kassim majaliwa

Kassim Majaliwa Majaliwa (born 22 December 1961) is a Tanzanian politician who has been Prime Minister of Tanzania since 2015. He was appointed by President John Magufuli after the 2015 general election. He is a member of the ruling Chama Cha Mapinduzi party and has been a Member of Parliament for Ruangwa constituency since 2010.

View More On Wikipedia.org
  1. Waufukweni

    PreGE2025 Waziri Mkuu Majaliwa: Rais Samia hapaswi kupata shida sisi tukiwepo

    Waziri Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa, ametoa wito kwa Wananchi wa Wilaya ya Ruangwa Mkoani Lindi na Watanzania kwa ujumla kuendeleza kauli ya kumuunga mkono Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa awamu nyingine ya uongozi, akisisitiza kuwa kauli ya "Mitano Tena kwa Dkt. Samia" inapaswa kutoka...
  2. JamiiForums

    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa mgeni rasmi Siku ya Pili ya Maadhimisho ya Siku ya Vyombo vya Habari Duniani, Aprili 29, 2025

    Maadhimisho ya Siku ya Vyombo vya Habari Duniani (World Press Freedom Day 2025) yanaendelea Jijini Arusha ambapo Waziri Mkuu Kassim Majaliwa anatarajiwa kuwa mgeni rasmi, leo Aprili 29 kwenye Hoteli ya Gran Melia Matukio ya siku ya kwanza, soma World Press Freedom Day 2025, April 28, 2025...
  3. LAZIMA NISEME

    Waziri mkuu Kassim Majaliwa: Watanzania wana wajibu wa pamoja wa kuhakikisha urithi wa utamaduni wa Taifa unalindwa

    WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa amesema Watanzania wana wajibu wa pamoja wa kuhakikisha urithi wa utamaduni wa Taifa unalindwa, unaenziwa na kuendelezwa kwa manufaa ya kizazi cha sasa na kijacho. Amesema hatuwezi kuwa na Taifa bila kuwa na utamaduni unaolitambulisha na kututofautisha na mataifa...
  4. Stephano Mgendanyi

    PreGE2025 Mbunge Gulamali: Tunamuomba Sana Rais Samia Amteue Tena Waziri Mkuu Kassim Majaliwa

    Mbunge wa Jimbo la Manonga Mkoani Tabora Seif Khamis Gulamali ameitaka Serikali kutosita kuchukua mikopo kwa ajili ya utekelezaji wa miradi ya maendeleo nchini Tanzania, akieleza kuwa deni la Taifa ambalo limetajwa kuwa ni Tsh. trilioni 97 bado ni himilivu na la chini kulinganisha na Mataifa...
  5. Waufukweni

    PreGE2025 Mbunge Boniphace Getere: Tunachotaka ni kuona PM Majaliwa anarudi bungeni kuhusu vyeo anajua Mungu

    Mbunge wa Bunda Vijijini, Boniphace Mwita Getere akizungumza Bungeni Aprili 10 amesema; "Wengi mnakaa humu ndani Bungeni ila sijawahi kuona unakaa na mwanadamu mstaarabu kama Waziri Mkuu tuliyenaye sasa hivi, ni mstaarabu mno, ni mchapakazi na mstaarabu, kila mtu anamsikiliza." "Sasa mimi...
  6. ACT Wazalendo

    PreGE2025 Mchinjita: Tunataka mabadiliko, Kassim Majaliwa usituhadae!

    Waziri Mkuu Kivuli wa ACT Wazalendo, Bwana Isihaka Mchinjita ameshangazwa na kauli ya Waziri Mkuu Kassim Majaliwa aliyoitoa bungeni kuwa hali ya demokrasia nchini imeimarika. Akizungumza na vyombo vya habari leo Aprili 10, 2025, Mchinjita amesema hotuba ya Waziri Mkuu Bungeni ilitarajiwa kutoa...
  7. Waufukweni

    PreGE2025 Waziri Mkuu Majaliwa: Reforms zimeimarisha hali ya demokrasia nchini

    Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa, amesema hali ya siasa na utekelezaji wa demokrasia nchini umeendelea kuimarika kutokana na maboresho ya mifumo na jitihada mbalimbali zinazofanywa na Serikali. Majaliwa ameyasema hayo leo Jumatano, Aprili 9, 2025, jijini Dodoma...
  8. Mkalukungone Mwamba

    PreGE2025 Waziri Mkuu Kassim Majaliwa: Dkt Festo Dugange anateulika

    Waziri mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kassim Majaliwa akizungumza na wananchi wa wilaya ya Wanging'ombe waliojitokeza kwenye mkutano ambao umefanyika leo Machi 22,2025 katika viwanja vya shule ya sekondari Igwachanya. Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu...
  9. Mkalukungone Mwamba

    PreGE2025 Waziri Mkuu Kassim Majaliwa aagiza kukamilika kwa Ujenzi wa Bwalo la Chakula la Shule ya Sekondari ya wasichana ya Sayansi ya Njombe

    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ameiagiza Halmashauri ya Wilaya ya Wanging’ombe, Mkoa wa Njombe, kukamilisha ujenzi wa bwalo la chakula la shule ya Sekondari ya wasichana ya Sayansi ya Njombe iliyopo kijiji cha Usalule mkoani humo. Waziri Majaliwa ametoa agizo hilo mara baada ya kukagua ujenzi wa...
  10. Mindyou

    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa: Mjadala wa VETA nafuatilia kwa ukaribu. Mjadala huu una tija kwa taifa

    Wakuu, Akiwa anaongea kwenye maadhimisho ya miaka 30 ya VETA Waziri wa mkuu Kassim Majaliwa amesema kuwa ameona mjadala unaoendelea nchini kuhusu VETA na amedokeza kuwa mjadala huo una tija sana kwa taifa. "Mjadala huu haupiti tu hovyo na mimi nimehushuhudia na naufatilia kwa ukaribu. Hakika...
  11. Brain Kingdom

    Ukitazama CV ya Elimu ya Waziri Mkuu Majaliwa Kassim utaelewa kwanini ametoa wazo la wenye Degree kwenda VETA

    Ifahamike CV ya Elimu ya Kassim Majaliwa ni hovyo na ya kuunga unga tu kwahio sio ajabu kutoa wazo hilo kuhusu wahitimu wa shahada za vyuo vikuu kwenda VETA. Kujadili ushauri wa kipuuzi na wa kijima, ni upunguani, huyu Waziri Mkuu amefika mwisho uwezo wake wa kufikiria na ni Waziri Mkuu pekee...
  12. Mindyou

    PreGE2025 Diwani wa kata ya Narung'ombe ashiriki kwenye harambee ya kufturisha wanafunzi. Kassim Majaliwa ampongeza

    Diwani wa Kata ya Narungombe, Mhe. Khamis Majaliwa, amechangia wanafunzi wa Shule ya Sekondari Narungombe na Liuguru kwa ajili ya futari katika mwezi huu mtukufu wa Ramadhan. Harambee hiyo imefanyika Machi 15, 2025, wakati wa mkutano wa Diwani wa Ilani uliowakutanisha wananchi wa kata hiyo...
  13. LIKUD

    Ya Kassim Majaliwa, Veta na Making Kayumba Schools Great Again

    Likud: Enyi wazazi masikini wa kitanzania. Wacheni kujistress kulipa mamilioni kwenye shule za Ems watoeni watoto wenu huko muwarejeshe Kayumba kwa sababu huko Ems wanatumia mtaala wa Necta pia ambao una muandaa muhitimu Kuwa muajiriwa. Warejesheni Kayumba muwasimamie kwa ukaribu then hiyo...
  14. M

    PreGE2025 Huko CCM mwenye uwezo wa kuiamsha serikali ifanye kazi ni Kassim Majaliwa pekee

    Mpaka sasa nchi nzima tunakubaliana kwamba utendaji wa serikali unazorota kila kukicha, wafanyakazi wa serikali wanafanyakazi wanavyojisikia, kama hauamini hili subiri utakapopata shida ya kukutana na watendaji wa serikali ndiyo utaelewa. Kwa tathimini ya haraka kiongozi anayejielewa...
  15. Megalodon

    Nimestushwa na Kauli ya Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, Je ni kufilisika ki Maono kwa CCM?

    Kauli ya Waziri Mkuu Kassim Majaliwa kuhusu vijana wenye degree kwenda Veta ikiwa ni sehemu ya kukabiliana na changamoto ya Ajira ni kauli ya kukosa maono na ni red sign kuwa CCM ni MUFILISI...... Ni kitu cha ajabu sana kumsikia kiongozi wa Serikali kuwaambia vijana mjiajiri wakati yeye carear...
  16. N

    Vijana fuateni ushauri wa waziri mkuu Majaliwa kuhusu ajira

    Nimemsikia waziri mkuu Kassim Majaliwa Juzi akiwa Shauri vijana wenye shahada za vyuo vikuu lakini hawana ajira wajiunge na vyuo vyetu vya Veta ili kujifunza SKILLS mbali mbali. Nimesoma pia kwenye mitandao vijana wakiubeza ushauri huu!! Ushauri huu ni mzuri ambao vijana wanatakiwa...
  17. Mindyou

    PreGE2025 Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ametoa Milioni 4 kwa wanafunzi wa Nachingwea Girls

    Waziri mkuu wa jamhuri ya muungano wa Tanzania mh.Kassim Majali ametoa shilingi 4,000,000 kwa wanafunzi wa shule ya Msingi Nachingwea Girls iliyopo wilayani Nachingwea. Majaliwa ametoa fedha hizo machi 6 alipotembelea shuleni hapo na kuongea na wanafunzi wa shule hiyo. Aidha amesema kuwa shule...
  18. Mindyou

    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa azindua kampeni ya Mama Samia Legal Aid mkoani Lindi

    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Februari 19, 2025 atazindua kampeni ya Kitaifa ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia katika mkoa wa Lindi, kwenye viwanja vya Madini, Ruangwa Mkoani humo. Lengo la Kampeni hiyo ni kuwafikia wananchi wenye uhitaji na wasio na uwezo wa kumudu gharama za huduma za...
  19. tpaul

    Kama Rais hataki kufanya kazi na Kassim Majaliwa amuombe ajiuzuru kama Philip Mpango

    Sitaki salamu, naingia kwenye mada moja kwa moja. Wahenga walisema akutukanaye hakuchagulii tusi na asiyekutaka hakuambii toka bali atakutoa kwa visa ovu dhidi yako. Kabla ya kwenda mbali kwanza naomba ku declare intrerst kuwa mm ni mwanaCCM kindakindaki na juzi nilikuwepo ndani ya ukumbi kule...
  20. Cute Wife

    PreGE2025 Simiyu: CCM Busega wachanga pesa kwaajili Rais Samia na Mbunge kuchukua fomu ya kugombea 2025, wengine watoa ng'ombe

    Wakuu, Wanachi Simiyu wamejichanga changa kwa mwenye mia tano, buku na zaidi na kufikisha Tsh. 553,000/- kwaajili ya mbunge na Rais Samia kuchukua fomu kwaajili ya uchaguzi 2025! Hayo yamejiri Busega, Simiyu leo December 22, 2024 ambako Waziri Majaliwa alikuwa mgeni Rasmi katika mkutano wa...
Back
Top Bottom