katiba mpya

  1. S

    JamiiForums Tanzania Katiba Mpya yaja, somo la awamu ya tano linatosha

    Katiba mpya itaundwa tu. Utawala wa awamu ya 5 ndiyo umeleta chachu na hamu ya uhitaji wa kuundwa kwa Katiba mpya. Kila kundi katika jamii linahitaji Katiba mpya. Wanaccm, Wapinzani, Wanaharakati, n.k. Wananchi wa makundi mengi katika jamii hawakufurahishwa na mwenendo wa mwendazake lakini...
  2. P

    JamiiForums Tanzania Nasisitiza, wakati wa Katiba mpya ni sasa

    Nasema hivi, hatutakuja kupata tena nafasi nzuri na kwa muda muafaka wa kutengeneza katiba mpya iliyo nzuri kama sasa, namaanisha wakati wa utawala wa rais wetu mpendwa mama Samia Suluhu Hassan. Zingatia na kumbuka yafuatayo: 1) Rais wa sasa anakubalika katika pande zote za Muungano, na...
  3. J

    JamiiForums Tanzania Kwanini CHADEMA hawataki kudai Katiba mpya au hata kudai Tume Huru ya Uchaguzi kwa kuanzia?

    Nilitegemea baada ya sekeseke la Halima Mdee na Nusrat Hanje basi operesheni ya kwanza ya CHADEMA ingekuwa ni kudai Katiba mpya au hata wangeanza na Tume Huru ya Uchaguzi. Lakini naona wanarudi kule kule kwenye maoperesheni Sangara na Ukuta ambayo hayajawahi kuwasaidia chochote. Ndio nauliza...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Huu utulivu, furaha na shangwe Mhe. Rais ataukamilisha kwa katiba mpya?

    Kuna kautulivu flani unakaona kwenye nchi, kuna kauhuru flani unakaona kuanzia vijiweni,makazini,barabarani na kwenye mitandao ya kijamii watu wakijadiliana mambo kwa Uhuru bila kukamatwa na hakuna athari ya Usalama iliyoripotiwa. Kuna upendo flani umeanza kuonekana baina ya viongozi wa...
  5. JamiiForums Tanzania Rais Samia akitupatia Katiba Mpya, awe Mama wa Taifa

    Tulibahatika kumpata Mwalimu Nyerere. Alikuwa ni Rais mwenye maono. Alifahamu kunahitajika nini ili nchi yetu isonge mbele. Tukumbuke aliipokea nchi ikiwa na wasomi wachache, teknolojia duni kabisa, yenye miundombinu hafifu, elimu dhaifu, viwanda vichache sana, hakuna taasisi za utafiti, n.k...
  6. JamiiForums Tanzania Sasa inatosha, tunahitaji Katiba mpya

    Haujambo mwana Jf? Mimi ni mzima buheri wa afya, namshukuru Mungu kwa ulinzi wake na kunipa uhai mpaka sasa. Moja kwa moja kwenye mada yetu ya leo. Tangu kifo cha Rais wa awamu ya Tano , Hay. Dkt. John P. Magufuli, kama taifa tumepita kipindi kigumu sana hasa kwenye katiba yetu. Katiba yetu...
  7. Q

    JamiiForums Tanzania Nyerere alijua Katiba ni mbovu lakini hakutaka kuibadilisha. Ni wakati sasa umefika ili Taifa liendelee linahitaji Katiba Mpya

    Nyerere alikubali kutengeneza system ya kidikteta ambayo tumeirithi, system ambayo haijaandikwa popote kwenye katiba, kwamba ili rais awe na nguvu (power) lazima avae kofia mbili ya chama na ya serikali. Nyerere aliwahi kusema katiba hii inamapungufu mengi inampa rais nguvu kubwa ya kuweza kuwa...
  8. W

    JamiiForums Tanzania Kuanzia Julai 1, 2021 rasmi CHADEMA wanarejea kwenye ukorofi

    Ndugu zangu, Baada ya uchaguzi wa mwaka 2005 Freeman Mbowe aliutangazia ulimwegu jinsi alivyohusudu utawala mpya wa Jakaya Kikwete huku akiwaponda wanasiasa wengine kama Prof. Lipumba aliyelalamikia madhaifu ya tume ya uchaguzi. Mbowe na CHADEMA walirukaruka kama ndama wakifurahia Serikali mpya...
  9. JamiiForums Tanzania Kibonzo cha Kipanya: Watawala wanaiogopa Katiba Mpya

  10. JamiiForums Tanzania Je, wapinzani kuleta Katiba mpya?

    Wasalamu, Hili swali najiuliza hivi huu utamu wa madaraka, na kujihisi upo mbinguni (Kinga), ukiamua unarithisha Watoto, vimada na wapambe wako, wengine hadi Waganga wao? Ukweli Kwa mama yetu sioni dalili maana CCM itamkaba kooni atajuta kuzaliwa. Je, Kweli Zitto Kabwe, Mbowe, Tundu Lissu &...
  11. JamiiForums Tanzania Rais Samia nakukumbusha kuwa siku hazigandi, zayoyoma. Samaki mkunje angali mbichi, akikauka hakunjiki

    Rais wetu Mh. Samia Suluhu Hassan, ada ya mja hunena, mwungwana ni kitendo na siku njema huonekana asubuhi. Wewe ni Rais wetu kwa mujibu wa Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania uliyoapa kuiheshimu, kuilinda na kuitetea. Kupitia hiyo Katiba sisi wananchi tuliamua rasmi na kwa dhati kujenga...
  12. JamiiForums Tanzania Ni vyema Katiba Mpya ikaelekeza kuwa Rais anapofariki akiwa madarakani Bunge livunjwe na tuingie kwenye uchaguzi huku nchi ikiwa chini ya Jeshi

    Kipengele cha katiba kinachosema Rais akifariki madarakani basi makamu wake ataapishwa kuwa Rais tunaomba kibadilishwe.. Rais akifariki uchaguzi ufanywe upya Gesi kwenda Kenya mbona Kama umepigwa. JPM angepewa hilo jengo ungesikia " nimerigawa kwa wananchi ritatumika kama hospital ya waja...
  13. JamiiForums Tanzania Mtazamo binafsi: Tatizo kuu la mkwamo wa Katiba mpya na mambo mbalimbali ya kisiasa na kijamii ni 'kwanini ianzie kwangu? Kwanini nianze mimi?'

    Nimekuwa nikifuatilia na kutafakari sana kuhusu siasa na mambo ya nchi yangu kwa ujumla. Kiukweli, naipenda sana Tanzania yangu na sijawahi kuiwazia wala kuifanyia mabaya hadi hapa nilipofikia. Na naendelea kumuomba Mwenyezi Mungu kila uchao kuniachia na kuniimarishia uzalendo wangu kwa nchi...
  14. JamiiForums Tanzania Kuna Mgongano wa Katiba ya Zanzibar na ya Muungano, ufumbuzi wake tutake tusitake ni katiba mpya!

    Kwa sasa inaonekana kama kila kitu kiko shwari katika muungano wetu lakini Ukweli ni kuwa kuna ufa mkubwa sana ambao ni hatari kwa muungano na nchi kiujumla. Ukweli wenyewe ni kwamba Katiba mbili, yaani ya Muungano na ya Zanzibar (toleo la mwaka 2010)vinakinzana na hivyo kupelekea mkanganyiko...
  15. JamiiForums Tanzania Msijidanganye, hata tukipata Katiba Mpya CHADEMA haiwezi kukamata Dola

    Mnatakiwa wana Cdm kindakindaki mtambue hili kabisa kuwa hata kama Tanzania yetu ikipata katiba mpya hamuwezi kukamata dola. Hii yote ni kwa sababu mnashindwa kufanya siasa kitaalamu na kutambua wapi mmekosea. Siasa ni sayansi hivyo mnatakiwa mfanye tafiti za kisayansi. Iwe kwa mtutu wa...
  16. JamiiForums Tanzania Askofu Niwemugizi amshauri Rais Samia Suluhu kuanza na Katiba Mpya

    Baba Askofu ameongea hayo alipokuwa anahojiwa na gazeti la Mwananchi. Amesema ni vema Rais Samia Suluhu akaanza na Katiba Mpya ili kutengeneza msingi imara wa Utawala bora ambao utazingatia haki. Ameahidi kukutana na Mh Rais ili kumpatia ujumbe huu haraka iwezekanavyo. ----- “Nikipata nafasi...
  17. A

    JamiiForums Tanzania Hofu ya Katiba Mpya

    Nimsikiliza Rais Mama yetu mpendwa Samia Suluhu Hassan,katika hotuba yake ameongea mambo mengi ya msingi na yenye kutia matumaini. Moja ya maeneo aliyonifurahisha katika hotuba yake ni tone anayotumia katika uwasilishaji wa hoja zake. Kitendo cha kuahidi kufanya maboresho kwenye sera zetu za...
  18. JamiiForums Tanzania Samia Suluhu ameshindwa kutupa Katiba Mpya lakini bado wanataka kumuongezea vyeo

    Ni nani alikuwa anaongoza vikao vya Katiba? Sasa Katiba Mpya iko wapi? Amekuwa ineffective kama Anna Makinda. Fujo kidogo tu za John Mnyika na Halima Mdee zonakwamisha Bunge. Kule Afrika Kusini yupo Mbunge machachari,Julius Malema lakini hatujasikia like Bunge lime collapse. Nani kama...
  19. JamiiForums Tanzania Ukweli wa Kifaranga na Hatima ya Katiba Mpya

    Inawezekana hizi awamu CCM waliziweka kimkakati sana. Pengine labda bila hizi awamu tungekua na katiba mpya. Pengine ndo maana wenye upeo sisiemu walileta awamu (taste tofauti) zitakazofanya watanzania waendelee kutawaliwa na sisiemu. Naam inajulikana vizuri kwamba ili kifaranga kiendelee...
  20. JamiiForums Tanzania Kama vyama vya upinzani vingekuwa vinasusia uchaguzi kwa kipindi chote kilichopita tungekuwa tumepata Katiba Mpya

    Huenda uchaguzi mkuu wa mwaka jana umeleta funzo kwa vyama vya upinzani. Maana sasa wanaonekana kupata funzo. Jambo ambalo wanatakiwa kutambua ni kuwa tume huru ya uchaguzi ambayo itaendesha chaguzi kwa uwazi na ukweli bila upendeleo inahitaka. Tangu mwaka 1995 walipaswa kususia uchaguzi kama...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…