askari
askari polisi
ccm
diwani
dola
halmashauri
hata
hawataki
ibada
jeshi
jeshi la polisi
katibakatibampya
kuzuia
kwenda
mpya
muhimu
mungu
polisi
rais
rais samia
samia
simu
uenyekiti
ufufuo na uzima
ushahidi
wanandoa
waumini
Niwaambie tu hiki ndicho kitachokwenda kutokea baada ya uchaguzi na Mama kurudi madarani japo kiuhalisia hatuna uchaguzi na CCM wanafahamu hivyo.
Kwa sasa, CCM wanajikaza tu kuendelea na huu mchakato wa uchaguzi ila ukweli ni kwamba hata wao nafsi zinawusuta na hawana amani katika mioyo yao...
Kuna watu wachache wanapuyunga mtandaoni wakiitukana Kenya iliyo na katiba mpya huku wakisema bora wangebaki na katiba yao ya zamani tu .
Hawa ni watu wajinga wasioifahamu vizuri Kenya ya Jomo Kenyatta na Daniel Arap Moi. Hawa watu wanapaswa kujua kuhusu mauaji ya Kisimu ya mwaka 1969 ya zaidi...
Katika taifa ambalo mgombea kama Boniface Mwabukusi — sasa ni Rais wa TLS — anasimulia jinsi kura zake zilivyokusanywa, kupuuzwa, na mwisho kuchomwa moto huku akiambiwa “nenda ukalalamike popote,” mtu yeyote anayesema atalinda kura 2025 bila kutanguliza mabadiliko ya sheria na mfumo, ama...
Jaji mkuu wa Tanzania anateuliwa na Rais wa JMT kwa namna hii unadhani mahakama itakuwa chombo huru!
Dpp anateuliwa na Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania. Kwa vyovyote vile atapeleka watu mahakani ili kumfurahisha aliyemteua.
Angalia hii kesi inavyoenda! Yaani mtu kafanya uhaini mbele ya...
Imagine, aliyekuwa MKURUGENZI wa Usimamizi wa UCHAGUZI kumbe ni kada wa CCM, all those days anasimamia uchaguzi mkuu in favor of CCM , and curently amechukua fomu to affirm.
Imagine, aliyekuwa Mkuu wa jeshi la polisi ambae tunaamini anapaswa kuwa independent entity anakula teuzi kuwa mkuu wa...
Siku tutakapokuja kuwa na katiba mpya kazi ya ubunge iwekewe vipengele vya kuifanya kuwa kazi ya heshima kulingana na hadhi yake na umuhimu katika nchi.
Mojawapo ya kipengele muhimu sana ni mgombea ubunge awe mkazi ameishi katika jimbo analogombea kwa kipindi cha kuridhisha(mfano angalau miaka...
Ni lazima tuweke standard kama taifa, haiwezekani wewe uwe mjumbe au mtumishi wa tume ya uchaguzi kwa ngazi yoyote ile halafu kesho na keshokutwa uende kwenye uchaguzi kugombea. Hiyo hapana. Tukatae. Iwekwe wazi kabisa, ukiamua kutumikia tume ya uchaguzi moja kwa moja ukose sifa zingine zote za...
Eti kwamba mchakato wa katiba mpya utaanza 2025 mpaka 2030. Ahadi hii iswapumbaze na kuacha kupam ania mabadiliko
CCM hawataki mabadiliko ya katiba maana wanajua tukiwa na katiba kama ilivyopendekezwa na Jaji warioba mwisho wao utafika
Ikumbukwe huko nyuma walishaahidi sanaa juu ya katiba...
Salaam!
Bunge halijavunjwa, limeahirishwa tu,
Sasa Nini kimelengwa hapo?
Ni kudhibiti wahamaji au ni mpango wa reforms kupata tume huru ya uchaguzi?
Karibuni 🙏
Ndugu zangu Watanzania,
Unaweza kuniita majina yote mabaya ,unaweza nitukana kwa matusi yoyote yale utakayo,unaweza niita lichawa au likupe ,unaweza nitemea hata mate,unaweza kunichukia kuliko hata shetani .
Lakini pamoja na hayo yoote napenda kuwaambieni ukweli mchungu kabisa ambao pengine...
Kwa Maslahi Mapana ya Taifa kwa sasa hakuna haja ya ku tick 2025 .kiuzalendo zaidi tunahitaji mabadiliko makubwa sana katika mfumo wa uchaguzi na katiba kwa ujumla.
Binafsi naamini kama Mama akikubali kwamba kwa sasa tunahitaji mabadiliko kwanini katika hii miaka miwili tukatafuta katiba Mpya...
Ndugu zangu Watanzania,
Watanzania tunapaswa Kubadilisha katiba ili Rais Samia apate nafasi ya kuendelea kuongoza Taifa letu hata baada ya kumaliza Muda wake 2030. Hii ni muhimu ili kulipa Taifa nafasi na fursa ya kutumia Maono yake makubwa katika kulipeleka Taifa mbele zaidi pamoja na...
Hivi mnadhani CCM hawataki mabadiliko? Aaahhh wapi!
Waliotengeneza ilani ya CCM waliona mbali, wameenda mbali si tu kurekebisha sheria za uchaguzi, CCM imeahidi kutupilia mbali katiba ya sasa na watakuja na katiba mpya! Acha kuhangaika na ka sheria kamoja ka uchaguzi, CCM wanatupa injini yote...
Waswahili husema sikio la kufa huwa halisikii dawa, na wakasema pia Kenge hadi damu zitoke masikioni na puani ndo asikie kipigo. Ni wazi kabisa viongozi wa CCM wamechanganyikiwa na bado hawaamini kuwa wananchi ndo wameshaliamsha hivo. Hapa tulipofika ni lazima mabadiliko katika tume ya uchaguzi...
Sasa Kwa CCM na Serikali yake zote zilizopita ni nani anaweza kusimama bila kuguswa na Sheria ??.
Ufisadi, Wizi, maumivu yaloletwa na CCM Kwa Wananchi miaka yote hiii, wanajua kabisa siku wakitoka Kwa Dola ,watawajibishwa !!.
Hivi Mafwele atakua wapi kuacha CHADEMA ICHUKUE Nchi?.
Akina...
Mratibu wa Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu (THRDC) Onesmo Ole Ngurumwa amesema wao kama asasi za kiraia kila uchaguzi wamekuwa wakiandaa ajenda za wananchi kupitia ilani ya asasi za kiraia na kukabidhi kwa vyama vya siasa kabla hawajaandaa ilani zao.
Ngurumwa amesema kuwa Ilani ya...
Swala la katiba Mpya lilianza kupigiwa kelele na kupamba moto toka enzi za Kikwete akaingia magufuli naye akasema yupo kwenye mchakato wa kukamilisha, Mzee Magufuli alahudumu miaka yake 5 akaaga Dunia, jambo hilo halikukamilika, badae akaingia Samia kwa Tiketi ya Magufuli akapalilia pale pale...
Wakuu,
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dkt. Samia Suluhu akishiriki Mkutano Mkuu Chama cha Mapinduzi CCM siku ya pili Ukumbi wa Jakaya Kikwete Convention Centre Dodoma, leo tarehe 30 Mei, 2025.
Soma hapa Ilani > Ilani ya CCM 2025-2030
https://www.youtube.com/watch?v=yXnzuEg-DLk...
Kwasababu sasa nchi ishakuwa na inequality, watu wachache wanakandamiza wengi, katiba mbovu, ufisadi wa kuwanufaisha watu wachache wa CCM, Kutumia dola kuumiza raia, utawala wa kiimla, kujiweka madarakani, hii Tanzania sasa imekuwa ni nchi ya kikundi cha watu wachache. Na kwasababu wameshikilia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.