Picha: Kuna ukweli katika hili asemalo huyu Mama

Faana

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2011
Posts
43,026
Reaction score
51,253
Mwanaume anapoanza ukimya mwingi katika mahusiano, usimuone ni mjinga na mpole ukadhani sasa uko huru kufanya lolote na kumpeleka utakavyo.

Ukimya wake unamaanisha, ameumia
Ukimya wake unamaanisha, hana furaha
Ukimya wake unamaanisha, ameona humthamini
Ukimya wake unamaanisha, amechoka na tabia zako mbaya za kijirudia rudia

Au ukimya wake unamaanisha, anaanza kujiondoa kwako kihisia na kiakili. Ameanza mchakato wa kukufuta katika kumbukumbu zake.
Wanaume wengi wenye busara na hekima hawapendi kuelezea hisia zao kwa maneno na makelele, hujieleze ukimya kimya (silence). Ukimya una sauti kuu inayosikika masikini pa mwenye hekima tu.

Mwanamke mwenzangu usipuuze wala kuchukulia poa ukimya wa mwanaume wako. Kimya kingi kina mshindo mkuu. Sio Kila ukimya wa mwanaume unaashiria amani na sio Kila ukimya wa mwanaume unaashiria vita. Usijichanganye!

Kumbuka mwanaume anapojiondoa kwako kwa ukimya, ni ngumu sana kumrejesha.
Zungumza, jadili, jirekebishe na kujisajihisha kabla ukimya haujawa mikono wa kwa hero kwako.
1746095342107.png

1746098821986.png
 
Wenye kusikia na wasikie.Fahari wawili kuishi zizi moja wataumizana.
 
Mwanaume anapoanza ukimya mwingi katika mahusiano, usimuone ni mjinga na mpole ukadhani sasa uko huru kufanya lolote na kumpeleka utakavyo.
Anakuwa amegundua anatwanga maji kwenye kinu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom