katika

Kathikas (Greek: Κάθηκας) is one of the Laona villages in the Paphos District of Cyprus. It is situated on a plateau 23 kilometers north of Paphos. It has an altitude of 655m and a population of 333.
It is well known for its grape production, such as xynisteri grapes.
It also has a flourishing agrotourism industry.
Kathikas has a very active Residents Association Additionally, Kathikas has residences that are over a century old and serve as examples of folkloric architecture.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania TANESCO: Tumefanya ukaguzi wa miundombinu katika Jengo la Mwenge Stendi na kubaini huduma ya umeme ni ya uhakika

    Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) limebaini kuwa huduma ya umeme katika Jengo la Kituo cha Mabasi cha Mwenge inaendelea kuwa ya uhakika baada ya kufanya ukaguzi wa miundombinu kufuatia taarifa zilizosambaa zikidai kuwepo kwa changamoto ya kukatika kwa umeme mara kwa mara katika eneo hilo...
  2. JamiiForums Tanzania Karibu katika huduma bora Tanzania ya Masomo ya ziada yenye matokeo ya haraka.

    Tunawafikisha Walimu Bora Mahali Ulipo – Tanzania Nzima! Je, unataka kuongeza ufaulu wa mtoto wako au kujifunza ujuzi mpya ukiwa nyumbani? Elite Home Tuition Services ndiyo suluhisho sahihi. Tunatoa huduma za walimu wa nyumbani na mtandaoni kwa viwango vyote vya elimu, tukikuhudumia popote...
  3. JamiiForums Tanzania Mnaomtuhumu M/M/kiti CHADEMA - Tanganyika Mh John Heche; Rudini studio tena, mkarekodi upya filamu yenu. This one is very ridiculous...!

    Na mkirudia tena, basi ingalau jaribuni kufuata mwongozo ufuatao mnapoandaa filamu yenu; 1. Kama kuna pesa za tonetone amepokea kupitia Bank Account yake binafsi, na kwa kuwa mna access na Bank Account binafsi ya mtu, basi filamu yenu ieleze na kuonesha waziwazi haya👇 ✓Ni Bank Account Number...
  4. A

    JamiiForums Tanzania KERO Vijana tulioshiriki katika Kampeni ya Chanjo ya Polio - Misungwi (Mei 2026) hatujalipwa posho zetu

    Vijana tulioshiriki katika kampeni ya chanjo ya polio iliyofanyika kuanzia tarehe 7 hadi 10 Mei 2026 katika mikoa ya Kanda ya Ziwa na Kanda ya Kati. Mimi nilifanya kazi katika Wilaya ya Misungwi, Mkoa wa Mwanza, kama mhamasishaji wa jamii kuhusu umuhimu wa chanjo kwa watoto wenye umri wa miaka 0...
  5. JamiiForums Tanzania Rais wa Zanzibar Dkt. Hussein Mwinyi atembelea Banda la GF katika Maonesho ya 50 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam

    Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, ametembelea banda la kampuni ya GF katika Maonesho ya 50 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam (Sabasaba), wakati wa hafla rasmi ya kufunga msimu wa maonesho ya mwaka 2026. Katika ziara hiyo ya heshima...
  6. JamiiForums Tanzania Jaribu kujiweka katika nafasi ya Samuya, ungefanyaje kutuliza upepo?

    Mama wa watu amefanya kila mbinu kutuliza hali ya hasira Kwa watu lakini imeshindikana 1.Kombo amezurula kote Duniani ila wazungu hawamwelewi 2. Kujaribu kuteka, kuuwa na kubambikia watu kesi tena, hii inawapa watu hasira. 3. Kutumia bunge fake, Gen Z wanapuuza 4. Njama za Madelu kutumia...
  7. JamiiForums Tanzania Huenda pakatokea mivutano ya kikatiba itakayopelekea fujo na vurugu katika mkutano wa Baraza kuu la CHADEMA taifa Septemba 15,2026

    Kuna kila dalili na uwezekano mkubwa sana wa kutokea mivutano ya kikatiba na kupelekea timbwili baya sana litakalo vuruga na kuchochea mkutano wa Baraza kuu la chadema taifa kuvunjika bila muafaka ikiwa sintofahamu ya ufujaji wa pesa za chama isipowekwa sawa mapema hasa kwa wenye dukuduku hilo...
  8. JamiiForums Tanzania Kuna ukomavu mkubwa katika akili za vijana na Watanzania kwa ujumla wake!

    Facts is:- Kunapotokea suala la starehe ya muziki,basi tufanye muziki, ------ Kunapotokea suala la michezo,basi tufanye michezo, ------ Kunapotokea suala la siasa au muda wa siasa tufanye siasa..
  9. JamiiForums Tanzania Maktaba Yapokea Kalenda Inayoeleza Historia ya Ukombozi wa Afrika Kusini na Kitabu Kuhusu Ubaguzi Katika Elimu

    MAKTABA YAPOKEA KALENDA INAYOELEZA HISTORIA YA UKOMBOZI WA AFRIKA KUSINI NA KITABU KUHUSU UBAGUZI KATIKA ELIMU Mmoja wa wapenzi walio mstari wa mbele katika kuitia nguvu Maktaba ameitunuku calendar na kitabu. Ingawa kalenda imekuja katikati ya mwaka lakini haikuwa shida kubwa kwangu kutambua...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Siku 30 za CW zinatoa nguvu kwa maandamano ya 8/8 katika uso wa jumuiya ya kimataifa. Je mwaka huu utakuwa mwaka wa maandamano na migomo?

    Katika hali ya kipekee October 29 ni kama jana, hii siku haijafutika katika vichwa vya Watanzania wote na ukisoma Barua ya Common wealth, kuanzia siku 30, 60, 90 yote yanatoa nguvu Kwa maandamano ya 8/8 hadi October 29 kuwa na sura ya shinikizo la kimataifa na kuungwa kwake. Hizi siku 30...
  11. JamiiForums Tanzania Wakuu naombeni msaada wenu katika hili

    Nimekuwa nikifanya utafiti wa kina na maandalizi ya bidhaa moja ya kibunifu (innovative product) kwenye sekta ya vinywaji hapa nchini. Bidhaa hii inaleta suluhisho la kipekee sokoni na tayari nimeshaanza hatua za msingi za kisheria na usajili na mamlaka husika (TBS/TRA) ili kuhakikisha kila kitu...
  12. JamiiForums Tanzania RC Mtanda: Suala la dampo katika makazi ya watu Kata ya Usagara, litashughulikiwa na DC na Halmashauri ya Misungwi

    Baada ya Mdau aliyejitambulisha kuwa Mkazi wa Usagara A, Kata ya Usagara, Wilayani Misungwi kueleza kuwa licha ya kutozwa fedha kwa ajili ya uzoaji taka lakini wamewekewa dampo la taka kwenye makazi yao, Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Said Mtanda ametoa ufafanuzi kuhusu suala hilo. Hoja ilivyokuwa ~...
  13. JamiiForums Tanzania Mambo 7 Yaliyokubaliwa Katika Maridhiano ya Zanzibar

    Katika waraka wa maridhiano uliowasilishwa na Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi, Zena Ahmed Mohamed, pande zote mbili zimekubaliana kuzingatia misingi saba muhimu itakayoongoza utekelezaji wa makubaliano hayo: 1. Kuimarisha ushirikiano wa dhati kwa kuzingatia hali halisi ya...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Zawadi Kombe la Dunia la 2026 ni dola milioni 871 za Marekani, ambayo ni kubwa zaidi katika historia ya soka

  15. JamiiForums Tanzania Askofu Dkt. Bagonza: Vijana wengi wanabaguliwa katika michakato ya kisiasa kwa kulazimishwa kuwa wanachama wa vyama vya siasa

    Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dayosisi ya Karagwe, Askofu Dkt. Benson Bagonza, amesema "Vijana wengi katika taifa letu wanabaguliwa katika michakato ya kisiasa kwa kulazimishwa kuwa wanachama wa vyama vya siasa." Akizungumza Julai 9, 2026, katika Jukwaa la...
  16. JamiiForums Tanzania Semantic Shift katika Siasa: Je, Tunatawaliwa na Uhalisia au na Maana ya Maneno?

    "Ukitaka kuelewa siasa, usisikilize maneno pekee; angalia matokeo." Hii ni kanuni ambayo imejitokeza mara kwa mara katika historia ya siasa duniani. Katika sayansi ya siasa, kuna dhana inayojulikana kama semantic shift—yaani mabadiliko ya maana au matumizi ya maneno ili kubadilisha jinsi...
  17. JamiiForums Tanzania Kwa nini marubani wote duniani wanapenda Ipad katika matumizi ya ndege.

    Nimegundua ili hata ambaye na somesha wanatakiwa kuwa na ipad kwenye mambo ya urubani. Mbona hawajaweka tablet ya techno wala Samsung. Kashafika level ya kurusha ndege. Wajuzi mtueleweshe maana kila nikipitia youtube ya mambo ya ndege na marubani wote.Kama ambao content creator anaitwa sam...
  18. JamiiForums Tanzania Taji Liundi jinsi alivyomuokoa katika Sanaa Civilian-Coin mwaka2004 tafadhali okoa Tena upya

    For Promo only. https://youtu.be/YnbAqvz_8h0?si=WFtATkgwuApVX0J3 Taji Liundi ndio binadamu wa kwanza Tanzania kumpigania Civilian-Coin zamani alijiita "Masqo" baadae "Don NALIMISON" na Sasa "CIVILIAN-COIN( Civilian-Coin Nalimi Kisandu). Mwaka 2004 Civilian-Coin alirekodi wimbo "Usiunyanyapae...
  19. JamiiForums Tanzania Nitafurahi sana hawa wazungu wakitolewe na Morocco katika hatua ya robo fainali

    Katika michuano ya World Cup ni timu Moja ambayo sipendi kuona wakitwaa ubingwa. Hii timu si nyingine, bali hii yenye wazungu waliojipaka masizi. Timu nyingine tofauti na hiyo ikiwa bingwa freshi tu!
  20. JamiiForums Tanzania Ukifikisha miaka 80 utakuwa katika hali gani?

    Ipi kwako ni jibu sahihi, ukifikisha miaka 80? Afya imara Utajiri wa kutupa Umasikini wa kutupa Huwezi kutembea Ukiishi kijamaa Ukiishi kibepari Utakuwa umetengwa Utakuwa umekufa Ukifurahi na wajukuu na vitukuu Utaonekana mchawi Utakuwa ombaomba Utatubu dhambi zako zote ulizofanya katika maisha...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…