kariakoo

Kariakoo is a ward in the Ilala District of Dar es Salaam, Tanzania. It has a population of 9,405 (2002). The name derives from a corruption of the British "Carrier Corps", that used to be based in this area. Today, Kariakoo is mainly known for its extensive market, that spans several city blocks.

View More On Wikipedia.org
  1. Hapo ni Kariakoo Mwaka 1975

    Hapo ni Kariakoo Mwaka 1975
  2. Yanga imelimwa faini ya TSh. Milioni 10 kwa kupita mlango usio rasmi mechi ya Dabi ya Kariakoo

    Klabu ya Yanga imelimwa faini ya TSh. Milioni 12 na Bodi ya Ligi kwa makosa tofauti ikiwa ni pamoja na kupita mlango usio rasmi kwenye mechi ya Dabi ya Kariakoo, ambayo walishinda bao 1-0 mbele ya Simba SC Pia, Ramadhan Kayoko na Waamuzi waliochezesha mechi za Yanga (Vs Simba Vs Coastal Union)...
  3. Wakinga Wana ajenda gani Kariakoo?

    Wakinga wamekuwa tishio sio tu kwenye kufanya biashara kariakoo Bali tuliwazoea Kama watu ambao wapo serious na utafutaji kariakoo Lakini sasa wamegeuka kuwa hatari kwa usalama wa raia idara za usalama zinatakiwa kufatilia Iko hivi sasahivi mkinga akitaka eneo kariakoo atalichukua tu utake...
  4. Jengo moja lateketea kwa moto Kariakoo

    Jengo la biashara linalouza magodoro lililopo eneo la Mtaa wa Nyamwezi na Kipata katika Soko la Kimataifa la Kariakoo Jijini Dar es Salaam limeteketea kwa moto Jioni hii. Chanzo cha moto huo bado hakijajulikana. Soma Pia: Kariakoo: Moto Mkubwa unawaka Msimbazi
  5. Basi la Mwendokasi limeua mtu Kariakoo, Dereva Bodaboda wamshambulia Dereva wa Mwendokasi

    Habari ya mchana wakuu, niko hapa maeneo ya kariakoo kuna ajali imetokea gari ya mwendokasi iliyokuwa inaendeshwa na mwanamke imemgonga mtu na mwili kusagika hapo hapo, inasemekana huyu ni mtu wa tatu anagongwa na kufa hapo hapo na huyu mwanamke. Mwenye maelezo zaidi kuhusu huyu mwanamke...
  6. House4Sale Kariakoo: 4th Floor 3 Bdrm Apartment For Sale - Dar

    • Direction: Kibambawe Street • Facilities: 3 bedrooms, 2 washrooms • Document: Sub Title • Price: TZS 130 million . ✓ inauzwa bila samani (unfurnished) ✓ Ghorofa ya 4 (hakuna lift) ✓ vyumba master 1 na kawaida 2; jiko lenye makabati; balkoni zenye grill ✓ malumalu; madirisha ya aluminium; feni...
  7. House4Sale Kariakoo: 200+ Sqm New 3 Bdrm Apartments For Sale - Dar

    • Direction: Ungoni Street • Price: USD 120,000 • Terms: 50% Upfront; the rest within 3 years • VAT & Transfer not inclusive in price • Monthly Service charge: TZS 180,000 . ✓ new built (not used before) ✓ lift & power backup generator ✓ unfurnished ✓ 200+ sqm ✓ 1 master & 2 common bedrooms...
  8. Derby ya Kariakoo ichezeshwe na Marefa kutoka nje

    Marefa toka nje wawe wanachezesha derby ya kariakoo,inashangaza marefa wa ndani kurudia makosa yale yale kubeba timu moja.  Sehemu ambayo kadi nyekundu inatakiwa haitolewi,penati zinazostahili zinaminywa kubeba timu flani. Rushwa nje nje, Chama anaingia kupiga foul aliyotengenezewa mazingira.
  9. KARIAKOO DERBY-VIPIGO VIKUBWA!

    Huwa nashangaa sana kukuta thread ile ya ushindi wa Yanga wa 5-1. Nimeona nianzishe hii thread niwe nawakumbusha kuhusiana na rekodi za vipigo vikubwa. Simba 1 5 Yanga Simba 5 Yanga 0 Simba 6 Yanga 0 Yanga 5 Simba 0 Hadi sasa Yanga ndo wamepokea kichapo zaidi kwenye mizani ya vipigo vikubwa.
  10. Kuelekea Derby ya Kariakoo kesho, tabiri tukio gani la kisiasa litajitokeza

    Kama mnavyojua, Simba na Yanga ndio mtaji wa wanasiasa wa Tanzania. Hebu tabiri unahisi tukio gani la kisiasa lazma litajitokeza uwanjani?
  11. P

    Maofisa wadai service levy tax Kariakoo acheni jeuri na kiburi, wafanyabiashara ni uti wa mgongo wa Kariakoo

    Punguzeni jazba, waelemisheni wafanyabiashara watalipa kwa upendo, kulazimisha na kutishana kumepitwa na wakati, Leo nimekuta hiyo kesi kwenye duka moja kariakoo, mdai service levy analazimisha mfanyabiashara afunge duka au alipe, wakati mfanyabiashara anaomba muda wa wiki mbili ndio alipe...
  12. Jonas Mkude: Nikitoka kuamka Derby nacheza ya Kariakoo

    Joto la Dabi ya Kariakoo linazidi kupanda, huku mchezaji Jonas Mkude, anayejulikana kwa kucheza mechi nyingi za Dabi hiyo, amesisitiza ukubwa wa mchezo huo katika maisha yake ya soka. Mkude amesema kuwa hata akiamka asubuhi, anakuwa tayari kucheza Dabi ya Kariakoo. "Ni kama sehemu ya maisha...
  13. Dukani kariakoo live:simu,TV,majiko,vifaa vya simu na computer.bei jumla

    Naomba mods msifute hii thread yangu Wana jukwaa kila siku nitakuwa na post simu hapa na vifaa vyake pia laptop flat TV na majiko ya gesi ukiitaji chochote nitakuletea .bei ni za jumla na bidhaa zetu ubora umezingatiwa Nauza jumla na rejareja Karibuni sana. Kwa wale wafanyabiashara nawapa bei...
  14. Kichekesho cha hizi 2 mbeleko fc za kariakoo kushangilia droo wakati hazijawahi vuka robo fainal upuuzi mtupu

    Mjadala ni tangu jana kutoka kwa droo ya Caf , washabiki maandazi wa hizo timu mbili mbeleko fc za kariakoo wacha nizitaje utopolo na makolo. Wanashangilia eti kwa kuwatizama wapinzani wao tayari wameshapita nasema shenzi tena hawana akili hizo timu zao kupita makundi si kawaida je mmeshawahi...
  15. K

    NMB Kariakoo Siku ya Huduma kwa Wateja haiwahusu

    Tawi lenu lililipo mtaa wa Livingstone Kariakoo ni tawi linalotoa huduma mbovu zaidi ya matawi yote niliyowahi kuhudumiwa. Ni mara kadhaa inanichukua hadi saa tatu kuhudumiwa huku nikiwa na kadi yenu ya Loyal customers ambayo pia nailipia. Kuna madirisha manne lkn mara nyingi kama sio zote...
  16. Simba na Yanga mpaka sasa kutokuwa na Viwanja vyao vyenye hadhi ya Kimataifa? Tatizo ni TFF, Sera au?

    Simba na Yanga ni vilabu vikongwe na vikubwa si Africa Mashariki tu bali Afrika kwa ujumla. Yanga na Simba zina historia kubwa pengine kuliko vilabu vingi Africa, historia zao zimejengwa katika lengo lililofanya vilabu hivi kuazishwa miaka zaidi ya 63 iliyopita. Vilabu hivi unaweza kuviita ni...
  17. N

    DOKEZO Watu wawe makini na Mtandao wa 'Simu za Mtumba' Kariakoo

    Kariakoo (Dar) kwa siku za hivi karibuni kumeibuka wimbi la kubwa la biashara ya simu zilizopachikwa jina kama 'Simu za Mtumba' ambazo uuzwa kwa bei nafuu, simu hizo ni za 'brand' mbalimbali nisingependa kuyataja hapa. Udadisi nilioufanya kwa miezi kadhaa ambayo nimekuwepo Kariakoo nimegundua...
  18. Jinsi ya kuepuka kupigwa na mawinga Kariakoo

    Kwema Wakuu! Nimemsikia ndugu yangu ngara23 akilalamika mwezi mzima wa Tisa, na sasa tumeingia mwezi wa Kumi bado anaendelea kulia. Kariakoo mawinga kabla mteja hajafika tayari wanakuwa na bei wameshakubaliana karibu mtaa mzima. Mfano, umeenda kununua fridge aina ya Hisense lita 160...
  19. Kariakoo hakuna machimbo tena, kwa atakayepuuza sitaongea tena

    Usijisumbue kwenda Kariakoo kununua mzigo ukidhani Kuna bei nafuu Kariakoo wamejaa wajanja na madalali tu Unaweza ingia kwenye duka ukamkuta mwenye duka ukamuuliza bei akakuelekeza uongee na vijana wake wakuumize Nyie watu situka Kariakoo hakufai kabisa, mawinga wameharibu uaminifu. Matajiri...
  20. Kariakoo inakuwaje duka Moja la simu Kuna wauzaji zaidi ya 20

    Dar inashangaza Tunatoka mbali kuchukua mizigo Kariakoo ambapo tunaamini ndo kitovu cha biashara na bei zitakuwa nafuu. Ukifika inatakiwa bei kubwa sawa na hapa Ngara. Kumbe wenye maduka wameruhusu udalali wa kijinga hadi Kwa mteja aliyejileta dukani unamwekea watu wa kumpandilia bei, sio fair...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…