kati

Kati is an urban commune and the largest town in Mali's Koulikoro Region. The town is situated 15 km northwest of Bamako, Mali's capital, on the Dakar-Niger Railway. In the 2009 census, the commune had a population of 114,983.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Amerika angestahili kumaliza mgogoro kati ya Ukraine na Russia, na kuisaidia Ukraine.

    Toka kiongozi mpya wa Marekani aingie madarakani, ameonyesha ulafi wa rasilimali za nchi zingine / Lakini si kwa namna hii. ---------- The White House says Pres. Trump is "very frustrated" with Ukrainian Pres. Zelenskyy. The Trump administration allegedly pressured Ukraine to sign a deal to...
  2. JamiiForums Tanzania Jua tofauti kati ya scannia toleo la G420 na scannia L119

    Tofauti kati ya Scania G420 na Scania 119 inahusiana na mifano tofauti za magari ya lori yanayotengenezwa na kampuni ya Scania. Scania hutengeneza magari ya lori, mabasi, na magari ya kibiashara, na mifano hii inatofautiana kwa nguvu ya injini, matumizi, na vipengele vingine. Hapa chini ni...
  3. B

    JamiiForums Tanzania Vyuo vya kati vya Afya

    Wapendwa habari ya uzima wetu. Samahani naomba msaada Nahitaji kufanya maombi ya nafasi kwa vyuo vya afya vya kati lakini sielewi dirisha linafunguliwa lini. Tafadhali naomba msaada kwa aliyewahi kufanya maombi vyuo vya afya vya kati maombi yanafanyika lini na kwa utaratibu gani?? Nisaidieni wandugu
  4. JamiiForums Tanzania Nini tofauti kati ya X-Ray, CT Scan, MRI, na zaidi

    ? 1) X-rays hutumia mionzi ya umeme kutoa picha za mifupa na miundo mikavu ndani ya mwili. Kawaida hutumiwa kugundua mavunjo, maambukizo, vimbe, na matatizo mengine. X-rays ni za haraka, bei nafuu, na zinapatikana kwa urahisi. 2) CT scans hutumia X-rays pamoja na usindikaji wa kompyuta wa hali...
  5. JamiiForums Tanzania Hii tabia ya binadamu kuamka kati ya saa nane usiku hadi saa kumi huwa ina maana gani?

    Nimekuwa na tabia hiyi hata kama nikalala saa 7 usiku ila ukifika kwenye hayo masaa hata kama nilikuwa nimechoka au kuwa na usingizi mzito ukifika huo muda ni lazima nitastuka iwe kwa kwa kupenda au kutopenda Nimejalibu uliza baadhi ya viongozi wa dini wananiambia Mungu anakuamsha umuombe...
  6. JamiiForums Tanzania Tumalize ubishi wa miamba hii ya muziki nchini kati ya Chidumule, Bitchuka na hayati TX Moshi, nani alikuwa mtunzi na muimbaji mzuri?

    Swali langu ni hilo wakuu, japo kwa upande wangu nilimkubali na nitaendelea kumkubali sana mzee Hassan Rehani Bitchuka. Wewe je unakubaliana na huyo huyo wa kwangu? Au Cosmos Chidumule? Au hayati Tx Moshi?
  7. M

    JamiiForums Tanzania Wakuu nisomee mtambo gani nini kati ya TOWER CRANE au MOBILE CRANE?

    Wakuu nimemaliza chuo kikuu mwaka Jana, Nimepambana kwenye kazi za ujenzi za Mtaani nimeweza kupata pesa kiasi cha laki nane[800,000 Tsh] tu. Sasa nimekuja hapa mnipe ushauri nikasomee mtambo gani kati ya TOWER CRANE au MOBILE CRANE na upi kati hiyo kupata kazi inaweza kuwa rahisi au ina uwanda...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Nisome mtambo gani kati ya TOWER CRANE au MOBILE CRANE wakuu?.

    Wakuu nimemaliza chuo kikuu mwaka Jana, Nimepambana kwenye kazi za ujenzi za Mtaani nimeweza kupata pesa kiasi cha laki nane[800,000 Tsh] tu. Sasa nimekuja hapa mnipe ushauri nikasomee mtambo gani kati ya TOWER CRANE au MOBILE CRANE na upi kati hiyo kupata kazi inaweza kuwa rahisi au ina uwanda...
  9. JamiiForums Tanzania Ipi rahisi, nafuu na salama zaidi kati ya kununua gari showrooms na kuagiza kutoka ng'ambo?

    Hebu mshauri mTanzania huyu anaekusudia kununua usafiri wake wa gari dogo sasa hivi. Ipi njia rahisi kwake kununua gari kwa urahisi, kwa unafuu wa fedha na muda na kwa usalama zaidi kati ya kuagiza kutoka ng'ambo na kwenda kuchagua tu sehemu mbalimbali yanapuuzwa magari nchini? Kwa niaba ya...
  10. JamiiForums Tanzania Tanzania inasimama na nani katika mchuano wa mwenyekiti wa kamisheni ya Umoja wa Africa(AU) kati ya SADC na Africa Mashariki(EAC)?

    SADC imewataka wanchama wake wote kumuunga mkono mgombea wa anayetoka Madagascar lakini upande Africa Mashariki yupo Raila Odinga. Hapa Tanzania inapigaje ikiwa mwanachama wa jumuiya zote mbili?!
  11. Z

    JamiiForums Tanzania Watumishi mizigo maofisini unatokana na mahusiano ya kingono kati ya mabosi na walio chini yao.

    Utafiti uliotolewa na kuonyesha kuwa 40% ya watumishi wa umma ni mizigo, kwa maana wengi ni wavivu, wazembe na hawatimizi wajibu wao ipasavyo, naunga mkono utafiti huo kwa 100% Chanzo kikuu ni hiki hapa;- 1. Mahusiano ya kingono kati ya mabosi/viongozi na wanao ongozwa......hiki ndio chanzo...
  12. O

    JamiiForums Tanzania Kuna uhusiano gani kati ya kula pesa ya serikali na kunenepa ovyo

    Samaleykum, Hawa jamaa zetu hasa wa umri wa kuanzia 26 mpaka 35, hiyo miili mikubwa na mavitambi yasiyoeleweka mnavipata vipi haraka haraka, na ni juzi tu mmetoka shule mkiwa wembamba kama rula, yaani mtu mnafanya kazi sawa, dili za hapa na pale mnapiga wote fresh, lakin mwenzako anafutuka tu...
  13. S

    JamiiForums Tanzania Fursa za biashara Morogoro Mjini vs Ifakara Mjini

    Naomba kuuliza kati ya Morogoro Mjini na Ifakara wapi kuna fursa nyingi za biashara.?
  14. JamiiForums Tanzania Katika Kipindi cha kuanzia mwezi Julai hadi Desemba mwaka 2024 Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imekusanya Sh Trilioni 16.5 ambapo kati ya fedha hizo

    Katika Kipindi cha kuanzia mwezi Julai hadi Desemba mwaka 2024 Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imekusanya Sh Trilioni 16.5 ambapo kati ya fedha hizo, Trilioni 13 zilikusanywa katika Mkoa wa Dar es Salaam. Pakua Samia App kupitia Play Store au App Store. #samiaapp #kaziiendelee #tumejipatanamama
  15. JamiiForums Tanzania Umeme wakatika wakati mchezo kati ya Kagera sugar na Tabora utd ukiendelea!

    Katika hali ya kushangaza na kusikitisha, wachezaji wa Kagera sugar na Tabora utd wamejikuta wakipoteana na kupapasana katika giza nene mara baada ya taa zinazotumika katika dimba la Kaitaba kyzima ghafla! Ikumbukwe hii ni Ligi namba 6 kwa ubora barani Afrika! Je, Viwanja hivi havina standby...
  16. JamiiForums Tanzania Dkt. Ntuli Kaporogwe Kuwania Uongozi wa Jumuiya ya Afya ya Afrika Mashariki, Kati, na Kusini

    Mkurugenzi wa Huduma za Kinga kutoka Wizara ya Afya Tanzania Dkt. Ntuli Kaporogwe anatarajiwa kuipeperusha bendera ya Tanzania kwenye uchaguzi wa Mkurugenzi Mkuu wa Jumuiya ya Nchi za Afrika Mashariki, Kati, na Kusini (ECSA – HC). Uchaguzi huo unatarajiwa kufanyika leo Februari 11, 2025 kwenye...
  17. JamiiForums Tanzania TRA kuna fani hazipo kwenye job careers yenu nini mustakabali wake kwa wasomi wa Tanzania

    Ndugu .. Kama kichwa cha habari kinavyosema hapo, Kuna fani hazipo kwenye job careers ya TRA. Mustakabali wake ni upi zimekaaje na kwanini hazipo ,je fani zinazotolewa na vyuo vya Tanzania hazijulikani zote. Je, mamlaka mnatusaidiaje wasomi ili fani zetu zote ziwepo kwenye career ya TRA ili...
  18. JamiiForums Tanzania Hakuna Urafiki Kati ya Mwanamke na Mwanaume..

    Hakuna Urafiki Kati ya Mwanamke na Mwanaume.. Kama Mwanamke Wako Ana Rafiki Wa Kiume, Achana Naye.. Wanawake Kuna Kipindi Wanakua Wadhaifu na Wanalijua ili.. Siku Ukimkorofisha Anajua Ni Sehemu Gani Atapata Faraja. Atakazwa Tu. Huu Ndo Ukweli Wazee..
  19. JamiiForums Tanzania Hili ndio suluhisho la mgogoro wa Congo na Rwanda, kati ya Kagame na Tshisekedi

    Kuna machaguo mawili ambayo wahusika wenyewe watatakiwa kuchagua. Na ikishindikana kuchagua kwa maana wote wawili kutochagua chaguo lolote, au kila mmoja kuchagua tofauti na mwenzake, basi itapigwa kura ambapo viongozi wataoongoza mkutano huo ndio watapiga kura kuchagua chaguo moja ambalo...
  20. JamiiForums Tanzania UTOFAUTI KATI YA MASTER BEDROOM NA SELF BEDROOM

    UTOFAUTI KATI YA MASTER BEDROOM NA SELF BEDROOM. SELF BEDROOM Ina ukubwa ambao unaruhusu:- ✴️Kitanda cha futi 5 kuingia ✴️Meza moja na kiti kimoja au Viwili ✴️ Kabati la nguo Pia inakuwa na Choo chenye shower na system ya Choo Tu, na haina dressing room. Ukubwa wake Mdogo ni square metres 15...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…