Naam hapa tutakutana na watingaji pamoja na wasoteaji,
Kwa ujumla wake wale ma TX wakongwe.
Madereva
Maopereta
Ma Foreman...hasa wale wanoko
SEcurity oficers na walinzi hasa wale washkaji
Tukumbushane ulikuwa mradi gani,,mfano barabara ipi km ngapi.
Vituko vya mitaani katika maisha ya...