Tofauti Kati ya GTX na RTX
Kama wewe ni mpenzi wa teknolojia, gamer, au unatafuta laptop yenye uwezo mkubwa, huenda umewahi kuona maneno GTX na RTX kwenye maelezo ya kompyuta.
Lakini, je, unajua tofauti kati ya hizi mbili? ni Upi🤔
Kwa ufupi zote ni aina za graphics cards kutoka kampuni maarufu...