5. Kwa namna fulani Ustaarabu katika jamii yetu hivi sasa ni tofauti na zamani

    Hey wanajamvi heri ya msimu huu wa sikukuu na tukiwa tunaelekea kumaliza mwaka, naamini pilika zinawaendea vizuri kabisa. Kwa sisi tunaopata nafasi ya kuzunguka sehemu tofauti tofauti ndani ya nchi hii,naweza kusema Watanzani angalau sasa tumekuwa wastaarabu. Zamani ulikuwa ukiingia maeneo ya...
  6. Diamond Platnumz afichua kuwa alilipwa TSh. Miloni 374 kutumbuiza nchini Kenya katika show iliyovurugika, amchana Willy Paul "ananitengenezea ubaya"

    Msanii maarufu wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz afichua kuwa alilipwa dola 150k sawa na TSh. Miloni 374 (373,554,903) kutumbuiza nchini Kenya katika show iliyovurugika mwisho wa wiki. Taarifa hii imekuja wakati akijibu madai kwamba alihusika katika kumzuia msanii wa Kenya, Willy Paul, kupanda...
  7. Influencer/brand ambassadors huwa wana ushawishi wa maana kwa watu kununua au kubadilisha bidhaa au huduma fulani?

    Mimi maji ninayopendelea kunywa tangu nafika Dar es Salaam ni maji brand ya Uhai, yalipokuja Hill water niliyapenda kwa sababu ya muonekano wa chupa yake na portability yake. Nimeona matangazo ya maji mengi lakini sijawahi kufikria kununua maji kwa sababu ya kushawishiwa na influencer...
  8. Je hii ni njia mpya ya kuingiza kipato? Makato ya kushtukiza katika simu

    Habari zenu? Natumaini wote mko salama. Je, hii ni njia mpya ya kutengeneza kipato? Is this a new hustle? Mara kadhaa imewahi kunitokea katika simu nakuta hela inakatwa, kama vile nimeongeza vocha halafu nataka kuunga kifurushi naambiwa salio halitoshi. Kipindi cha nyuma nilikuwa nasamehe...
  9. Katika kizazi hiki cha Z generation Benjamini Netanyau ndiyo kiongozi mtata na mtukutu zaid kumshudia

    Amani kwenu watumishi Wamewahi kutokea viongozi wengi lakin sisi Gen Z hatukuwashudua Lakini katika generation yetu hii huyu jamaa mwamba wa kuitwa Benjamini Netanyau ndo mtata zaid kwa sasa Trump ni jeuri tu lakini si mtata kama jamaa Huyu jamaa harudigi nyuma IQ kubwa sana
  10. Mtambue Shemsa Mohammed (M/K CCM Mkoa wa Simiyu) Katika Meza ya Viongozi Mashuhuri wa Kisiasa

    MTAMBUE SHEMSA MOHAMED M/KITI CCM MKOA WA SIMIYU KATIKA MEZA YA VIONGOZI MASHUHURI WA KISIASA DUNIANI Ameandika Comrade Msauzii (0769086992) Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Simiyu, Ndugu Shemsa Mohamed Seif amekuwa kiongozi bora katika kukijenga chama cha Mapinduzi. Juhudi zake zinafananishwa na...
  11. Bashungwa aendeshaje home affairs, ili hatimaye taifa likae katika Utulivu na amani, wasiwasi uwaondoke Watanznaia

    Mimi binafsi ningemshauri, aifanye polisi isimame kama chombo huru kinachofanya mambo yake kwa mujibu wa kanuni ambazo zipo, na kisiwe chombo ambacho kinapokea maagizo kutoka taasisi zingine za kiusalama mfano tiss kuipa kazi polisi, pengine jukumu lilipaswa kushughulikiwa na tiss wenyewe...
  12. Tuhuma za Ubadhilifu wa Fedha katika Kanisa la Waadventista Wasabato Tanzania: Mchungaji Mwasomola Aongea na Vyombo vya Habari

    Wiki chache zilizopita Makamu wa Rais Dr. Philip Mpango alizungumzia tuhuma za ubadhilifu wa mali za kanisa na matumizi mabaya ya madaraka ndani ya Kanisa la Waadventista Wasabato Tanzania. Leo mchungaji Mwasomola amepigilia msumari tuhuma hizo kama ifuatavyo...
  13. M

    Kila mtu mpe mipaka katika kumuamini, usimuamini zaidi ya anavyostahili kuaminika

    Yawezekana unakonda na kukosa raha huku ukifikiria hivi kweli fulani ndio kanifanyia hivi? Jibu ni ndio huyo ni yeye halisi na wala hawamzingizii bali huo ndio uhalisia wake. Kosa lipo kwako kumuamini zaidi ya anavyostahili kuaminika, Ulimuamini zaidi ya jinsi alivyo ndio maana kafanya vile...
  14. Mambo ya Mapenzi ambayo nimejifunza late katika maisha ambayo kijana wa sasa unatakiwa ujifunze mapema

    Moja,mtongoze mwanamke lakini usimuonyeshe bila yeye huwezi pata mwanamke mwingine,kadri utakavyo zidi kumfuatilia sana basi tambua ndio jinsi atakavyo kaa mbali na wewe na kukusumbua sana Mbili,hata umpe mwanamke wako hela nyingi kiasi gani,au uisugue mbususu kiasi gani au usimamie kucha kiasi...
  15. Kwanini watu wa dini hawafanikiwi katika maombi yao?

    Watu wa dini asilimia kubwa hawafanikiwi Kwa sababu zifuatazo . Huu ulimwengu unajiendesha wenyewe . Unachobidi ni kuupelekea ulimwengu ambacho wewe unahitaji ili uweze kukipata . Mfano haiwezekani wewe kila Ahsubui uianze siku Kwa kugombana na shetani , wachawi n.k then hapo hapo uombe neema...
  16. Mwenyekiti wa UVCCM, Kigoma: Abuya awataka Vijana kuwajibika na kuonyesha Uadilifu katika Uongozi

    Mwenyekiti wa UVCCM Mkoa wa Kigoma, Ndugu Emanuel Abuya, amekutana na wenyeviti na wajumbe wa serikali za mitaa vijana, akisisitiza umuhimu wa uwajibikaji katika nafasi zao za uongozi. Alisema kuwa chama kina imani kubwa na vijana, hivyo ni jukumu lao kuonyesha mfano bora kwa vitendo. "Twende...
  17. Teknolojia itumikayo katika usafiri wa anga, imenakili pakubwa kutoka katika viumbe vya asili. Ndegehai ni moja ya sababu kubwa ya ndege kupaa leo.

    Teknolojia itumikayo katika usafiri wa anga, imenakili pakubwa kutoka katika viumbe vya asili. Ndegehai ni moja ya sababu kubwa ya ndege kupaa leo. Ukiacha mbinu za kimuundo na upaaji, sehemu ya tafiti za viumbehai zinaonesha jinsi baadhi ya ndegehai kama Bukini mara kadhaa hugeuza kiwiliwili...
  18. X

    Jay-Z atuhumiwa kumnyanyasa kingono mtoto wa miaka 13 katika tukio la 2000 pamoja na Sean "Diddy" Combs

    Mwanamke anayedai kuwa alinyanyaswa kingono na Sean "Diddy" Combs amerekebisha kesi yake na kujumuisha madai kuwa pia alibakwa na Jay-Z kwenye moja ya party. Kesi hiyo hapo awali iliwasilishwa dhidi ya Combs mnamo Oktoba, lakini Jumapili 8th December, mwanamke huyo aliongeza Shawn Carter...
  19. Bashar Assad akwepa mtego wa Kuiingiza Syria katika Vita ya wenyewe kwa wenyewe, Hongera Urusi na Iran kwa ushauri mzuri

    Kwa kiongozi mwenye Hekima yeyote angechukua maamuzi kama aliyoyafanga Assad. Tayari fitina ilikua imeshaingia ndani ya nyumba . Assad angesema apambane ni wazi kungetokea Mauaji ya wenyewe kwa wenyewe kama Rwanda na Burundi. Naipongeza Urusi na Iran kwa kuuona huo mtego na kumshauri Assad...
  20. Baada utawala wa Syria kuanguka Israel wamekimbilia kuchukua maeneo katika miji mitano katika milima ya Golan ya Syria wanazidi kuongeza mgogoro

    Wanaukumbi. 🚨#BREAKING: Israel imezidisha uchokozi wake kwa kuingia katika miji mitano katika Milima ya Golan ya Syria. Miji mitatu kati ya hii iko ndani ya eneo la buffer lililosimamiwa na UN la 1974, eneo ambalo Israeli ilitekwa kinyume cha sheria katika vita vya 1973 na kulazimishwa kurejea...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…