kanda

Kanda Shrine (神田明神, Kanda-myōjin, officially 神田神社 Kanda-jinja), is a Shinto shrine located in Chiyoda, Tokyo, Japan. The shrine dates back 1,270 years, but the current structure was rebuilt several times due to fire and earthquakes. It is situated in one of the most expensive estate areas of Tokyo. Kanda Shrine was an important shrine to both the warrior class and citizens of Japan, especially during the Edo period, when shōgun Tokugawa Ieyasu paid his respects at Kanda Shrine. Due in part to the proximity of the Kanda Shrine to Akihabara, the shrine has become a mecca for technophiles who frequent Akihabara.

View More On Wikipedia.org
  1. B

    JamiiForums Tanzania Hii sasa ishakuwa noma: Tundu Lissu anashangiliwa mikutano yote Kanda ya ziwa

    Mazee hii sasa ishakuwa noma. Tulitegemea kanda ya ziwa watamsusia Tundu Lissu sasa hali imekuwa ya tofauti. Sisi Chawa wa Mama saitakuwaje?
  2. The Assassin

    JamiiForums Tanzania Mahakama Kuu Kanda ya Mtwara yatuhumiwa kuiba zaidi ya Milioni 600 za wanufaika mbalimbali

    Mahakama Kuu Kanda ya Mtwara inatuhumiwa kwa ubadhirifu wa zaidi ya TZS millioni 600 zilizoingizwa katika akaunti ya mahakama hiyo kwa ajili ya kuwalipa wanufaika zaidi ya 100 wa mirathi. TAKUKURU inaendelea na uchunguzi dhidi ya watuhumiwa kutoka ofisi ya uhasibu ili wafikishwe mahakamani...
  3. Nominee

    JamiiForums Tanzania Watu wengi wa Kanda ya Ziwa sio wastaarabu wakati wa kula, wanatia kinyaa!

    Picha linaanza, nimeenda ukweni kanda ya ziwa kulipa mahari. Siku hiyo walichinja Ng'ombe na msosi ulikuwa wa kutosha. Muda wa kula nakumbuka sisi tuliwekwa sehemu moja na wenyeji wetu wawili ili tusiwe wapweke, daah walivyokuwa wanalamba vidole wale mabwana hadi nikaghairi kula. Wenyewe...
  4. R-K-O

    JamiiForums Tanzania Licha ya kuongoza kutoa wasomi wengi, ni kwanini Mwanza makao makuu ya kanda ya ziwa hawana Vyuo vikuu vya serikali

    Unapozungumzia Kanda ya ziwa ndiko wasomi wengi wanakotoka Kagera Mwanza (Hususan kisiwa cha ukerewe) Mara Mwanza ndio makao makuu ya mikoa ya kanda ya ziwa, Watu wa Kagera na Mara ni rahisi kufikia hapa lakini jiji hili la pili kwa ukubwa hapa nchini halina chuo kikuu, kwanini ? Dar kuna...
  5. K

    JamiiForums Tanzania SoC03 Kilimo cha umwagiliaji kwa Kanda ya Ziwa kitachochea upatikanaji wa chakula cha kutosha

    Kutokana na kutokuwa na mvua za uhakika na za wakati kwa baadhi ya maeneo hapa inchi imepelekea maisha ya wananchi wengi hasa vijijini kuwa magumu kwa sababu tegemeo lao kubwa ni kilimo cha mazao ya chakula au biashara, ambacho pia ndio tegemeo lao la kukomboa familia zao kiuchumi, elimu, Afya...
  6. GoldDhahabu

    JamiiForums Tanzania Kanda ya Ziwa wanastahili pongezi kwa uendeshaji wa baiskeli

    Unaweza ukashindana na watu wa Kanda ya Ziwa kwa mambo fulani fulani, lakini usithubutu kwenye uendeshaji wa baiskeli kama wewe si mmoja wao. Utaumbuka! Nazungumzia baiskeli za kawaida au za kazi, siyo zile za "starehe". Sina uthibitisho wa kitakwimu, lakini kwa makisio yangu, Kanda ya Ziwa...
  7. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Masanja Malebo: Wanaume wa Kanda ya Ziwa wana nguvu za kiume

    "Hili tatizo (nguvu za kiume) tunalitambua na tatizo hili niseme tu kwa kifupi kwamba chanzo chake kikubwa ni lishe duni hasa kwa jamii ya sasa hivi. Katika utafiti tulipokuwa tukilinganisha watu wa mjini na vijijini, kule vijijini watu hawahangaiki kutafuta dawa za nguvu za kiume na ukiangalia...
  8. Chief Wingia

    JamiiForums Tanzania Boxer BM 100cc na madereva bodaboda wa kanda ya ziwa hasa Bukoba na Mwanza mjini

    Habari zenu wadau. Last week nilikuwa pande za Kagera (Bukoba) na viunga vyake pia nilipita na jijini Mwanza (Mwanza town). Nikiri kuna mengi nilijionea ila la kushangaza ni madereva wengi wa bodaboda kutumia pikipiki za Boxer BM 100cc katika harakati zao za kuingiza kipato. Tofauti kabisa na...
  9. Mwizukulu mgikuru

    JamiiForums Tanzania Wanawake Kanda ya Ziwa kuuza vitu wenza wao wakienda kutafuta maisha ni umasikini?

    Hili tatizo nimekuwa nikikutana nalo sana huku Kanda ya ziwa. Vijana wengi wa kiume wanapofika Kanda ya Ziwa hasa ule msemo wetu wa kujitafuta na Mungu akawawezesha hununua samani za ndani na kuanza maisha aidha kwa kujenga au kupanga. Sasa tatizo limekuwa ni hili kijana anaamua kutafuta mwenza...
  10. J

    JamiiForums Tanzania Baada ya Wafanyabiashara kusikilizwa. Wachimbaji wadogo kanda ya ziwa nao wasikilizwe

    Kumekua na malalamiko mengi sana kutoka kwa Wachimbaji Wadogo wa dhahabu kwa miaka mingi bila kutatuliwa. Tusipojifunza kwa Wafanyabiashara wa Kariakoo tutegemee maandamano mengine ya wachimbaji wadogo. Baadhi ya Malalamiko yao ni 1. Kulipa kadi(mrahaba) zaidi ya mara 2, mchimbaji hukatwa...
  11. Ngungenge

    JamiiForums Tanzania Kanda ya ziwa, msichukulie kifo cha Magufuli kama jambo la ukanda

    Ni dhahiri JPM alikua Shuja wa kanda ya ziwa. Ni dhahiri katika utawala wake kanda ya ziwa mlifaidi, wapo ambao mlipitisha mafuta bila kulipa kodi, mkanunua magari na kupiga ela. Mpo mliotumia ukabila kupata tenda nono za ujenzi, MSD na nguzo za umeme nchi nzima Mpo mliotengeneza kikundi cha...
  12. Nyuki Mdogo

    JamiiForums Tanzania Ukiolewa Kanda ya ziwa sahau kurudi kwenu

    Kwa wasio wenyeji wa kanda ya ziwa. Nimeona malalamiko mengi sana kina mama na kina dada wasio wenyeji wa mkoa wa Mara (na kanda ya ziwa ) wakilalamika sana kuhusu swala la kusahau kwao. Inasemekana kuna UCHAWI mzito sana wanafanyiwa ili kusahau nyumbani kabisa. Basi nawasogezeeni hili...
  13. LorenzoA

    JamiiForums Tanzania Kama una pesa kuishi Kanda ya Ziwa bila silaha ni kujiweka wazi kabisa na kifo

    Wakuu Habari. Nimebahatika kuishi na kufanya kaz Kanda ya ziwa kwa muda mrefu kidogo. Ipo hivi, Kanda ya ziwa ni eneo lenye watu wakarimu sana.... tatizo ni moja, wengi sio waeelewa kwenye masuala anuai, hivo kuhatarisha maisha ya mtu ikiwa tu mtatafautiana mitazamo katika...
  14. L

    JamiiForums Tanzania Kanda ya Mashariki ya Kati yakaribisha nafasi ya kiujenzi ya China

    Mkutano mwingine kati ya Saudi Arabia na Iran uliofanyika hapa Beijing umeonyesha kuwa China ni nchi inayotetea amani, na sera zake zinaendana na matakwa ya nchi za Mashariki ya Kati. Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran Hossein Amir-Abdollahian na mwenzake wa Saudi Arabia Mfalme Faisal bin Farhan Al...
  15. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania Wanawake wa Pemba na Kanda ya Ziwa wapigwe sindano ya uzazi wa mpango kwa lazima, wanatesa watoto

    Naandika nikiwa Simiyu baada ya kutoka safarini Pemba Nimetembea mikoa mingi Tanzania ila haya maeneo tajwa yanashangaza. Karne hii mwanamke anazaa watoto kumi!!! Nilichogundua, wanawake wengi huku hawajui mensturation cycle inafanyaje kazimama mtu mzima hajui tarehe yake ya kuwa hedhini...
  16. R

    JamiiForums Tanzania Walioitenga Kanda ya Kaskazini wakitamani imomonyoke kimaendeleo wapo wapi?

    Kuna kakikundi Ka watu kalijiaminisha kwamba kanaweza kuidhorotesha Kanda ya Kaskazini kiuchumi na kisiasa kama walivyofanya Kanda ya Kati lakini Mungu amewaumbua kwamba wachapa KAZI dawa Yao siyo kuwaonea wivu Bali nikuwaongezea nguvu wachape KAZI zaidi. Mimi naangalia Dodoma ilivyokufa...
  17. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Mbowe kuzindua Mikutano ya Hadhara Kanda ya Nyasa

    Mwenyekiti Chadema, Freeman Mbowe anatarajiwa kuzindua rasmi kanda ya Nyasa Februari 23 wilayani Sumbawanga Mkoa wa Rukwa na kisha kufungua mkutano wa hadhara mkoani Iringa Februari 28 mwaka huu. Hayo yameelezwa Jumanne Februari 21, 2023 na Mwenyekiti wa Chadema wa mkoa huo, William Mungai...
  18. J

    JamiiForums Tanzania Mkoa wa Geita ndio unaongoza kwa mauaji nchini, kuna haja Serikali iufanye kanda maalum

    Baada ya kuona habari ya vijana waliomuua mama yao jana kisha na wao kuuawa huko Geita Naona mkoa huu ndio unaoongoza kwa mauaji nchini Mikoa ya kanda ya ziwa imekua kinara wa mauaji nchini yanayosababishwa na ushirikina, tamaa za mali, wivu wa mapenzi na mengineyo nadhani sasa Serikali...
  19. chiembe

    JamiiForums Tanzania Makatibu wa Kanda wa CHADEMA watua ofisini kwa Waziri Bashe, wajiapiza kuwa mabalozi wa kilimo

    Kwa kweli sasataifa limeungana chini ya Samia, naanza kuelewa kwa nini Lissu kaamua kuondoka
  20. saidoo25

    JamiiForums Tanzania Wavuvi Kanda ya Ziwa wamuonya Waziri Bashe uvuvi haramu

Back
Top Bottom