kassim majaliwa

Kassim Majaliwa Majaliwa (born 22 December 1961) is a Tanzanian politician who has been Prime Minister of Tanzania since 2015. He was appointed by President John Magufuli after the 2015 general election. He is a member of the ruling Chama Cha Mapinduzi party and has been a Member of Parliament for Ruangwa constituency since 2010.

View More On Wikipedia.org
  1. figganigga

    Philip Mpango, Kassim Majaliwa Wajitenga na Siasa chafu za Rais Samia? Wahuni kupewa Rungu?

    Mwanasiasa wa Tanzania si rahisi kkuachia Madaraka Makubwa. Makamu wa Rais Dr. Philip Mpango, na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, Walikuwa hawana Upinzani ndani ya Serikali ya CCM. Viongozi hawa wanajulika kwa kutopenda Uchawa. Rais Samia amekuwa akilaumiwa kufumbia macho Mauaji ya Wale wanao...
  2. sinza pazuri

    Kassim Majaliwa Rais wa Tanzania 2025-2030

    Huyu ndie Rais wa Tanzania 2025-2030. Tanzania inaenda kuzaliwa upya kwenye siasa.
  3. Mchochezi

    Utamkumbuka Kassim Majaliwa kwa jambo lipi?

    Mapema leo, Kassim Majaliwa (MB), Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ametangaza kujiweka pembeni kwenye harakati za kugombea Ubunge jimbo la Ruangwa. Hii pia itamuondolea tiketi ya kuteuliwa kuwa Waziri Mkuu. Kwa maana nyingine ni kama amestaafu Uwaziri Mkuu. Majaliwa anaingia...
  4. B

    Kung'atuka siasani kwa Dr. Philip Mpango na Kassim Majaliwa Majaliwa wasaidizi wakuu wa Rais Samia, nini nyuma ya pazia ?

    Inaitwa 'purge' mkakati wa dola kulazimisha viongozi waachie ngazi. Purge : Usafishaji wa safu za juu kisiasa unarejelea kuondolewa kwa lazima au kuondolewa kwa watu wanaochukuliwa kuwa wasiohitajika kutoka kwa taasisi ya kisiasa, kama vile serikali au shirika, na wale walio mamlakani. Hii...
  5. DuaZaMama

    GE2025 Kassim Majaliwa atangaza ghafla kutogombea tena Ubunge wa Jimbo la Ruangwa

    Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa, ametangaza rasmi kustaafu kugombea tena Ubunge wa Jimbo la Ruangwa, mkoani Lindi, baada ya kuliongoza kwa takribani miaka 15 mfululizo tangu mwaka 2010. Soma, Pia: Waziri Mkuu, Majaliwa atangaza kugombea tena Ubunge wa Ruangwa...
  6. Mkalukungone Mwamba

    Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa: Nataka niwaambie bila amani hatuwezi kupata mafanikio yoyote

    Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amesema kuwa Serikali itaendelea kuweka mkazo katika kulinda na kudumisha amani nchini ili kuhamasisha maendeleo na kuziba mianya ya kuibuka kwa migogoro miongoni mwa wanajamii. Ametoa kauli hiyo leo (Jumapili Juni 29, 2025) wakati alipomwakilisha Rais Dkt. Samia...
  7. Knock life

    PreGE2025 Je, kwa umri wa miaka 65 ya Kassim Majaliwa ni sahihi kwake kuendelea kuwa Mbunge Kweli?

    Eti wakuu , umri wa miaka 65 ni sahihi MTU kuendelea kuwa Mbunge . Maana kwa kumtazama Majaliwa amechoka Sana ukiachana na Super Black kichwani Ila sifikirii Kama ni sahihi Sana .
  8. Waufukweni

    Majaliwa: Tumemkamata muingizaji Dawa amemeza Paketi 86, Serikali imemlisha Pilau na Biriani ili zishuke, na zimeshuka zote ardhini

    Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amesema: "Tumemkamata mtu mmoja wa Ubelgiji lakini pia ni raia wa Burundi. Amekwenda kuchukia mzigo huko kwao, anapitia Tanzania ili ndiyo aende Ubelgiji. Sisi tumemnasa." "Amehojiwa sana na wataalam wetu baada ya kumtilia mashaka, akatamka kwamba amemeza vidonge...
  9. Erythrocyte

    PreGE2025 Waziri mkuu Majaliwa: Hakuna Mwanasiasa maarufu kama Rais Samia ndani na nje ya CCM

    sijawahi kuona Waziri Mkuu Chawa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa, amesema kwa msisitizo kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, ndiye mwanasiasa maarufu zaidi nchini kwa sasa, ndani na nje ya Chama Cha Mapinduzi (CCM). Akitoa...
  10. Waufukweni

    PreGE2025 Waziri Mkuu, Majaliwa atangaza kugombea tena Ubunge wa Ruangwa akiaga Bunge

    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, ametangaza kugombea tena Ubunge wa Jimbo la Ruangwa mkoani Lindi, amesema hayo akilihutubia Bunge kwa mara ya mwisho leo Juni 26, 2025 jijini Dodoma. "Ninawashukuru sana wana Ruangwa kwa kuniunga mkono na kunipatia ushirikiano katika kipindi chote nilipokuwa...
  11. Now and then

    Kassim Majaliwa usigombee ubunge utaua heshima yako ndogo iliyobaki.

    Ukiachana na rafu uliyomchezea kafulila Ila nakushauri usigombee Ubunge . Miaka kumi Kama waziri Mkuu inatosha Sana .
  12. McLaren

    PreGE2025 Waziri Mkuu Majaliwa: Wanaokuja kuwashawishi mjiridhishe lugha zao haziwaingizi kwenye machafuko. Mliona nchi jirani mizoga ilivyojaa barabarani

    Wakuu, Akiongea leo kwenye Kilele cha Maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma na Uzinduzi wa Mifumo ya Kidijiti jijini Dodoma, Waziri Mkuu amesema: "Wanaokuja kujieleza na kuwashawishi mjiridhishe kuwa lugha zao haziwapelekei na nyie kuingia kwenye machafuko yakapoteza usalama na amani ya...
  13. McLaren

    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiwa ni mgeni rasmi kwenye Kilele cha Maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma na Uzinduzi wa Mifumo ya Kidijiti

    Kilele cha Maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma na Uzinduzi wa Mifumo ya Kidijiti https://www.youtube.com/watch?v=w8fDR8FkBNo
  14. Roving Journalist

    PreGE2025 Kassim Majaliwa: Niwahikikishie Watanzania Uchaguzi utakuwa Huru, Haki na Wazi

    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, leo Juni 17, 2025 akimwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika kilele cha Maadhimisho ya Miaka 50 ya Taasisi ya Elimu Tanzania (TET) yanayofanyika katika viwanja vya Taasisi hiyo, Bamaga Jijini Dar es Salaam amesema kuwa Uchaguzi wa 2025 utafanyika kwa njia ya...
  15. R

    Waziri Mkuu Majaliwa: Ubakaji, ulawiti na kubusu mtu akiwa hataki huo ni ukatili wa kingono

    “Ukatili umegawanyika katika maeneo mengi, nieleze machache tu, la kwanza ni ukatili wa kimwili. Ukatili wa kimwili ni kitendo cha kudhamiria kufanya vurugu na kutumia nguvu ili kumsababishia mtu madhara ya kimwili au mateso na haya yapo mengi. Kupigwa kupita kiasi, wengine wanachomwa moto...
  16. Waufukweni

    Waziri Mkuu, Majaliwa: Uhuru wa kuabudu si kuvunja sheria za nchi

    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ametoa wito kwa waumini wa dini mbalimbali nchini kuzingatia Sheria ya uhuru wa kuabudu wanapotekeleza ibada zao, kwa mujibu wa Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ili kuhakikisha ibada hazivunji amani wala sheria za nchi. "Tunapokuja kuabudu hapa, tuzingatie...
  17. Pascal Mayalla

    Leo Waziri Mkuu Majaliwa anajibu maswali papo kwa hapo bungeni, tusikilize majibu yake

    Wanabodi leo ni Ahamisi Bunge Live Maswali ya Papo kwa Papo kwa Waziri Mkuu Paskali https://www.youtube.com/watch?v=rxqoSMPy4Ug
  18. The Supreme Conqueror

    Wema bado wapo siyo wote wabaya Waziri Majaliwa pitia hapa utapata jibu la swali lako pale TBS Dodoma

    "Tukikubaliana na haya yanayoendelea yanayopelekea kwenda kuharibu amani ya nchi yetu tutakuja kujuta watanzania, kwasababu tangu wazee wetu wametengeneza amani kwenye nchi hii na kuruhusu uwepo wa vyama vya siasa tulikuwa vizuri na amani tele ila hizi chaguzi tatu za 2015, 2020, 2025 kumekua na...
  19. R

    Kassim Majaliwa atakuwa mbunge wa kawaida kama Kisasa kwenye bunge lijalo?

    Waziri mkuu yupo kwenye vikao nje ya nchi. Mkutano mkuu wa chama unaendelea. Means amekosa fursa yakunong'ona na wajumbe. Mkutano huu kwenye analysis ya kisiasa alipaswa kukosa? Kwanini atumwe nje dakika hizi? Unaweza kumshauri ajiandae kumwachia Doto kiti?
  20. President of China

    Kassim Majaliwa amekutana na Waziri Mkuu wa Côte d’Ivoire, Robert Beugre Mambe Jijini Abidjan

    Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amekutana na Waziri Mkuu wa Côte d’Ivoire, Robert Beugre Mambe na kujadiliana nae masuala ya kidiplomasia, kiuchumi, teknolojia, kilimo na michezo kwenye kikao kilichofanyika ofisini kwa mwenyeji wake, Boulevard Angoulvant Plateau, Jijini Abidjan. Waziri Mkuu...
Back
Top Bottom