katiba mpya

  1. JamiiForums Tanzania Anaandika Binamu Binanga kuhusu madai ya Katiba Mpya

    Wengi akili imeelemea kwenye kudai Katiba Mpya. Hili ni wazo jema sana. Lakini tumewaza vizuri vita tunayoipigana? Silaha tunazotumia? Tuko tayari na matokeo ya vita hii? Nimemsikikiza wakili msomi Peter Kibatala alipofanya uchambuzi wa kishule (sio kiharakati) nimemuelewa sana Mchakato wa...
  2. JamiiForums Tanzania Nini kinachotuongoza? Sheria na Katiba au hila na fadhila za Rais?

    Wanasema eti kuuliza si ujinga! Wakati ujinga ni hali ya kutojua kitu au jambo fulani. Sasa kama kitu unakijua au jambo unalijua, unauliza ili iweje sasa? Baadhi ya hii misemo ya Kiswahili ukiichambua kwa undani utabaini haina mantiki kabisa. Ah! Hayo ya misemo ya Kiswahili tuyaache kwa leo...
  3. JamiiForums Tanzania Wanasiasa na ubinafsi wa Katiba mpya

    Habari wanaBodi.. Tumekuwa tuna wanasiasa wanafki na wabinafsi pia sana. Watanzania tuna changamoto nyingi za maisha ya kila siku mbali na suala la KATIBA, Yes Katiba ni muhimu lakini Katiba siyo kila kitu, tunaweza kuwa na Katiba mpya lakini isibadilishe maisha ya raia. Ubinafsi wa Wanasiasa...
  4. JamiiForums Tanzania Rose Mayemba, Mwenyekiti CHADEMA Mkoa wa Njombe akamatwa na kuhojiwa na Jeshi la Polisi. Aachiwa kwa dhamana

    Yaani tunataka kweli kurudi kule kule? ---- Update: 1 JamiiForums imezungumza na RPC Mkoa wa Njombe na amethibitisha kuwa Mwenyekiti CHADEMA Mkoa wa Njombe Rose Mayemba amekamatwa kwa Mahojiano zaidi baada ya kuweka ujumbe kwenye mtandao wa kijamii uliomhusisha Rais. RPC amesema kuwa kosa lake...
  5. JamiiForums Tanzania Hii ndio Orodha ya makundi ya watu wanaohitaji Katiba Mpya na wasiohitaji

    HII NDIO ORODHA YA MAKUNDI YA WATU WANAOHITAJI KATIBA MPYA Na, Robert Heriel Mjadala unaoendelea katika Siasa mitandaoni ni ishu ya Katiba. Wanaohitaji Katiba Mpya wamegawanyika katika makundi Yafuatayo; 1. Wanasiasa hasa wa vyama vya Upinzani 2. Wanasiasa upande wa Zanzibar. 3...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Katiba Mpya ni suala la CHADEMA peke yao?

    Vimbelembele au vihio vya CCM vinasambaza itikadi mbaya sana eti kila kitu cha Katiba wanakielekeza kwa CHADEMA. Faida ya Katiba mpya ni faida kwa Tanzania wote tena jambo hili halihusiani na chama chochote, kama Mtanzania Mzalendo ni haki yako kutaka au kudai au Kutodai. Suala la katiba mpya...
  7. JamiiForums Tanzania Ni muhimu kushindana kwa hoja katika kuidai au kuipinga Katiba Mpya

    Wanaotaka katiba mpya na wasioitaka wote ni watanzania. Katiba mpya siyo chokochoko wala chanzo Cha uhasama, isiwe chanzo cha machafuko au kupeana majina mabaya kama ya usaliti, adui wa maendeleo, kutumika na ubeberu, udikteta , n.k. Hoja za pande zote ziheshimiwe na kuwekwa mezani. Ni muhimu...
  8. JamiiForums Tanzania Ushauri: Rais Samia na wapinzani, kubalini kuelewana kwenye hili la Katiba Mpya

    Facts - Ni wazi kuwa wapinzani (wa kweli), wanaharakati, CCM Zanzibar, CCM wapenda mabadiliko bara na watanzania wengi kwa ujumla wao wanataka mabadiliko ya katiba ili kuondoa changamoto nyingi za kisheria na kiutawala zilizopo sasa. - Ni wazi kuwa wazanzibari wengi (Mh. Rais akiwemo)...
  9. B

    JamiiForums Tanzania Tuwatambue Wanaopotosha Ajenda kuhusu Katiba Mpya

    Kuna upotoshaji mkubwa dhidi ya hoja za wanaoitisha kurejelewa kwa mchakato wa kupatikana kwa katiba mpya. Mama wamemfanya kuamini kuwa hizo ni chokochoko. Katiba ni haki ya raia. Kudai katiba mpya dhidi ya iliyopo yenye mapungufu hakuwezi kuwa ni chokochoko. Hoja hupingwa kwa hoja. Katiba...
  10. J

    JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe ni bilionea pekee aliyebakia kwenye siasa za majukwaani. Je, atapigania Katiba Mpya hadi mwisho?

    Mabilionea wengine walishaachana na siasa za rejareja wakiwemo Rostam Aziz, Mo Dewji, Yusuf Manji na Mkono na sasa amebakia " MWAMBA" Freeman Mbowe wa Chadema. Je, Mwamba atatuvusha kwenye katiba mpya au atatuacha njiani? Nawasalimu kwa jina la JMT.
  11. K

    JamiiForums Tanzania Naweza nisiwe Nabii ila wanaopingana na ukombozi wa Tanzania (Katiba mpya) wataondoka na kusaulika siku si nyingi

    Yawezekana waliopewa nafasi nakutuongoza kwa haki nakupewa nafasi yakuweka misingi ya haki na utawala wa sheria nchini wanaamini Wana muda mrefu wakula salary,posho na kutembelea mashangingi kupitia Kodi zetu. Naamini Mwenyenzi Mungu alipowapa nafasi yakuosoma wakawa na mawazo mapana dhidi ya...
  12. JamiiForums Tanzania Awamu ya 5 na woga wa Katiba Mpya

    Binafsi sitashangaa kuona Rais Samia hayuko tayari kuanzisha mchakato wa katiba mpya kutoka na jinsi Serikali ya awamu ya 5 pamoja na ilani yake ya 2015 Kuwa na ajenda ya katiba lakini haikutaka kabisa kuitekeleza kwa kuwa na visingizio kibao kutoka kwa Magufuli kama Rais na mama samia kama...
  13. T

    JamiiForums Tanzania Hoja ya Katiba Mpya inawapotezea muda wapinzani. Mbona yapo mengi yanayoeleweka kirahisi!

    Kwa nijuavyo mimi siasa ni mchezo wa kusoma vizuri alama za nyakati, tangu wanasiasa wakomavu hata wachanga hutafuta mambo mazito na magumu anayokabiliana nayo mwananchi siku kwa siku. Hayo mambo ndiyo hutangulizwa mbele kuwa chambo cha kampeni yoyote mnayopiga. Nakumbuka kwa mfano CHADEMA...
  14. M

    JamiiForums Tanzania CHADEMA inafanya kosa la msingi kutenganisha madai ya Katiba Mpya na Tume Huru ya Uchaguzi

    Nimewasikiliza viongozi wa CHADEMA, wamefungua battle mbili katika madai yao, Battle ya kwanza ni tume huru ya uchaguzi, na battle ya pili ni katiba mpya. Kisha wamegawana majukumu, Baraza la Wanawake wamewapa jukumu la kupigania Tume huru ya uchaguzi, Baraza la vijana wamewapa jukumu la...
  15. JamiiForums Tanzania Katiba Mpya ni kete kwenye ilani ya CHADEMA 2025

    KATIBA MPYA NI KETE KWENYE ILANI YA CHADEMA 2025. Leo 09:15hrs 07/07/2021 Je CCM itakuja na agenda hii kwenye ilani ya kutafutia kura? Je tumeutafakari uzuri na ubaya wa katibs tuliyonayo!? Je tumeshatafakari uzuri na ubaya wa katiba Mpya tunayoitaka!? Katiba tuliyonayo haikutuvusha wakati wa...
  16. P

    JamiiForums Tanzania Tuanze na hoja ya kuondoa kinga kwa mihimili yote

    Kwa mfumo uliopo in ngumu kupata katiba mpya na bora kabisa kama hatutakuwa na ajenda ya kwanza kupeleka mswada wa dharula bungeni kuondoa vipengele vya KINGA. KINGA zikiondolewa hata hii katiba iliyopo itaheshimika.
  17. JamiiForums Tanzania Case study kuhusiana na mjadala wa Katiba Mpya

    Hoja: la muhimu zaidi ni heshima kwa sheria, na kwa vile Katiba ni sheria mama, basi heshima husika iwe kwenye sheria zilizomo kwenye katiba. Hali ilivyo sasa: ni kweli katiba iliyopo ina mapungufu mengi. Na ni kweli kuwa mapungufu hayo yanaathiri maeneo mbalimbali hususan haki za...
  18. JamiiForums Tanzania Msijidanganye na Katiba mpya, Dikteta huwa haangalii Katiba, Nyote mtaufyata

    Jambo la msingi ni kutengeneza kwanza watu waadilifu na taaisis zilizo imara kabla ya hiyo katiba yenyewe, kwasababu hata Katiba iwe nzuri kiasi gani tukija kupata Rais Dikteta ataikanyaga na mtaufyata mkia. Rais Samia endelea kupiga kazi usiguse kabisa mambo ya Katiba hadi utapopata muhula wa...
  19. JamiiForums Tanzania Katiba Mpya na hatma ya Taifa letu

    Siku moja nikiwa kijiweni kwetu na vijana wenzangu tukipiga stori mbili-tatu asubuhi. Mwenzetu mmoja ambaye ni fundi wa bajaji aliniuliza swali lililofanya nifike mbali sana kuhusu hali za mataifa yetu ya kiAfrika, huku nikimshukuru Mungu kwa hali ambayo bado tunayo Tanzania kama Taifa. Jamaa...
  20. JamiiForums Tanzania Katiba Mpya

    Hivi sisi wanachi tunaulazima wa kudai katiba mpya ili hali wanasiasa washaanza kurumbana?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…