kassim majaliwa

Kassim Majaliwa Majaliwa (born 22 December 1961) is a Tanzanian politician who has been Prime Minister of Tanzania since 2015. He was appointed by President John Magufuli after the 2015 general election. He is a member of the ruling Chama Cha Mapinduzi party and has been a Member of Parliament for Ruangwa constituency since 2010.

View More On Wikipedia.org
  1. JanguKamaJangu

    Kassim Majaliwa: Moyo wangu utulie niseme Magufuli alikuwa kiongozi Mzalendo

    Waziri Mkuu Mstaafu, Kassim Majaliwa, amesema Rais wa Awamu ya Tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Hayati Dkt. John Magufuli, alikuwa kiongozi mzalendo aliyejengwa katika misingi ya uwajibikaji, uaminifu, uadilifu, na upendo. Amesema Hayati Magufuli hakupenda mzaha katika kazi zake na...
  2. Mkalukungone Mwamba

    Rais Samia awateua Dkt. Mpango na Kassim Majaliwa kuwa washauri wake

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amefanya mabadiliko makubwa ya kimkakati katika safu ya washauri wake, akiwateua aliyekuwa Makamu wa Rais, Dkt. Philip Mpango, na aliyekuwa Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, kuwa Washauri wa Rais. Akizungumza leo, Januari 10, 2026...
  3. Ojuolegbha

    PostGE2025 Waziri Mkuu Mwigulu Nchemba akabidhiwa rasmi ofisi na waziri mkuu mstaafu Kassim Majaliwa

    DKT. MWIGULU AKABIDHIWA OFISI RASMI Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba leo Novemba 17, 2025 amekabidhiwa Ofisi na Waziri Mkuu Mstaafu Kassim Majaliwa, Mlimwa Jijini Dodoma Novemba 17, 2025. Viongozi waliohudhuria hafla ni pamoja na Naibu Waziri Mkuu Mstaafu Dkt. Doto Biteko, Makatibu...
  4. B

    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa afanya ziara ya kushtukiza Kivukoni kukagua hali ya usafiri wa mwendokasi

    02 September 2025 WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA ASHTUKIZA MWENDOKASI AZUNGUMZA NA WANANCHI Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amefanya ziara katika kutuo cha Mabasi yaendayo haraka (Mwendokasi) cha Kivukoni kilichopo Posta jijini Dar es Salaam kukagua hali ya usafiri na usafirishaji kupitia magari...
  5. Roving Journalist

    Kassim Majaliwa: Viwango vya udumavu na ukondevu vimepungua nchini

    WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa amesema kuwa kiwango cha udumavu miongoni mwa watoto walio chini ya umri wa miaka mitano nchini kimeshuka kutoka asilimia 48 mwaka 1992 hadi asilimia 30 mwaka 2022. Ameongeza kuwa, kiwango cha ukondefu miongoni mwa watoto walio chini ya miaka mitano kimepungua...
  6. Mkalukungone Mwamba

    GE2025 Samia: Majaliwa ataendelea kuwa msaidizi muhimu serikalini

    Mgombea Urais wa Tanzania kupitia CCM, Dkt. Samia Suluhu amewaahidi wananchi wa Ruangwa mkoani Lindi kwamba Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa ambaye pia ni Mbunge mstaafu wa Jimbo hilo, ataendelea kuwa msaidizi muhimu serikalini ikiwa ni kutambua na kuthamini mchango wake.
  7. Mkalukungone Mwamba

    GE2025 Majaliwa: Rais Samia ana nia thabiti kwa Watanzania

    Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amesema Watanzania wanayo sababu ya kumchagua Mgombea Urais wa Tanzania kupitia CCM, Dkt. Samia Suluhu kwakuwa nia yake ni thabiti kwa Watanzania.
  8. Waufukweni

    GE2025 Kassim Majaliwa: Najua umakini na nia thabiti ya Samia kwa Watanzania

    Waziri mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Majaliwa Kassim Majaliwa na Mbunge wa Ruangwa anayemaliza muda wake amesema kuwa anaifahamu Nia thabiti ya Dkt. Samia kwa watanzania na namna anavyotaka kuwaletea maendeleo. Majaliwa amesema hayo akiwa katika Mkutano wa Kampeni uliofanyika Ruangwa...
  9. Waufukweni

    GE2025 BAKWATA yampatia Rais Samia tuzo maalum ya Mufti Tanzania

    Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA) limeipa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan tuzo maalum ya Mufti Tanzania, ambayo iliwasilishwa na kupokelewa na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa kwa niaba ya Rais, tarehe 20 Septemba 2025. Mufti na Sheikh Mkuu wa Tanzania amkabidhi tuzo hii Samia, akitambua...
  10. K

    Kuna mtu anamwelewa Kassim Majaliwa

    Hivi kuna mtu anamwelewa Kassim Majaliwa. Ametaka kugombea akakatazwa ! Je kazuiwa na wanamitandao. Kwanini hajawahi kuunga mkono kukemea mambo machafu ya utekaji, unyanyasaji unao endelea ? Je anasusia? Ni Mzalendo au kazidiwa na wanamitandao?
  11. Just Pray

    SI KWELI PreGE2025 Waziri mkuu Kassim Majaliwa ataongea na wanahabari kueleza hatima yake ya kisiasa na uchaguzi mkuu 2025

  12. JanguKamaJangu

    Kassim Majaliwa: Tuhakikishe vijana wanapata mafunzo ya ufundi stadi

    WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa, ametoa wito kwa wazazi na walezi kote nchini kuhakikisha wanawapeleka vijana wao kupata mafunzo ya ufundi stadi yanayoratibiwa na Chuo cha Ufundi Stadi (VETA) pamoja na Ofisi ya Waziri Mkuu ili kuwawezesha kupata ujuzi utakaowasaidia kujiajiri na kuchangia maendeleo...
  13. JanguKamaJangu

    Kassim Majaliwa: ACTIF2025 itoe majibu ya changamoto za kibiashara na uwekezaji

    WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema kuwa Jukwaa la Nne la Biashara na Uwekezaji kati ya Afrika na Karibiani (ACTIF) linapaswa kuja na majibu ya changamoto za kibiashara na uwekezaji zinazoyakabili mataifa ya Afrika na yale ya eneo la Karibiani. Amesema kuwa changamoto hizo zinapaswa kujadiliwa...
  14. Roving Journalist

    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa kufungua CHAN 2024 Kwa Mkapa. Angalia Msigwa na Mwijaku walivyotoa burudani

    Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika ufunguzi wa mashindano ya CHAN 2024, yanayotarajiwa kuanza rasmi Agosti 02, 2025 katika Uwanja wa Benjamin Mkapa Dar es Salaam. Amebainisha hayo Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni...
  15. Roving Journalist

    Kassim Majaliwa atembelea Ubalozi wa Tanzania, Muungano wa Falme za Kiarabu (UAE) uliopo Abudhabi

    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Julai 25, 2025 ametembelea ubalozi wa Tanzania, Muungano wa Falme za Kiarabu (UAE) uliopo Abudhabi. Majaliwa alipokelewa na Balozi wa Tanzania UAE Luteni Jenerali Mstaafu,Yacub Mohamed na watumishi wa ubalozi huo.
  16. Mganguzi

    Nilidhani Kassim Majaliwa ndiye angekuwa Mgombea Mwenza wa Rais Samia

    Nilidhani Rais wa nchi anapomteua mgombea mwenza, anamteua Rais wa nchi endapo lolote likitokea. Inamaanisha kwa sasa Emanuel Nchimbi anaweza kuwa Rais wakati wowote likitokea lolote? Emanuel Nchimbi anaweza kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wetu? Emanuel Nchimbi ametazamwa kwa vigezo gani...
  17. mdukuzi

    Mimi sio nabii ila Kassim Majaliwa anarudi kijijini sanjari na kushuka daraja kwa timu ya Namungo

    A
  18. mdukuzi

    Mimi sio nabii ila Kassim Majaliwa anarudi kijijini sanjari na kushuka daraja kwa timu ya Namungo

    Amelaaniwa yule amtumainiaye binadamu, PM Kassim Majaliwa Alikuwa akinyanyua simu kwa wafadhili na wadhamini ndani ya 24 hrs akaunti ya Namungo inajaa.ole wako ukatae,utaonekana mpinga maendeleo Ligi kuu kuiendesha ni gharamasana kuilisha mijibaba zaidi ya 30,yenye familia,mingine inaenda...
  19. I

    Ni wazi Kassim Majaliwa hatakuwa Waziri Mkuu ajaye, je Waziri Mkuu ajaye atahudumu muhula mmoja?

    Rais Samia anagombea muhula wa pili wa Urais wake na ndiyo muhula wa mwisho kwa kwa mujibu wa Katiba iliyopo. Kwa kuwa Majaliwa hagombei tena ubunge na kwa mujibu wa Katiba iliyopo Waziri Mkuu lazima awe ametokana na Wabunge wa kuchaguliwa, Rais Samia atalazimika kuchagua Waziri Mkuu mwingine...
  20. BLACK MOVEMENT

    CCM wamefanikiwa sana kutengeneza nidhamu ya uoga kwa wanachama wake, huwezi amini Kassim Majaliwa ndio amefikia Tamati kisiasa

    CCM imefanikiiwa mno kutengeneza nidhamu za uoga kwa wanachama wake. Hawawezi furukuta nje ya CCM na pia ndio maana CCM hawataki reform kumbe hizi reform zingewasaidia hata wao wenyewe. Kassim Majaliwa ndio mwisho wa siasa kama kungekuwa na reform angeweza pambana nje ya CCM ila ndio kama...
Back
Top Bottom