katavi

The Katavi mouthbrooder (Haplochromis katavi) is a species of cichlid fish endemic to Tanzania where it is found in the Lake Rukwa drainage. This species can reach a length of 9.9 centimetres (3.9 in) TL.

View More On Wikipedia.org
  1. R

    JamiiForums Tanzania Mwanamke auliwa na mumewe akiwa usingizini chanzo mgogoro wa kifamilia, Katavi

    Mwanamke mmoja aliefahamika kwa jina la Getrude Silivesto miaka 38 mkazi wa kijiji cha Kaulolo Kata ya Nsekwa Wilaya ya Mlele Mkoa wa Katavi amefariki dunia kwa kuchomwa na kitu kinachosadikiwa kuwa na ncha kali sehemu ya mbele ya sikio la kushoto na upande wa shingoni Kamanda wa Polisi Mkoa wa...
  2. President of China

    JamiiForums Tanzania KATAVI: Ujenzi wa meli nne za mizigo bandari ya Karema, umeanza

    https://youtu.be/7aPJ1GP9HI4?si=3qPt-dgtRClDyksg Wabunge wanaotoka ukanda wa ziwa Tanganyika ikiwemo Katavi,Kigoma na Rukwa wakiongozwa na Naibu Waziri wa Uchukuzi David Kihenzile wamefanya ziara Mkoa wa Katavi katika Wilaya ya Tanganyika eneo la Bandari ya Karema, ambapo wametembelea na...
  3. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mwenyikiti CCM Katavi awaasa wananchi wasichague mtu anayetoa rushwa

    Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM mkoa wa Katavi Idd Kimanta amewataka wananchi kulinda amani kipindi cha uchaguzi ikiwanipamoja na kuchagua viongozi wanaofaa kuwatumikia kwa miaka mitano ijayo. Kimanta ameyasema hayo wakati akizungumza na wa umini wa dini ya kikristo alipokua akiongoza...
  4. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania KERO Ni lini Daraja la Milala Shongo lililopo Manispaa ya Mpanda litajengwa?

    Daraja la Milala Shongo lililopo Kijiji cha Milala, Manispaa ya Mpanda Mkoa wa Katavi ni tatizo sana kwetu Wananchi wa Milala. Sisi wakazi wa Milala tatizo hili limetuchosha kwa sababu limedumu kwa muda muda mrefu sana na kuwa kikwazo cha mawasiliano na kufanya shughuli zetu za kiuchumi...
  5. BigTall

    JamiiForums Tanzania TANESCO Mkoa wa Katavi mmepatwa na nini, mbona kila siku mnakata umeme ifikapo saa mbili kasoro usiku?

    Kero hii ya kukata umeme ifikapo saa mbili kasoro usiku kila siku katika mji ya Mpanda tumechoka kwani wala hatufahamu mnakata umeme kwa masirahi ya nani?. Jambo ambalo hatupendezwi nalo wala taarifa yoyote ile hamtoi kwa wakazi wa Mpanda na tunaona waziwazi hizi ni hujuma kwetu Wananchi wa...
  6. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 RC Katavi afuturisha, awahimiza wananchi kumuombea Rais Samia

    Wakuu, Lazima utafute namna ya kumsifia mama, la sivyo ugali utakata! :KEKLaugh: :KEKLaugh: === Mkuu wa mkoa wa Katavi Mwanamvua Mrindoko, amewataka wananchi kuendelea kumuombea na kumuunga mkono Rais Samia ili aendelee kitimiza maono ya kusogeza huduma bora za kijamii kwa wanakatavi na...
  7. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Katavi kuungwa kwenye gridi ya Taifa

    KATAVI KUUNGWA KWENYE GRIDI YA TAIFA Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) limeokoa kiasi cha Shilingi Bilioni 58.4 ambazo awali zilikuwa gharama zikitumika kwa mwaka kuzalisha umeme kwa mafuta ya dizeli Mkoani Kigoma. Shirika litaokoa kiasi cha shilingi bilioni 24.7 kwa kuunga Mkoa wa Katavi...
  8. Braza Kede

    JamiiForums Tanzania Wapi wanaongoza kwa ulozi kati ya Tabora, Kilimanjaro, Tanga, Katavi na Lindi?

    Haya maeneo yanasemwa sana kwa sayansi ya gizani aka ulozi aka ndumba aka mambo ya busara. Hivi hapa kwa kuwa-rank unafikiri nani watakuwa vinara zaidi ya wenzao? Je kuna waliosahaulika hapo?
  9. Dennis Robert Shughuru

    JamiiForums Tanzania Tanzania ivutie waekezaji wajenge smelter za copper zaidi ya 20 mikoa ya rukwa na katavi

    Copper inachimbwa kwa wingi sana DRC tokea mda sana ila cha ajabu kama nchi tumeshindwa kutumia hii nafasi ya kuitumia copper kwa manufaa ya nchi Ni wakati wa nchi kuvutia waekezaji waje wajenge smelter za copper Tanzania na uzuri wa smelter za copper unaweza tumia blast furnance kwenye...
  10. musicarlito

    JamiiForums Tanzania Ijue Rukwa na Katavi mikoa inayotia huruma kimaendeleo mtaji wa CCM

    Wasalaam Awali eneo lote hili lilikuwa mkoa mmoja mpaka hapo Katavi ilipotangazwa mkoa enzi ya utawala wa Kikwete Pinda akiwa waziri mkuu Kama umekulia Kilimanjaro...Mbeya ...Arusha...Dodoma bila kutaja Dar na Mwanza...ukienda mikoa hii unaweza kufikiri imeanzishwa hivi karibuni Ukiambiwa...
  11. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania TANROADS Katavi yalipa fidia ya Tsh. Bilioni 2.4 kupitisha ujenzi wa barabara ya kwenda Bandari ya Karema

    Zaidi ya fedha Bilioni 2.4 zinatolewa kwa Kaya 435 za Wilaya ya Tanganyika, Mkoa wa Katavi kwa ajili ya kupisha ujenzi wa barabara ya kiwango cha lami yenye urefu wa Kilometa 112 kutoka Kijiji cha Kagwira hadi Bandari ya Karema. Ujenzi wa barabara hiyo ya lami unatajwa kuwa kichochea cha...
  12. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Katavi kuunganisha nguvu kuleta usawa wa kijinsia siku ya maadhimisho ya wanawake Duniani

    Mkoa wa Katavi hii leo umezindua maadhimisho ya siku ya Wanawake ambayo ulimwenguni yatahitimishwa March 8, 2025 huku yakiangazia nyanja kuanzia mafanikio, changamoto na hata mustakabali wao, sio tu kwa wanawake bali pia wasichana. Kote mkoani humo, Taasisi za serikali na zisizo za serikali...
  13. M

    JamiiForums Tanzania DOKEZO KERO Kulikoni mbona Bohari ya Dawa (MSD) mmefunga Duka la Dawa - Mpanda? Tunaomba huduma irejeshwe

    Duka la Dawa la MSD Mpanda Mkoa wa Katavi linalomilikiwa na Bohari ya Dawa (MSD) sasa ni zaidi ya wiki moja limefungwa bila taarifa yoyote kwa Wananchi jambo ambalo imekuwa kero ambayo inasababisha kukosekana kwa dawa ambazo Wananchi tunalazimika kununua kwa bei nafuu. Kukosekana au kufungwa...
  14. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Katavi: Mganga Mkuu wa Wilaya asema wapo kwenye mchakato wa kuajiri Mhasibu wa Hospitali ya Wilaya ya Mlele

    Mganga Mkuu wa Halmashauri ya Wilaya ya Mlele, Mkoa wa Katavi, Dkt. Thadeus Makwanda ametoa ufafanuzi kuhusu hoja ya Mwanachama wa JamiiForums.com aliyeeleza kuwa Hospitali ya Wilaya ya Mlele Mkoa wa Katavi haina Mhasibu hali ambayo inaweza kusababisha upotevu wa fedha na kuwa Watumishi wasio na...
  15. N

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Responded Hospitali ya Wilaya ya Mlele – Katavi haina Mhasibu, watumishi wa kawaida ndio wanapokea fedha za Wagonjwa

    Tunaomba TAKUKURU ichunguze mapato ya Hospitali ya Wilaya ya Mlele Mkoa wa Katavi haina Mhasibu yoyote tangu ianzishwe na Mapato ya Hospitali yanakusanywa Jengo la Nje la Wagonjwa (OPD) na Wauguzi ambao sio taaluma yao katika ukusanyaji wa pesa ya Hospitali. Pia imeonekana na kusadikika kuwa...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti CHADEMA, Katavi: Kauli ya James Mbowe dhidi ya Lema inaashiria ukabila, ipingwe na kila mmoja anayependa ustawi wa demokrasia

    Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) mkoa wa Katavi Rhoda Kunchela ameeleza kusikitishwa na kauli iliyotolewa na Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa CHADEMA kutoka jimbo la Hai, mkoani Kilimanjaro James Mbowe dhidi ya aliyekuwa Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Kaskazini Godbless Lema...
  17. Rula ya Mafisadi

    JamiiForums Tanzania Rhoda Kunchela Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Katavi kuongea na wanahabari katika Hoteli ya Safina Makumbusho Dar

    === Baada ya ukimya wa muda mrefu hatimaye Mhe Rhoda Kunchela Mbunge pekee mstaafu wa kike wa CHADEMA aliyechaguliwa kuongoza chama ngazi ya mkoa ataongea na wanahabari kesho katika Hoteli ya Safina. Waandishi wa habari wote mnakaribushwa
  18. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Katavi: Wananchi Tanganyika walalamika kufyekewa mahindi hekari 60

    Baadhi ya Wananchi kijiji cha Kagunga Wilaya ya Tanganyika, Mkoa wa Katavi wamelalamika kufyekewa hekari 60 za mahindi jambo ambalo wamedai kuzorotesha ukuaji wa sekta kilimo na kujikwamua kiuchumi. Tukio hilo la kufyekewa mahindi limetokea hivi karibuni kutokana na kile kinachotajwa ni uvamizi...
  19. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Katavi: Mwanafunzi wa Darasa la Tatu ajinyonga kwa kukosa nguo mpya siku ya Sikukuu

    Mwanafunzi wa Darasa la Tatu katika Kijiji cha Uruwila, Wilaya ya Mpanda, Mkoa wa Katavi amejinyonga kwa kutumia sweta lake alipokuwa amelala chumbani kwake. Akitoa taarifa ya tukio hilo Januari 03. 2025, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Katavi, Kasta Ngonyani, amesema tukio hilo limetokea mnamo...
  20. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania RC Mrindoko wa Katavi aitaka jamii kuchukua tahadhari ya mlipuko wa Kipindupindu

    Mkuu wa mkoa wa Katavi Mwanamvua Mrindoko ametoa mwezi mmoja kwa Katibu Tawala wa mkoa pamoja na wakuu wa wilaya zote za mkoa wa Katavi kufanya ukaguzi wa kina kwenye maeneo ya biashara nakuchukua hatua za haraka Kuzuia magonjwa ya mlipuko ambayo tayari yameathiri maeneo mbalimbali ya mkoa wa...
Back
Top Bottom