katiba

  1. B

    JamiiForums Tanzania Wanufaika wa Katiba Iliyopo hawahitaji elimu

    Katiba Iliyopo ina mapungufu mengi yasiyoweza kuvumilika zaidi. Ni wazi kuwa anayebeza jitihada zozote za kuanzishwa tena kwa mchakato wa kupata katiba mpya kiporo uliobakia, ni kwa sababu tu ya kuwa na uelewa mdogo au ni mnufaika wa moja kwa moja wa katiba mbovu hii iliyopo. Wanaobeza...
  2. JamiiForums Tanzania Tuweke vyanzo vipya ili tuipate Katiba Mpya

    Kama Katiba Mpya haikuwekwa kwenye Irani ya chama chetu nashauri kwa kuwa KATIBA si Mali ya chama chochote kama nilivyosikia leo chama Fulani kinasema ni "Jambo letu na sisi ndo tume asisisi " hapana tunaomba swala KATIBA MPYA liwe letu sote na kama linafukuta kiasi hiki sasa tuliwekee...
  3. JamiiForums Tanzania Hotuba yangu kwenye Kongamano la Katiba Day

    Salamu zangu kwenye Kongamano la Katiba Day 01/07/2021. Ndugu Mgeni Rasmi Mh Freeman Aikael Mbowe Mwenyekiti wa Chadema Taifa. Mheshimiwa John Mnyika Katibu Mkuu Chadema Taifa Watoa Mada wakuu Prof Rwaitama na Askofu Emmanuel Mwamakula. Wageni waalikwa wote na vijana wenzangu, itifaki...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Katiba Mpya: Tulipo, Uzoefu Utumike - Katiba Ipo

    Inajulikana kuwa katiba mpya inahitajika na wengi. Wapongezwe Chadema kwa kuchukua jukumu la kuanzisha na kuratibu msukumo wa kurejelewa kwa mchakato huu muhimu wa kupatikana kwake. Hatua hii isiyokuwa na chembe ya ubinafsi iliyojaa dalili zote za hatari, ni ya kupongezwa sana na kila mpenda...
  5. P

    JamiiForums Tanzania Hofu ya Rais Samia ni wapi bajeti ya Katiba Mpya itoke. Je, Pesa ikichangwa na wananchi, CCM wataridhia mchakato kuanza?

    Ni swali dogo na fupi tu, Kunahofu ya uchumi kudolora kiasi cha kufanya iwe hofu ya baadhi ya mambo mhimu kufanyika kama ukamilishwaji wa Katiba Je, ikiwa wananchi wataamua kuchangia bajeti yote ya mchakato wa katiba mpya, Bado CCM watazuia jambo hili?
  6. JamiiForums Tanzania Malisa GJ: Umuhimu wa Katiba Mpya

    Muda wangu wa kuchangia nimeutumia kujibu maswali matano yanayoulizwa na wengi huko mtaani kuhusu Katiba (5 common questions). 1. Kwanini mchakato huu umeandaliwa na BAVICHA? Mnapigania Katiba ya nchi au ya Chadema? #Jibu: Mchakato wowote wa katiba ni wa kisheria na kisiasa. Katiba ni jambo...
  7. U

    JamiiForums Tanzania Kuhusu Katiba Mpya, CHADEMA sio pekee wenye wananchi

    Kwa namna Mambo yanavyoenda, viongozi wa CHADEMA wanazidi kukosa njia sahihi za kushughulika na maswala badala yake wanaendelea kuzidisha uanaharakati hata pale harakati zisipohitajika Kwa watu makini wanafahamu kabisa jambo bora hutokana na fikra tulivu zisizo na purukushani wala marumbano...
  8. JamiiForums Tanzania Katiba Mpya haipo kwenye Ilani wala ahadi za CCM, Tusimsumbue na tusimuwekee Rais Samia maneno mdomoni

    Lipo wimbi la waliokosa hoja za maendeleo kutaka kutuyumbisha. Rais Samia atapimwa kwa utekelezaji wa Ilani ya CCM tu kwani huo ndio mkataba rasmi na wananchi kati yao na Serikali iliyopo. Katiba mpya haipo kwenye Ilani ya CCM na mgombea (Hayati Magufuli ) na mwenza wake (incumbet president)...
  9. JamiiForums Tanzania Sekeseke la Katiba Mpya ilikuwa ni ajenda ya CHADEMA?

    Wasalaam Wakuu!. Leo CHADEMA walikuwa na jambo lao waliloliita KATIBA DAY ambapo viongozi wao wakuu wa Chama pamoja na wanachama wao mashuhuri walihudhuria katika kongamano hilo. Suala la Katiba mpya ni lenye umuhimu kwa maslahi mapana ya taifa letu.. Lakini, tujitafakari! Hii ilikuwa agenda...
  10. JamiiForums Tanzania HURUMA: Mdude Nyagali awatoa machozi wajumbe wa Kongamano la Katiba Mpya

    Mfungwa wa Kisiasa aliyeishinda Serikali ya Tanzania Mahakamani , baada ya kupangua mashitaka ya uongo yaliyotungwa na RPC wa Mbeya Ulrich Matei na washirika wake ya kusafirisha na kusambaza Madawa ya kulevya , leo amehudhuria Kongamano muhimu la Katiba (Katiba day) ambapo wameonekana watu...
  11. B

    JamiiForums Tanzania Katiba Mpya: Ukweli Usiosemeka

    Mazingira yanaoizunguka katiba mpya ni muhimu yakajulikana yote wazi wazi. Inafahamika kuwa CCM walio wanufaika wa katiba iliyopo, hawana sababu yoyote ya kujitia kitanzini kwa kuridhia ujio wa katiba mpya kirahisi. Kutokupatikana kwa katiba mpya kutaifanya CCM kuwa imefanikiwa katika...
  12. JamiiForums Tanzania Mbowe: Hatutakubali Bunge lililopo litengeneze Katiba Mpya

    Mwenyekiti wa kudumu wa CHADEMA amemuonya Rais Samia kuwa asikubali kuliruhusu bunge lililopo sasa hivi lianze mchakato wa katiba mpya. Mbowe amesema Rais akiruhusu hilo wao kama chama cha upinzani nchini hawatakubali kamwe. "Kwanza tuna amani mikutano ya hadhara ya vyama vya siasa ni haki ya...
  13. JamiiForums Tanzania Kudai katiba mpya sasa hivi ni sawa na kuchenji buku kwa njaa ya usiku mmoja wakati haujui kesho yako itakuwaje?

    Habari wanabodi! Nilikuwa nashauri kwamba kwa sasa tumpe nafasi mama akuze uchumi maana uchumi wetu kiukweli ulipo si pazuri ukilinganisha na huko nyuma tulipotoka kabla ya hili janga la uviko. Taifa kama taifa linapitia katika kipindi kigumu sana, na hii katiba tunayolilia ni kama njaa ya...
  14. JamiiForums Tanzania DC Gondwe unazuiaje mkutano mkuu wa msikiti wakati Katiba yao imekiukwa mwaka wa pili sasa?

    Naelekeza hili swali kama nilivyotumiwa kwa Mkuu mpya wa wilaya ya Kinondoni, Ndg Godwin Gondwe. Waumini wa msikiti wa Kisumu, Magomeni mikumi wana mgogoro wa kikatiba kuwa Mkutano mkuu haujafanyika kwa miaka miwili sasa. Hivi karibuni kupitia michango na jitihada zao wamejenga jengo la ghorofa...
  15. S

    JamiiForums Tanzania Katika kudai Katiba Mpya, tuwe na Katiba Day kila mwaka na iwe ile tarehe ambayo Mzee Warioba aliwasilisha maoni ya Wananchi juu ya Katiba Mpya

    Habari Wakuu, Katika harakati za kudai Katiba Mpya kutoka kwa watawala, napendekeza moja ya mkakati ni tuwe na siku maalumu ya kitaifa kila mwaka ambapo tutaitumia siku hiyo kutoa elimu kwa umma juu umuhimu wa Katiba Mpya na kuhamasisha madai ya kutaka Katiba Mpya. Siku hiyo ikifika kila...
  16. JamiiForums Tanzania Ney wa Mitego awa Msanii wa kwanza wa Tanzania kuuona umuhimu wa Katiba mpya, atoa angalizo

  17. JamiiForums Tanzania Kosa la karne kwa CCM ni kujitenga na hoja ya Katiba na kuwaacha upinzani watambe nayo

    Kwasababu bado sina chama cha siasa, nataka kuwashauri viongozi wakuu wa CCM. 'Msijitenge na hoja ya katiba na kuwaachia upinzani pekee, mnafanya kosa kubwa'. Nimeangalia trend mpaka sasa huko mitandaoni, nimesikitika kuona kwamba kila mwana CCM ambaye ataongea kuhusu katiba mpya, basi...
  18. JamiiForums Tanzania BAVICHA kufanya Julai 1, 2021 kuwa siku ya Katiba

    Nimesikia kuwa kesho ndo siku ya katiba. Sina hakika hasa ni akina nani ndo wameipanga ila nahisi ni akina mwafulani. Shughuli itafanyika hapo Segerea. Tundu Lissu atakuwa mtoa mada. Au labda mmoja wa watoa mada? Ni jambo zuri. Katiba mpya ni kitu muhimu kwa mustakabali taifa. It is long...
  19. T

    JamiiForums Tanzania Vipengele vya Katiba unavyodhani haviko sawa na mapendekezo yako

    Kwa kadri joto la kudai katiba mpya linavyozidi ndivyo ninavyojiuliza maswali mengi sana. Maswali haya yanatokana na kwamba tulishuhudia jirani zetu Kenya walitunga katiba mpya kwa mbwembwe nyingi sana, kwa kuaminishwa kwamba wamepata muarobaini wa demokrasia. Hata hivyo muda mfupi baadae...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…