kanda

Kanda Shrine (神田明神, Kanda-myōjin, officially 神田神社 Kanda-jinja), is a Shinto shrine located in Chiyoda, Tokyo, Japan. The shrine dates back 1,270 years, but the current structure was rebuilt several times due to fire and earthquakes. It is situated in one of the most expensive estate areas of Tokyo. Kanda Shrine was an important shrine to both the warrior class and citizens of Japan, especially during the Edo period, when shōgun Tokugawa Ieyasu paid his respects at Kanda Shrine. Due in part to the proximity of the Kanda Shrine to Akihabara, the shrine has become a mecca for technophiles who frequent Akihabara.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Huenda 2024 tukawa na Waziri Mkuu mpya ili kuikamata Kanda ya Ziwa yote na kummaliza mazima Mshindani wa 2025 ndani ya CCM

    Na GENTAMYCINE naendelea Kutabiri kuwa huenda mwishoni mwa 2024 au hiyo hiyo 2024 kukatokea Msiba mkubwa au Tukio Kubwa la Kashfa ambayo itamchafua na kummaliza vibaya Mshindani. GENTAMYCINE naendelea tena Kutabiri mapema 2025 kutatokea tena Vifo vya Waandamizi wa Kati wa Chama ( CCM ) ambao ni...
  2. JamiiForums Tanzania Kumbe magari yenye Namba C yalihamia Kanda ya Ziwa

    Nilikuwa najiuliza yapo wapi magari yenye Namba C maana kule Dar es Salaam hayaonekani. Miaka ile jiji zima lilikuwa na hayo magari lakini siku hizi hayapo. Baada ya kutembea Kahama, Maswa, Meatu, Kwimba, Mwanza, Geita, Sengerema, Ukerewe, Chato, Bukoba, Magu, Bunda, Busega, Musoma na Tarime...
  3. JamiiForums Tanzania Wanaume wa Kanda ya Ziwa mmeshtuka nini hadi nyie ndiyo mnaongoza kwa Kupima DNA Tanzania nzima?

    Ndugu yenu GENTAMYCINE (kutoka Mkoani Mara) nawashaurini Vumilieni tu Kuchapiwa Wake zenu na Kulea Mimba za Wanaume Wenzenu na Watoto watakaozaliwa ni Jambo la Kawaida mno. Na nasikia baadhi yenu kama mkigundua (baada ya kupima DNA) kuwa Watoto siyo Wenu (Mmechapiwa) kwa Hasira wakiwa bado ni...
  4. JamiiForums Tanzania Kanda ya ziwa inatumika vibaya kuivusha CCM kwenye Matatizo

    Kwa lugha ya harakaharaka Kanda ya ziwa imekuwa ikitumiwa na CCM Kama kete ya mwisho kuivusha baada ya maovu yote. Bahati mbaya sana hawa wavushaji hawathaminiwi. Wanatumiwa kama condom, Uchaguzi ukiisha mambo yanaanza yaleyale. Bila Magufuli 2015 CCM ilikuwa inaaga mashindano, hata baada ya...
  5. A

    JamiiForums Tanzania Bila Kanda ya Ziwa hamna Ushindi 2025

    Kanda ya Ziwa ndio inaamua nani ni nani katika Siasa za Tangonyeka. Mwenezi ndio kioo cha Chama Chetu. Hivyo kumrejesha DAB pale kutahakikishia mboga mboga Ushindi wa kishindo 2024 na 2025. Maridhiano 'feki' tupa kule.
  6. JamiiForums Tanzania Tunduma: Yanayojiri kwenye uzinduzi wa Oparesheni 255 Kanda ya Nyasa, Freeman Mbowe aongoza Mashambulizi

    Kama tulivyoahidi hapo Awali , kwamba tutawaletea kila kinachojiri kwenye Uzinduzi huu , na hivi ndivyo tunavyofanya . Baada ya kuwasili kwenye Kanda hiyo , Mwamba mwenyewe Ustaadh Aboubakar Mbowe aliweka Saini kwenye Kitabu cha Wageni kwenye ofisi ya Kanda hiyo , Kabla ya kukinukisha Mjini...
  7. JamiiForums Tanzania Kumekucha: Oparesheni 255 yaingia Kanda ya Nyasa, kuzinduliwa Tunduma 21/10/2023

    Kuwa wa Kwanza kufahamu kwamba ile Kampeni kabambe ya kuelimisha wananchi kuhusu Umuhimu wa Katiba Mpya, ambayo imeongezwa kipengele cha kuokoa Bandari za Tanganyika, Imeingia rasmi kwenye Kanda ngumu ya Nyasa. Taarifa kutoka Makao Makuu ya CHADEMA na kwenye ofisi za Kanda hiyo zinaeleza...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Kama issue ni kuiwini Kanda ya ziwa basi mtu mwenye ushawishi ni Luhaga Mpina

    Nimefatilia hizi teuzi za hivi karibuni za kisiasa. Na nikapitia maoni kadhaa ya wadau. Nikagundua kuwa huenda mamlaka za uteuzi zimefikiria kuwa Kanda ya ziwa inaitaji mtu 'wao' Ili kuwin kura za Kanda hiyo. Na ndio ukafanyika huo uteuzi wa naibu wa mawaziri wote. Lakini kama issue ilikuwa ni...
  9. JamiiForums Tanzania Kanda ya Nyasa: Maandalizi ya Oparesheni 255 yakamilika

    Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba Kamati ya Utendaji ya CHADEMA kwenye ile kanda kabambe ya Nyasa imemaliza vikao vyake kwa ajili ya Maandalizi ya Oparesheni 255. Oparesheni hiyo Kabambe ina lengo la kuwaamsha Wananchi juu ya Umuhimu wa Katiba mpya ikiwa ni pamoja na kuwafundisha Uzalendo...
  10. JamiiForums Tanzania Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya yafanya operesheni kanda maalum ya Tarime Rorya

    Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) kwa kushirikiana na Jeshi la Polisi, Jeshi la Kujenga Taifa, Askari mgambo pamoja na vyombo vingine vya dola, imefanya operesheni maalum mkoani Mara hususani katika kanda maalum ya Tarime Rorya kwenye bonde la mto Mara. Operesheni hii...
  11. A

    JamiiForums Tanzania Jaji Mkuu na Jaji Kiongozi tunaomba muingilie hili kwa mustakabali wa haki. Jaji Salma Maghimbi ni mzigo kwa Mahakama

    Jaji SALMA MUSSA MAGHIMBI Jaji Mfawidhi Mahakama kuu Kanda ya Dar amekuwa akichelewesha kutoa nakala za hukumu pamoja na Drawing Order kwa muda mrefu. Ninavyoongea kuna hukumu alizotoa toka mwezi wa 5 ila mpaka sasa hajaweza kutoa nakala ya hukumu au drawing orders. Tunaomba Mahakama immulike...
  12. JamiiForums Tanzania Kanda ya Nyasa: Homa ya Oparesheni 255 yapanda, yasubiriwa kwa hamu

    Kuwa wa kwanza kufahamu kwamba kituo kinachofuata kwa ile Oparesheni kabambe ya 255 KATIBA MPYA , OKOA BANDARI ZETU ni Kanda ya Nyasa . Bado haikupangwa ratiba ya Oparesheni hiyo kwenye kanda hiyo , lakini tayari mizuka ishawapanda wananchi , kila mtu anasubiri ujio wa Jambo hilo Taarifa...
  13. JamiiForums Tanzania Kwanini ndizi mshare hazipatikani Kanda ya Ziwa?

    Mwanza, Shinyanga, Kahama, Geita, Kagera, na Kigoma! Kote huko sijawahi kukutana na ndizi mshare. Ndizi zinazopikwa maeneo tajwa ni ndizi ambazo kwa Arusha na Kilimanjaro, ukikuta mtu kazipika, ujue ni amekosa kabisa cha kupika. Si matumizi yake. Nilikula ndizi kwa mara ya kwanza jijini Mwanza...
  14. JamiiForums Tanzania Roho ya CCM ipo kanda ya ziwa kichwa kipo Pwani

    Huo ndo mtazamo wangu toka enzi za mwalimu kanda ya ziwa imeshikiria uhai wa CCM.. Kanda ya ziwa ni kuanzia Tabora. Mara, Kagera. Mwanza. Geita, Simiyu. Shinyanga na sasa Mpanda... Sababu. 1. Wapiga kura wake ni wengi sana na wana msimamo. 2.wapiga kura kutoka ukanda huu wametapakaa Tanzania...
  15. JamiiForums Tanzania Nape Nnauye, January Makamba na Ridhiwani Kikwete wasipotumbuliwa kura za CCM zitayeyuka Kanda ya Ziwa

    Wiki kadhaa zilizopita nilikuwa na mizunguko huko mikoa ya kanda ya ziwa, baada ya kudodosa mawili matatu toka kwa wahenga wa huko nikabaini hawa watu kuna jambo wanalo moyoni kuhusiana na mtoto wao. Kwakifupi sijui ni kwanini ila wengi wanawahusisha sana hao waheshimiwa hapo juu na kisa cha...
  16. JamiiForums Tanzania Traffic Kanda Maalumu Dar es Salaam mlichowafanyia bodaboda leo ni uhuni mtupu

    Mmewakamata asubuhi kwa makosa ya usalama barabarani, Yes ni sahihi kabisa, lakini kwanini mnafanya oparesheni kwa matukio. Leo mmeendesha oparesheni ya kihuni kwa kisingizio kwamba mwenzao Jana Kagongwa na mwendokasi. Hivyo mmepata maagizo kutoka juu muwashugulikie. Nyinyi askari mnachangia...
  17. JamiiForums Tanzania Muswada wa Mabadiliko ya Sheria ya Kanda Maalum ya Uwekezaji na Uchumi

    MBUNGE EDWARD LEKAITA AKICHANGIA MSWADA WA MABADILIKO YA SHERIA YA KANDA MAALUM YA UWEKEZAJI (MAUZO YA NJE) NA UCHUMI Mhe. Edward Ole Lekaita akichangia Bungeni jijini Dodoma katika Mswada wa Mabadiriko ya Sheria ya Kanda Maalum ya Uwekezaji na Mauzo Nje ya Nchi na Mswada wa Mabadiliko ya...
  18. JamiiForums Tanzania Ujenzi wa Bwawa Jijini Dodoma Umefikia Wapi kwa Maendeleo ya Kanda ya Kati?

    Wakuu Kama mada ilivyowekwa mezani kwa utaratibu wa swali nikiwa miongoni mwa wananchi wa Tanzania ambao pia eneo la Dodoma, Singida, Manyara Na Tabora ni mojawapo ya sehemu ninazoweza kutembelea lakini pia wakazi wa maeneo hayo pamoja na serikali kuu mradi huu wa ujenzi wa bwawa kubwa kwa...
  19. JamiiForums Tanzania Kanda ya Ziwa: Kwanini karibia Viongozi wote huibukia huko?

    Hivi hii hutokea tu kwamba kila matukio yakitokea basi Watawala wengi hupotea na kuibikia huko Kanda ya Ziwa Mikoa ya Kagera au Mara na Mwanza, huwa matukio yanawakutia huko kwamba imetokea tu wakawa huko mipakani au kuna mengineyo? Hata Tundu Lisu hatujui yuko wapi sasa hivi binafsi...
  20. F

    JamiiForums Tanzania Round moja tu ya operation +255 Kanda ya Ziwa imeleta hofu nchini. Je tunarudi tulikotoka?

    Kuna kila dadili za kurudi tena kwa siasa za kamata kamata tulizoziona miaka mitano iliyopita. Sakata la bandari limewapa Chadema wasaa mzuri wa kukutana na wananchi nchi nzima kupitia operation 255 ambayo imeonesha mafanikio makubwa hata kanda ya ziwa ambapo watu walifikiri chama hicho kikuu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…