katiba mpya

  1. R

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Ado Shaibu: Sitolala mpaka Tanzania ipate Katiba mpya

    Mbunge wa Jimbo la Tunduru Kaskazini kupitia Chama cha ACT-Wazalendo, Ado Shaibu, amesema kukosekana kwa Katiba Mpya na Tume Huru ya Uchaguzi kumeendelea kuwa chanzo cha wananchi wengi “kulia machozi ndani ya mioyo yao,” akiahidi kupigania mabadiliko hayo ndani ya Bunge bila kuchoka. Ado alitoa...
  2. JamiiForums Tanzania Mungu mwenye Nguvu awe nanyi mwezi huu mpya

    Hamjambo! 1. Mwezi huu uwe mwezi wenye Baraka na Neema ya Mungu naam yule MUNGU Mwenye Nguvu nyingi aliyetuumba wote. 2. Mwezi huu Mungu atuepushe na Mabaya na kushindwa na adui zetu. 3. Wokovu wa Mungu uwe upande wetu. Naye atatupa Wokovu mkuu na ushindi kwa namna isiyoelezeka. 4. Adui zetu...
  3. JamiiForums Tanzania Nani amemshikia Mawe MWIGURU mchemba?Samia alisema atatupa katiba mpya, MWIGURU kwanza ngiriba, utaliangamiza taifa

    Nipo mkoani Arusha aliko Mh MWIGURU mchemba waziri mkuu kutoka chama Cha ccm. Leo akiwa mkoani Arusha ameendeleza kauli zake ambazo ZINAZIDI kulitia taifa letu MATATIZO na ENDAPO hatojisafisha kwa kauli zake atalitia taifa katika mkanganyiko mkubwa. Leo amekuja na kauli tata sana yakuwa wanao...
  4. JamiiForums Tanzania Katiba mpya iweke kipengele cha uhuru wa raia kujilinda wenyewe pia kwa silaha za kisasa

    Matukio mengi ya utekaji yangeweza kudhibitiwa kama raia wengi wengekuwa wanamiliki bunduki au bastola za kujilinda, wangeweza kupambana na watekaji ambao mara zote huwa wengi na wenye silaha, tunaweza kukumbuka mfano mfanyabiashara Zakaria wa Mara alivyopambana na watekaji kwa bastola akaponea...
  5. JamiiForums Tanzania Turekibishe ulaji wa kisiasa usio na tija katika katiba mpya.

    Siku tutakayopata fursa ya kuandika katiba mpya ya nchi tukumbuke. 1. Kufuta nafasi ya waziri mkuu. Hakuna tija kuwa na waziri mkuu na makamu wa rais pamoja. 2. Kufuta nafasi za manaibu mawaziri. Mawaziri wanatosha kumshauri rais na kufanya maamuzi ya kisera na kisiasa katika wizara zao, kazi...
  6. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Kama katiba mpya haitotoa urahisi wa raia wa Tanganyika kumiliki silaha za moto kirahisi , tutaipinga

    Haki ya kuishi ndio haki muhimu kuliko zote chini ya jua. Nimagonjwa pekee , ajari na hukumu za kifo zitolewazo na mahakama halali za haki vyenye uwezo wakumdhulumu binadamu uhai wake.. Kwa kuliona hili ndio maana mataifa yote makubwa ulimwenguni ambako demokrasia imekomaa , raia wakawaida...
  7. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Kurejesha na kulinda heshima ya Taifa letu Rais Samia ajiuzulu, uchaguzi urudiwe tukiwa na Katiba mpya

    Taifa letu limechafuka. Sio tu kuwa limepata doa kama yeye mwenyewe rais Samia alivyosema bali limechafuka. Anaonekana kuwa sio rais halali na ameingia madarakani kwa mtutu wa Bunduki kwa kumwaga damu za raia wasiomtaka kuwa kiongozi wao. Waangalizi toka jumuia ya SADC waliweka wazi kuwa...
  8. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Mwigulu: Hatuwezi kuandika Katiba Mpya kila mtu ameshika jiwe mkononi, rasimu ya Warioba haijachomwa ipo kwenye ilani

    "Hatuwezi kuandika katiba mpya kila mtu ameshika jiwe mkononi, rasimu ya Warioba hajachomwa ipo kwenye ilani"
  9. L

    JamiiForums Tanzania Shida siyo Kufungua Makanisa. Wananchi na Vijana wa Gen- Z wanataka Katiba Mpya na Uchaguzi Urudiwe, Kutekwa Kusiwepo, Waliotekwa Warejeshwe

    Pamoja na Miili ya Wapendwa wao waliouwawa wapewe wakazike, Rasimali za Nchi zitumike vyema katika kuhakikisha vijana wanapata Ajira na huduma za Afya, Elimu, Maji na Umeme zinakuwa Bure na High Quality. Kijana wa leo amechoka kuimba wimbo wa Amani wakati rasilimali za nchi zinaombolewa na watu...
  10. JamiiForums Tanzania Kitila Mkumbo ulipokuwa na akili timamu: Katiba mpya inapatikana kwa vurugu!

    https://twitter.com/Ndolezi_Petro/status/1992542007432990932?t=Fwrcy6pC7f5hy5BUPN4o4A&s=19
  11. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Kibamba: Serikali ikamilishe mchakato wa katiba mpya mapema kwasababu katiba ya sasa ndio chanzo cha haya machafuko

    Deus Kibamba ambaye ni Mchambuzi wa masuala ya Diplomasia na Siasa nchini Tanzania ameshauri tume zitakazoundwa za uchunguzi juu ya matukio yaliyotokea wakati na baada ya Uchaguzi mkuu wa 2025 zijikite kwenye uchunguzi wa kisayansi na siyo kisiasa. Aidha, Kibamba amebainisha kiini cha tatizo...
  12. B

    JamiiForums Tanzania Katiba Mpya itamke, pale ambapo senti ya serikali imetumika kwenye Tume ya Uchunguzi, ripoti lazima iwekwe wazi

    Ya Mzee Kibao ilisemaje? Huyu Jaji Othman ashaandika ripoti ngapi kwa mfano? Ziko wapi? Au huyo Balozi Ombeni Sefue, mshamsikia kwenye matume mangapi ? Ziko wapi ripoti alizoshiriki? Kwa nn huwa hawadai ripoti zao zifanyiwe kazi kama ambavyo Jaji Warioba anaishi akihubiri rasimu ya Katiba...
  13. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Wakili Madeleka: Katiba mpya itajibu mahitaji ya sasa ya Watanzania

    Wakili Peter Madeleka, akiwa kwenye mjadala wa Jambo TV ulioangazia matukio yaliyotokea kabla, wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29 mwaka huu, amesema tathmini yake inaonesha kwamba watu wengi wanaamini kuwa Katiba Mpya ndio inaweza kuwa chachu ya kupatikana kwa majibu ya changamoto...
  14. JamiiForums Tanzania Katiba mpya ya CCM itakuwa kama INEC na tume ya uchunguzi

    Kinchoitwa katiba mpya au mabadiliko ya katiba yaliyosemwa na CCM itakuwa kama tume ya uchaguzi ya Mwamengele na Kailima waliyoiongezea neno huru tu wakaanza kuiita INEC badala ya NEC kisha wakasema hiyo hiyo ni tume huru. Itakuwa pia kama tume iliyoundwa leo ya wao wanachoita uchunguzi wa...
  15. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Katiba Mpya inatakiwa iweke wazi idadi ya Mawaziri na Manaibu wake, nafasi ya unaibu waziri mkuu na elimu zao

    KatIba ya mwaka 1977 ina-mapungufu mengi sana moja wapo ni kutokusema exactly numbe ya mawaziri na manaibu wao hii inampa Rais madaraka makubwa sana Mfano kuna one time tulishakuwa na mawaziri na manaibu jumla 60 imagine a poor country like Tanzania inakuwa na mawaziri 60 kwanini tunapenda...
  16. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Nitakao wateua mjiandae kisaikolojia, tutawabadilikia

    Rais Samia amesema Nitakao wateua mjiandae kisaikolojia, tutawabadilikia
  17. JamiiForums Tanzania Tetesi: Zungu na genge lao wanataka kuchezea Katiba, Wanaleta Mabadiliko ya baadhi ya Vifungu, Mf Urais baada ya Rais Kufa

    Mauaji ya Halaiki, yamewatisha wao wenyewe !! Wanahaha Kila Mmoja kuhakikisha Maisha yao yanakua Hai na Wanayalinda,Kwao na VIZAZI vyao. Ukweli ni kua KWA MAUAJI WALIYAFANYA , Hatuwezi kamwe kuwasamehe wao na VIZAZI vyao. Hukumu dhidi yao ni endelevu na ya kizazi Hadi kizazi. Wapo...
  18. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Ado Shaibu auliza kuhusu katiba mpya Mgombea ZUNGU asema iko njiani

    "Ndugu mgombea mheshimiwa Zungu ningependa kufahamu katika bunge utakaloliongoza iwapo utachaguliwa kuwa spika litakuwa na mchango gani katika kuboresha demokrasia nchini Tanzania hasa katika muktadha wakujenga mwafaka wa kitaifa na kuhakikisha Tanzania inapata katiba mpya?". Mbunge mteule wa...
  19. JamiiForums Tanzania Maridhiano ya kweli lazima yahusu katiba mpya mpya na sio katiba mpya mbovu

    Nimeona makamu wa Rais nchimbi akiongelea kuhusu swala la maridhiano Kama kweli tuna nia ya kuwa na maridhiano ya kweli tunatakiwa kuwa na katiba mpya mpya na sio katiba mpya mbovu Kwanini nasema hivyo kunaweza fanyika jitihada za kuunda katiba mpya ila ikawa mbovu kuliko hii ya sasa ambayo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…