katiba

  1. JamiiForums Tanzania Walimu wanataka Katiba mpya kama sheria mama ili iisimamie maslahi yao na sio blah blah za Waziri wa TAMISEMI

    Waziri wa TAMISEMI ndugu Inocent Bashungwa, tumezisikia blah blah zako kuhusu walimu na matatizo yao ambayo ni sugu tangu Uhuru. Walimu ndio waasisi wa Taifa hili lakini serikali ya CCM ndio imewanyonga sana na kuifanya jamii iwatukane na kuwaaibisha hadi imefikia hatua hakuna mtoto anaetamani...
  2. JamiiForums Tanzania Chile: Raia waikataa Katiba Mpya iliyopendekezwa

    Chile imepiga kura ili kupitisha au kukataa KatibaMpya iliyopendekezwa, ambayo Rais Gabriel Boric alisema ingeleta enzi mpya ya Kimaendeleo Nchini humo. Kwa asilimia 99 ya kura za maoni, Kambi ya Upinzani ilipata ushindi wa asilimia 61.9 ikilinganishwa na asilimia 38.1 ya waliounga mkono Katiba...
  3. JamiiForums Tanzania Katiba bora Tanzania imara

    UTANGULIZI Maisha ya mwanadamu yamejikita katika ngazi mbalimbali za kijamii kulingana na muundo au mfumo ambao jamii husika hujiwekea. Ukubwa wa jamii zetu huanzia chini kabisa na hatimae kupanda juu kutoka ngazi moja had Ngazi nyingine. Ngazi hizi ni kama vile, familia, ukoo, kabila, taifa...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Katiba Mpya ihusishe kamati za bunge kwenye teuzi muhimu

    Naunga mkono hoja hii
  5. T

    JamiiForums Tanzania SoC02 Vipengele vya kuongeza/ kuboresha kwenye Katiba Mpya

    1) Wabunge 20 wataalamu waongezwe Tofauti na wabunge wa majimbo. - Hawa watakuwepo bungeni kuwakilisha taaluma au fani mojawapo muhimu katika maisha ya watanzania. Mifano ya fani hizo ni Elimu, Kilimo, Biashara, Uvuvi, Afya, mazingira, uwekezaji, utalii, michezo nk. - Hawa hawatalipwa mshahara...
  6. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania FAHAMU: Katiba inamzuia Rais wa Kenya kufanya haya baada ya Uchaguzi Mkuu

    Kwa mujibu wa Katiba ya Kenya, baada tu ya Uchaguzi Mkuu wa Agosti 9, 2022 Rais alipoteza; Mamlaka ya kuteua Majaji wa Mahakama Kuu, kuteua Afisa yeyote wa Umma, kuteua au kumfukuza kazi Katibu wa Baraza la Mawaziri, Katibu Mkuu na Maafisa wengine wa Serikali. Kwasasa hawezi kutumia Mamlaka ya...
  7. JamiiForums Tanzania Hatujachelewa kwenye sensa kuwepo na kipengele cha uhitaji wa katiba mpya .

    Sensa ni data Kama ni data kuna uhitaji wa kuwepo kipengele cha kupata mawazo ya wananchi kuhusu katiba mpya na mgombea huru wa uchaguzi wa uraisi . Siasa zimezidi sana Raisi,wakurugenzi,wakuu wa mikoa,wakuu wa wilaya ....kila mahali...siasa. au siyo ndungu zangu.
  8. JamiiForums Tanzania SoC02 Katiba Mpya ni haki ya Wananchi, sio huruma ya Watawala

    Katiba ni sheria au kanuni zinazoainisha jinsi ambavyo nchi, chama, au shirika vitakavyoendesha shughuli zao. Kwa upande wa nchi, katiba ni sheria mama inayoainisha misingi mikuu ya kisiasa na kuonesha madaraka na majukumu ya serikali. Katiba za nchi pia huainisha haki za msingi za wananchi...
  9. JamiiForums Tanzania Prof. Mukandala hafai kuongoza tume ya katiba mpya

    Tangu awali alipoteuliwa nilisema huyu siye, hiyo ilitokana na yeye kujitambulisha ni muumini wa CCM. Hivi sasa tunashuhudia yeye akitoa maoni kuhusu kuwepo au kutokuwepo katiba mpya, yeye ni mkusanyaji maoni hivyo hatakiwi kuwa mtoa maoni na kama anataka atoe maoni basi inabidi aachie cheo cha...
  10. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya hiyo Katiba yenu hamuiwezi

    1. Mmetoa Uhuru kupitiliza, kwa watu wapenda RUSHWA 2. Mmejaza nafasi nyingi Sana za Uongozi (kwa kuchaguliwa na kuteuliwa-@county-Governor, Deputy Governor, senator, women rep, several MPs&MCAs), 3. Taasisi lukuki, IEBC, EACC, Cohesion and nn sijui, Land Commission, senate, National Assembly...
  11. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwenye Katiba ya Kenya tafadhali

    Uchaguzi wa kenya matokeo yameanza utata mkubwa mitandaoni. Mwenye Katiba ya Kenya tunaomba tafadhali Ili wengine tutafute suluhu kwenye hiyo Katiba.
  12. JamiiForums Tanzania Katiba Mpya ni mradi wa wanasiasa

    Ndio si unajua !! Wanasiasa ndio haswaa!! Wenye mradi wao. Waite wakulima ikulu ,kamwe hawatazungumzia Katiba mpya. Unajua KwaninI hii tu iliyopo imefanya maajabu nchi imepiga hatua kubwa sana kimaendeleo. Waite wavuvi na machinga ikulu waulize mnataka nini, kamwe hawatazungumzia Katiba mpya...
  13. S

    JamiiForums Tanzania SoC02 KUELEKEA UCHAGUZI MKUU 2025: Tume huru ni muhimu kuliko Katiba mpya?. (Katika mtazamo wangu)

    Utawala bora unajengwa kwa kuwa na katiba imara na madhubuti, inayoendana na wakati. Katiba yetu ya Jamuhuri ya muungano wa Tanzania, ni miongoni mwa katiba kongwe ambayo pasi na shaka yako mambo kadha wa kadha yanayohitaji mabadiliko ya haraka sana. Hili linajidhihirisha kupitia mapendekezo...
  14. C

    JamiiForums Tanzania SoC02 Inatisha! Tazama jicho la mtawala na mtawaliwa ndani ya Katiba Mpya

    Hakuna maisha kamili pasi na sheria za kuyaongoza, sheria za Mungu waamini tunamini kuwa zimekamilika lakini nijiulize mimi na wewe je sheria wanazoandaa wanaadamu zitakuwa na ukamilifu milelee? Naomba utunze swali hilo utanijibu wakati ukifika. Hayati Rais Julius Kambarage Nyerere akihutubia...
  15. B

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa Tunduma Frank Mwakajoka akizungumzia mchakato wa katiba mpya

    July 2022 Songwe, Tunduma MBUNGE WA WANANCHI WA TUNDUMA MHE FRANK MWAKAJOKA AKIZUNGUMZIA MCHAKATO WA KATIBA MPYA
  16. JamiiForums Tanzania Tunisia: Katiba Mpya yapitishwa kwa asilimia 96.4

    Rasimu ya Katiba Mpya inayomuongezea madaraka Rais Kais Saied imeungwa mkono kwa asilimia 94.6% ya waliopiga kura huku, Wapinzani ambao walisusa kupiga kura wameshutumu Tume ya Uchaguzi nchini humo kwa udanganyifu na kusema hawatatambua Katiba hiyo - Katiba hiyo inadaiwa kumpa Rais mamlaka...
  17. JamiiForums Tanzania Wananchi Tunisia washerehekea katiba mpya

    Masaa kadhaa yaliyopita Wananchi wamejitokeza mitaank kusherekea kupatikana kwa katiba mpya nchini Tunisia. Katiba hiyo imepatikana baada ya ile ya zamani kuondolewa na Rais wa sasa Mhe. Kais Saeid hali iliyomfanya kuendesha nchi kwa amri yake kwa muda wa mwaka mmoja. Wakosoaji wanaeleza kuwa...
  18. JamiiForums Tanzania Ushauri- Raisi Samia usiogope tangaza kura ya maoni tupate katiba mpya, kisha uchaguzi wa 2025 ukishinda utaleta mapinduzi ya kiuchumi

    Miezi nane ijayo Raisi Samia atakuwa madarakani kwa mwaka wa pili tangu amrithi hayati John Magufuli na hadi sasa atakuwa amejifunza mengi na sasa unaonyesha kusimama ingawa bado, kuna figisu za hapa na pale. Kuongoza nchi ni kazi ngumu ambayo pia yahitaji maamuzi magumu pale unopoona pahitaji...
  19. JamiiForums Tanzania Manara amtaka Waziri Mchengerwa asimamie haki ya kiapo chake cha Katiba

    Msemaji wa Yanga Haji Manara ameongea na waandishi wa habari kuelezea sakata lake la kufungiwa kujihusisha na masuala ya michezo ndani na nje ya nchi kwa kipindi cha miaka 2 pamoja na faini ya shilingi milioni 20. Manara amemtaka Waziri wa Utamaduni Sanaa na Michezo Mohamed Mchengerwa kwenda...
  20. S

    JamiiForums Tanzania Bila U-Sri Lanka ama kuchapana kamwe Katiba Mpya iliyo bora haitapatikana

    Katiba bora ni ile inayotoa fursa sawa kwa vyama vya siasa na raia wake kwa ujumla na yenye kumuwajibisha kila anayeikiuka. Hapa nchini kuna vuguvugu la kutaka kuandikwa kwa katiba mpya. Lakini katiba itakayoandikwa kwa mazingira na mwenendo tulionao sasa itakuwa siyo bora. Itakuwa siyo bora...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…