Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU
Nchimbi alikuwa mgombea mwenza
Mpango alikuwa rais makamu
Kasim alikuwa waziri mkuu
Walikuwa ni viongozi wakubwa sana
Lakin kwa nini hawahusishwi kabisa na haya mauaji?
Kwanini wanawekwa pemben
Kwanini wachambuzi wanawaweka pembeni watu...
Leo ulikuwa unazungumzia na kuwahakikishia wadau kuwa uchaguzi utakuwa huru na haki. Je mchakato wa kufikia hapo umeufanya?
Kuna mapungufdu mkubwa katika mchakato mzima wa kupiga kura .
Vigezo hivi sidhani kama hapa vinatimizwa inavyotakiwa.
VIGEZO VYA UCHAGUZI HURU NA HAKI
1. Voter...
Lengo lake ilikuwa nini hasa?
Tulishajipanga juchukua jimbo
Siku chache kabla ya kipyenga akasema anagombea nasi tukaghairi
Siku ya mwisho ya kurudisha fomu anasema hagombei tena
Hii kitaalam inaitwaje?
Pia soma Pre GE2025 - Kassim Majaliwa, ametangaza rasmi kustaafu kugombea tena Ubunge wa...
Akizungumza wilayani Ruangwa Waziri mkuu amesema wao ndiyo waanzilishi wa kauli ya mitano tena kisha ikasambaa nchi nzima.
"Na sisi ndiyo waanzilishi wa neno la mitano tena, sisi ndiyo wasemaji wa kwanza tunataka fomu moja ya Dkt. Samia kupitia halmashauri kuu. Tulipokuwa na sherehe yetu ya...
Wakuu wa Jimboni kwa Waziri Mkuu mje mtuoneshe hayo mageuzi mliyofanyiwa huko.
===
Mkuu wa wilaya ya Ruangwa Nasoro Ngoma amesema aliyoyafanya Waziri Mkuu Kasim Majaliwa katika jimbo lake ndani ya miaka 10 si maendeleo bali ni mapinduzi. Ngoma ameeeleza mtandao wa lami uliowekwa katika kipindi...
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, amemuagiza Waziri wa Afya, Jenista Mhagama na watendaji wa Wizara hiyo kukutana na kufanya mapitio ya vigezo ili kukipandisha hadhi kituo cha Afya cha Mama Ngoma kilichopo kata ya Kwakoa Wilaya ya Mwanga Mkoani Kilimanjaro kuwa hospitali.
Ametoa maelekezo hayo...
Mpaka sasa nchi nzima tunakubaliana kwamba utendaji wa serikali unazorota kila kukicha, wafanyakazi wa serikali wanafanyakazi wanavyojisikia, kama hauamini hili subiri utakapopata shida ya kukutana na watendaji wa serikali ndiyo utaelewa.
Kwa tathimini ya haraka kiongozi anayejielewa...
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa akizungunza na wakazi wa Igunga, Tabora.
"Tumeendelea kuimarisha sekta ya elimu, Muheshimiwa mbunge ulisema unahitaji VETA tumeleta VETA, hizi VETA tumezijenga ili wewe ukasomee ufundi utusaide katika shughuli za ujasiriamali VETA...
WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa akizungumza katika Kongamano la Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani Kanda ya Kusini, yaliyofanyika Machi 6, 2025 katika viwanja vya Maegesho, Nachingwea mkoani Lindi.
Akizungumza katika kongamano hilo, Majaliwa amesema kuwa Serikali inatambua umuhimu wa kukuza...
Kuelekea Siku ya Wanawake Duniani, Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kassim Majaliwa Majaliwa (Mb) leo Machi 6, 2025 amezungumza na wanawake katika Kongamano la Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani Kanda ya Kusini, yanayofanyika katika viwanja vya Maegesho, Nachingwea mkoani...
Kunazidi kuchangamka sasa, ni kama ujumbe umetumwa kwa machalii wa Arusha, Gambo na Makonda
===
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa, amewataka viongozi wa kisiasa na wa dini kuwa mstari wa mbele katika kuhubiri amani na mshikamano, akisisitiza kuwa migogoro mingi ya...
Utangulizi;
Katika uwanja wa siasa za Tanzania, Kasim Majaliwa amekuwa na nafasi muhimu, lakini utendaji wake unatia huruma sana. Amepewa jukumu kubwa la kuwa Waziri Mkuu, lakini miongoni mwa wafuasi wake na wapinzani, kuna hisia tofauti kuhusu uwezo wake wa kuongoza.
Kila siku, ninajiuliza...
Kwako Rais wetu mpendwa. Nina ombi langu kwako moja tu nalo ni kuendelea kumuamini na kumteua Majaliwa Kassim pindi utakapochaguliwa 2025.
Sababu yangu kuomba hilo ni kwa kuwa Bwana Huyu majaliwa ni kuwa huyu hana uchawa wala ujambawazi.
Na zaidi hajawahi kuwa na Makuu au kashfa yoyote wala...
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ametoa wito kwa Wahandisi wazawa kuhakikisha miradi wanayoisimamia inakidhi viwango vya kitaifa na kimataifa na iendane na thamani ya fedha inayotumika.
Amesema ni wajibu wa Wahandisi kuisaidia Serikali kuokoa fedha kwa kukadiria fedha inayohitajika kulingana na...
Mi na ishauri serikal hasa kwenye sekta ya elimu maana ndio chimbuko la kila wadhifa elimu ya sekondari iwekwe mafunzo ya udereva ili pindi mtu anapo maliza kidato cha nne anakuwa tayari anayo leseni hii itasaidia swala la ukosefu wa ajira mitaani maana mtu anaweza akakosa cheti cha kidato cha...
Kila mtu ana kumbukumbu namna Kassim alivyoipata hii nafasi. Wakati jina linasomwa kwa mara ya kwanza alikuwa nje kabisa ya bunge akiendelea na shughuli zake.
Kibinadamu kabisa hakuna aliyedhania kama waziri mkuu angekuwa Kassim sababu hakuwahi kuwa hata waziri kamili wala hakuonekana mtu wa...
Baada ya kimya cha Mda mrefu Huyu Mheshimiwa muongo muongo ameanza kujitokeza na ngojera za hapa na pale. Ana tu please mara tuwe na Imani na serikali Sijui Mkataba haujasainiwa. Bla bla
Sasa mpka.mnasaini Mkataba wa makubaliano Kwa Nini hamkuzingatia Sheria na maslahi ya Taifa Toka mwanzo...
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, amesema serikali kupitia mfuko wa maendeleo ya vijana imetoa mikopo yenye thamani ya shilingi bilioni 1.88 kwa ajili ya kuwezesha miradi 85 ya vijana katika sekta za kilimo, viwanda na biashara kwenye halmashauri 28.
Ameyasema hayo Aprili 16, 2023, wakati...
Wanabodi
Declaration of Interest
Mimi Paskali sio GT, ila naweza kuandika contents kwa ajili ya ma GT only.
JF ilipoanzishwa na Mkuu Maxence Melo na Mike Mushi, was meant to be a home of Great Thinkers!, Hili ni bandiko la maswali fikirishi kwa ma GT only!. Wewe kama ni mwenzangu na mimi, na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.