Barbarosa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 22,584
- 27,787
Hizi kelele zote za Katiba mpya na waliofanikiwa kuitengeneza tena kwa damu (2007/08) haikuwa na lengo la kumsaidia mwananchi ingawaje wananchi walidanganywa hivyo.
Lengo lake lilikuwa ni power, kuna Wanasiasa waliotaka power sasa katiba iliyokuwepo ilishindwa kuwapa uongozi, wakaikataa kuleta mpya, sasa hii mpya imeshindwa tena kuwapa power wamerudi na porojo na uongo kutataka kuibadilisha tena, sasa wanataka kiongozi achaguliwe na Bunge na sio wananchi tena, kwa maana wanajua Wabunge ni corrupt hivyo wataweza kupata power.
Siku zote anayetengeneza Katiba ndiyo huamua nani anufaike na hiyo Katiba, na siku zote mnufaika ni yule anayeitengeneza na sio mwananchi, Katiba ya USA iliruhusu kumiliki watumwa kwa kuwa walioitengeneza walimiliki watumwa, Katiba ya Afrika Kusini inalinda mzungu na mali yake mashamba na natural resources kwa kuwa mungu aliitengeneza kabla ya kumaliza Apartheid na kukabidhi power kwa Mandela.
Hata ukiangalia Tanzania wanaolilia Katiba mpya siyo kwa sababu ya maendeleo ya mwananchi bali wanafikiri inaweza kuwaingiza madarakani ndio maana Kenya waliuwa watu ilie wapate sababu ya kubadilisha Katiba.