kariakoo

Kariakoo is a ward in the Ilala District of Dar es Salaam, Tanzania. It has a population of 9,405 (2002). The name derives from a corruption of the British "Carrier Corps", that used to be based in this area. Today, Kariakoo is mainly known for its extensive market, that spans several city blocks.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JamiiForums Tanzania Naombeni kazi yoyote ya Kariakoo kama ya kuuza duka

    Habarini nilikua naombeni kazi yoyote ya kariakoo kama ya kuuza duka, kupeleka mizigo ,kutumwa hapa na pale ili nipate chochote kama utawezq kuniunganisha pia nitashukuru sana
  2. JamiiForums Tanzania Chemba iliyokuwa inatiririsha maji taka kando ya Soko Jipya la Kariakoo yasafishwa

    Juzi niliona mdau wa JamiiForums.com analalamikia kero ya chemba inayotililisha maji taka kando ya Soko Jipya la Kariakoo, ambalo lilizinduliwa katika siku za hivi karibuni. Ilivyokuwa awali Chemba inayotiririsha maji taka kando ya Soko jipya la Kariakoo ni tishio kwa afya Leo nimefanikiwa...
  3. JamiiForums Tanzania Vifaa bora vya umeme, Kariakoo

    ⚡ VIFAA VYA UMEME ORIGINAL NA BEI POA! Unatafuta vifaa vya umeme vya uhakika kwa matumizi ya nyumbani au viwandani? Sisi tupo kwa ajili yako 💯 📍 Kariakoo 🚚 Delivery mikoa yote Tanzania Tunapatikana na brand kubwa kama: ✅ ABB ✅ SCHNEIDER ✅ SIEMENS ✅ LEGRAND ✅ CHINT ✅ TRONIC ✅ HAVELL Tunauza: 🔌...
  4. JamiiForums Tanzania Diwani wa Kariakoo Haji Manara hiyo ndiyo kazi uliyotumwa?

    Kuna ufisadi wa kutisha kwenye ujenzi wa barabara za mitaa Kariakoo lakini diwani wa kata hiyo Haji Manara yuko bize kutetea matajiri na kuhamasisha wamachinga wafukuzwe kila kona! Wanachokifanya kwenye ujenzi wa barabara za mitaa ni kumwaga oili na cement kwenye barabara kila wanaposikia kuna...
  5. JamiiForums Tanzania Apartment For Sale at Kariakoo

    Apartment For Sale at Kariakoo. Location: Livingstone/Tandamti Street. Features: 2nd Floor, No Lift, 3 Bedroom House: 1 Master Bedroom, 2 Normal Bedroom, Sitting with Dinning Room, Kitchen, Store Room, Common Toilet, Balcony. Price: Tsh. 200M (Slightly Negotiable). Document: Unit Title. For...
  6. JamiiForums Tanzania Vifaa bora vya umeme Kariakoo

    Je, Umekuwa ukijiuliza wapi utapata vifaa bora vya umeme kwaajili ya mahitaji yako? 💫SASA UMEPATA SULUHISHO KAMILI Rafiki Electrical & Tech Solutions 💡 ni watengenezaji, wauzaji na wasambazaji wa vifaa bora na salama vya umeme mkubwa na mdogo. Kutoka Kampuni zote mahiri kama vile; ABB, TRONIC...
  7. M

    JamiiForums Tanzania KERO Responded Chemba inayotiririsha maji taka kando ya Soko jipya la Kariakoo ni tishio kwa afya

    Kuna chemba ya maji taka inayotiririsha uchafu kando ya Soko jipya la Kariakoo, ambalo limezinduliwa hivi karibuni na Rais Samia Suluhu Hassan. Chemba hiyo ipo kwenye kona ambapo daladala za kuelekea Masaki hupaki. Chemba hiyo limekuwa kero ya muda mrefu kwa wananchi na wafanyabiashara...
  8. JamiiForums Tanzania Vifaa bora vya umeme vya kisasa, Kariakoo

    📍Rafiki Electrical & Tech Solutions ni solution kwa mahitaji yako ya vifaa bora na vya kisasa vyenye usalama Mkubwa. Tunauza, kusambaza na kutengeneza Vifaa bora vya umeme wa: 🎯Viwanda 🎯Majumbani 🎯Minara n.k Tunapatikana Kariakoo, Narung'ombe na Gogo. Tunatuma Tanzania na nje ya Tanzania...
  9. A

    JamiiForums Tanzania KERO Responded Walinzi wa Halmashauri wanakamata Pikipiki Kariakoo kwa kuita "wrong parking" bila utaratibu

    Hapa Kariakoo kuna walinzi wa Halmashauri wanakamata Pikipiki bila utaratibu maalum na kuomba pesa kiasi cha elfu 50, uwape mkononi wanasema ni wrong parking. Hata Bodaboda akishusha tu abiria wanamkamata hapohapo, wanazikusanya na baadae wanaomba pesa. Ni uonevu mkubwa sana hilo suala...
  10. JamiiForums Tanzania Mawinga Kariakoo tafuteni kazi ya kufanya, sasa hivi Kila mtu anajua chimbo mnakera

    Leo nilikuwa hapo kariakoo kununua pamba Hawa jamaa wanazingua kinyama yaani Kuna mmoja nimemuambia mzee kalime viazi hii sio kazi ni usumbufu Kwa raia ningekua na bunduki. Mngesikia winga kala shaba ya kichwa sababu Mimi sipendagi usumbufu nikiwa naenda kununua pamba nataka kichwa changu...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Inadaiwa Polisi walikamata Bodaboda Wananchi wakazuia gari

    Inadaiwa hapo ni Kariakoo, Polisi walikamata Bodaboda Wananchi wakazuia gari Amendika Twaha Mwaipaya, Hii ni Jana Kariakoo unaambiwa Polisi walikamata bodaboda wakapakia kwenye gari Raia wakawasha Moto bodaboda zikashushwa, unasikia hapo watu wanasema vibaka hao vibaka hao, watu wamechoka...
  12. JamiiForums Tanzania Prince Dube alivyomzawadia Pesa Mwananchi Bandarini baada ya Dabi ya Kariakoo

    Mshambuliaji wa Young Africans S.C (Yanga SC), Prince Dube, alivyomzawadia pesa Mwananchi baada ya kutua bandarini Machi 2, 2026 akitokea Zanzibar na klabu yake kufuatia mechi ya dabi ya Kariakoo Jumapili ambayo ilimalizika kwa suluhu ya 0-0.
  13. JamiiForums Tanzania Simba underdog mbele ya Yanga, Nassoro Mwinchui Pilato Dabi ya Kariakoo, Machi 1, 2026

    Vigogo wa soka la Tanzania, Simba SC na Yanga SC wanatarajiwa kushuka dimbani Machi 1, 2026 katika Uwanja wa Amaan Complex kuumana katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara ambapo kuelekea mechi hiyo Yanga ni vinara wa ligi wakiwa na alama 28 na pia wamewafunga Simba mara sita mfululizo. Mchezo...
  14. JamiiForums Tanzania Swali: Ukweli ni Upi Kuhusu Ukumbi wa Arnautoglo na Soko la Kariakoo Katika Historia ya Baba wa Taifa?

    https://youtu.be/uQTPRpBzetA?si=cFpDdErw3IxPlVfG
  15. JamiiForums Tanzania Historia ya Mwalimu Nyerere na Soko la Kariakoo Lazima Ihifadhiwe

    Usiku ndiyo pana utulivu wa kufanya kazi.
  16. JamiiForums Tanzania Apartment For Sale at Kariakoo

    Apartment For Sale at Kariakoo. Location: Livingstone/Tandamti Street. Features: 2nd Floor, No Lift, 3 Bedroom House: 1 Master Bedroom, 2 Normal Bedroom, Sitting with Dinning Room, Kitchen, Store Room, Common Toilet, Balcony. Price: Tsh. 200M (Slightly Negotiable). Document: Unit Title. For...
  17. JamiiForums Tanzania Kariakoo: Wafanyabiashara, bodaboda wanaoziba barabara na njia za watembea kwa miguu watakiwa kupisha

    Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam imetangaza kuanza zoezi la kuwaondoa wafanyabiashara wa Kariakoo wanaofanya biashara katika maeneo yasiyo rasmi ya barabara pamoja na kwenye njia za watembea kwa miguu. Hoja hii ilianzia hapa ~ Usalama wa watembea kwa miguu Msimbazi - Kariakoo, Je, Mamlaka...
  18. JamiiForums Tanzania Shariff Abdallah Attas na Mwalimu Julius Nyerere Sokoni Kariakoo

    https://youtu.be/XfpiwoY773Q?si=AatqVE4wrUgwhP7w
  19. JamiiForums Tanzania Niliwahi kupita pale chuo HTC pembeni ya darajani kwenda kariakoo, kufundisha

    Nilikutana na mwanamke msukuma, ana sura ya baba ila biyo shape duuuh! Mk*nd mkubwa sana mzuri, somebody V . kama upo hapa nicheki pm please, SIKUSAHAU. tuliwahi ku do juu ya deka Maeneo ya TMK maduka mawili. Come dm omease kama utaona hii. Ulikua unavaa miwani hivi. Usijiulize mengi njoo...
  20. JamiiForums Tanzania Wapi Ilipokuwa Ofisi ya Market Master Kariakoo Market?

    Ilipokuwa inapita Barabara ya Swahili makutano na Mtaa wa Tandamti nimekuta pamejengwa na ni sehemu ya Soko la Kariakoo. Mtaa wa Swahili unakatika hapo na unakuja kuendelea kuanzia Mkunguni kwenda mbele. Hapo niliposimama kwenye picha nimesimama ilipokuwa zamani Barabara ya Swahili na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…