kampuni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Natafuta kazi kwa yeyote mwenye ofisi au kampuni

  2. Kampuni inaweza kuanzisha ligi ya mpira wa miguu tofauti na hii iliyo chini ya TFF?

    Habari wakuu, Hapa namaanisha kampuni inataka kuwekeza kwenye mpira wa miguu. Inatafita viwanja vyake, kwa kukodi au kwa kujenga. Kisha inatafuta timu na kuanzisha ligi yake. Mapato ya mlangoni na haki za matangazo inachukua. Yaani kampuni inaendesha kila kitu, inakuwa haiko chini ya TF wala...
  3. R

    kusajili tawi la kampuni

    Habari, nina kampuni inafanya shughuli Dar es salaam, nahitaji kufungua ofisi mkoa wa Pwani naomba mwenye ufahamu hatua ninazotakiwa kufanya. asante
  4. Kumbe gari ya kampuni?

  5. Hadi sasa nimeshatumia 12,000$ kwenye matangazo Instagram (Facebook). Je, Serikali huwa inakusanyaje Income tax kwa hii kampuni?

    Ofisi zao hawa Facebook kwa hapa Dar ziko wapi? Na kwa mabilioni yote haya wanayochuma kama faida toka nchi Tanzania, wanalipa kodi ya mapato (income tax)? Na wanailipaje? Maana itakuwa sio fair makampuni mengine kama Wasafi Media, Clouds Media, IPP media na wengine walipe kodi ya mapato na...
  6. Kampuni ya Pfizer kutengeneza faida ya Shs. Trillioni 70 mwaka huu wa 2021

    Taarifa hapo chini zinasema kwamba, kampuni ya kutengeneza chanjo za Corona, Pfizer, inatarajiwa kutengeneza faida ya shs.Trillion 70 kwa mwaka huu wa 2021 pekee, je, nawezaje nunua hisa walau 10 tu za kampuni hii? Ikumbukwe, hii ni bajeti halisi ya Tanzania kwa miaka zaidi ya miwili (2) ---...
  7. Marekani: Kampuni ya Donald Trump yafunguliwa mashtaka ya kodi

    Kampuni ya aliyekuwa Rais wa Marekani mwaka 2017-2021, Donald Trump pamoja na Mkuu wa Idara ya Fedha wameshtakiwa kwa makosa yanayohusiana na Kodi. Kwa mujibu wa Waendesha Mashtaka, mpango huo wa miaka 15 ulisaidia Watendaji kukwepa Kodi kwa kutoa marupurupu kama Ada ambayo yalifichwa kutoka...
  8. Nitazipatia wapi sabuni za miche za poa za kampuni ya MeTL kwa bei poa?

    Nipo Mkoani Simiyu Wilaya Ya Meatu. Huwa nanua sabuni hizi kwa bei kati ya 10500,10800 au 11000. Hizi bei na karibu katika maduka yote ya jumla jumla hapa Mwanhuzi. Ningependa kudeal na ununuzi na uuzaji wa sabuni hizi peke yake kwa ujumla na kisha kuziuza mwenye rejareja huko vijijini. Ni...
  9. Taarifa dhidi ya uzushi unaosambaa mitandaoni kuhusu kampuni ya TTCL

    Kumekuwa na baadhi ya watu kupost picha ya Ttcl ikiwa na ujumbe unaosomeka TIA TUKUTIE.
  10. Mashtaka dhidi ya Kampuni za Mawasiliano yanawezekana

    Aisee kumbe inawezekana kabisa kuzishitaki hizi kampuni za mitandao ya simu? Manaake naona wamekua na tabia ya kujifanyia mambo kiholela sana. AY na Mwana Fa walionesha njia naona na huyu mwamba kaamu kujilipua pia. Jamaa Alikatwa TZS 4,650/- na Tigo kimakosa, Akawashitaki TCRA kuomba Fidia...
  11. Asante mama Samia Suluhu, kampuni ya Kenya yapokezwa mkataba wa mabilioni Tanzania

    Dah! Kama tukiendelea hivi basi naona tukienda mbali sana kwenye chumi za haya mataifa yetu, kupigana tafu kiuchumi pale panapostahiki, mama ameamua kutoendekeza chuki na kuachia kila mwenye jitihada na nia nzuri afanye yake.... ====================== Kenyan companies have began reaping fruits...
  12. Nahitaji kibarua cha 4,000 kwa siku

    Wakuu nahitaji mwenye kazi anisaidie! Naishi Dar. Malipo walau iwe 4,000 Au zaidi kwa siku. Elimu nilifeli form 4.
  13. R

    Halmashauri ya Wilaya Muheza na urasimishaji makazi kutumia kampuni ya Makazi Solutions

    Hawa Makazi solutions waliingia makubaliano na Halmashauri ya Wilaya ya Muheza ya kufanya kazi ya kurasimisha makazi ya iliyokuwa shamba ya Geiglitz Muheza. Watu wamelipai (baadhi) na kuahidiwa kupewa hati za umiliki kama ilivyo kawaida. Kinachoonekana sasa ni kuwa ni UTAPELI kwani hakuna hati...
  14. Kampuni au ofisi inayofanya Marketing na Promotion

    Wana JF naomba kuulizia ni kampuni au ofisi ipi yenye uwezo wa kufanya Marketing na promotion ya bidhaa kama ya mafuta ya kula wawe wamesajiliwa na wana uwezo wa kutoa document za risiti, proforma invoice na delvery note. Promotion inatakiwa ifanyike Arusha, Dar, Kilimanjaro na Manyara kama...
  15. Kampuni gani ya usafirishaji inasafirisha mizigo kwa haraka kutoka China kuja hapa bongo bila kuchelewa?

    Habarini za leo wakuu, Nisaidieni hili swala na mnipe ushauri nataka kununua mzigo toka China ili uje hapa bongo niufanyie biashara bila kuchelewa kwasababu ni order maalum. Je ni kampuni gani ya usafirishaji inasafirisha mizigo kwa haraka kutoka China kuja hapa bongo kwa kutumia meli bila...
  16. N

    Kampuni ya Umbro imedhamini Ndondo Cup 2021

    Kampuni ya vifaa vya michezo ya Umbro Afrika Kusini imeingia ushirikiano na Clouds Media Group na Shadaka Sports Management wa kuidhamini michuano ya Ndondo Cup 2021 kwa kutoa jezi kwa timu zote shiriki 32, mipira ya mashindano na vifaa vya waamuzi. Umbro ni kampuni ya vifaa vya michezo yenye...
  17. B

    Kabudi hana budi kutuambia makubaliano walioingia na kampuni ya Barrick kuhusu makinikia

    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa kupitia majibu yake bungeni ametuarifu kuwa Serikali imeruhusu usafirishaji wa makinikia nje ya nchi. Usafirishaji wa haya makinikia nje ya nchi ndio ililteta mgogoro na kampuni hiyo ya uchimbaji dhahabu kiasi kwamba tukaaminishwa kuwa kampuni ilikuwa inatuibia...
  18. Mwenye uzoefu na Kampuni ya Aramex

    Habari zenu wakuu, samahani nilikuwa naomba kufahamu kwa yeyote mwenye uzoefu na kuagiza mizigo kupitia kampuni ya Aramex, nahitaji kujua gharama zao mzigo unapotua Dar es Salaam au na wao wanakodi kubwa kama DHL?
  19. I

    Natakiwa kusajili jina la biashara au kampuni?

    Habari wadau, Mimi ni Mtanzania ambaye nimeshaandaa mpango wa kuanzisha biashara yangu binafsi. Biashara yangu itakua inategemea na mzunguko wa hela kutoka kwa watu ambao wataamua kuungana nami. Je, natakiwa nisajili jina la biashara au kampuni ili niweze kuanzisha biashara yangu bila kupata...
  20. LATRA ichunguzwe na mamlaka katika mfumo mzima wa tenda za kufunga Ving'amuzi (VTS), Kuna shida mahali

    KUNA MENGI YA HOVYO YANAENDELEA KWENYE HII TAASISI, TUNAJIULIZA KAMA MH. WAZIRI MKUU AMEWAWAJIBISHA MENEJA WA TANESCO NA WATU WAKE KWA TATIZO LA KUPATIKANA KWA LUKU. JE HAWA WATU WA TEHAMA WA LATRA WANAAACHWAJE KWA UBABAISHAJI WA KWENYE MFUMO WA ONLINE TICKETING NA KUTUSABABISHIA WENGINE HASARA...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…