kanisa katoliki

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    Sasa ni muda wa PAPA wa kanisa katoliki awe Mwafrika, Wazungu wengi wameacha kwenda makanisani

    Waafrika ndio tunaongoza kwa kuwa na waumini wengi wa kanisa katoliki Duniani, Kuchagua Papa Mzungu si sahihi. wazungu wengi wameachana na mambo ya dini na hawaendi makanisani, mambo ya dini yamebaki Afrika, kwa mbali kidogo Nchi za kilatini na Ulaya ya maghariki. Hali ya kidini nchi za...
  2. Sikumbuki kwa miaka ya karibuni kuwepo Papa mweusi, je Kanisa katoliki ni taasisi ya kibaguzi?

    Sikumbuki kwa miaka ya karibuni kuwepo papa mweusi. Sikumbuki katika Uislam kuwepo kiongozi wake wa juu baada ya kifo cha Muhammad ukiachia mbali Bilal muethiopia aliyekuwa muadhini nafasi ambayo mara nyingi ni ya watu wa daraja la chini. Kwa misingi hiyo hapo juu, je Kanisa katoliki ni...
  3. U

    Mfahamu kwa picha Papa mtarajiwa wa Kanisa Katoliki kutokea Ghana Kadinali Peter Kodwo Appiah Turkson

    Wadau hamjamboni nyote? Miongoni mwa wanaopewa nafasi kubwa ya kuwa Papa mpya ni Kardinali Peter Turkson, askofu mkuu kutoka Ghana, ambaye huenda akaweka historia kwa kuwa Papa Mweusi wa kwanza. Anatajwa kurithi mikoba ya Upapa Peter Kodwo Appiah Turkson (Born 11 October 1948) is a Ghanaian...
  4. Kuna tofauti ndogo sana kati ya Umoja wa Mataifa (UN) na Kanisa Katoliki,kushindana nao ni kujitafutia matatizo

    Mimi binafsi nimekulia katika imani ya kikatoliki na nimesoma shule ya mission ya Kanisa Katoliki,sio seminary..nikidhani RC ni dhehebu. Baada ya kukua nikagundua RC sio dhehebu bali ni mfumo wa kiitawala kama ilivya kwa Umoja Wa Mataifa. Kuanzia siku hiyo niliacha kusali Papa ni kama katibu...
  5. S

    Sheikh Mwaipopo ni mnafiki wa kupindukia. Kama sio mnafiki, mbona hakutaja jinsi Kataliki walivyokemea utawala wa Magufuli?

    Mods naomba muache huu uzi kama ulivyo kwasababu inabidi hawa watu tuwakabili kwa uzito unaostahili. Huyu Sheikh mnafiki na muongo anahoji maaskofu wa katoliki wanamkosoa Samia kwasababu ni muislamu na anahoji mbona wakati wa Magufuli wapinzani walifungwa mpaka jela na.maaskofu hawa hawakusema...
  6. Je, ni muda muafaka sasa kiongozi wa kanisa Katoliki kutokea Afrika?

    Tangu kuanzishwa kanisa katoliki halijawahi kutoa papa anaetokea Afrika, japo walikuwepo wachache wenye asili ya kiafrika na ni zamani sana huko. Je ni wakati sahihi kwa Afrika kwa mara ya kwanza kuongoza kanisa hilo? Vip nafasi ya mapadri kutoka Tanzania na Afrika kwa ujumla kuongoza kanisa hilo?
  7. R

    TANZIA Papa Francis amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 88

    Kiongozi wa Kanisa Katoliki Duniani, Papa Francis, amefariki dunia leo April 21,2025 kwenye Jumatatu ya Pasaka akiwa na umri wa miaka 88 ambapo Vatican imethibitisha na kusema Papa amefariki kwenye makazi yake Vatican na taarifa zaidi kuhusu kifo chake zitatolewa. Papa ambaye alizaliwa mwaka...
  8. PreGE2025 Sheikh Mwaipopo amvaa Askofu wa Kanisa Katoliki kisa Tundu Lissu, adai kauli yake ni kutaka kuiingilia Serikali

    Kiongozi wa Dini ya Waislamu Sheikh Mwaipopo amjia juu Rais wa Baraza la Maaaskofu wa kanisa katoliki (TEC) Askofu Dkt. Pisa kwa kutoa kauli ya kulaani na kutaka Mwenyekiti wa Chadema Taifa, Tundu Lissu aachiwe haraka, adai kauli hiyo ni kutaka kuiingilia Serikali. Pia, Soma: Baraza la Maaskofu...
  9. Sheikh Mwipopo: Kanisa Katoliki liliongoza mauaji ya kimbari Rwanda, Burundi na Congo, alionya kupandikiza roho ya chuki za kidini Tanzania

    Sheikh maarufu Tanzania ndugu Mwipopo ametoa onyo kwa kanisa katoliki kwa mwenendo wake wa kupandikiza chuki za kidini, hasa inapotokea Rais ni muislam. Sheikh huyo ametoa mfano wa mauaji ya kimbari Rwanda ambapo kanisa hilo lilikuwa linawakusanya watu makanisani kwa kisingizio cha kuwasaidia...
  10. S

    Kweli kanisa Katoliki wanapenda kiki:Eti wadau waliokamatwa waachwe bila masharti, hawa hawajui zama zao zimeshaisha

    We rais wa TEC ni nani kuiamrisha serikali iachie watuhumiwa wa uhaini tena unapanga bila masharti, who are you? Hawa maaskofu wanajitambua kweli? Wanafikiri hii ni Roma Empire? Wanapenda kiki za kijinga waonekane wana nguvu flani nyuma ya pazia waache upuuzi wao zile zama za kijinga za papa...
  11. M

    Kwanini Kanisa Katoliki hawavunji Mkataba wa Fedha MoU?

    KANISA KATOLIKI KWANINI HAWAVUNJI MKATABA WA FEDHA ZA MOU? Katika hati hiyo, iliyotiwa saini Februari 21, mwaka 1992, upande wa serikali uliwakilishwa na mmoja wa mawaziri wake waandamizi wa wakati huo. Makubaliano hayo yalifanyika kwa kuzingatia mambo kadhaa, ambayo ni pamoja na hali ya...
  12. PreGE2025 Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC): Wote waliokamatwa kwa kudai haki, wakiwemo viongozi wa vyama vya kisiasa, waachiwe haraka na bila masharti

    Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) limetoa wito kwa serikali ya Tanzania kuwaachilia mara moja na bila masharti viongozi wa kisiasa waliokamatwa kwa kudai haki, likisisitiza kuwa hatua hiyo ni muhimu katika kulinda amani ya taifa, hasa kuelekea mwaka wa uchaguzi. Rais wa TEC na Askofu...
  13. R

    Video: Ibada ya ijumaa kuu kwenye kanisa katoliki Tanzania ilivyoendeshwa kwa kulipigia magoti na kubusu sanamu

    Wakati wengine tunachukulia imani poa, Wakatoliki wapo serious wanastahili pongezi. Sanamu haliachiwi hivihivi tu, linapigiwa magoti kwa nidhamu, linashikwa tumbo kwa adabu, Kisha linabusiwa ubavuni kwa unyenyekevu kama unavyoona kwenye video Wakatoliki kwenye suala la imani mpewe maua yenu 🙌🙌
  14. Kanisa Katoliki ndio taasisi inayoweza kumuokoa Lissu na kuirudisha CHADEMA katika uchaguzi kwa sasa.

    Kati ya taasisi ambazo zingeweza kupiga kelele kushinikiza Lissu asihukumiwe kwa uhaini ni balozi za Marekani na Umoja wa Ulaya lakini kwa sasa ni dhaifu sana na zimepoteza hadhi na heshima ya kutiliwa maanani na dola. Taasisi muhimu iliyobaki yenye ushawishi mkubwa katika jamii inayoweza...
  15. Nguvu ya kanisa katoliki, Kesho ijumaa kuu. Butcher zitafungwa

    Najivunia kuwa mkatoliki Kesho ijumaa kuu, sisi wakatoliki katika Amri za kanisa, tunaamriwa kufunga siku ya ijumaa kuu na kutokula kitoweo Hii imeathiri pote Machinjioni kesho hawachinji wanyama Wale wasiokuwa wakatoliki watakula maharagwe Yaani ni hivi Kesho taka usitake, uwe mkatoliki...
  16. PreGE2025 Kanisa Katoliki lahoji uhalali wa Tume ya Uchaguzi, lasema wajumbe ni wateule wa Rais

    Wakati Mufti akisema tusianzishe chokochoko zitakazosababisha vita, wenzao wa Kanisa Katoliki wamehoji juu ya Haki ya Kupiga kura. Msimamo wa Kanisa umewekwa wazi kuwa wana shaka na tume huru ya uchaguzi
  17. Nimefikia Conclusion Kanisa Katoliki ni waungwana, na wavumilivu, dini zote zina ibada za sanamu ukiwemo Uislamu

    Hili kanisa katoliki lipewe mauwa yake, unajuwa utandawazi unakuja na mengi sana na kuyafahamu hata yaliyojificha. Kwa muda mrefu Kanisa katoliki limekuwa likishambuliwa na madhehebu mengine ya kikristo hasa Wasabato na waislamu kwamba wanaabudu sanamu, kumbe hizi rituals zinafanywa na dini...
  18. PreGE2025 CHADEMA Mara yawasilisha ripoti ya vifo na upotevu kwa Kanisa Katoliki

    Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Mkoa wa Mara kimewasilisha ripoti maalum kwa Kanisa Katoliki, ikielezea matukio ya watu waliouawa au kupotea katika mkoa huo. Sambamba na hilo, chama hicho kimetumia nafasi hiyo kueleza msimamo wake wa No Reform No Election, ukimaanisha kwamba kitazuia...
  19. Maaskofu Kanisa Katoliki watoa utaratibu wa Misa kujikinga na Ugonjwa wa Mpox

    Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) limetoa utaratibu wa misa zake ikiwemo kusitisha kupeana amani kwa mikono ili kujikinga na maambukizi ya virusi vinavyosababisha ugonjwa wa Mpox (homa ya nyani). TEC inechukua hatua hiyo ikiwa ni siku moja baada ya Serikali kupitia Wizara ya Afya...
  20. U

    Ibada ya shukrani kumbukizi ya Hayati John Magufuli kufanyika Jumatatu, Machi 17, 2025 Kanisa Katoliki Chato

    Wadau hamjamboni nyote?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…