katika

Kathikas (Greek: Κάθηκας) is one of the Laona villages in the Paphos District of Cyprus. It is situated on a plateau 23 kilometers north of Paphos. It has an altitude of 655m and a population of 333.
It is well known for its grape production, such as xynisteri grapes.
It also has a flourishing agrotourism industry.
Kathikas has a very active Residents Association Additionally, Kathikas has residences that are over a century old and serve as examples of folkloric architecture.

View More On Wikipedia.org
  1. Kuna uhusiano gani kati ya akili na maswali?

    Mfano mzuri darasani ukiuliza swali simple kila mtu atakuona kilaza na mjinga ila ukiuliza swali gumu utaonekana mwamba! Kwani kuna uhusiano gani kwenye hivi vitu?
  2. Tuishi kwa kusaidiana kila mtu ana umuhimu katika maishani yetu

    Tusaidiane ingali tukiwa hai, msaada unaokuja kusaidia mazishi una maana lakini ungekua na maana zaidi kama ungekuja wakati wa kuuguza.
  3. Vijana wa Ukraine wakimbia usajili katika jeshi na hawakamitiki tena

    Kama ilivyotabiriwa hapo mwanzo kuwa Ukraine haitoweza kuendeleza vita na Urusi baada ya muda si mrefu. Hali hiyo sasa imefika wakati wake ambapo vijana waliotarajiwa kujiunga na jeshi sasa wanakimbia kwa mbinu zote kuelekea mataifa ya nje.hasa Moldova, Poland na Hungary. Baada kuona wakipita...
  4. Bibi Titi Festival Ikwiriri, Rufiji: Mwanzo wa Bibi Titi katika kupigania uhuru wa Tanganyika 1954

    https://youtu.be/m6XH4SGWjDk Ilikuwa wakati Nyerere yuko Musoma ndipo John Hatch kutoka Chama cha Labour cha Uingereza alipokuja Tanganyika kama mgeni wa TANU. TANU ilifanya mkutano mkubwa sana Mnazi Mmoja na Hatch akawahutubia wananchi. Inakisiwa takriban watu 20,000 walijitokeza kwenye...
  5. Wananchi wanaoishi katika mazingira magumu kupatiwa Bima ya Afya iliyoboreshwa CHIF Kyela

    Zaidi ya Wananchi 100 Wilayani Kyela Mkoani Mbeya, wanaoishi katika mazingira magumu wanatarajiwa kupatiwa Bima ya Afya iliyoboreshwa CHIF na Umoja wa Wanakyela waishio ndani na nje ya Nchi katika Kyela Ibasa Festival itakayofanyika Desemba 27, 2023 Wilayani humo. Huo utakuwa ni msimu wa tano...
  6. Kuleta mabadiliko katika maisha yako amua hili

    Haijalishi wewe ni masikini kiasi gani, haijalishi kuwa wewe si msomi, haijalishi wewe si mtaalamu wa aina fulani, ukweli ni kuwa una kitu kikubwa na cha thamani sana ambacho hakuna anayeweza kukichukua au kukiondoa isipokuwa wewe mwenyewe. Kama ukiitumia mali hiyo uliyonayo kwa namna nzuri...
  7. BBC inathibitisha kuwa ISRAEL inaweka silaha katika majengo ya raia!

    Wanaukumbi. Naona vyombo vya habari ambavyo vilikuwa vinasambaza propaganda za Israel vimeona vinakwenda kuabika mbele ya dunia kwenye hili sakata la SHIFA HOSPITAL BBC, FOX NEWS waliogozana na Jeshi la Israel hadi Hospital lakini wakapewa masharti sehemu za kufika na kuchukua picha...
  8. Namna Tanzania itakavyo nufaika kiuchumi katika mahusiano yake na nchi ya Romania

    TANZANIA imepokea Ugeni kutoka Nchi Ya Romania, yaani; State Visit... Tumetembelewa Na Rais wa Romania... Miongoni mwa maeneo Tunayo nufaika nayo Sisi Watanzania kwa Waromania, ni; Biashara Ya Maparachichi, Kilimo, Na Afya. Mikoa inayolima Maparachichi, Kama; Iringa, MBEYA Na Kilimanjaro, ina...
  9. Dkt. Biteko: Polisi zingatieni haki katika utendaji wenu

    Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko amelitaka Jeshi la Polisi nchini kutenda haki wakati wote wa utendaji wao wa kazi, wachukie rushwa na wajikite katika kutatua matatizo ya watanzania kwani usalama wa watanzania upo mikononi mwa Jeshi hilo. Amesema hayo, leo Novemba 16...
  10. Uraibu ndiyo chanzo cha wengi kufeli katika maisha yao

    Uraibu ni hali ambayo Ina patikana wakati ambao Roho au mwili, unataka mno kuwa na hisia fulani. 👉Kiasi Cha kuwa na matatizo kutekeleza shughuli fulani, mpaka upate hisia inayo lengwa. Kwa miaka ya karibuni kumeibuka baadhi ya mifano ya uraibu, ambayo isipokemewa basi itapelekea kupotea kwa...
  11. Sayansi katika intelijensia

    Katika maisha, kuna M a i s h a, halafu Kuna MAISHA, mengine MBELE.... Hii ni kwakuwa; Wenye Nchi Wanazaa watawala. Na Masikini Wanazaa ; watumwa. Gari Hilo HAPO Juu limetengenezwa maalumu kwa Ajili ya wenye Nchi na watawala. Ni gari la KISASA Sana lenye Uwezo wa kujilinda na mlipuko wa bomu...
  12. Mwakibete CUP2023 Hatua ya Nusu ya Fainali Katika Jimbo la Busokelo

    MWAKIBETE CUP2023 HATUA YA NUSU FAINALI KATIKA JIMBO LA BUSOKELO Mashindano ya Kombe la Mwakibete CUP 2023 hatimaye yamefikia hatua ya Nusu Fainali ambapo yanayotarajiwa kuendelea kutimua vumbi tarehe 19 Novemba, 2023 Uwanja wa Lwangwa. Mashindano ya michezo ya Mwakibete CUP 2023 yameandaliwa...
  13. Mamlaka husika mnatambua jinsi wafanyabiashara maduka ya rejareja wanavyoibiwa sukari, ngano na sembe katika maduka ya jumla wilayani Bunda?

    Wanajamvi wakati tunaendelea kumuona Makonda akiendelea kuuwasha moto na kuendelea kuwa man of the match kuna kitu nimekibaini....! Maduka mengi ya jumla(wholesale) hapa wilaya ya Bunda yananyonya sana wafanyabiashara wadogo wadogo(wa rejareja),ila mbinu wanayotumia ni kali sana...
  14. Niko njia panda katika maamuzi yangu na wazazi wangu, wanataka nijiendeleze kielimu

    Habari wanaJf, mimi ni kijana niliyehitimu kidato cha sita mwaka 2021 katika tahasusi ya HGL, baadae nikaanza biashara yangu ya mpesa, mwaka huo sikuomba chuo kutokana na matatizo ya kifamilia. Mwaka jana nikaomba chuo course ya sheria ila nikakosa mkopo, nikaamua kujikita kwenye biashara...
  15. Weah na Boakai wakutana katika Duru ya Pili ya Urais

    Wananchi wa Liberia wanatarajiwa kupiga kura leo Jumanne Novemba 14, 2023 kumchagua Rais katika Awamu ya Pili ya Uchaguzi unaowakutanisha wagombea wawili George Weah anayetetea nafasi hiyo na Joseph Boakai baada ya awali kutofatiana kwa kura chache katika Awamu ya Kwanza. Weah (57) aliongoza...
  16. Chama kimeshika hatamu; Makonda katika nyayo za wanene wa CCM miaka ya 1980

    Wakati wa awamu ya kwanza enzi za Baba wa Taifa Mwalimu Julius Nyerere,na awamu ya pili iliyoongozwa na Rais Ali Hassan Mwinyi,katibu wa CCM Mkoa ndiye alikuwa Mkuu wa Mkoa,katika mfumo wa vyama vingi Mwenyekiti wa CCM hawezi kushika nafasi ya Mkuu wa Mkoa au Mkuu wa Wilaya,hivyo basi nani...
  17. Kumrudisha Makonda Katika Uongozi ni Ishara Tosha kuwa CCM Hawaziwezi Siasa za Kistaarabu Kama Wanavyojinasibu

    Ndiyo hivyo. Kiongozi makini na mstaarabu kamwe abadani hawezi mpa nafasi Makonda. Lakini kwa CCM hii imetokea kwa sababu Hayati Magufuli alishawazoesha siasa chafu. Hapo katikati walijaribu kurudi lakini hoja za siasa toka upande wa pili zinawashinda majukwaani. Wameamua kurudisha warusha...
  18. P

    Msaada kubadiki castom domain name ya bloger

    Msaada kubadiki castom domain name ya bloger nimehost free site katika infinity free hosting. Nikiplace inanigomea msaada
  19. Ujasiriamali ufundishwe katika day cares na kindergarten. At least ile 'how it is made'

    Wadau wa elimu. Huwa tunaanzia kufundisha watoto a e i o u Kisha ndio babebi... halafu ndo mambo ya 'Baba anakula nzige, aliyeng'ang'ania jani shambani'. Nani alisema kuwa ni lazima mambo yaende hivyo? Mfano tukiamua kuanzia kumfundisha mtoto namna jet engine ya ndege inavyotengenezwa halafu...
  20. Kero gani umekutana nazo katika faragha na mwenza/rafiki?

    Haya twende kazi - Mmetoka zenu matembezini uko mnaingia kunako 6*6 mtu anang'ang'aniza mparamiane hivihivi na majasho mwilini bila hata kuosha mwili kwanza. - Anapenda kula denda ila sasa hiyo harufu inayotoka mdomoni mwake ni changamoto, mungu mwenyewe tu ndo anayejua. - Mmekubaliana fresh...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…