katiba mpya

  1. JamiiForums Tanzania CCM tukikubaliana na haya, 2025 tumekwisha na tusahau kabisa kutawala tena

    Mnajua ndugu zangu wanaccm na msiokua wanaccm kuna mambo tusipoyasema ipo siku uhalisia utatuumbua, sioni haja ya kuficha nikiwa kama mtumishi mwema wa chama na raia mzalendowa taifa langu. Haya mambo tukiyaruhusu 2025 basi ndio mwisho wetu na tusahau tena dola. 1. Serikali ikiruhusu kuundwa...
  2. N

    JamiiForums Tanzania Siku watanzania wakijua umuhimu wa Katiba Mpya nini kitatokea?

    Wakuuu najaribu kuwaza kwa mapana, Tanzania tunatumia KATIBA ya mwaka 1977 na huu ni mwaka 2021. Malalamiko ni mengi mno kutokana na KATIBA ya OVYO. Je, Watanzania siku wakifahamu hili suala ni muhimu nini kitatokea na ni lini watafahamu?
  3. JamiiForums Tanzania Mtazamo wa Kipanya juu ya mapambano ya kupata Katiba Mpya

    Msanii Kipanya ameamua kujikita kwenye kuwapigania kimawazo Watanzania. Leo hii ameibuka na mustakabali wa mapambano ya kuhitaji katiba mpya baada ya kiongozi wa mpambano huo kufunguliwa mashitaka mahakamani. Tazameni hiyo picha hapa chini ili kwa wenye uelewa zaidi wa habari picha mtupashe zaidi.
  4. JamiiForums Tanzania New song: Rais wa kitaa wa Ney wa mitego

    Ney wa mitego kajitahidi sana hii nyimbo ina ujumbe mzuri kaongelea habari za tozo,wabunge 19,katiba mpya ,hizi ndio nyimbo sasa sio kila saa mapenzi tu wakati nchi ina matatizo kibao. Nimeipenda sana twendeni youtube sasa.
  5. S

    JamiiForums Tanzania Umuhimu wa Tume huru ya uchaguzi na Katiba mpya.

    haya ya Hamza ,Denmark na tozo na miamala ni katika harakati za CCM kutaka kutawala maisha nchi hii,hivyo nyumbu hawa CCM wanajaribu kupanga kila mipango ili wavuruge na kuzihamisha akili za watanzania wanaoanza kushika kasi katika kutaka uchaguzi wa nchi hizi mbili Tanganyika na Zanzibar...
  6. JamiiForums Tanzania Katiba Mpya (polls)

    Tafiti ni muhimu katika maisha yetu ya kila siku pengine ndiyo huchukua nafasi muhimu ya maamuzi katika maisha yetu. Leo, binafsi ningependa kujua takwa/dai la katiba liko kwa kiwango kipi ndani ya mioyo yetu wadau wa jamiiforums, ningependa tutumie thread hii pia kubainisha mambo mbalimbali...
  7. JamiiForums Tanzania Kama hamtaki Katiba mpya kwasasa, basi ruhusuni CCM isimame kwa miguu yake nyakati za uchaguzi

    Hizo organs nilizozitaja hapo juu; Majeshi Vyombo vya usalama Deep state Ambavyo kimsingi nikama nimetaja kitu kilekile ukiangalia JICHO la haraka nawaomba ombi lifuatalo. Kama mnaona hampo tayari kwasasa kuwa na katiba mpya Basi angalau ukifika uchaguzi mkuu muiache ccm ijitete yenyewe nyie...
  8. JamiiForums Tanzania Kuenzi jitihada za kudai katiba mpya za kamanda Mbowe, makongamno yendelee nchi nzima

    Dawa ya moto ni moto, ili katiba mpya ipatikane basi ni mwendo wa makongamano uanze. Kama lile la Mwanza liliwatetemesha na kukubali matokeo basi tujipange kama chama tuanzishe makongamano tena. My take: Hakuna kubaki nyuma na kurudi nyuma. Mbele kwa mbele kudai katiba mpya.
  9. B

    JamiiForums Tanzania CHADEMA: Bila kuwapa Makavu hakuna Katiba Mpya

    Ni wazi kuwa kupata katiba mpya hakuwezi kuwa kwa lelemama. Ni wazi kuwa uwepo wa wahafidhina wenye maslahi na katiba iliyopo ndiyo kilicho kikwazo pekee. Ni wazi kuwa wenye uthubutu wa kuzisukuma mbele jitihada hizi takatifu za kuwafanya wahafidhina hawa kusikia ni Chadema. Ni wazi kuwa...
  10. JamiiForums Tanzania Si Matakwa ya watawala kutuletea katiba mpya. Ni maagizo ya Wananchi

    Si kazi ya watawala kuleta katiba ya wananchi, labda atokee mtawala mmoja akawa ni mwenye kutumia busara na hekima za kupitiliza kitu ambacho Afrika hakipo kabisa. Katiba mpya nyingi Afrika ni matokeo ya matukio mabaya ndio watawala huona na kukubali yaishe. Je, tunataka kwenda huko tulikozoea...
  11. B

    JamiiForums Tanzania Tutambuane, nani ni nani katika kudai Katiba mpya

    Madai ya kupata katiba mpya ni mapambano ya haki ambayo hayawezi kukamilika bila ya kupata katiba nyingine tofauti na iliyopo. Mwenyekiti Mbowe na baadhi ya wapiganaji (Mola awafanyie wepesi) tayari wako mikononi mwa watesi wetu. Wao wametangulia na hakuna mpambanaji aliye salama. Pamoja na...
  12. JamiiForums Tanzania Thesis ya Mwigulu Nchemba phd

    Tasnifu ya Mh. Nchemba iliyompa phd pale UDSM
  13. Q

    JamiiForums Tanzania Mwananchi gani hataki Katiba Mpya? Tusisubiri ya Kenya

    Thursday August 19 2021 Na Daniel Mjema Vuguvugu la madai ya Katiba mpya limeanza kushika kasi, lakini katikati ya vuguvugu hilo kumejitokeza kundi ambalo linajaribu kuuaminisha umma kuwa hakuna mwananchi wa kawaida anayeihitaji isipokuwa ni wanasiasa. Kundi hilo limeamua kuvaa miwani myeusi...
  14. JamiiForums Tanzania Kinachoniuma mimi Mwananchi ni jasho langu kuwatajirisha wanasiasa

    Kinachoniuma mimi ni hela za jasho langu ndizo zinazowapa utajiri wanasiasa. Yaani mavazi ya raisi, safari za nje za raisi, magari ya wabunge na mishahara ya wabunge vyote ni jasho la wananchi. Lakini kama hiyo haitoshi, tumeongezewa kodi na tozo nyingine ambazo nazo zitaliwa na wanasiasa...
  15. B

    JamiiForums Tanzania Prof. Mahalu apinga suala la Katiba Mpya

    Katika mahojiano yake na Shirika la utangazaji Tanzania (TBC) kipindi cha mizani ya kisiasa, wakat akichangia Professor COSTA MAHALU alieleza kuwa suala la Katiba linaweza kuwa si la muhimu kutokana na wananchi walio wengi kutokuwa na ufahamu juu ya KATIBA, ambapo alieleza kuwa "Kati ya...
  16. J

    JamiiForums Tanzania Vyama vya upinzani vyataka mchakato wa Katiba mpya uanzie pale ulipoishia kwenye BMK ili kuokoa fedha na muda

    Vyama vya siasa visivyo na wabunge vimeitaka serikali kuendeleza mchakato wa katiba mpya kuanzia pale ulipoishia yaani kwenye Katiba pendekezwa. Hii itaokoa fedha na muda, wamesema!
  17. B

    JamiiForums Tanzania Kuelekea Makongamano ya kudai Katiba Mpya, Haki za Msingi ziheshimiwe

    Kudai haki za msingi za yeyote ni masuala yasiyo hitaji ridhaa za asiyehusika na hasa mlalamikiwa. Haki za msingi kwa mlalamikaji haziwezi kutegemea ukubali wa mlalamikiwa. Mlalamikaji na ategemee machungu kamili kutoka kwa mlalamikiwa, ujira wa kutokuchoka kwake ni kupatikana kwa haki husika...
  18. JamiiForums Tanzania Makongamano ya Katiba Mpya na Tume Huru ya Uchaguzi kuendelea kuvurumishwa nchi nzima. Kituo kinachofuata ni Mkoa wa Mara

    Taasisi bora kabisa ya vijana barani Africa , na ambayo taarifa zinaonyesha kwamba pia inashika nafasi ya 3 kwa ubora wa Taasisi za Vijana duniani , BAVICHA , imetangaza kuendelea tena kwa Makongamano ya ndani ya kuhamamisha upatikanaji wa Katiba mpya na Tume Huru ya Uchaguzi Kwa mujibu wa...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Askofu Renatus Nkwande asikitishwa na uongo wa Polisi kuhusu wana CHADEMA waliokamatwa ndani ya Kanisa

    Mpaka sasa hivi tunaendelea kushughulikia sakata la kukamatwa kwa viongozi na wanachama wa CHADEMA walipokuwa kwenye misa jana Kawekamo, Mwanza. Waliopo mahabusu ni katibu wa kanda ya Victoria, Mwenyekiti wa Ilemela, katibu wa Nyamagana na wanachama wengine jumla yao ni 20. OCD asubuhi ya leo...
  20. S

    JamiiForums Tanzania Kati ya Katiba Mpya na Tume Huru ya Uchaguzi kipi kianze?

    Vyama vya upinzani nchini Tanzania kwa kipindi kirefu vimekuwa na madai mbalimbali yanayousiana na suala zima la chaguzi za kisiasa , madai haya yamekuwa yakibadilika badilika kulingana na serikali iliyopo madarakani. Hapo awali kulikuwa na vuguvugu kubwa la kudai tume huru ya uchaguzi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…