katiba mpya

  1. JamiiForums Tanzania Kwa mambo ambayo nayajua huku jikoni, hata reform na katiba Mpya vipatikane bado nisingethubutu kupiga kura

    Huwa nikiwaangalia Watanzania unabaki kucheka , kwakuwa wanaamini Tanzania kuna wanasiasa wa kuwapambania dhidi ya umasikini wao jibu ni hapana. Vyama vyote vinafanya Kazi chini ya watu wale wale wa Ccm. Ndo maana mwaka 2015-2020 Magufuli alivyo noticed huo ujinga alipanic na akatamani...
  2. J

    JamiiForums Tanzania Kwa mwenendo huu!! Kweli tunahitaji bunge la wawakililishi na bunge la maseneta

    Wana bodi sasa ifike Mwisho!! Nchi inapaswa kubadilika katika mfumo wa bunge ili kuwe na watu mahiri na werevu na wenye elimu ya kung’amua mambo mazito ya kuendesha Nchi. Sikatai Wananchi kumchagua mgombea kama Baba level, Msukuma na wengine kama akina Tabasamu na Shigongo kuwa wawakilishi...
  3. JamiiForums Tanzania Wakati JPM akipondaponda demokrasia, hii ndiyo shughuli aliyokuwa akifanya Polepole, aliisahau katiba mpya, atakumbukwa kwa kusifia "vieitee"

    Alikuwa Katibu Mwenezi wa CCM aliyetumia muda mwingi kufanya mambo yasiyoeleweka. Alikuwa anakata mauno mbele ya watu, badala ya kuongelea wakulima, wafugaji au katiba mpya.
  4. JamiiForums Tanzania GE2025 Mgombea Urais wa NCCR-Mageuzi, Haji Ambar Khamis aahidi Katiba mpya ndani ya siku 100

    Mgombea Urais wa Tanzania kupitia tiketi ya Chama NCCR- Mageuzi, Haji Ambar Khamis akiwa ameambatana na Mgombea mwenza, Everylin Munisi, amechukua fomu ya Urais katika Tume Huru ya Uchaguzi Jijini Dodoma leo August 15, 2025 huku akiahidi kuwa endapo Watanzania watamchagua kuwa Rais atahakikisha...
  5. JamiiForums Tanzania GE2025 Meza zinageuka sana: Kipindi cha Magufuli Mtandao walitamani ziwepo Reform za Katiba, sasa Mtandao wameshika hatamu Sukuma Gang wanahubiri Reforms!

    Mwaka 2016 hadi 2020 wakati wana Mtandao wanashughulikiwa vilivyo na Sukuma Gang walianza kuona umuhimu wa kuwa na Mchakato wa Katiba Mpya ili kuwabana Viongozi wasitumie madaraka yao vibaya. Kipindi kicho Sukuma Gang walikuwa na msemo eti Katiba haileti ugali mezani. Sasaivi Sukuma gang...
  6. JamiiForums Tanzania Mh Polepole asema , Mzee Wasira akiiwakikisha CCM alitumika kuvuruga kabisa Mchakato wa Katiba Mpya !!.

    Kwa kuanzia Mh Polepole amehoji, Ilikuaje Wassira akajinasibu mbele ya Vyombo vya habari kua Alikua yeye ndio atakua Makamo Mwenyekiti??. Sasa mnaweza kuunganisha Doti Doti !!!.
  7. H

    JamiiForums Tanzania Magufuli aliwaogopa wanamtandao kutengeneza Katiba Mpya

    Polepole leo amesema kuwa wakati wa utawala wa Magufuli, yeye alikuwa akitumika kama mtu wa kati, baina ya Magufuli na Warioba, na kati ya Magufuli na Mkapa. Akaeleza kuwa kila mara Warioba alimkumbusha juu ya katiba mpya, naye aliupeleka ujumbe huo kwa Magufuli. Magufuli alimwambia kuwa ni...
  8. JamiiForums Tanzania Mlikataa Katiba Mpya Ingelikuwa Na Mgombea Binafsi Ikawa Dawa Ya Kelele Nyakati Kama Hizi

    Kwa miaka mingi sasa, kila msimu wa uchaguzi unapokaribia nchini Tanzania, huambatana na kelele, malalamiko, na misuguano isiyoisha kutoka kwa wanachama wa vyama vya siasa haswa CCM, tena wale wanaokatwa kugombea. Ni hali inayorudiwa kila wakati watu wanasema wameonewa, wameenguliwa kwa...
  9. K

    JamiiForums Tanzania Katiba mpya itoe lazimisho la wagombea wenza kutoka pande nyingine ya muungano

    Kama sisi ni nchi moja kwanini tunaweka sheria za kibaguzi. Tuka uhuru sasa Zanzibar kuna wabara na bara kuna wanzanzibari sasa kuna sababu gani ya kulazimisha mgombea Uraisi kuchagua mgombea mwenza kutoka upande fulani!. Je ina maana bado tuna ubaguzi wa Muungano mpaka leo. Je sio wakati wa...
  10. JamiiForums Tanzania Angetulia, nahisi angekumbukwa na wengi kwa kutuletea Katiba Mpya na zile 4R zake (kama angetimiza)

    Sioni sababu ya kuwasalimia kinafki wakati maisha yamekuwa magumu sana. Hakuna haki wala hakuna uhuru wa kukosoa wala wakujieleza. Hivi kwani angepungukiwa na nini kama angetuachia katiba mpya,wakati hakuwa na deni lolote akiwa kama ndiye top kwa kukaimu nafasi ambayo hana deni nayo kwa...
  11. JamiiForums Tanzania Kwanini Katiba pendekezwa ya Warioba haikupigiwa kura za maoni wala kurejewa mpaka leo hii?

    Watu wazima wote wenye vichwa vizuri vya kufuatilia masuala muhimu ya nchi yao(ukiondoa genZ) watakumbuka tuliwahi kuwa na mchakato wa kupata katiba mpya. Mpaka tukawa na bunge maalumu la katiba lakini katika hali isyoeleweka mchakato ukaishia njia na katiba mpya ikaota mbawa, mpaka leo wengi...
  12. JamiiForums Tanzania Dira Mpya 2050 ambayo imekaa KiCCM ambayo hailindwi na KATIBA MPYA !!

    Dira ambayo hailindwi na KATIBA ni sawa na janjajanja tu !!. Kila siku CAG report yake itaonyesha Madudu na Ufisadi mkubwa, na hamna ambaye atachukuliwa hatua !! Uzembe, Uvivu, Ufisadi , matumizi mabaya ya Ofisi na Fedha za Umma yataendelea kushamili. Dira mpya ambayo Demokrasia Nchini...
  13. JamiiForums Tanzania Katiba mpya yaja kabla ya 2030, ongezeni ukomavu wenu tu

    Huyu mama ameshajua wapi panavuja kwenye Katiba yetu, kama Rais mwanamke lazima hataacha kero ya Katiba hivihivi. Kinachotakiwa ni watanzania kumpa moyo, utulivu na mazingira ya kuandika katiba mpya kabla hajamaliza kipindi chake. Kuna mazingira yanaweza kusababisha hata Rais mpole awe mkali na...
  14. JamiiForums Tanzania Dira ya taifa ya maendeleo 2050 bila Haki, Demokrasia na Katiba mpya ni uchafu mtupu

    Haijarishi tutakuwa na mipango ya namna gani au dira ya namna gani, kama mifumo ya nchi yetu itaendelea kuminya haki za watu, kuua Demokrasia na kuwepo kwa katiba hii ya sasa ambayo ni mbovu kupita maelezo, dira ya maendeleo ya taifa ya 2050 itabakia kuwa ni UCHAFU mtupu. Watanzania wa sasa...
  15. JamiiForums Tanzania Kwanini mchakato wa Katiba mpya umekuwa ukisuasua licha ya kuwa ni moja ya mada kuu za kisiasa nchini Tanzania?

    1, Ni mambo gani ambayo ni kikwazo kwa utekelezaji wa mchakato wa katiba mpya kwa Taifa letu Tanzania? 👉 Ukosefu wa nia ya kisiasa kutoka kwa viongozi wa juu 👉, Ukosefu wa fedha za kufanikisha mchakato huo 👉Upinzani kutoka kwa vyama vya siasa vya upinzani 👉Shinikizo kutoka kwa jumuiya za...
  16. JamiiForums Tanzania Rais Samia na Jeshi la Polisi, hawataki Waumini wa Ufufuo na Uzima wamwabudu Mungu, Hata Leo ,Walituma Askari Polisi kwenda Kuzuia Ibada ya Waumini

    Video hii hapa Wakuu !. https://youtu.be/zwQUrn544As?si=5x4Ui0D4tQBilTOt
  17. S

    JamiiForums Tanzania Utabiri: Raisi Samia akirudi madarakani, Lissu na viongozi wenzake wa CHADEMA wataalikwa Ikulu kujadili Katiba mpya kwani hana namna

    Niwaambie tu hiki ndicho kitachokwenda kutokea baada ya uchaguzi na Mama kurudi madarani japo kiuhalisia hatuna uchaguzi na CCM wanafahamu hivyo. Kwa sasa, CCM wanajikaza tu kuendelea na huu mchakato wa uchaguzi ila ukweli ni kwamba hata wao nafsi zinawusuta na hawana amani katika mioyo yao...
  18. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanaoilamu na kuizodoa Kenya ya katiba mpya hawaifahamu vizuri Kenya ya katiba ya zamani ya Jomo, Moi na Kibaki

    Kuna watu wachache wanapuyunga mtandaoni wakiitukana Kenya iliyo na katiba mpya huku wakisema bora wangebaki na katiba yao ya zamani tu . Hawa ni watu wajinga wasioifahamu vizuri Kenya ya Jomo Kenyatta na Daniel Arap Moi. Hawa watu wanapaswa kujua kuhusu mauaji ya Kisimu ya mwaka 1969 ya zaidi...
  19. JamiiForums Tanzania GE2025 "Tutalinda Kura 2025" — Lakini Kwa Mfumo Huu? Hebu Tuache Kujidanganya

    Katika taifa ambalo mgombea kama Boniface Mwabukusi — sasa ni Rais wa TLS — anasimulia jinsi kura zake zilivyokusanywa, kupuuzwa, na mwisho kuchomwa moto huku akiambiwa “nenda ukalalamike popote,” mtu yeyote anayesema atalinda kura 2025 bila kutanguliza mabadiliko ya sheria na mfumo, ama...
  20. JamiiForums Tanzania Kesi ya Lissu imetufumbua macho, taifa letu linahitaji katiba mpya ambayo itaondoa madaraka makubwa aliyonayo rais wa JMT

    Jaji mkuu wa Tanzania anateuliwa na Rais wa JMT kwa namna hii unadhani mahakama itakuwa chombo huru! Dpp anateuliwa na Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania. Kwa vyovyote vile atapeleka watu mahakani ili kumfurahisha aliyemteua. Angalia hii kesi inavyoenda! Yaani mtu kafanya uhaini mbele ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…