katiba

  1. Q

    JamiiForums Tanzania Prof. Kitila Mkumbo: Tangu 2014 tulishakubaliana kuwa na Katiba Mpya, kilichobaki ni utekelezaji

    "Tulishakubaliana kama nchi kuwa tunataka Katiba Mpya tangu mwaka 2014 ndiyo maana tukaanzisha mchakato wa Katiba na kupata Katiba inayopendekezwa, tunachopaswa kuzungumza kwa sasa ni nili tunaendelea na mchakato na siyo kurudisha mambo nyuma" Mbunge wa Ubungo Prof. @kitilam.
  2. JamiiForums Tanzania Katiba mpya kwa sasa hatuhitaji, chaguzi hatushiriki. Sisi tupotupo na haijulikani tunataka nini. Au tunataka michango tu ya wananchi?

    Kama chama kikuu cha upinzani sisi tunahitaji nini kwa sasa? Katiba mpya ingetupatia tume huru na tungeshinda chaguzi kihalali. Chaguzi zikifanyika hatushiriki hii ni kwa sababu tulishasema hatutashiliki chafuzi za wezi wa kura Sasa chama chetu cha Chadema kipokipo tu na hakina muelekeo zaidi...
  3. JamiiForums Tanzania CCM kuitisha mkutano Mkuu maalum wa kufanya mabadiliko ya katiba yao

    Chama cha Mapinduzi (CCM) kinatarajia kuitisha mkutano Mkuu maalum wenye lengo la kufanya mabadiliko ya katiba yake ili kuongeza kasi ya ufanisi wa kazi na utekelezaji wa uamuzi ya vikao vya chama hicho. Taarifa iliyotolewa leo Jumamosi Machi 12, 2022 na Katibu wa Itikadi na Uenezi, Shaka Hamdu...
  4. JamiiForums Tanzania Rais Samia aagiza kuandaliwe Kanuni za Mikutano ya Vyama vya Siasa Nchini

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Uratibu na Bunge kwa kushirikiana na Tanganyika Law Society (TLS) pamoja na Zanzibar Law Society (ZLS) ameagizwa kuandaa kanuni zitakazoelekeza namna ya kufanya mikutano ya hadhara ya Vyama vya Siasa. Rais Samia ameelekeza hayo baada va kupokea...
  5. JamiiForums Tanzania Hivi ni kweli suala la Katiba Mpya ni suala la Rais kulikubali au kulikataa?

    Kwenye video hii, Tundu Lissu anazungumzia suala la katiba mpya na kudai kwamba Rais [kwa sasa ni Samia Suluhu Hassan] ndiye mwenye uwezo wa kuamua tupate katiba mpya au la! Anzia dakika ya 6:00 - 6:16 hivi. Hivi ni kweli kabisa Rais ndiye mwenye uwezo huo? Tukiachana na mazoea ya kijinga...
  6. G

    JamiiForums Tanzania Katiba Mpya ni hitaji la Wananchi, vyama vya siasa ama?

    Habari zenu wana jukwaa letu pendwa JF. Nimejiuliza swali hili bila kupata jibu la kuridhisha fikra zangu na hivyo ninadhani ni busara kushirikisha wana jukwaa. Madai ya Katiba Mpya ni nani hasa mhusika wake?Je,ni wananchi,vyama vya siasa au? Nauliza kwa kuwa sasa ni dhahiri kuwa...
  7. JamiiForums Tanzania Makamanda tusitegemee Mbowe kudai Katiba Mpya. Tayari ameshaingia kwenye 18 za CCM

    Kauli zake zinatia mashaka makubwa. Tayari ameshatishika na anajipendekeza kwa Rais Samia. Mimi ndiyo maana kwa machungu niliyonayo huwa naamua kusema ukweli. Mbowe tayari amenyoosha mikono juu.
  8. JamiiForums Tanzania Mbowe: Niruhusuni kunyamaza

    Mh Mbowe amesema anaomba watu wamruhusu kunyamaza kwanza kwa kipindi hiki atakapo kuwa tayari atazungumza na taifa na watanzania kwa ujumla! My opinion Mbowe hawatendei haki wafuasi wake na watanzania ambao walimuombea usiku na mchana leo hii anawataka wampe muda wa kunyamaza? Mbowe alitakiwa...
  9. JamiiForums Tanzania Hivi hii katiba ya sasa ya mwaka 1977 inamlinda Rais Samia kukaa madarakani? Kwanini CCM hawataki Katiba Mpya?

    Hivi kwanini tusipate katiba mpya ambayo itaondoa kelele na malalamiko? Katiba ambayo itaruhusu ucahguzi wa rais kurudiwa kama kuna wizi wa kura. Katiba ambayo itaruhusu wananchi kuvunja serikali ambayo haiwatumikii inavyotakiwa? Kwanini watawala wa CCM hawataki katiba mpya na huku rasimu ipo...
  10. JamiiForums Tanzania CCM sasa inaanda pigo Kali litakaloiua kabisa hoja ya katiba ili Chadema wabaki hawana ajenda, zote zitakuwa zimedhibitiwa.

    Muda si mrefu Chadema wataishiwa ajenda, mkakati uko mezani kuizima kabisa ajenda ya katiba mpya, ife kifo Cha kawaida (natural death). Baada ya kuizima ajenda hiyo unadhani CDM itabaki hai? Hapana, watakosa Cha kusema, hashtag zitakufa, watabaki wanatazamana, wafanye nini. Watu wako...
  11. JamiiForums Tanzania Ataufyata au ataendelea na makongamano ya kudai Katiba?

    Hii kesi Mbowe amefutiwa kwa huruma ya viongozi wa dini baada ya kumlilia na kumwangukia Rais Samia aingilie uhuru wa mahakama. Siyakuzi na wala sina hayo mamlaka. Sina hata ndugu UVCCM. Hoja ni kwamba mfumo wetu wa utendaji haki kwenye jinai upo vizuri? DPP angeamua kuifuta hii kesi kabla...
  12. JamiiForums Tanzania Dkt. Slaa wewe ndio mpotoshaji mkubwa, Katiba ndio muongozo na jibu la kila kitu. Hii tuliyonayo sasa ina mapungufu makubwa

    Dunia nzima inafahamika kuwa katiba ndio supreme law of the state. Leo hii sisi watanzania tuna katiba ambayo ilitungwa mwaka 1977. Na ukiangalia ilikuwa ikireflect kujibu matatitizo na kero zilizokuwepo wakati huo. Ndio maana kumekuwepo na mabadiliko ya katiba hapa nchini kwetu zaidi ya mara...
  13. H

    JamiiForums Tanzania Dkt. Slaa amesahau Katiba au anapotosha makusudi?

    Leo mtandao wa Mwanahalisi umemnukuu Dr. Wilbroad Peter Silaa akisema kwamba wananchi wanaosema kuwa 'Mbowe sio Gaidi' wanamkera Sana kwani hawapaswi kusema hivyo Ila waiachie Mahakama! Hakusoma lolote kuhusu wale wananchi wengine ambao wao Kutwa kucha wanasema Kinyume chake yaani wanasema kuwa...
  14. S

    JamiiForums Tanzania Kwa Katiba hii mbovu Rais anaweza kuuza mkoa wa Arusha na asihojiwe wala kushitakiwa mahala popote. Tuibadilishe

    Nilimsikia waziri Ndumbaro pale bungeni akisigina manung'uniko na malalamiko ya wamaasai kuondolewa kwenye ardhi yao ya asili Ngorongoro. Ndumbaro alisema "ardhi siyo ya kabila fulani, ardhi ni mali ya watanzania wote. Kwa mujibu wa katiba ardhi yote iko chini ya rais". Kwahiyo basi, katiba...
  15. JamiiForums Tanzania Tundu Lissu kufutiwa mashtaka yote na Serikali, Katiba Mpya inahitajika

    Habari wanabodi, Nimekuwa nikifatilia siasa za ndani na nje ya Tanzania yetu hii.kiukweli juzi kitedo cha Mama kufuta mashtaka yote ya TAL ni ishara kwmba tuna katiba mbaya kuwahi kutokea ,amemruhusu aje Tz kama kaweza kufuta mashtaka thats means anaweza mpa yoyote yule mashtaka. Tubadili...
  16. JamiiForums Tanzania Kwa miaka zaidi ya mia moja mahakama imekuwa ni chombo huru. Ibara ya 107B ya katiba ya JMT imesisitiza

    Mtu yoyote awe Rais au nani hawezi kuishinikiza mahakama kufanya maamuzi kwa matakwa yake. Mahakama inapofanya maamuzi inatakiwa kuzingatia katiba ya JMT na sheria za nchi. Presha na ngojera hazimshurutishi Jaji au hakimu kutoa maamuzi.
  17. JamiiForums Tanzania Mbowe na Wenzake 3 wakutwa na kesi ya kujibu. Kesi imeahirishwa hadi Machi 04, 2022 watuhumiwa kuanza kujitetea

    Mahakama Kuu Divisheni ya Rushwa na Uhujumu Uchumi leo Februari 18, 2022 inatarajiwa kutoa uamuzi kama Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe pamoja na Washtakiwa wengine watatu wana Kesi ya Kujibu au Hapana. Ile siku iliyosubiriwa ya kutolewa maamuzi kesi Mbowe na wenzake 3 kama wana kesi ya...
  18. JamiiForums Tanzania Awamu ya Sita ni ushahidi safi wa utii wa Katiba yetu tunayoapa kuilinda

    Awanu ya sita ni awamu ya Katiba, ni ushahidi tosha kuwa kutii na kuheshimu Katiba ya nchi kunalipa sana. Taifa limevuka salama baada ya kifo cha Mh. Rais Magufuli kwakuwa Katiba yetu haikupepesa macho juu ya Rais ajae baada ya Rais aliyeko kubata bahati mbaya. Katiba yetu ndiyo Nyangumi wetu...
  19. B

    JamiiForums Tanzania Rais Samia umenifurahisha sana kwa maamuzi makubwa uliyofanya kwa maslahi mapana ya Taifa

    1.Mhe Rais naomba kuchukua Nafasi hii binafsi kukushukuru Kwa maamuzi makubwa uliyofanya Kwa maslahi mapana ya Taifa. Mimi ni mwana Chadema na siku zote msimamo wangu utabaki kuungana na wanaotenda haki na wanaostawisha Taifa na Dunia. 2. Mhe. Rais nina watoto na wajukuu, naamini wewe pia una...
  20. JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Ufukuaji wa Machifu unavunja Katiba na Sheria. Samia akemewe

    Kupitia mtandao wa ClubHouse Mzalendo wa Kweli Tundu Lissu anahutubia na anaeleza kwa kina historia ya machif. Ameeleza chimbuko la machif wakati wa ukoloni na kufutwa kwake 1965. Anasema katika utawala wa Mwalimu Nyerere bunge la Tz chini ya Katibu Pius Msekwa lilitunga sheria kupiga marufuku...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…