katiba mpya

  1. M

    JamiiForums Tanzania Humphrey Polepole, kwa kuwa CCM imekataa kutupatia katiba mpya wananchi wanayoitaka, njoo upinzani ili usaidie katiba hiyo ipatikane

    Ndugu Polepole Ulishiriki mchakato wa kutafuta katiba mpya, Chini ya uongozi wa Genius Jaji Warioba ulizunguuka nchi nzima kutafuta maoni ya wananchi, kuyachakata na hatimaye kutuletea rasimu bora kabisa ya katiba al-maarufu rasimu ya Jaji Warioba. Na baada ya kuiandaa rasimu hiyo, ulizunguuka...
  2. JamiiForums Tanzania GE2020 Yaliyojiri kwenye kampeni za Mgombea Urais wa CHADEMA, Tundu Lissu Mkoani Katavi na Kigoma, azungumzia Katiba Mpya

    Wakuu nawasalimu kwa salamu ya Ukombozi , leo tena Mh Lissu anaendelea kuwatembelea Watanzania wenzake kwa lengo la kuwaomba ridhaa ya kupewa kura ili awe Rais wa Tanzania , mikutano ya leo itapigwa Mkoani Katavi na Kigoma . Endelea kubaki hapa hapa JF kwa habari za uhakika. ---- Napenda...
  3. JamiiForums Tanzania GE2020 Ilani ya Uchaguzi ya NCCR Mageuzi: Vipaumbele ni Katiba Mpya, Elimu, Muafaka wa Kitaifa, Afya na Ustawi wa Jamii, Mazingira na Makazi

    UTEKELEZAJI WA HII ILANI NA SIFA ZA KIONGOZI Serikali itakayoongozwa na NCCR-Mageuzi itaweka mkazo katika kuimarisha mifumo ya kiutendaji ya serikali kuu na serikali za mitaa ili ufuatiliaji wa utekelezaji wa Ilani uwe wenye tija kwa umma wa watanzania. Serikali itahakikisha usimamizi wa miradi...
  4. M

    JamiiForums Tanzania H. Polepole, Profesa Kabudi na Bashiru Ally juu ya Katiba Mpya na Muungano

    Profesa Kabudi alisema wazi, kuwa kwenye ishu ya muungano, wazanzibar mambo yao yako mezani, yako well documented isipokuwa yale ya Tanganyika. Akasema anaogopa siku watanganyika watakaponyanyuka na kudai mambo yao Humphrey Polepole akasema, Katiba ya Sasa inampa Rais wa sasa madaraka makubwa...
  5. JamiiForums Tanzania Kuna siri Seif na Mbowe kuhusu kudai Katiba Mpya

    Kwa mawazo yangu ukitaka kuvunja muungano basi uwe na Serikali ya Tanganyika yenye madaraka ya ndani makubwa sawa na ile ya Zanzibar. Ukifanya hivyo utabakia na serikali ya muungano yenye kudhibiti Wizara chache hazizidi kumi. Serikali ya muungano itakuwa dhaifu tegemezi. Kama tanganyika...
  6. JamiiForums Tanzania Morrison huru kujiunga na Simba SC, kamati yasema mkataba wake na Yanga una mapungufu

    Baada ya vikao nenda rudi kwa siku takribani 3 hatimaye TFF wamejitokeza na kusema kuwa wamefikia uamuzi baada ya vikao vizito Mchezaji raia wa Ghana, Bernard Morrison amepewa uhuru wa kujiunga na Simba Sc baada ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Nchini (TFF) kusema kuwa Mkataba wake na Yanga Sc...
  7. E

    JamiiForums Tanzania CHADEMA msiende Uchaguzi Mkuu kudai katiba mpya, kudai Tume Huru nendeni na ajenda za kutatua shida za watu

    Nimewasikiliza chadema katika mchakato wao wa kupata mgombea wa uraisi. Frankly speaking mna very strong candidate tatizo lenu ni kutokujua audience. Mkijua audience mtajua mtajua ni mambo yafuatayo 1. Vyama vya siasa vina wajibu gani na changamoto gani 2. Serikali ina wajibu gani na...
  8. JamiiForums Tanzania Video na Picha: Ushahidi kuhusu yaliyotokea kwa Jaji Warioba wakati na baada ya vurugu, Ubungo Plaza

    Jamiiforums is where we dare to talk openly! Kwa mwananchi yeyote ambaye hajafungwa kimawazo na kifikra, angalia vizuri hii video kwenye dakika ya 1:18 ili yale uliyoambiwa uchanganye naya kwako kuhusu tuhuma zinazoelekezwa kwa Paulo Makonda!. Mtoa mada katika mdahalo wa kujadili Katiba...
  9. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Watanzania hii ndio sababu ya kwanini tuliandika katiba mpya, mnamchosha rais na kero zenu kwenye misafara yake

    Enzi za katiba ya zamani hapa kwetu ilikua hivi hivi kama tunavyoshuhudia kwa Watanzania, kwamba maskini wanyonge wanalaghaiwa na kunyanyaswa bila msaada wowote, hata wakifika kwa wakuu wa mikoa taswira inabaki ile ile, mpaka siku msafara wa rais utapita, kisha umpigie rais makelele hadi akuskie...
  10. JamiiForums Tanzania GE2020 Waraka wa Uchaguzi wa Shura ya Maimamu Tanzania

    Bismillahir Rahmanir Rahiim SHURA YA MAIMAMU TANZANIA WARAKA [MWONGOZO] UCHAGUZI MKUU WA TAIFA OKTOBA 2020 TANZANIA Umetolewa leo Tarehe 09. 07. 2020. UTANGULIZI Ugonjwa wa Korona – COVID-19 Sote Tunafahamu kuwa nchini mwetu na Dunia kwa ujumla kumekuwepo na taharuki kubwa ya Ugonjwa wa...
  11. Q

    JamiiForums Tanzania Askofu Bagonza: Tume Huru, Mgombea Huru na kumbukumbu ya Kuzaliwa TANU

    TUME HURU na MGOMBEA HURU 2020 ni mwaka wa Uchaguzi. Kama huchaguliwi basi unachagua. Kama hupigiwi kura na hupigi kura lazima kuna sababu inayokuzuia. Kuna watu wengi wanaruhusiwa kupiga kura lakini hawaruhusiwi kupigiwa kura. Wana haki ya kuongozwa tu lakini hawaruhusiwi kuongoza. Katiba...
  12. JamiiForums Tanzania Wakati Umma wa watanzania unatamani tuwe na Katiba mpya iliyoboreshwa, watawala wao wanaendelea kututungia sheria za ukandamizaji!

    Kilio cha muda mrefu cha Umma wa watanzania ni tuwe na Katiba mpya ya nchi ambayo itakuwa imepanua wigo wa demokrasia na kuleta utawala bora, ambao ni utawala wa sheria Ndiyo maana katika vitu ambavyo Rais aliyepita, Jakaya Kikwete, angeingia katika rekodi za kutukuka ni kama angefanikiwa...
  13. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ona katiba mpya ya Kenya inavyowatesa Wakenya

    Kamwe fahari wawili hawawezi kaa zizi moja. Katiba yao mpya iliweka fahari zaidi ya watatu katika zizi moja. Ona sasa mambo ya utawala wa nchi unavyokuwa mgumu.
  14. JamiiForums Tanzania Hivi wakati wa Katiba ya mwaka 1977, na mchakato wa katiba mpya 2011-2014 uchumi ulikuwa imara kiasi gani?

    Ndugu wanajamvi kuendana na kichwa changu cha habari, najaribu kuuliza uimara wa kiuchumi uliokuwepo 1977 wakati tunapata katiba hii, na uimara wa uchumi uliokuwepo 2011-2014 wakati wa mchakato wa katiba mpya chini ya rasimu ya Warioba? Kuna lugha tuliyopewa siku mbili hizi na serikali kuwa...
  15. JamiiForums Tanzania Jukata kufufua madai katiba mpya Tanzania

    Jukwaa la Katiba Tanzania (Jukata) limesema mwaka 2020 litafufua mchakato wa kudai Katiba Mpya. Kauli hiyo imetolewa leo Jumamosi Februari Mosi 2020 na mkurugenzi mtendaji wa jukwaa hilo, Bob Wangwe katika mafunzo maalum ya asasi za kiraia kuhusu namna zinavyoweza kulinda haki zao za kikatiba...
  16. JamiiForums Tanzania Butiku awapa wasomi mtihani wa Katiba Mpya

    Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Mwalimu Nyerere (MNF), Joseph Butiku, amesema kuna haja kwa wanataaluma nchini kuanza kuzungumzia mchakato wa katiba mpya kuliko kukaa kimya, kwani ulitumia fedha nyingi. Aliyasema hayo jana, wakati wa kumbukizi ya Siku ya Uhuru wa Tanzania Bara katika Chuo...
  17. JamiiForums Tanzania Katiba mpya imeshindwa kuwapa Urais, sasa hawaitaki

    Hizi kelele zote za Katiba mpya na waliofanikiwa kuitengeneza tena kwa damu (2007/08) haikuwa na lengo la kumsaidia mwananchi ingawaje wananchi walidanganywa hivyo. Lengo lake lilikuwa ni power, kuna Wanasiasa waliotaka power sasa katiba iliyokuwepo ilishindwa kuwapa uongozi, wakaikataa kuleta...
  18. JamiiForums Tanzania Madai ya Katiba Mpya na Tume Huru ya Uchaguzi ndio mtihani uliobaki kwa upinzani nchini

    Baada ya CCM na Serikali yake kusalimu amri. Kilichobaki kwa upinzani sasa hivi ni kutoshiriki uchaguzi wa aina yoyote ile mpaka Serikali ikubali mchakato wa kupata tume huru ya uchaguzi na katiba mpya. Kama Wapinzani sio wasaliti wa watanzania mtayazingatia haya.
  19. J

    JamiiForums Tanzania Je, unawakumbuka vinara wa Tume ya Katiba mpya? Ungependa tuwaombe watusaidie kufufua mchakato wa Katiba mpya?

    Nimeikumbuka kazi nzuri iliyofanywa na Tume ya katiba mpya aka Katiba ya Warioba. Kwa bahati mbaya bunge maalumu la katiba mpya lilishindwa kukamilisha mchakato huo kwa sababu ambazo hazieleweki sawa sawa. Najiuliza tu kama wale vinara wa ile tume ya Warioba bado wana moyo ule ule mkunjufu na...
  20. JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Sitatenga hela ya Katiba Mpya ili watu waende Bungeni kula; wala sikuinadi kwenye kampeni

    Kongamano linaanza saa 3:00 asubuhi hii. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli ni Mshiriki Maalum kwenye Kongamano hilo. Watoa Mada ni Wanazuoni wabobezi katika masuala ya Uchumi, Siasa ya Uchumi,Siasa ya Jamii, Sheria n.k John Pombe Joseph Magufuli - Tanzania...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…