kariakoo

Kariakoo is a ward in the Ilala District of Dar es Salaam, Tanzania. It has a population of 9,405 (2002). The name derives from a corruption of the British "Carrier Corps", that used to be based in this area. Today, Kariakoo is mainly known for its extensive market, that spans several city blocks.

View More On Wikipedia.org
  1. Rais Samia atoa pole kwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam na Wafanyabiashara kufuatia kuungua kwa soko la Kariakoo

    Rais Samia Suluhu Hassan ametoa pole kwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Amos Makalla na Wafanyabiashara wa Soko Kuu la Kariakoo kufuatia hasara kubwa waliyoipata kutokana na kuungua moto kwa soko hilo. Kufuatia hasara kubwa iliyotokana na moto huo, Rais Samia ameviagiza vyombo vya ulinzi na...
  2. Majanga kama hili la Moto Kariakoo yanazidi kutukumbusha umuhimu wa Sekta Binafsi kwenye Uchumi

    Najua bado itatuchukua muda sana kwa watunga sera kulielewa hili suala, maana ni suala la kifalsafa zaidi. Fikiria kama ungekuwa na huduma ya Fire ambayo ni ya binafsi, ambao wana kandarasi ya kuzima moto kwenye jiji, utendaji wake ungekuwa wa tofauti sana. Private sekta ipo efficient sana...
  3. Serikali yaunda Kamati kuchunguza chanzo cha moto Soko Kuu Kariakoo. Waziri Mkuu asema hatua zitachukuliwa moja kwa moja ikijulikana kuna mkono wa mtu

    Habari wakuu, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Amos Makalla akiwa Soko Kuu la Kariakoo, amesema serikali imeunda tume ya watu kumi kuchunguza na kupata ukweli wa chanzo cha moto na athari zilizopatikana ikiwemo mali zilizoteketea, pia amesema Waziri mkuu yuko njiani kuja kukagua na kuongea na...
  4. K

    Kuunga kwa Soko la Kariakoo, kuna la kujifunza?

    Majanga mengi yamekuwa yakijitokeza ya moto.Sasa hivi kuna janga la moto Soko la KARIAKOO, Shule moja huko Morogoro. Je kutokana na majanga haya na mengine ambayo yalishawahi kutokea huko nyuma na chanzo chake kusemekana ni hitilafu ya umeme, JE KUNA CHA KUJIFUNZA KUHUSU MAJANGA HAYA YA...
  5. Majaribu ni mtaji. Kuna jamaa ana duka Kariakoo limeungua halafu ana nyumba pale Kimara na amepokea notisi ya kubomolewa

    Habari wadau..! Maisha yana majaribu sana ,jamaangu kakopa mkopo bank akafungua duka pale kariakoo na mzigo wote umeungua huku nyumba yake pale Kimara inangoja kubomolewa. Hakika majaribu ni mtaji, Mungu ampe tu wepesi mzee Massawe😂😂😂
  6. Soko la Kariakoo lateketea kwa moto

    Soko Kuu la Kariakoo jijini Dar es Salaam linaungua moto usiku huu huku jitihada za kuuzima zikiendelea. Akizungumza na Mwananchi kwa simu, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Amos Makalla amethibitisha tukio hilo. Makalla ambaye yuko kwenye eneo la tukio, amesema; “Ni kweli soko linaungua na tuko...
  7. Msaada bei za simu Kariakoo

    Hope mpo poa.naomba kujua bei ya simu zifuatazo kwe bei ya jumla kwa dar(kariakoo):tecno 528,tecno 351,tecno 313,tecno 301,tecno 372,tecno 474,tecno 454,itel 2160,itel 2173 na bontel l 600.
  8. M

    Baada ya Rais Samia kuhudhuria Kariakoo Derby, atakuwa ameshajibu swali la nani hasa aliyeahirisha Mechi ya Mei 8, 2021

    Kwa miaka ya karibuni ukiwa Rais wa Tanzania na ukitaka ujihakikishie sana Kupendwa / Kukubalika na Wananchi anza Kuwapenda Vijana kisha njoo kwa Wasanii wa Muziki Kisha maliza na Wapenda Soka hasa wa Simba na Yanga. Hata hivyo pamoja na kwamba Rais Samia alihudhuria Mechi ile ya Watani ila...
  9. Zimamoto IIala wadhibiti moto Kariakoo (Julai 4, 2021)

    Kariakoo inaungua na moto muda huu ====== Dar es Salaam: 04.07.2021 Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Wilaya ya Ilala Jijini Dar es Salaam, limefanikiwa kudhibiti moto uliokuwa ukiwaka katika nyumba inayomilikiwa na familia ya Mussa Pazi, iliyopo mtaa wa Mafia na Msimbazi, Kariakoo. Chanzo cha...
  10. Pendekezo: Jangwani paboreshwe Wamachinga wa Kariakoo wahamishiwe hapo

    Wanabodi, Ni dhahiri kwamba ipo changamoto kubwa sana ya wafanyabiashara hawa wadogo pale Kariakoo. Wamekuwa wengi mno na kusababisha adha kubwa sana kwa wenye maduka na wateja waendapo kupata huduma. Ninapendekeza eneo lote la jangwani painuliwe, pajengwe vizuri na kuwekewa vibanda modern...
  11. B

    Hivi Ali Kiba alimaanisha nini alipoimba kwa kusema 'Ushamba mwisho kwa mtoto wa Kariakoo'?

    Wakulungwa inakuwaje? Kwa wale mliowahi kukaa na kuishi mitaa ya kariakoo au mpaka sasa mnaishi hapo Kariakoo naombeni mnijuze kwa wale mnaojua hii kauli ya watoto wa Mjini akina KINGKIBA wa maeneo ya kariakoo wanayopenda kutumia kuwa "USHAMBA MWISHO KWA MTOTO WA KARIAKOO" wana maana gani maana...
  12. Kariakoo na Dar es Salaam: Wanahistoria tendeeni haki Historia za majina hayo

    Tafiti ndogo tu, yangu binafsi na isiyo na shaka kabisa niliyoifanya kuhusu jina la jiji letu kuu "Dar Es Salaam" na jina la soko letu kuu "Kariakoo" ninaihitimisha kwa ufupi (summary) hapa chini kwa kusema wanahistoria hususan wa hapa Tanzania hawayatendei haki hayo majina kwa kutuaminisha...
  13. Kauli ya Rais Samia kwa wananchi akiwa Kariakoo kwamba "Serikali inawabeba" ina ukakasi

    Baada ya kuahidi kushughulikia changamoto za soko la Kariakoo, Mhe. Rais S.S. Hassan amewaambia wananchi "na nyinyi wakati serikali inawabeba, wanasema abebwae hujikaza, na nyinyi jitahidini kufuata sheria zinazowekwa katika maeneo mlipo maanake nimeona njia zote zimezingiwa, vibanda kila...
  14. Laiti Rais samia angeijua historia ya soko la Kariakoo katika kupigania uhuru wa Tanganyika

    Mama Samia leo asubuhi aliamkia Soko la Karikaoo kuangalia biashara inavyokwenda na kuzumgumza na viongozi wa soko. Allah ana rehma zake na hutukumbusha mengi kwa njia ambazo mtu huwezi kutegemea. Hapo aliposimama kwenye gari Rais Mama yetu Samia Soko la Kariakoo alikoelekeza sura yake ni Mtaa...
  15. Rais Samia afanya ziara ya kushtukiza Kariakoo, Mbagala na Mwananyamala Jijini Dar

    Rais Samia Suluhu Hassan amefanya ziara ya kustukiza katika soko la Kariakoo Dar es Salaam na kuongea na wafanyabisahara wa maeneo hayo KARIAKOO Rais Samia Suluhu amewatembelea na kuwasikiliza wanyabiashara wanaofanya biashara ndani ya soko la Kariakoo, baada ya matembezi Rais Samia...
  16. M

    Chagua sababu yako Kuu Kati ya hizi zifuatazo ya kwanini TFF imeisogeza Kariakoo Derby hadi tarehe 3 July, 2021?

    a) Kuipa Yanga SC muda mrefu wa Kujiandaa kwakuwa Kocha wao bado ni Mgeni na wasije Wakafungwa Kikatili na Simba SC. b) Kuihujumu Simba SC hasa Kimapato kutokana na kwamba Kimahesabu hadi tarehe mpya iliyopangwa Simba SC atakuwa ameshatangazwa Bingwa hivyo hata idadi ya Mashabiki itapungua...
  17. J

    Kigoma ni sawa na Makete dini iliingia mapema lakini wamechelewa sana kupata maendeleo, Waha na Wakinga matajiri wa Kariakoo!

    Nimeliangalia jimbo la Muhambwe na kule Kibondo kwa kweli pamoja na mbwembwe za Zitto na Kafulila lakini Kigoma bado ni maskini sana. Naweza kuufananisha mkoa wa Kigoma na wilaya ya Makete mkoani Njombe kwa akina Jah People, yaani full umaskini Ila ukipita mitaa ya Kariakoo matajiri ndio hao...
  18. Kamanda kova afichua siri ya mabenki kuvamiwa asema,dharau za wamiliki wa benki ndio tatizo..

    JESHI la Polisi Kanda Maalum Dar Es Salaam limefichua Siri ya kuongezeka Vitendo vya ujambazi katika maBenki mbalimbali hapa nchini na kusema vitendo hivyo vinasababishwa na Wamiliki wa Mabenki hayo kulipuuza Jeshi la polisi,Kauli hiyo ya Jeshi la polisi Kanda ya Dar es Salaam imekuja...
  19. E

    Tafadhali ningependa kujua bei za vijora kwa jumla Kariakoo vinauzwaje?

    Habari wana JF. Hongereni kwa mfungo wa mwezi mtukufu wa ramadhani. Tafadhali ningependa kujua bei za vijora kwa jumla Kariakoo vinauzwaje? Hizi ni gauni za kina dada wengi hupenda kuvaa nyumbani au shughulini. Zimekuwa mbadala wa khanga. Asante.
  20. Rais Samia najua mapato ya mwezi wa 4 umeyaona tayari. Kariakoo wanakuangusha

    Naomba ku-declare interest. Mimi binafsi nampenda na kumkubali Sana Mama Samia hivyo kwa nguvu na uwezo nilionao sitakubali hujuma yoyote kwake. Nchi inaendeshwa kwa Kodi, hivyo kauli ya mama Samia kusema tutumie akili kukusanya hakumaanjsha tusilipe Kodi na badala yake mapato kupungua na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…