kamisheni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Waufukweni

    Kamisheni ya Utalii Zanzibar: Nguo fupi marufuku kipindi cha mwezi mtukufu wa Ramadhani

    Kamisheni ya Utalii Zanzibar imewataka Watalii, Wafanyabiashara na Wadau wa utalii Zanzibar kuheshimu maadili ya Dini na Utamaduni uliopo Zanzibar kipindi hiki cha kuelekea mwezi mtukufu wa ramadhani. Kamisheni imesema ni lazima Migahawa na sehemu za chakula zilizo nje ya Hoteli zifungwe hadi...
  2. A

    KERO Mawakala Selcom Tanzania hatupati Kamisheni ya kuuza Huduma ya Umeme

    Tunawaandikia kama mawakala wenu tukitoa malalamiko yetu rasmi kuhusu huduma za umeme (LUKU) na controller number, ambapo kwa muda mrefu hakuna kamisheni inayolipwa kabisa huku makato ya miamala yakiendelea kufanyika. Sisi kama mawakala: Tunaweka mtaji wetu binafsi Tunahudumia wateja na kubeba...
  3. M

    Ni bora kumlipa muuzaji kamisheni au mshahara ?

    Mfano kwa kila simu anayouza achukue elf 20 au Alipwe mshahara + hela ya kila siku inayofikia laki 2 kwa mwezi ?
  4. Bawabu wa pili

    PostGE2025 Rais Samia awatunuku kamisheni maofisa wa JWTZ

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu leo Novemba 22, 2025 amewatunuku kamisheni maofisa wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania. Rais Samia amewatunuku maofisa hao katika Chuo cha Mafunzo ya Kijeshi Monduli (TMA) kilichopo Monduli mkoani Arusha. Ambapo maofisa hao ni...
  5. M

    GE2025 Umoja wa Mataifa: Kamisheni ya Haki za Binadamu yasikitishwa na Vifo na Majeruhi katika Uchaguzi wa Tanzania

    Oktoba 31, 2025 Tumeshtushwa na vifo na majeraha yaliyotokea katika maandamano yanayoendelea yanayohusu uchaguzi nchini Tanzania. Ripoti za kuaminika tulizopokea zinaonyesha kuwa angalau watu 10 waliuawa Dar es Salaam, Shinyanga na Morogoro wakati vikosi vya usalama vilitumia silaha za moto na...
  6. W

    Tanzania yapongezwa na Kamisheni ya Afrika ya haki za binadamu kwa kukuza na kulinda haki za kiraia

    Kamisheni ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu imetoa pongezi kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa namna Nchini ya Tanzania inavyokuza na kulinda Haki za Kiraia, Kisiasa, Kiuchumi, Kiutamaduni na Kijamii. Hayo yamewekwa bayana na Mwenyekiti wa Kamisheni...
  7. JanguKamaJangu

    Waziri Prof. Kabudi aufuta Uongozi wa Kamisheni ya Ngumi za Kulipwa Tanzania (TPBRC) kutokana na tuhuma mbalimbali

    Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Prof. Palamagamba Kabudi ameufuta Uongozi wa Kamisheni ya Ngumi za Kulipwa Tanzania (TPBRC) baada ya uchunguzi wa tuhuma mbalimbali zilizowasilishwa na wadau wa mchezo wa ngumi. Taarifa kutoka Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo imeeleza...
  8. Yoda

    Tanzania inasimama na nani katika mchuano wa mwenyekiti wa kamisheni ya Umoja wa Africa(AU) kati ya SADC na Africa Mashariki(EAC)?

    SADC imewataka wanchama wake wote kumuunga mkono mgombea wa anayetoka Madagascar lakini upande Africa Mashariki yupo Raila Odinga. Hapa Tanzania inapigaje ikiwa mwanachama wa jumuiya zote mbili?!
  9. Melubo Letema

    Simbu akatwa jina na Henry Tandau na Ghulam kwenye uchaguzi wa kamisheni

    Mwanariadha wa kimataifa Alphonce felix Simbu aliyekuwa anagombea uongozi wa Kamisheni ya Wachezaji (KAWATA) wa Olimpiki Tanzania jina lake limekatwa na wazee wa wanafiki na wazadiki wa TOC, ambao ni Henry Tandau na Rashid Ghulamu Sababu kubwa ni yeye simbu kukataa kukimbilia kampuni ya Asics...
  10. Roving Journalist

    Rais wa TAHLISO atengua uteuzi wa Naibu Kamishna wa Kamisheni ya Mikopo na Ufadhili

    TAARIFA KWA UMMA 18 Septemba 2024 Rais wa Jumuiya ya Wanafunzi Taasisi za Elimu ya Juu Tanzania, Mhe. Zaynab Iddy Kitima ametengua uteuzi wa Ndg. Ibrahim Shukran Aloyce, Naibu Kamishna wa Kamisheni ya Mikopo na Ufadhili. UFAFANUZI WA RAIS WA TAHLISO Alipoulizwa na JamiiForums.com kuhusu maamuzi...
  11. Mjanja M1

    Nchi ngumu sana hii, Airtel nao wamepunguza Kamisheni kwenye miamala

    Mjanja M1 naelekea kuiacha hii biashara ya miamala maana naona mazoea yamezidi kila uchwao, walianza Tigopesa kupunguza asilimia 10% kwenye miamala na sasaivi Airtel wamefuata huo Utoto. Yani hapa nimlipe Mfanyakazi, nilipe pango, nilipe TRA n.k Aisee! Hii nchi kila mtu anajiamulia atakacho...
  12. Analogia Malenga

    Kamisheni ya ngumi za kulipwa Tanzania mtatuambia nini kuhusu pambano la Mwakinyo?

    Pambano la Mwakinyo na bondia kutoka Ghana limeshindwa kufanyika kwa kuwa Rais wa WBO, Samir Captan hakuwepo uwanjani kuleta mkanda. Maelezo ya Hassan Mwakinyo ni kuwa jamaa hajalipwa hela za mchezo huo. Kwa kushindwa kuwepo kwa mkanda uliokuwa unashindaniwa pambano limeshindwa kuchezwa. Fedha...
  13. Lusungo

    Ni kweli Jakaya Kikwete anagombea Uenyekiti wa Kamisheni ya AU?

    Ndugu habari za muda huu, naomba kuuliza kwa wadau mbali mbali na hata serikalini kama inawezekana tupewe majibu kabla sijatoa ya moyoni. Kuna tetesi huko huko duniani nazisikia naomba uthibisho wake maana kuuliza si ujinga. Pia soma: Wafahamu Wagombea wa Uenyekiti Kamisheni ya Umoja wa...
  14. Mjanja M1

    Kwanini Voda wanatoa Kamisheni ndogo kwa Mawakala?

    Habari zenu, Nina ofisi zangu za Uwakala wa mitandao ya simu na nimekuwa nashangazwa na Kamisheni ndogo zinazotolewa na Vodacom. Mitandao mengine ipo vizuri kiasi chake lakini Vodacom wamekuwa wanabana sana Commission kwenye miamala ya kuweka na kutoa. Hii hali imeenda mbali zaidi kwani hata...
  15. B

    Malalamiko ya Dulla Mbabe na Ibra Class kwa kupoteza pambano dhidi ya Katompa ni sawa na mfa maji

    Nimeskitika sn Dulla na Ibra Classic kulalamikia chama Cha ngumi Tanzania eti Dulla alikuwa ameshinda. Kibaya zaidi Ibra Classic anaongea bila aibu eti majaji wameshindwa kumbeba Dulla kwa sababu hata wao wanapoenda Ulaya huwapiga wazungu lakini majaji huwabeba wazungu wenzao...
  16. Roving Journalist

    Rais Samia awatunuku kamisheni maafisa wanafunzi kundi la 04/29 bms na kundi la 70/22 regular Chuo cha Maafisa cha Kijeshi Monduli

    Rais wa Jamhuri ya Mungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiwatunuku kamisheni maafisa wanafunzi kundi la 04/29 bms na kundi la 70/22 regular chuo cha maafisa cha kijeshi, Monduli mkoani Arusha leo tarehe 18 Novemba, 2023. https://www.youtube.com/live/21P0ou6g_Zg?si=sYJGE53fEu5KKbRP...
  17. President of China

    Kikao cha 77 cha Kamisheni ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu, leo Oktoba 20, 2023

    Kikao cha 77 cha kawaida cha Kamisheni ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu kinaanza tarehe 20 Oktoba, 2023, na kinatarajiwa kuendelea hadi tarehe 09 Novemba, 2023. Washiriki wanajumuisha wawakilishi kutoka mataifa mbalimbali ya Afrika na nje ya Afrika.Jumla ya washiriki 700 wamesajili kutoka...
  18. B

    Rais wa kamisheni ya Ulaya afika Israel, alaani ugaidi

    Bi. Ursula von der Leyen rais wa Kamisheni ya Ulaya European Commission https://m.youtube.com/watch?v=Y8VWXACReew Atembelea maeneo ya Kfar Azza kusini mwa Israeli katika moja ya Kibbutz yaliyovamiwa na magaidi wa HAMAS, na kuelezea mambo ya kutisha dhidi ya haki ya kuishi waliotendewa...
  19. ajent45

    Airtel wameniibia kamisheni yangu ya mwezi wa nane

    Mimi ni wakala na nina laini za uwakala za mitandao yote: Tigo, Voda, Halotel, na Airtel. Sasa, kwenye hizi laini, Airtel ndiyo wanaongoza kwa kunipa kamisheni kubwa. Hii ni kwa sababu huku kwetu kuna wateja wengi wa mtandao huu. Pia, nina laini za lipa kwa simu kwa mitandao ya Voda, Tigo, na...
  20. Roving Journalist

    Dkt. Kyaruzi Katibu Mtendaji mpya Kamisheni ya Bonde la Mto Songwe

    BARAZA la mawaziri la Kamisheni ya Pamoja ya Bonde la Mto Songwe limemteua Dkt. Mhandisi Ladislaus Kyaruzi Leonidas kuwa Katibu Mtendaji wa kwanza wa Kamisheni ya Pamoja ya Bonde la Mto Songwe (SONGWECOM). Kamisheni ya Pamoja ya Bonde la Mto Songwe inaundwa kwa pamoja na nchi za Tanzania na...
Back
Top Bottom