Kajitangaza kawa ni mshindi tiyari wa urais, ni yeye anayeamua nani awe au asiwe mbunge, tiyari keshaanza kugawa nafasi zake 10 za ubunge. Je kuna haja tena ya kupoteza mabilioni ya kodi zetu kwenye uchaguzi fake?
Rais Samia ujue kabisa ya Ndugai hayapo kanda ya ziwa, askofu Gwajima na Mpina hawatakuomba msamaha hata ni kwa gharama ya kuwafukuza ccm watakuwa tayari.
Malezi ya watoto kanda ya ziwa na malezi ya watoto kanda ya Pwani ni vitu viwili tofauti.
Kanda ya ziwa baba ndiyo kiongozi wa familia na...
GT
Hapa tanzania ukiondoa Arusha na mbeya, kanda ya ziwa nako ni kugumu sana kwa chama cha mapinduzi ni kwa sababu moja tu watu wa huko wamenyooka hawapendi uongo uongo, na ukiwadanganya wanajua kabisa unawapiga kamba kama hawataguna mhiiii basi watakaa kimya au kukuzomea kama ilivyo mbeya na...
Rais Samia Suluhu Hassan amesema Serikali iko mbioni kujenga shule maalumu ya wavulana kwa ajili ya Kanda ya Ziwa, ambapo ujenzi huo utafanyika mkoani Simiyu.
Samia ametoa kauli hiyo leo, Jumatatu Juni 16, 2025, wakati akizungumza na wananchi wa mkoa huo mara baada ya kuzindua rasmi shule ya...
Katika nchi yetu, ukiona umepoteza ushwishi kanda ya ziwa ujue una hali ngumu sana ya kisiasa. Kwa sasa dalili zote za kisiasa zinaonyesha kuwa Samia amepoteza uungwaji mkono wa kanda ya ziwa.
1. Press conference ya Gwajima imeizimua kanda ya ziwa.
Katika mitandao ya kijamii nimefuatilia watu...
Kanda ya ziwa wanaotoka watu wenye akili nyingi kama Gwajima na katu mtu wa kanda ya ziwa katu hawezi kuwa chawa na kuendesha kijinga
Lissu alikwambia mkiuwa upinzani au CHADEMA, mtaanza kupingana nyie wenyewe
Leo tumeisikiliza press ya maana ya mwana CCM Askofu Gwajima
Press zinazofuata za...
Ukianza kuingia singida na ukanda wa ziwa kuna mawe yanayo tumika kujenga misingi ya nyumba za huko.
Ingekuwa kwa wenzetu ndio wamepata haya mawe basi mpaka uchochoroni kungekuwa na rami.
Katibu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Kanda ya Victoria, Zakaria Obadi amekosoa kitendo cha baadhi ya wanasiasa kukosoa viongozi wa dini kujihusisha na siasa kuwa huo ni uoga.
Akizungumza na waandishi wa habari ofisini kwake amewataka viongozi wa dini kutokuyumbishwa na maneno...
Kwenye mazuri tusifie na mabaya husemwa ili kujifunza kwa hili ni Ukweli kabisa kwa hapa Tanzania tuna watu wa maeneo tofauti tofauti na huwa na tabia zao mbalimbali hii hutokana na malezi ya jamii husika nataka niseme wazi juu ya jamii ya watu wa kanda ya ziwa na mazuri yao na maua wanastahili...
Sijawahi kuona watu wenye roho mbaya, husda, wivu, chuki, kukosa ustaarabu na wakatili kama fulani hapo kanda ya ziwa kuna kabila moja maarufu sana Tanzania linasema lina watu wengi sana Tanzania hili kabila bwana wanazingua ndiyo kabila linaloongoza kuuwana wenyewe kwa wenyewe kisa mali na mali...
SERIKALI YATAJA SARATANI TANO ZINAZOSUMBUA WANANCHI KANDA YA ZIWA, MBUNGE KABULA SHITOBELA AHOJI BUNGENI
Serikali imetaja aina tano za saratani zinazoongoza Kanda ya Ziwa ambazo ni ya kibofu cha mkojo, mji wa uzazi wa uzazi, damu, macho na figo.
Naibu Waziri wa Afya, Dk Godwin Mollel...
Mbunge wa Jimbo la Siha na Naibu Waziri wa Afya, Dkt. Godwin Mollel amesema Serikali imefanya utafiti wa kina nchi nzima kuhusu saratani na imebaini kuwa upande wa Kanda ya Ziwa saratani zinazoongoza ni ya Kibofu cha Mkojo, Mji wa Uzazi Kina mama, Damu, macho na figo.
Ameeleza kuwa visababishi...
Mtumishi wa Mungu wa Huduma ya Kristo, Steven Jacob amefichua mpango wa Chama cha Mapinduzi kuwafuta wabunge wote wa Kanda ya Ziwa na kuweka watu wao sikiliza kwa makini video hii inayofichua mpango mzima.
https://youtu.be/jXrtCkOsKBQ?si=-IbKOvkyyzaCB09s
Hamjambo!
Watu walifikiri Moshi na Arusha ndio itakuwa kiini cha mabadiliko lakini sisi wengine tulilijua hilo haliwezekani kwa Sababu watu wa Kaskazini wengi wao ni WATU wenye kupenda Fedha kuliko kitu chochote. Na mtu anayependa fedha Sana sio mtu wa kumtegemea na kumwamini. Watu wanaopenda...
Ugonile,
kwa Tanzania hii ukisikia mtu anaongelea kuhusu Wanaume basi jua automatically ni wanaume wa kanda ya ziwa.
Wanaume wa kanda ya ziwa wana kila sifa za uanaume, watakuja apa kuponda lakini huo ndo ukweli.
Simaanishi kuwa wanaume tokea kanda zingine kama Kaskazini, Pwani au kati sio...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.