katika

Kathikas (Greek: Κάθηκας) is one of the Laona villages in the Paphos District of Cyprus. It is situated on a plateau 23 kilometers north of Paphos. It has an altitude of 655m and a population of 333.
It is well known for its grape production, such as xynisteri grapes.
It also has a flourishing agrotourism industry.
Kathikas has a very active Residents Association Additionally, Kathikas has residences that are over a century old and serve as examples of folkloric architecture.

View More On Wikipedia.org
  1. Wanyama waliokuwa katika safina ya Nuhu wakati wa gharika walikuwa wanakula nini?

    Hii story ya Nuhu inayopatikana katika dini zote kubwa mbili inafikrisha sana, ni kisa ambacho kimekuwa na maswali mengi sana, mojawapo ni ya chakula kwa wanyama waliokuwa katika safina ya Nuhu. Hawa wanyama wote Simba, Chui, Fisi, Chatu n.k walikuwa wanakula nini ndani ya safina ya Nuhu kwa...
  2. Kwanini maskini ndio huwa wana wivu sana katika mapenzi na ndoa ?

    Watu wenye malalamiko ya ndoa na mapenzi zaidi na ambao wanatembea hadi na mafuta kwa ajili ya wagoni wao ni maskini au wa kipato cha kawaida, watu matajiri wao wakishindwana kwenye ndoa au mahusiano wataachana na wataoa au kuolewa na mtu mwingine na maisha yataeendelea. Ni nadra kukuta kesi ya...
  3. Kumbukizi: Kibajaji na Hoja ya Kihistoria Katika Mkutano Mkuu wa CCM – 2025

    Dodoma – Januari 2025 Mwaka 2025 utabaki kwenye historia ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kama mwaka ulioshuhudia moja ya mijadala ya ndani ya chama yenye mvuto mkubwa wa kisiasa, ujasiri wa ndani, na tafakuri ya kidemokrasia. Tukio hilo lilitokea katika Mkutano Mkuu wa CCM uliofanyika jijini...
  4. Nafasi za Kazi kwa Aliyesoma Education

    Ajira kwa aliyesoma Education (kozi yoyote yenye education) nafasi 4. Eneo la Kazi, Prime School Dar es Salaam. sifa Awe mkazi wa Dar es Salaam. Elimu ya cheti, diploma au degree. Awe amehitimu kati ya mwaka 2024 au 2025. Jinsi ya kuomba: Andika ujumbe kwenda WhatsApp namba 0653 250 566...
  5. Ukubwa na umuhimu wa ccm katika kuiongoza nchi wajidhihirisha wazi kwa umma wa waTanzania

    Macho, maskio na shauku za waTanzania wote kutaka kujua au kufahamu kinachoendelea ndani ya makao makuu ya chama taifa ni kubwa mno. Watanzania wanatamani kujua mustakabali wa uongozi wa Taifa lao chini ya uongozi madhubuti wa ccm imara inayoongozwa kisanyansi na Dr.Samia Suluhu Hassan...
  6. Katika maongezi na mtu ambaye ni stranger au ambaye hauna mazoea nae makubwa usithubutu kumuuliza kama haya maswali, umeoa ,umeolewa ,una watoto ,n.k

    Watanzania asilimia kubwa wanashida kubwa katika kufanya mawasiliano na maongezi kiujumla . Mfano MTU mmekutana kwa Mara ya kwanza tayari anaanza kukuuliza maswali Kama haya umeoa ,umeolewa ,Una mtoto ,umejenga Una gari ,Unakunywa pombe n.k Maswali Kama haya ni too personal kumuuliza MTU...
  7. U

    Swahaba mtukufu aliyepata muujiza wa ajabu kutoka kwa Mtume Muhammad(saw) baada ya kupigwa mshale hadi mboni ya jicho ikadondoka kwenye shavu lake

    Ni Swahaba nani ambaye Mtume(saw) alirudisha jicho lake baada ya kujeruhiwa katika vita vya Uhud? Huyu ni Swahaba mtukufu aliyepata muujiza wa ajabu kutoka kwa Mtume Muhammad(saw) baada ya jicho lake kupigwa mshale katika vita vya Uhud, hadi mboni ya jicho ikadondoka kwenye shavu lake...
  8. Njia rahisi ya kumjua mtu mwenye IQ ndogo katika uwanja wa siasa ni pale anapopost Clip za polepole kipindi akiwa mwenezi wa CCM

    Wataalamu wa mambo na wenye weledi huwa wanazingatia wakati uliopo wa MTU na mahitaji yake na ya waliomzunguka . Katika Mabadiliko ya binadamu yanautegemea wakati ulipo na ujao na kuutumia wakati uliopita Kama uzoefu na kujifunza . Nimeona watu badala wachambue hoja za polepole na sehemu...
  9. Tofauti ya zamani na sasa katika ujenzi wa Nyumba za kuishi!

    Ukiishi nchi za wenzetu, hakuna mafensi makuubwa ya nyumba labda kama ni nje ya mji. ila hapa kwetu na south, mtu anajenga nyumba na fensi ambayo hadi uingie unapata shida. mara aweke waya za umeme, filimbi za sauti kali ambazo ukipiga mtaa mzima watashtuka kujua kuna hatari kwako iandae na...
  10. Tatizo la baadhi ya wafuasi wa Chadema , huwa wanakosea sana katika kuelezea mambo ikiwemo swala la kutaka Mbowe kuongea jambo kuhusu wanayoyapitia.

    Lema alikuwa hana sababu ya kuongea kuhusu Mbowe . Ikiwa mtu hayupo upande wenu Ila nyie mnasapotiwa na mamilion ya watu ambao wanawasikiliza , na kutoa sapoti zao sasa Mbowe yeye ni nani ?. Nafikiri mtaji mkubwa katika siasa ni watu . Ukizungumzia mapito msijifikirie nyie Ila mjue kuna watu...
  11. Mwongozo wa Kozi Nzuri za Kusoma Chuo Kikuu katika Mwaka wa masomo 2025/26

    Mwongozo wa Kozi Nzuri za Kusoma Chuo Kikuu katika Mwaka wa masomo 2025/26 Kama bado hujafanya uamuzi wa nini usome chuo kikuu, makala hii ni mwongozo sahihi kwako. Inakuletea orodha ya kozi bora ambazo si tu zina nafasi nzuri ya ajira, bali pia zinakuandaa kwa kazi katika sekta mbalimbali...
  12. Ushiriki wa Mbowe katika Mkutano wa Dira ya Maendeleo: Je, Inatoa Picha Gani ya Kisiasa?

    Ushiriki wa Freeman Mbowe katika Mkutano wa Dira ya Maendeleo ya Kisiasa unaashiria juhudi za kimkakati za kujihusisha na wadau wa kitaifa, lakini kutokuwepo kwake kwenye kesi za Tundu Lissu, Mwenyekiti wa Chadema tangu Januari 2025, kunazua maswali kuhusu umoja wa chama. Tangu kushindwa...
  13. Ukikutana na mwana Simba SC anayejificha katika hiki Kivuli jua hana Akili na ukimmudu mzabe kabisa cha Kibao cha Kutukuka akome....

    Eti Simba SC kufungwa na Yanga SC mara 5 mfululizo siyo Kosa au Jambo la Kushangaa kwani hata Real Madrid nayo imefungwa na FC Barcelona mara 4 au mara 5 mfululizo. Pumbavu Wahed zenu wenye hii Fikra hivi ukiwa kabisa na Akil Timamu Kichwani utaweza kulinganisha Mafanikio ya Real Madrid ya...
  14. L

    Nchi hii ya Afrika yaingia katika hali ya maafa baada ya kukandamizwa na sera ya ushuru ya Marekani

    Katika mitaa ya Maseru, mji mkuu wa Lesotho, viwanda vya nguo vilivyokuwa na oda nyingi vimefungwa. Wafanyakazi waliokosa kazi wanasimama kwa foleni chini ya jua kali, wakiinua mabango yanayosema: "Tunahitaji kazi, tunahitaji chakula." Nchi hii ya milimani ya Afrika ambayo rais wa Marekani...
  15. Ushawishi wa wayahudi katika mifumo ya kiuchumi na kisiasa duniani

    Katika mjadala wa nguvu za mataifa na udhibiti wa rasilimali duniani, jamii ya Kiyahudi huibuka mara kwa mara kama kundi lenye ushawishi mkubwa sana hasa katika masuala ya kifedha, kisiasa, na kiteknolojia. Ingawa hoja hii mara nyingine huibua mijadala mikali, ukweli wa kihistoria, takwimu, na...
  16. C

    Maini katika page ya insta ya Mpoto baada kufiwa na mkewe,ni kiashiria cha hatari inayolikabili taifa,viongozi mna kazi ya kuwaunganisha watanzania

    Nimesikitishwa kuona maoni ya dhihaka na kejeli kwa mtu aliyefiwa na mkewe kisa chuki na visasi vya watanzania waliokwazwa na kauli zilizowahi kutolewa na baadhi ya viongozi. Ninawaomba viongozi wetu wastuke na kuanza kuchukua hatua za maksudi za kupunguza chuki hizi. Inawezekana sana,viongozi...
  17. Nahisi hakimu wa kesi ya Lissu ni Layman katika sheria hana anachoelewa je kwanini Lissu asimkatae maana hajui anachofanya.

    This guy is layman kwanini Chadema hawalioni hili swala.?
  18. Mizizi ya Dhambi Katika Uongozi wa Tanzania

    Katika historia ya mataifa mengi, na hasa Tanzania, uongozi umetazamwa kama dhamana takatifu inayopaswa kuheshimiwa, kutunzwa na kutekelezwa kwa moyo wa unyenyekevu. Hata hivyo, hali ya sasa inaonyesha picha tofauti: watawala wetu wengi wanabeba dhambi kwa tamaa za kidunia. Tamaa ya madaraka...
  19. Radio na TV sasa zitarudi katika ubora wake ikiwa wamewazuia watu ambao hawajaenda shule kutangaza

    Kwa hili Serikali imefanya jambo jema Sana . nasikia Chumvi amelimwa kichwa.
  20. Je ni kweli kwamba Wale waliosilimu na kutaka kurejea katika imani yao ya asili lazima wauawe kwa mujibu wa sheria ya Kiislamu?

    hamis77
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…