In fact,
kwa kufanya hivyo uhuru, hadhi na heshima ya mahakama ya Tanzania dhidi ya wakiuka sheria na katiba ya nchi itakua juu, si tu ya wananchi, bali pia hata juu ya vibaraka wa mabwenyenye ya magharibi, ambao wao kwa makusudi wamekosa adabu na utii kwa mamlaka na katiba ya nchi.
Sheria na...
Dhamira ya kupata Katiba mpya nzuri ya vyama vingi ilikuwa kubwa kabla ya vyama vya upinzani kuvuruga mchakato kwa madai ya kuifufua Tanganyika na Zanzibar kuwa na mamlaka kamili.
Fedha nyingi sana na muda vilipotea bure bila kupata katiba mpya. Tusiandike tena Katiba mpya ambayo itakwamia...
Waziri wa Katiba na Sheria, Abdallah Hamis Ulega, ameahidi kushirikiana kwa karibu na viongozi pamoja na watumishi ili kuhakikisha majukumu ya Wizara yanatekelezwa kwa ufanisi na hatimaye kufikia malengo na matarajio yaliowekwa na Serikali.
Ulega ameyasema hayo tarehe, 1 Oktoba, 2026 Mtumba...
Wakili Mpale Mpoki, ambaye amekuwa katika taaluma ya sheria kwa zaidi ya miongo mitatu, amesema mabadiliko ya Katiba ni muhimu katika kujenga mfumo imara wa kulinda haki za binadamu nchini Tanzania.
Mpoki, ambaye ameshiriki katika kesi mbalimbali zilizogusa haki za binadamu, uhuru wa kujumuika...
Wanabodi,
Hii ni makala yangu, kwenye gazeti la Nipashe Jumapili ya leo, hili ni ombi kwa Jaji Mkuu wa Tanzania, CJ Masaju, kumkumbusha kuwa Mahakama ndie the costodian (Mlinzi ) wa Katiba ya JMT, hivyo kwenye ukiukwaji wa Katiba ya JMT, siku zote Mahakama imekuwa ikiona jinsi serikali na Bunge...
Wilaya zetu zina makabila, na mikoa yetu pia ina makabila. Hata hivyo, mfumo wa uongozi wa serikali za mikoa tulionao, ambao kwa namna fulani unapatikana pia katika nchi zinazotajwa kuwa na mshikamano mkubwa wa kitaifa kama Ghana, unapunguza uwezekano wa viongozi wa mikoa na wilaya kujijenga...
Balozi Dkt. Moses Mpogole Kusiluka, Katibu Mkuu Kiongozi, akiongoza KIkao cha Baraza la Mawaziri
===================================================================
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
OFISI YA RAIS – TUME YA MIPANGO
Kumb. Na: CEA.50/212/01/A
25 Septemba, 2026
Katibu Mkuu Kiongozi...
Na,
in fact,
hukumu hiyo itachochea siasa za kistaarabu zaidi majukwaani miongoni mwa wanasiasa wa vyama mbalimbali vya siasa na kutokomeza kabisa siasa za uropokaji, porojo, uongo, uzushi, fujo, uchochezi, ukiukaji sharia na upotoshaji Tanzania.
Huenda Tanzania ikaanza kushuhudia siasa za...
Katiba mpya nitakayounga mkono lazima izingatie mambo makubwa matano.
1. Ushoga uondolewe kuwa kosa la jinai. Serikali isiingilie kabisa mambo ya mapenzi kwa watu wazima waliokubaliana katika mambo ya ngono.
2. Kutenganisha kabisa dini na siasa na shughuli za umma. Hakuna kusali kwenye...
Ndugu zangu inahitaji moyo mkuu sana ili kuwa muumini wa katiba tuliyonayo nayo sasa, kwani mbali ya kuwa Ina mapungufu mengi haikuumdwa na raia bali iliundwa na viongozi
Yaani watawala wanakubaliana kwa niaba ya watawaliwa
Hii ni sawa na kuwe na kampuni mbili Moja inaninua nyingine inauza...
Wanabodi
Hili ni bandiko la swali kuhusu neno "zazwa" na neno " zuzu".
Naomba kuanza na usaidizi wa AI
neno zazwa mazwazwa na neno zuzu, mazuzu
Maneno haya yote mawili yanatumika kuelezea mtu mjinga, asiye na uzoefu, au mtu anayedanganyika kwa urahisi. Hata hivyo, yana utofauti mdogo katika...
Kama tunakubaliana kuwa kupanga au kutekeleza mapinduzi ya kisiasa ni uhaini na ni kosa kubwa katika nchi, hatuwezi kusema mapinduzi fulani ya kisiasa ni halali na mengine ni haramu.
Vilevile, hatuwezi kusema kundi fulani la watu lina haki ya kufanya mapinduzi na wengine hawana haki hiyo...
1\. Kwa uelewa wangu mdogo, na niko tayari kurekebishwa, Waziri wa Michezo haruhusiwi kisheria kuingilia masuala ya kibiashara au kiutawala ya Shirikisho la Soka la Taifa (FA), ikiwemo zabuni za kibiashara za jezi za timu ya taifa.
2\. Chini ya Kifungu cha 19 cha Katiba ya FIFA, mashirikisho...
Uchaguzi ndani ya chama ni kazi ngumu sana na inayohusisha kutofautiana na hata kuumizana wakati mwingine bila kukusudia
Ninadhani ni busara chama kitafute mwaka usiokuwa karibu na uchaguzi mkuu wa nchi
JKT hawafundishwi Katiba wala madhara ya Rushwa. Tunajenga taifa gani?
UVCCM wamejazwa kwenye jeshi. Jeshi la Wananchi limegeuka jeshi la CCM.
Jeshi linalinda ugali wa Watala wakati wao wanaishi kifukara
TUUNGANE KUPIGANIA ΚΑΤΙΒΑ MPYA NA KUKABILIANA NA MKWAMO WA KISIASA NCHINI
Chama cha ACT Wazalendo kinatoa wito kwa Watanzania wote kuungana na kudai kwa nguvu zote kuanzishwa mara moja kwa mchakato wa Katiba Mpya ya wananchi. Tunaamini kuwa mkwamo wa kisiasa unaoendelea nchini hauwezi...
Maneno ya Wasira yameonyesha mambo matatu makubwa sana ambayo bila shaka si Watanzania walielewa mpango huu muovu wa CCM;
CCM hawako tayari Tanzania iwe na Katiba Mpya
CCM waliamua kutumia kisingizio cha Octoba 29 kama kizuizi cha kuwa na katiba mpya
CCM waliamua kumfukuza Nchimbi kwa sababu...