katika

Kathikas (Greek: Κάθηκας) is one of the Laona villages in the Paphos District of Cyprus. It is situated on a plateau 23 kilometers north of Paphos. It has an altitude of 655m and a population of 333.
It is well known for its grape production, such as xynisteri grapes.
It also has a flourishing agrotourism industry.
Kathikas has a very active Residents Association Additionally, Kathikas has residences that are over a century old and serve as examples of folkloric architecture.

View More On Wikipedia.org
  1. R

    JamiiForums Tanzania Rwanda ni tafsiri halisi ya vile reli ilivyo ndogo ila inaweza kubeba matreni, uwezo wao katika medani za kivita unakuwa kwa kasi, sio wa kuwabeza.

    Hawa jamaa wanazidi kujijenga kijeshi kwa speed ya radi, uwezo wao wa sasa sio wa miaka 10 au 20 iliyopita, wame transform mambo mengi, Jeshi la Rwanda limewezesha kuondoka kwa wanajeshi wa Jumuiya ya Maendeleo ya Kusini mwa Afrika (SADC) kutoka eneo la mashariki mwa DRC, kwa kuwasindikiza...
  2. JamiiForums Tanzania Makosa Katika: "Mwalimu Julius Kambarage Nyerere Photographic Journey"

    Kazi yoyote ya mikono ya binadamu itakuwa na makosa. Kazi iliyokamilika ni yake Allah peke yake. Yameonekana makosa katika kitabu cha Mwalimu Nyerere. Prof. Kabudi ana haya ya kusema kuhusu makosa hayo: "Mzee wa Atikali" (MwA) amepigiwa simu na Mhe Prof. Palamagamba Kabudi. Baada ya kuongea...
  3. JamiiForums Tanzania Naomba kazi ya marketing au sales, vitu ninavyoweza, ku offer katika kazi ni pamoja na kuwa na idea za ubunifu kukuza biashara, kutengeneza content,

    Habari mimi ni mwanafunzi wa chuo procurement and supply Natafuta kazi ya marketing au sales naamini nitafanya vizuri, hii yote niweze kumudu Ada na Familia yangu shukran 🙏.
  4. JamiiForums Tanzania Mbunge Ndaisaba Ruhoro Akichangia Hoja Katika Bajeti ya Wizara ya Nishati 2025/2026

    MBUNGE NDAISABA RUHORO AKICHANGIA HOJA KATIKA BAJETI YA WIZARA YA NISHATI BUNGENI JIJINI DODOMA Mhe. Ndaisaba George Ruhoro, Mbunge wa Jimbo la Ngara Akichangia Bungeni Jijini Dodoma wakati Hotuba ya Mapato na Matumizi ya Wizara ya Nishati kwa Mwaka wa Fedha 2025/2026 ikiendelea kujadiliwa...
  5. JamiiForums Tanzania Mwiko katika biashara

    Ni biashara ya duka genge. mwanzoni mauzo yalikuwa mazuri kidogo kidogo mauzo yakashuka sana....USHAURI...kwenye mazingira hayo bwashee si kwamba umelogwa... Bali wewe mwenyewe umegeuza ofisi yako kuwa kijiwe cha bodaboda....mtu akitaka kuja dukani kwako anajiuliza mara mbili manake..wahuni...
  6. JamiiForums Tanzania Je, kwa kilichotokea Jana pale Durban hasa kwa Stellenbosch FC kukosa Haki zao katika Matukio Mawili ya VAR tunaamini kuwa BAHATI ipo Maishani?

    Mimi ni Simba SC damu damu ila labda tu uwe ni Mpumbavu, Mshamba na huujui Mpira na wala hujaucheza pia ndiyo yo utaweza Kukataa kuwa yale Matukio yote Makubwa mawili yaliyopelekea Mwamuzi kutumia VAR kuyaamua yalikuwa ni sahihi ila ni BAHATI tu na NYOTA ya Siku ndiyo viliibeba Simba SC yetu...
  7. JamiiForums Tanzania MSIGANO wa HAKI na AMANI katika Jamii (RIGHTS & PEACE Friction in a Society)

    Wakuu, Mjadala wa wazi kwa raia wa tabaka zote kuhusu msigano wa 'Haki' na 'Amani' katika jamii Mfalme mkuu wa Uingereza (The Great Alfred of Anglo-Saxons) aliwahi kudokeza hivi RIGHT AND PEACE Which one comes first? Both rights and peace maintenance are crucial, and prioritizing one over the...
  8. JamiiForums Tanzania Haya ni Maeneo Matatu ambayo Katika Uislamu unaruhusiwa KUSEMA UONGO - (GHILBA) na wala si dhambi

    Ndiyo, katika Qur'an, kuna maeneo ambayo zinazungumzia hali maalum ambapo kusema uongo inaweza kuwa ruksa (inaweza kuruhusiwa) katika hali fulani, lakini ni kwa ajili ya maslahi ya kijamii au usalama wa mtu au jamii. Hizi ni situations tatu zinazozungumziwa katika baadhi ya tafsiri za Qur'an na...
  9. JamiiForums Tanzania Sheikh asema bima ya afya ni haramu katika uislamu

    Akihojiwa na Maks Media, Sheikh huyu amekuja juu na kudai bima ya afya ni haramu na ni dhulma katika uislamu hivyo kuwaasa waislamu kutojiunga na mfuko wa bima. Msikilize mwenyewe hapa Sheikh akikinzana na elimu dunia kwa kutumia elimu akhera
  10. JamiiForums Tanzania Ijue Practical Meaning na Nafasi ya Resilience Katika 4Rs za Rais Samia

    Kama Watanzania tujuavyo, Resilience ni moja ya 4Rs za Mama Abdul. Alipokuja na hili neno, nilijiuliza maswali mengi, katika kutafakari na kujaribu kufumbua fumbo. Mwisho wa siku, niliamua kucheza mchezo wa wait and see—time will tell. Neno Resilience linatokana na neno la Kilatini (Latin)...
  11. JamiiForums Tanzania Ungana nami leo ujifunze kutumia RCS Chats, mbadala wa WhatsApp katika kifaa chako cha Android

    Je, unatumia kifaa cha Android? Je, unatafuta mbadala wa WhatsApp baada ya kuitumia kwa muda mrefu? Ndiyo, inawezekana, ukiwa na Kifaa cha Android iwe Simu, Tablet huna ulazima wa ku download App ya WhatsApp, unaweza kupata Features zote za WhatsApp ikiwemo kutuma Picha, Video, GIF, Poll...
  12. JamiiForums Tanzania Mahakama yetu iweke mfumo mzuri wa Tele court, hearing katika kesi ya lissu

    Hii itasaidia watu wengi kufuatilia shauri hili na mpaka hatima yake, wengi hatuna muda wa kupoteza kuja kulisikiliza kisutu hivyo ingependeza Huku tukiendelea na shughuli zetu taratibu tunapata mwendelezo kwa kupitia sumatifoni zetu. -Lissu ajipange na Wana sheria wake 30, -Serekali ijipange na...
  13. JamiiForums Tanzania Imekuaje Kenya kuingizwa katika Mgogoro wa Tanzania na Malaw?!

    Kuna mtu anaweza kuelezea sababu za magari ya Kenya kutoka Malawi yanayopitia Tanzania kutaabishwa katika mipaka yetu kutokana na mgogoro wetu na Malawi?
  14. JamiiForums Tanzania Sales Person Mtu wa Masoko katika kiwanda Cha Sembe.

    Habari Naitaji sales person ( Mzoefu au mwenye uwezo wa kutafuta masoko ) Ya Unga wa Sembe, Dona, Pumba ya Mahindi. Mashara : 300k ~ 600k kwa mwez kutokana na uwezo na uzoefu wako. Piga : / Whatsapp 0754397178
  15. JamiiForums Tanzania Unakuaje Mtu Mzima Katika Kundi Lako la Marafiki Kila Ukiambiwa Usimamie Ishu Fulani Hata 2000 Kila Siku Huna

    Tunaelekea wapi kama wanaume? Kuna kundi la wanaume ambao kwa namna ya kushangaza wamezoea kuishi ndani ya unyonge—unyonge wa kutokuwa na hata shilingi mfukoni. Hali ni mbaya kiasi kwamba hata mtu ambaye humjui binafsi, ukimuangalia tu unajisikia kero. Kwa nini? Kwa sababu umaskini wake...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini CHADEMA hawatoi matamko katika maswala ya Waislam?

    Wakati wa mahakama ya kadhi Swala la OIC wakati kuna Vatican hapa Swala la masheikh na kesi. Wao wanataka waislam wawapigie kelele ktk harakati zao ? Nimemsikia Lema leo akiwalaumu waislam hawatoi tamko ktk swala la no reform no election kwa sababu Rais muislam. Swali lini CHADEMA imewapigia...
  17. JamiiForums Tanzania Vijembe vya China katika vita vya Tarrifs dhidi ya Marekani ya Trump

  18. JamiiForums Tanzania Ukitaka kujua wengi wao wa hawa wenzetu boda boda hawako stable katika fikra zao tazama hii video aliopost Samatime

  19. O

    JamiiForums Tanzania Hatari Zilizofichika Katika Uchapishaji (Printing): Wasiwasi wa Usalama Katika Maghala ya Uchapishaji Kariakoo

    Katika baadhi ya viwanda na maghala ya uchapishaji yaliyoko Mtaa wa Jangwani, eneo la Kariakoo jijini Dar es Salaam, shughuli za uchapishaji zinaendelea katika mazingira yasiyo salama na yasiyozingatia viwango vya usalama kazini. Majengo mengi ya biashara yenye ghorofa yanatumika kwa shughuli...
  20. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Katibu wa Wilaya CCM Kondoa: Muislam wa kweli huwezi kwenda kuswali bila kumtaja Rais Samia

    Wakuu, Sitaki kuongeza maneno mengi maana naweza kuharibu uzi huu. Ila huyu anaitwa Abdulrahim Hamidu ni Katibu Mkuu wa CCM (W) Kondoa. Uchawa kwenye nchi yetu umefika kwenye viwango vya juu sana. Yaani kama Taifa inabidi Harvard waje hapa Bongo, Maprofessor wao waje kufanya thesis kuhusu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…