Mambo ambayo mwanaume yanayoweza kukuletea majuto na mateso katika mahusiano/ndoa

Nov 6, 2016
78
237
MAMBO AMBAYO WANAUME TUNAKOSEA NA KUJIKUTA KATIKA MAHUSIANO/ NDOA INAYOKUTESA

Na Comrade Ally Maftah

Leo nime wiwa kugusia mambo ambayo wanaume tunayakosea na kujikuta kwenye mahusiano ya mateso au ndoa zinazovunjika na kutuacha na majuto.

1. KUANZISHA MAHUSIANA NA MWANAMKE ALIYEKUWA KWENYE MSONGO WA MAWAZO/ MATATIZO/ MAHITAJI
Mara kadhaa nimesikia malalamiko kwa wanaume wakisema yule mwanamke nilimsomesha/ nilimsaidia kupata kazi/ nilimpa mtaji na alipofanikiwa akaniacha, bro ukiona imefikia hapo jua kwamba ulifanya kosa moja la kitaalamu, huruma na matarajio ya hovyo vimekuponza, ukitaka kumsaidia mtu ajikwamue kwenye changamoto msaidie achana na masuala ya mapenzi ja matarajio ya muda mrefu, jua kwamba mwanamke akiwa kwenye changamoto anakuwa hana uchaguzi sahihi wa kimapenzi, wakati huo focus yake inakuwa ni kwenye kujikwamua kiuchumi na sio kumtafakari nani anayempenda, mwanamke atakuonyesha kila aina ya upendo ili apate msaada wako na pengine na yeye moyo unamdanganya kwamba anakupenda, akifanikiwa akili yake inaanza kufanya kazi sawa sawa na hapo anaweza kugundua kwamba hana upendo na wewe na huo unaanza kuwa ni wakati wake kumtafuta au kurejea kwa mwanaume anayempenda.

Hili jambo limetukuta wanaume wengi sana na mimi ni miongoni mwao, ndugu yangu anzisha mahusiano na mwanamke aliyejipata kimaisha, hawa wanao husle mara kadhaa mwisho wao huwa ni majuto

2. KUJENGA MAHUSIANO KWA KUMPA MWANAMKE PESA, MALI, AHADI, NA KUJIONYESHA KWAMBA UNA JIWEZA AU UNA WADHIFA FULANI
Moja kati ya mambo yanayotupa shida kubwa wanaume ni pale unapoanzisha mahusiano na mtu katika mfumo wa kumpa hela, ahadi, au zawadi, hapo unamvuruga mwanamke akili na anaweza kujikuta anakuwa upande wako, kwa kweli pesa ina nguvu sana kwa wakati fulani kiasi kwamba ni wanawake wachache sana wenye uwezo wa kudhibiti mioyo yao mbele ya pesa,zawadi na ahadi, mara nyingi mwanaume unapoanzisha mahusiano morali yako inakuwa juu na unakuwa umejiandaa, wakati huo unamkuta mwenzako morali yake imepoa au yupo kwenye mkwamo wa kimaisha, hapo unapata chance ya kumdhurumu mke/ mpenziwe kwa sababu yeye focus yake inakuwa imehama kwenye kumvutia mwanamke, ndio unapoweza kutembea na mke / mpenzi wa mtu, ikitokea na wewe morali na uwezo umeisha mwanamke atarudi kwa ampendae kwa moyo.

ANGALIZO : SI VIBAYA KUMPA ZAWADI/ KUMSAIDIA/KUMSOMESA/KUMPA MTAJI MWANAMKE AMBAYE UNA MALENGO NAE, ILA ZINGATIA KWAMBA UNACHOMPA NI KIASI KILICHO NDANI YA UWEZO WAKO, MPE KWA MUDA FULANI ALAFU KAGUA KUHUSU UPENDO WAKE KWAKO, WEKA MITEGO NA VIZINGITI KABLA HUJAENDELEA KUMPA, JIWEKEE LIMIT KWAMBA WEMA WANGU UISHIE LINI BAADA YA HAPO NIANZE KUONA UPENDO WAKE.

JAMBO HILI SI RAHISI, NI MAFUMBO TUNAYOPASA KUISHI TUKIWA TUNAOMBA YASITUPELEKE KWENYE MATATIZO

Comrade Ally Maftah
KING OF ALL SOCIAL MEDIA
JITU LA MIRABA
 
Attachments

  • IMG_20240512_165734_675.jpg
    IMG_20240512_165734_675.jpg
    488.2 KB · Views: 8
Upo sawa aisee , Kuna mwanamke naanza kupima kama ananipenda au anapenda pesa, mana nikiiingia nae kwenye mahusiano kwa sababu aliniambia Yuko single, ila baadae nikabaini kuwa ni mke wa mtu ila apewi pesa , Sasa na Mimi naweka mkono wa birika nione kama atavumilia au alikuwa ananiuzia indirectly.
 
Yaan ushajua ni mke wa mtu halaf unasema unapima kama anakupenda seriously bro?????? Are u crazy?? Mke wa mtu akupende wewe kabisa???
Sababu ushaijua tena ni genuine kabisa kwamba hapewi prsa kwa mumewe, so kwako yuko kimaslahi, apate pesa apendeze ili mumewe amvutie zaid 😂😂😂. Sasa wewe tumia pesa yako kuborrsha mapenzi ya watu
 
😂😂😂
 
Mapenzi kwa sisi eat and run huwa tunatoa pesa mwanzo. Mzigo ukishabonyezwa basi milango ya bank inavunjika chapu maana kuna wadada wanajua kunyonya kweli kweli

Utaskia vipi leo Mr, nije ukitoka kazini au utanipitia..😁
 
Mkuu, kuna mademu wanatumia ndoa kama chocho yakuficha ufuska wao,, jamaa apo alidanganywa ilivyoshtuka sasa ndo ameacha kutuma na yakutolea anasubiria jee kweli mke wa mtu sumu. Ndo anachopima now.
 
Haya mambo yanaumiza mno. Niliachana nayo baada ya mke wa jirani yangu kunisaliti na jamaa mwingine. Niliumia sana.
 
Mapenzi kwa sisi eat and run huwa tunatoa pesa mwanzo. Mzigo ukishabonyezwa basi milango ya bank inavunjika chapu maana kuna wadada wanajua kunyonya kweli kweli

Utaskia vipi leo Mr, nije ukitoka kazini au utanipitia..😁
Hata Mimi huyu mwanamke ananiuzia indirectly, Kila akija nikimpiga dudu anasema ana ela, ananiomba Sasa nampiga chini
 
Back
Top Bottom