kampuni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Profesa Shivji ashangazwa na uteuzi wa wafanyabiashara kwenye uongozi wa TANESCO

    Msomi wa kiwango cha kimataifa wa Tanzania, Profesa Shivji ameshangazwa na kitendo cha wafanya biashara kuchaguliwa kuongoza taasisi za umma. Shivji anasema sekta ya umma haiwezi kuchangamana na sekta binafsi. Sisi wengine tumeshangazwa na uteuzi wa wafanya biashara na watu wenye maslahi...
  2. JamiiForums Tanzania Kwa nini Kampuni za Ukaguzi wa mahesabu (Accounting Auditing) hazirushuwi kujitangaza?

    Wakuu habari. Naomba niende straight kwenye mada. Nakumbuka miaka imepita kidogo, niliwahi kusoma mahala pameandikwa kuwa Auditing Firms azitakiwi kujitangaza kama aina nyengine za biashara. Siku ya leo nimetaka kuujua undani wa jambo hilo, naona kama nimekwama. Nimepekua huku na kule...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Afisa Masoko wa kampuni ya Usafi na viuwa wadudu

    Flydream Company Ltd ni kampuni iliyosajiliwa na BRELA kwaajili yakutoa huduma mbalimbali kupitia biashara zilizo chini yake. Kwasasa inawatangazia watu wote wenye sifa za kuomba nafasi zifuatazo kupitia kampuni tanzu ya Real Vision Cleaning & Fumigation services yenye ofisi zako Mabibo, jijini...
  4. JamiiForums Tanzania Kampuni ya Uswidi inaleta Mapinduzi Katika Usafiri wa Umma Nchini

    Wakati juhudi za kurahisisha huduma za uchukuzi wa umma wa kidijitali ukiongezeka kwa kasi duniani, kampuni ya Uswidi imeingia kwenye soko la Tanzania kuwezesha usafiri wa umma wa kisasa. Kampuni iitwayo EnrouteQ imeanzisha jukwaa la usafirishaji linaloruhusu muundo wa njia, shughuli za gari za...
  5. JamiiForums Tanzania Tabia za wanyama walizanazo watu zenye kuweza kuua Taasisi au Kampuni au Ofisi

    Tabia za wanyama walizanazo watu zenye kuweza kuua Taasisi au Kampuni au Ofisi. Bata: Kujivutavuta, hufanya kazi polepole na kuendekeza uvivu mpaka mambo ya kikundi yanazorota au kufa kabisa. Bundi: Mtu anayefikiria ana akili kuliko wote kwenye kikundi- hutumia lugha ngumu na haeleweki Chura...
  6. JamiiForums Tanzania Kwanini dawa ya Tylenol ilisimamishwa na kampuni ya Johnson and Johnson kwa malalamiko ya kusababisha vifo

    Ukisikia jina Johnson and Johnson si geni kwa watu ila nitapenda kueleza dawa ambayo ilikuja kuleta matatizo ambayo ni tylenol huko USA. Ni aina ya kundi la Paracetamol pia inajulikana kama acetaminophen, ni dawa inayotumiwa kutibu homa na maumivu kidogo hadi wastani. Katika kipimo cha...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Msaada: Ni hatua gani kisheria naweza chukua dhidi ya uonevu wa kampuni ya EROLINK ?

    Habari wana Jamii Forums, samahanini kwa wale wenye ujuzi wa kisheria, naomba msaada juu ya ni hatua gani za kisheria naweza kuchukua kwa kampuni inayoitwa EROLINK. Kampuni imekua inaleta usumbufu sana kwa wafanyakazi wake, hasa pale mikataba yao ya kazi inapoisha, na uwa haiwasilishi...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Kampuni ya Alpha Homes inahitaji wafanyakazi wawili (Accountant na Civil Technician).

    Alpha Homes ni kampuni inayohusika na ukarabati wa nyumba yenye ofisi zake mtaa wa Ohio (Posta) jijini Dar es Salaam. Ili kufanikisha malengo yetu tunahitaji wafanyakazi wawili ambao ni Accountant na Civil Technician. Sifa za waombaji; 1) Muombaji awe na elimu ya ngazi ya Diploma kwenye fani...
  9. JamiiForums Tanzania Dangote kampuni

    Wakuu Kuna mtu amenitumia link, kufungua nakuta haya
  10. JamiiForums Tanzania Nahitaji kampuni zinazoweza kunitengenezea kreti za vinywaji kwe bei nafuu

    Habari wan JF. Kuna yeyote anayeweza kunipa connection ya kampuni yoyote inayotengeneza kreti za vinywaji hapa Tanzania?
  11. JamiiForums Tanzania Nafikiria kuanzisha kampuni binafsi ya upelelezi, je hii inawezekana kwa hapa Tanzania?

    Habari wadau, Nimekuwa nikawaza mda mrefu kufungua kampuni binafsi ya kufanya upelelezi na kutoa ulinzi wa VIP's yaani wale watu maarufu na familia zao kama Mo-Dewji, Diamond n.k Kampuni yangu pia itahusika katika kufanya upelelezi kwa watu binafsi na serikali na kukabidhi repoti kwa wateja...
  12. JamiiForums Tanzania Kampuni ya Marekani kununua korosho zote zilizobanguliwa Tanzania

    Ubalozi wa Marekani hapa nchini umetangaza kuwa Kampuni ya Kimarekani, Ward Holdings Intl. itanunua korosho zote zilizobanguliwa Tanzania kwa bei ya juu ya soko Ubalozi huo umesema taarifa hiyo ni kubwa kwa Wakulima wa Korosho nchini na ni faida kwa Tanzania na Walaji wa Korosho nchini Marekani
  13. JamiiForums Tanzania Kampuni ya Kimarekani, Ward Holdings International, kununua Korosho za Tanzania

    Habari njema kwa wakulima wa korosho Tanzania.
  14. JamiiForums Tanzania Kampuni inayotoa chanjo ya Johnson & Johnson imetangaza chanjo yake ya pili ama booster vaccine kwa watu wote waliopata chanjo ya kwanza

    Kampuni inayotoa chanjo ya Johnson&Johnson imetangaza chanjo yake ya pili ama booster vaccine ambayo itatolewa kwa watu wote waliochanjwa dozi ya awali ili kuupa mwili nguvu zaidi kupambana na kirusi cha Delta. J&J imesifia chanjo yake ya pili kua inatengeneza kinga nyingi mwilini kupambana na...
  15. JamiiForums Tanzania Nataka kwenda kuwekeza kampuni ya ujenzi nje ya Tanzania ni nchi gani nzuri na taratibu zake zipoje kwa muwekezaji mgeni?

    Habari wadau..! Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu. Nipeni mawazo nikawekeze nchi gani,wajuzi mtupe taratibu za uwekezaji wa kamapuni ya Building and Civil katika nchi husika.
  16. JamiiForums Tanzania Gharama za kufungua kampuni

    Hello JF members Wenye ujuzi tusaidiana katika hili kitaalam zaidi. Nataka kuendesha biashara mfumo wa kampuni au kuanzisha kampuni 3. Moja itajihusisha na maswala ya mavazi (yaani maswala yote kuhusu mavazi) Nyingine itajihusisha na maswala ya chakula (Grocery and food) Ya mwisho...
  17. J

    JamiiForums Tanzania Kampuni ya Elsewedy ipo katika mazungumzo kuwekeza katika reli na kiwanda cha mbolea

    ..nisiongeze wala kupunguza maneno. ..kampuni ya Elsewedy ya Misri kuwekeza ktk miradi mbalimbali mikubwa hapa Tz. https://www.elsewedyelectric.com/en/about-us/our-journey/ https://www.youtube.com/results?search_query=waziri+mwambe+afunguka+ujenzi
  18. JamiiForums Tanzania Team kali inahitajika kwa Kampuni ya Media

    Hio Kampuni ya Media ambayo iko integrated kwa mambo ya tourism, ilibidi niiisimamishe kwa muda kwa sababu vijana waliokuwepo walikuwa waswahili, wavivu, na wasiojituma. Ili kuirudisha tena, nahitaji Vijana Wachapa Kazi sana. Kila mfanyakazi ni lazima ajue English vizuri kwa kunyooka sababu...
  19. JamiiForums Tanzania Ni vigezo gani uwenavyo ili kufanya kazi na kampuni?

    Habari zenu ndugu zangu, mimi kama mjasiriamali naweza kufanya kazi na kampuni (kwa kutoa huduma kwa makapuni na mashirika) as an individual? au lazima pia niwe na kampuni ndipo wanaweza ku consider proposal yangu? Taratibu za mashirika na makapuni zikoje katika kufanya kazi na watu wanaotoa...
  20. JamiiForums Tanzania TANZIA Fredrick Shoo (FRESHO) Mmiliki wa Kampuni Tanzu za FRESHO INVESTMENT LIMITED Afariki

    Mkurugenzi wa Kampuni ya Fresho Investment Company (1999) Ltd ya Mjini Shinyanga Fredy Shoo maarufu Fresho amefariki dunia siku ya Jumatano Julai 28,2021 wakati akiendelea kupata matibabu jijini Dar es salaam. Mwekezaji Mzawa Fredy Shoo ndiye mmiliki wa kiwanda cha kuchambulia pamba , kiwanda...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…