Moasseseh-ye Kamili (Persian: موسسه كميلي, also Romanized as Moasseseh-ye Kamīlī) is a village in Veys Rural District, Veys District, Bavi County, Khuzestan Province, Iran. At the 2006 census, its population was 24, in 4 families.
Wanaukombozi Aluta.....
Kumekaribia kukucha. Tayari tumeseti mitambo sawa. Hii ni rasharasha kuelekea kulikomboa taifa. Tunauungwaji mkono kutoka watu wote muhimu wa kimkakati. Tutawashangaza! Tumewazidi maeneo muhimu ya kiintelijensia. Hawajui hatua zetu muhimu zaidi ya zile foolsstep...
Mfano suala ili la Mwendokasi serikali ambayo ina kila kitu lakini Imeshindwa kabisa kuendesha mwendo kasi waafrika hasa Watanzania ni kitu gani tunaweza.
Kama jambo dogo tu kusimamia Mwendokasi tumeshidwa ni kitu gani tunaweza kufanya kwa 100% Come on Oneni aibu basi
Wanabodi,
Saa hizi ni saa 12 :00 asubuhi, kumekucha na makucha yake!
Siku ya leo, tarehe 21,leo ndio siku ya siku, imebatizwa jina la ”The Twenty First to remember!”, yaani ni ”Ishirini na moja ya kukumbukwa!”。
Saa mbili kamili usiku,yule Mwamba Humphey Polepole anapanda live kupitia...
Israel lazima "iwashinde kabisa" Hamas huko Gaza, Benjamin Netanyahu amesisitiza siku ya Jumanne, Agosti 5. Mkuu wa majeshi ya Israeli, kama sehemu kubwa ya uongozi wa juu wa kijeshi, anapinga ukaliaji mpya kamili wa eneo la Palestina. Waziri Mkuu wa Israel anakabiliwa na upinzani mkali kutoka...
Biashara ya dhahabu ni fursa kubwa, lakini ili kufanikiwa ni l azima ujue taratibu za kisheria, wapi pa kupata dhahabu, na mbinu za kuhakikisha unanunua dhahabu halisi. Katika sehemu hii, utajifunza hatua zote muhimu za kuanzisha na kuendesha biashara ya dhahabu kwa ufanisi.
3. MAHITAJI YA...
Pamoja na hali mbaya tunayopitia kisiasa, Ntaendelea kusema kwamba heri nusu shari kuliko shari kamili.
Imagine Remote ingeshikwa na Msukuma, Mnyakyusa, Mchaga au Mhaya, Pangetosha ?
Imagine Rimoti ingeshikwa na mdini, aiseee ?
Na bado ninaendelea kuwakumbusha, Kumuondoa mwenye remote kwa...
leokunasehemu nimeshinda nimerudi saamoja jioni nakuta nyumba iko pekeyake shemeji yenu hayupo😐
nimesubiri hadi saa tatu ndio akarudi nimekasirika kishenzi.
Namuuliza umetokawapi haeleweki nimempiga vibaya sana nakesho namtimua nyumbani kwangunilitaka nimuone nimeahirisha hilozoezi
sijui...
Tanzania sio rahisi kutoboa kama mfanyakazi tofauti na nchi nyingine. Ukienda Ulaya au USA, hata ukiwa mbeba maboksi utatoboa kama mfanyakazi. Zipo sababu.
Huko nyuma, nadhani enzi za Nyerere na Mwinyi sijui na nani, ili mwajiri akupe motisha, mfanyakazi ulikuwa unapewa marupurupu kama ada ya...
Klabu ya Auckland City FC, mabingwa wa Oceania, leo wanatarajiwa kucheza dhidi ya mabingwa wa Ujerumani, Bayern Munich, kwenye michuano ya FIFA Club World Cup. Hata hivyo, klabu hiyo kutoka New Zealand itaingia uwanjani bila baadhi ya wachezaji wao muhimu.
Kwa mujibu wa taarifa kutoka vyombo...
Kada mpya wa CHAUMMA ndugu Vitus Nkuna ameamua kutelekeza chama chake huko Mara leo baada ya kuona hali halisi.
Hali kadhalika huko Mugumu Mara mkutano umeshindwa kuanza saa saba mchana baada ya kuwa hapakuwa na watu kwenye uwanja.
Hii inajiri leo baada ya jana kada wao mwingine Aisha Madoga...
Nakala kamili ya pendekezo la Witkoff la kusitisha mapigano Gaza na mpango wa kuwaachilia mateka
Yafuatayo ni maandishi ya mjumbe maalum wa Marekani katika eneo la Mashariki ya Kati Steve Witkoff pendekezo la kusitisha mapigano Gaza na kuachiliwa kwa mateka mkataba kati ya Israel na Hamas...
Katika ulimwengu wa kiroho, watu wengi hujikuta wakivutiwa na matumizi ya mafusho (udi, ubani karafuu mdalasini na aina mbali mbali za mafusho kulingana na nyota yako), vito , na vitakasa mbalimbali vya kiroho kama maji ya kutakasa, chumvi, n.k.
Hivi vyote vina nafasi yake. Ni kama mafuta...
Katika dunia ya kidijitali, biashara zinahitaji maandishi mazuri ili kuvutia wateja. Copywriter ni mtu anayebobea katika kuandika maandishi ya kushawishi watu kuchukua hatua fulani — kama kununua bidhaa, kujiandikisha kwa huduma, au kujifunza zaidi kuhusu chapa fulani. Ikiwa unataka kujifunza...
Siamini ninachokiona wana JamiiForums, Mungu amenisaidia na hili tatizo sasa hivi najiona ni mwanaume kamili toka mbarikiwe wote mlionisaidia kwa mawazo yenu. Siri ya mafanikio ni sala pamoja na mazoezi.
Nilipata manzi mmoja hapa nilimshenyenta mpaka mm nikajishangaa.
Kwa ambao wanapitia...
Jamani naomba nisaidieni location ya ofisi ya polisi wanapofanyia usaili (kuanzia kesho) kwa watu wa kidato cha nne na sita wilaya ya ilala. siku na muda kamili kwa ziada ya maelezo nitashukuru
Usiku mwingine, kimtazamo wa kiroho huwa haifai kuangaliwa moja kwa moja. Ukishika udongo unahisi joto la wafu wa kale. Ukikalia jiwe la porini, linaloonekana zuri jioni, usiku linakuwa ni mgongo wa kiumbe kisicho na jina, kinacholia kama mtoto aliyezaliwa tumboni mwa ndoto. ardhi ya udongo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.