kanisa katoliki

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rais Dkt. Mwinyi achangia milioni 100 ukarabati wa Kanisa Katoliki Zanzibar

    Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema Serikali itaendelea kuimarisha Uhuru wa Kuabudu na kuziagiza Taasisi za Kidini kuendelea kuiombea Nchi amani na umoja. Rais Dk, Mwinyi amefahamisha kuwa Taasisi za kidini zina wajibu mkubwa wa kushirikiana na...
  2. D

    JamiiForums Tanzania Baba mtakatifu Francis atangaza watakatifu wapya 14

    Baba Mtakatifu Francis amewatangaza Watakatifu wapya 14 wa Kikatoliki, wakiwemo Mashahidi 11 wa Damascus waliouawa nchini Syria kwa kukataa kukana imani yao. "Padre Manuel Ruiz López na wenzake saba; Francis, Mooti, na Raphael Massabki; Padre Joseph Allamano; Dada Marie Leonie Paradis; na Dada...
  3. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania Moshi wa Dampo la Tabata ulivyotia dosari ziara ya Papa John Paulo II mwaka 1990

    Mwezi ulipita yaani September,ilitimia miaka 34 tangu kiongozi wa kanisa katoliki kwa wakati huo Papa John Paul II afanye ziara yake nchini. Hakuna ubishi ya kuwa Papa John Paul II ndio Papa maarufu na aliyependwa zaidi kwa miaka ya hivi karibuni. Sasa basi mwaka huo wa 1990,mwezi september...
  4. Zanzibar-ASP

    JamiiForums Tanzania MTAZAMO: Nini tofauti ya vifaa vya upako vya manabii (maji, mafuta, chumvi) na vifaa vya baraka vya kanisa Katoliki (maji, misalaba, rosali, picha)?

    Nimejaribu kuwaza na kutafakari haya yanayoendelea sasa katika madhehebu ya kisasa ya kikristo (makanisa ya manabii?) ya kugawa au kuuza visaidizi vya kiimani kama maji, mafuta, chumvi, vitambaa ili waumini wao wabarikiwe na yale yanayoendelea kwenye dhehebu kongwe zaidi la kikristo (kanisa...
  5. Mstahiki Mea

    JamiiForums Tanzania Rwanda yafunga Parokia 47 za Kanisa Katoliki

    Serikali ya Rwanda imezifunga Parokia 47 za Kanisa Katoliki kwa madai ya kukiuka kanuni na sheria za nchi hiyo. Kwa mujibu wa ripoti ambayo imetolewa na Maaskofu wa Kanisa Katoliki, inasema kuwa suala la uhuru wa kuabudu limekuwa changamoto kubwa nchini Rwanda. Ripoti hiyo inasema kuwa kati ya...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Kanisa Takatifu Katoliki la Mitume

    Habari Wanajamvi, familia yangu. Tukirudi nyuma kidogo. Yesu alipofariki, Petro alichukua nafasi ya kuliongoza kanisa, yaani Baba wa kanisa. Yesu aliliacha kanisa Katoliki kwenye utaratibu, hakuliacha hewani tu hovyo hovyo, na nafasi ya Petro inachukuliwa na Papa, Papa ni cheo/nafasi...
  7. Chrismoris

    JamiiForums Tanzania Just imagine haya mambo yangetokea kwa hili Kanisa Katoliki

    Ushawahi kujiuliza kwanini Mungu aliwaandaa Simeoni na Anna kumpokea mtoto Yesu pale hekaluni kabla ya umauti kuwakuta? Soma Injili ya Mtakatifu Luka (Lk 2:25-38) Sasa Imagine Yusufu na Maria wangekutana na Kuhani au mapadri wa kwetu huku kukiwa na tetesi mtaani kuwa mtoto si wa Yusufu...
  8. Chachu Ombara

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 ARUSHA: Rais Samia alirudishia Kanisa Katoliki eneo lao pamoja na Tsh milioni 500 zilizochukuliwa na Halmashauri ya Jiji

    Rais Dkt. Samia amewarudishia kanisa katoliki Mkoani Arusha eneo lao walilokuwa wanalimiki kwa muda mrefu na bada uongozi wa Mkoa kwa kushirikiana na halmashauri ya Jiji la Arusha na kisaha kuwataka kanisa katoliki kulipia eneo lao milioni 500 kitu ambacho Rais Samia ameutaka uongozi wa Mkoa...
  9. Mapambano Yetu

    JamiiForums Tanzania Kanisa Katoliki haliwezi kujibiwa kihuni

    Serikali ya awamu ya 4 ilijaribu kulitikisa KANISA na kulitaka liwe linapeleka nyaraka zake serikalini ili zipitiwe kabla ya kuzisoma kwa waumini wake. Nakumbuka kupitia kwa Cardinal Pengo KANISA liliwajibu kwamba ni vema waache kuandika nyaraka kuliko kuandika kitu ambacho kimeandaliwa na...
  10. This is...

    JamiiForums Tanzania Kadiri siku zinavyokwenda Seminari za Kanisa Katoliki zinabaki kuwa kwa ajili ya watoto wa matajiri na wenye vipato vikubwa.

    Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu. Seminari hizi za kikatoliki hawana habari na mtoto wa maskini. Nilimpeleka mtoto wa ndugu yangu aliyesoma shule za serikali kufanya interview kwa ajili ya kujiunga na kidato cha kwanza. Nilipomfikisha pale seminari nilikutana na mdau na ni mtu...
  11. D

    JamiiForums Tanzania Kadri siku zinavyoenda kanisa katoliki linapotea slowly kwa sababu watu hawataki kusali kimprinsiple preiple.

    Leo nimeona nyomi ile ya watu aliowakusanya Mwamposa kule Arusha hakika nimelisikitia kanisa langu. Kadri maaskofu na mapadre wanavyompinga mwamposa ndo anazidi kuchanja mbuga. Imekuwaje kanisa katoliki likakosa mvuto hivyo ghafla jamani.
  12. D

    JamiiForums Tanzania Mifumo yote ya dunia hii wameiga kutoka kanisa katoliki. Padre hawezi 'kum outsmart' Askofu wake lazima atafukuzwa tu

    Ili chama chochote au serikali youote hata familia idumu lazima ifate hii principal ya kanisa katoliki kwamba mdogo akifikia hatua ya kushine sana kuliko mkubwa lazima institution husika ife tu. Ndiyo mana hata hivi makanisa vidogo kama vya akina Mwamposa vina life span ndogo sana mika saba au...
  13. Zee la madawa

    JamiiForums Tanzania Kiongozi wa kanisa katoliki adakwa na vyombo vya usalama

    ⚠️😳 Kiongozi wa kanisa Katoliki adakwa na vyombo vya usalama Marekani na kuvuliwa wadhifa huo kwa kuishi maisha ya kifahari kwa kufanya utapeli wa zaidi ya shilingi bilioni 1.7 ($650k) ambazo ni michango ya wahisani na waumini kwa ajili ya kusaidia wagonjwa/wahanga wa vita nchini Lebanon...
  14. USSR

    JamiiForums Tanzania Kanisa katoliki latoa tahadhari ya homa ya nyani

    Barua hii hapa USSR
  15. chiembe

    JamiiForums Tanzania Kanisa Katoliki litoe tamko suala la Mandojo kuuliwa na mlinzi akishirikiana na waumini waliokuwa wameenda misa ya kwanza

    Nashauri Kanisa Katoliki, wakiongozwa na Padri Kitima ambaye hujitanabaisha kutetea haki za aina mbali mbali, wajitokeze kutoa neno kuhusu jambo lililofanywa na waumini wao pamoja na mlinzi, tena ndani ya eneo la kanisa. Matamko yasiishie katika siasa tu ambako huwa tunalenga kusaidia vyama vya...
  16. U

    JamiiForums Tanzania Naomba nyimbo MAARUFU za audio za kwaya Kanisa Katoliki tanzania

    Wadau hamjamboni nyote? Niwe muwazi mimi ni muumini wa Kanisa la Waadvetista wasabato ila napenda sana kusiliza nyimbo za kwaya za Kanisa Katoliki Hivyo siku ya leo kwa heshima kubwa naomba mwenye nyimbo za audios za kwaya maarufu za Kanisa Katoliki tanzania. anipatie Napendelea zaidi...
  17. J

    JamiiForums Tanzania Kanisa katoliki lamsamehe aliyekamatwa akiondoka na Ekaristi Takatifu

    Kanisa Katoliki jimbo la Ifakara limemsamehe Enock Masala mwenye umri wa miaka 19 aliyetaka kutoroka na Ekaristi Takatifu kanisani. kijana huyu alikamatwa julai 28, 2024 wakati wa misa ya kwanza Walinzi wa Kanisa hilo walimkamata na alipohojiwa na kamati ya ulinzi ya kanisa hilo alikiri kuwa...
  18. Mi mi

    JamiiForums Tanzania Kanisa katoliki ufaransa la laani maonesho ya ufunguzi wa mashindano ya olimpiki parisi 2024.

    Catholics, others respond to mockery of Last Supper at Paris Olympics In reparation for the blasphemy, Bishop Donald Hying of Madison, Wisconsin, called on Catholics to “fast and pray, renew our devotion to the Eucharist, the Sacred Heart and the Virgin Mary.”/ Credit: "EWTN News Nightly" /...
  19. stabilityman

    JamiiForums Tanzania Hii ina maana gani kwenye kanisa katoliki

    hi
  20. D

    JamiiForums Tanzania Askofu Mkuu wa Italia Carlo Maria Viganò, aliyekuwa balozi wa kipapa nchini Marekani afukuzwa na kanisa kwa kuleta mgawanyiko

    Askofu Mkuu wa Italia Carlo Maria Viganò, aliyekuwa balozi wa kipapa nchini Marekani ambaye aligeuka kuwa mkosoaji wa kihafidhina wa Papa Francis, amefukuzwa kutoka kanisa kwa ajili ya kuzua mgawanyiko. Vatikani ilisema katika taarifa kwamba kiongozi huyo alikataa "kutambua na kutii" mamlaka ya...
Back
Top Bottom