kariakoo

Kariakoo is a ward in the Ilala District of Dar es Salaam, Tanzania. It has a population of 9,405 (2002). The name derives from a corruption of the British "Carrier Corps", that used to be based in this area. Today, Kariakoo is mainly known for its extensive market, that spans several city blocks.

View More On Wikipedia.org
  1. A

    JamiiForums Tanzania Kwanini daladala hazifiki Kituo cha BRT na Daladala Gerezani?

    Habari zenu Ndugu, Naomba ufafanuzi kidogo maana kuna jambo linasababisha kero na foleni kubwa ndani ya Kariakoo. Hivi haya madaladala yenye route kama Masaki---Gerezani kwanini yanaishia kariakoo na hayafiki kabisa gerezani? Je, kuna mpango wa kuyahamishia kituo cha Gerezani? Kituo hicho...
  2. F

    JamiiForums Tanzania FURSA: Biashara ya playstations/games Kariakoo

    Hello fellas. Kuna fursa ya biashara ya playstations/games Watu wengi wamekuwa wakiuziwa games kwa bei ghali sana pia wakiuziwa mashine ambazo sio imara. Kuna mahali Kariakoo wanauza games kwa bei nzuri na mashine zao imara. Ninachopenda toka kwao wanauza games original na wanazo mashine...
  3. D

    JamiiForums Tanzania Ripoti ya kamati ya Moto soko la Kariakoo imeshamalizika na kukabidhiwa?

    Tangu janga la moto, waziri mkuu aliunda kamati ya uchunguzi akaipa wiki moja, then ikaongezewa wiki ya pili! Hivi sasa mwezi umepita bado kimya, Je tuendelee kusubiri report au LAH?
  4. JamiiForums Tanzania Kariakoo, Dar: Moto Moto waunguza sehemu ya hoteli ya Rungwe Palace

    Imeripotiwa, ajali nyingine ya moto imeteketeza hoteli huko Kariakoo. Hadi muda huu moto unaendelea na jitihada za kuudhibiti pia zinaendelea. ========= Moto Umeibuka katika Hotel ya Rungwe Palace iliyopo Mtaa wa Livingston na Mahiwa Jirani na Msikiti wa mtoro Jijini dsm na kuzua Taharuki...
  5. JamiiForums Tanzania Kariakoo: Rungwe Palace yaungua Moto, wadhibitiwa mapema

    Rugwe Hotel inaungua saivi
  6. JamiiForums Tanzania Siku saba za uchunguzi wa moto sokoni Kariakoo zinaanza kuhesabiwa lini?

  7. J

    JamiiForums Tanzania RC Makala: Rais Samia ametoa Tsh 100 milioni kuboresha soko la Machinga Complex, kutazungushwa bati na meza za kisasa

    Rais Samia ametoa tsh milioni 100 ili kuboresha soko la Machinga comllex na kuwezesha wamacbinga wote wa kariakoo kuhamia hapo Karume RC Makalla amesema maboresho yanaanza mara moja ikiwa ni pamoja na kuzungushia uzio wa mabati na kuweka meza za kisasa za kupanga biashara Chanzo: ITV habari
  8. JamiiForums Tanzania Amos Makalla: Hakuna kulipa ushuru kwa miezi miwili, hicho ndio kifuta machozi kwa wahanga wa soko la Kariakoo

    "Nitoe wito kwa wale wanaowapokea kwenye masoko, kwamba utaratibu ni ule ule wale ambao wametoka Kariakoo, wakiratibiwa wakifika maeneo hayo hakuna kulipa ushuru kwa miezi miwili, na hicho ndio kifuta machozi kwa wale walioathirika" - RC Dar es Salaam, Amos Makalla
  9. JamiiForums Tanzania Ninasikia fire extinguishers zimekwisha Kariakoo

  10. T

    JamiiForums Tanzania Dawa ya kuku mpya tatu kwa moja inapatikana wapi kwa Mbagala, Kariakoo na Buguruni

    Wadau Habari zenu. Kuna dawa kuku mpya nilisikia muda kidogo ikitangazwa kwenye redio jina sikumbuki vizuri maana nilisikia kwa mbali tatu kwa moja yaani inakuwa na newcaster na mchanganyiko wa dawa zingine mbili na kufanya kuwa mchanganyiko wa dawa tatu kwa pamoja sasa swali langu kwa kisiwa...
  11. JamiiForums Tanzania Kibonzo cha leo, Harakati za kuzima moto Kariakoo

  12. JamiiForums Tanzania Natafuta kazi yoyote, elimu yangu ni Form Four

    Natafuta kazi yoyote elimu yangu ni Form Four, napatikana Dar es Salaam, Kariakoo. Popote naweza kufanya uaminifu ni kipaumbele namba moja kwangu.
  13. JamiiForums Tanzania Ijue historia ya soko kuu la Kariakoo

    Neno ‘KARIAKOO‘, asili yake ni neno la Kiingereza la ‘Carrier Corps’, likiwa na maana ya kwamba mahala hapo ndipo inapomalizikia misafara iliyokuwa ikiwasili kutokea nje ya hapa mjini, wakati huo wa utawala wa Wajerumani na Waiingereza. Misafara hiyo ilihusisha askari pamoja na wapagazi...
  14. JamiiForums Tanzania Ngumi hupiganwa mara 5 kwa siku Kariakoo

  15. J

    JamiiForums Tanzania Waziri Ummy: Masoko na Stendi zote zinazomilikiwa na TAMISEMI kujengewa Visima vya Maji ili kukabiliana na moto

    Waziri wa TAMISEMI, Mhe. Ummy Mwalimu amesema Serikali itajenga visima vya maji kwenye masoko na stendi za mabasi zote zinazomilikiwa na Halmashauri ili kukabiliana na majanga ya moto pindi yanapojitokeza. Chanzo: Radio One
  16. M

    JamiiForums Tanzania Nilichojifunza kupitia moto soko la Kariakoo

    Moja kwa moja niende kwenye mada wana jf,..ni dhahiri wengi tumesikitishwa na janga ka moto lililotokea kariakoo na kuwaacha wafanyabiashara wengi na majonzi.Katika kila jambo linalotokea kuna pia la kujifunza. Jeshi la zimamoto lime jidhihirisha lilivyo la hovyo kuanzia vitendea kazi vyake...
  17. JamiiForums Tanzania Moto warudi tena Soko Kuu la Kariakoo

    Inasemekana moto umerudi tena Soko kuu la Kariakoo, bado zoezi la uzimaji moto katika Soko hilo linaendelea baada ya sehemu ambazo zilizimwa moto kufuka moshi na kuanza tena. SOURCE: ITV
  18. JamiiForums Tanzania Maajabu: Aliyejenga soko la Kariakoo alikufa 10 Julai

    Alifariki 10 Julai na Soko limeungua 10 Julai
  19. JamiiForums Tanzania Moto Kariakoo: Tunaendekeza machinga mentality, tumeanza kuvuna mabua

    Management ya miji mikubwa kwetu Afrika ni kitu kipya. Wenzetu Ulaya na kwingineko walijifunza the hardway. Moto wa London, The Great Fire of London mwaka 1666, karibia miaka 500 iliyopita , Uingereza ilijifunza kutokana na moto huo wa siku nne mfululizo. Chanzo: Machinga type mentality. Sisi...
  20. JamiiForums Tanzania Rais Samia atoa pole kwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam na Wafanyabiashara kufuatia kuungua kwa soko la Kariakoo

    Rais Samia Suluhu Hassan ametoa pole kwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Amos Makalla na Wafanyabiashara wa Soko Kuu la Kariakoo kufuatia hasara kubwa waliyoipata kutokana na kuungua moto kwa soko hilo. Kufuatia hasara kubwa iliyotokana na moto huo, Rais Samia ameviagiza vyombo vya ulinzi na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…