kamba

Kamba, or Kikamba, is a Bantu language spoken by millions of Kamba people, primarily in Kenya, as well as thousands of people in Uganda, Tanzania, and elsewhere. In Kenya, Kamba is generally spoken in four counties: Machakos, Kitui, Makueni, and Kwale. The Machakos dialect is considered the standard variety and has been used in translation. The other major dialect is Kitui.Kamba has lexical similarities to other Bantu languages such as Kikuyu, Meru, and Embu.

The Swedish National Museums of World Culture holds field recordings of kamba language made by Swedish ethnographer Gerhard Lindblom in 1911–12. Lindblom used phonograph cylinders to record songs along with other means of documentation in writing and photography. He also gathered objects, and later presented his work in The Akamba in British East Africa (1916).

View More On Wikipedia.org
  1. S

    Suala la mtu kula kwa urefu wa kamba yake lifanyie kwenye ajira za serikalini, ukijaribu sekta binafsi utanyongwa kwa urefu wa hiyo kamba yako!

    Kwa ujumla inajulikana Watanzania wengi sio waaminifu unapowaajiri kazi. Tena wana ukosefu wa uaminifu wa kijinga sana. Unakuta umeajiri watu ambao walisota muda mrefu bila kazi, huenda hata wengine ni ndugu zako. Kisha wanatumia hiyo ajira kuiba hadi wanaifilisi biashara au kampuni...
  2. K

    Kuna shida Gani ukisaidiwa kutolewa nguo zako kwenye kamba

    Mko poa wakuu, Kuna hii tabia ya mtu akifua nguo zake Kisha akianika kwenye kamba harafu akiwa ametoka hayupo huku nyuma hutakiwi kuzitoa kwenye kamba mpaka mwenyewe arudi ata zinyeshewe na mvua zikiwa zimeshakauka hapendi yani!? Akija mwenyewe atazianua, basi ujaribu kuzitoa labda Kuna mvua...
  3. ormystatus

    Nahitaji mdhamini(muwekezaji) kwenye biashara ya samaki, pweza, kamba, ngisi, dagaa wakavu na simbi

    Simu: 079 531 536 9 Nimerudi tena, baada ya andiko la kwanza naona wawekezaji mnakuja na kuondoka. Habari; Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 25. Ninahitaji mdhamini kwenye biashara ya mazao ya bahari. Kwasasa nimeanza kufanya hii biashara nikishirikiana na Mama angu mzazi, lakini mimi...
  4. ormystatus

    Fursa ya kuingiza Pweza, Kamba, Ngisi na Dagaa wakavu (uono) Tanzania

    Habari Jamii Forums PART 1 Ninataarifa A to Z kuhusu biashara ya kuimport Pweza, Kamba, Ngisi na Dagaa wakavu (UONO) Tanzania lakini ninamtaji mdogo sana nahitaji Mtu wa kushirikiana nae. ZINAKOPATIKANA BIDHAA KWA BEI RAHISI. Hizo bidhaa zinapatikana kwa bei ya Chini Mozambique 🇲🇿 katika...
  5. Fbn

    Bado mpaka sasa kamba za kushikia mtu zijapatikana au mnazo.

    Sasa hivi hii December tunao juwana idarani mbona sikukuu zote tutasikia mabaraza yote kila mkubwa anayoitisha kuna baraza la sikuu jipya linakuja kutoa taamko.
  6. Fbn

    Mfungeni kamba jamani na kama kumeshindikana muiteni sheikh kutuliza majini.

    Mda unavyozidi kwenda kutakuwa sio siri tena. Alivyokuwa anapokea kijiti tulijua neema ila kwa miaka 4 yake tushafikisha deni la trion 107,ufisadi wa kutisha,mauwaji yasiyo na ukoma na mambo ya ajabu. uchaguzi wa asilimia 98 ambao hata kama unapendwa. Cheo alichonacho kimemzidi akili na sasa...
  7. Cute Wife

    Kwahiyo Mwigulu leo ghafla pesa zimeacha kuwa za Samia na kuwa pesa wananchi? Gen-Z hakuna kulegeza kamba

    Wakuu Kila pesa ilikuwa ya Samia, samia kanunua hiki Samia kanunua kile, Samia kajengga SGR, Samia kajenga madaraja, Samia kajenga barabara, baada ya wananchi "kukiwasha" ndio mnajua kwamba hela ni za Watanzania? Leo ndio mnajua kwamba mwananchi ndio kila kitu baada ya kuona wananchi...
  8. Vedasto Prosper

    Mbeya: Watu wa Igurusi na Chimala msitoke nje Usiku, Simba wamekata kamba na kuruka kutoka kwenye gari

    Kuna simba wanne wameruka kutoka kwenye gari maeneo ya Chimala darajani ukitokea Igurusi.. Ukitoka Igawa ukiingia chini Hospitali karuka mmoja, Darajani karuka mmoja. So usiku kuweni makini na Chimala. Kati ya simba wanne kapatikana mmoja kapigwa risasi ya Mguu ya ganzi na TANAPA wamemkamata...
  9. Subira the princess

    Wahaini wanakula tu kwa urefu wa kamba.

    Wasalaam Pamoja na kauli hizi za kukiri kuuwa watu sijasikia jeshi letu la police likichukua hatua
  10. Financial Analyst

    Mabinti wa haya makabila wengi wao haupati upinzani mkubwa ukirusha kamba

    Wajaluo Wairaq Wanyaturu Wajita Wazaramo Wadigo Wamakonde Wahaya.
  11. D

    Wanandoa wa zamani walikuwa wanaonyeshwa kamba tu ya mkonge ukumbini. Ng'ombe wa Zawadi yupo kijijini....

    Hahahahaaaa, wakuu last weekend wife alikuwa amealikwa kwenye harusi ya mdogo wa workmate wa ofisi yao ya zamani, lakini akawa anasitasita kwenda, sasa nikamuuliza kwanini, yeye akasema hana Zawadi yoyote ya kuwapa maharusi licha ya kuchangia kadi. Ndio nikakumbuka wana ndoa wengi wa zamani...
  12. Beira Boy

    Mtani wangu Oten wa Moro ulitupiga kamba kwenye Ngoma yako ya nicheki, upanga siyo mitaa ya kisure bal ni uswahilini

    Aman iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika kristo Mimi kama msukuma napingana mambo kaza wa kaza juu ya Ngoma ya oten ya nicheki, cha kwanza Ngoma ni kali sana huo ndo ukweli, sema mtani wangu huyu alizidisha uongo uongo mwingi sana Jamaa anasifia mitaa ya upanga ni mitaa ya kisure , ukweli ni...
  13. Mshana Jr

    Ubunifu wa kutumia kamba za katani

  14. Poppy Hatonn

    Wazalendo wanasema kila mbuzi anakula kwa kufuata urefu wa kamba yake.

    Wazalendo,wale militia wa DRC, wanasema kila mbuzi anakula kwa kufuata urefu wa kamba yake. Wanasema wanataka kuiteka Kigali. Wanasema hawatapora mali ya mtu yeyote,au kufanya uovu wowote dhidi ya raia. Watawalenga tu RDF Isipokuwa wamesema ikumbukwe kwamba kila mbuzi anakula urefu wa kamba...
  15. Mzee wa kusawazisha

    Kumbe ukikosa vigezo mwanamke Hawezi kuwa na wewe, ila ujinga wa wanaume tunalegeza kamba

    kwa staili hii wanawake wataendelea kutuburuza sana wanaume katika masuala ya maslahi na mustakabali wa ustawi wa maisha yetu. Wanawake wengi wanawinda Mali tu na pesa kwa mwanaume, sasa kama huna kitu ni nadra sana kukidhi vigezo mbele ya wanawake wengi.
  16. Magical power

    Kama umeoa mwanamke mwenye kipato au unampango wa kuoa mwanamke mwenye kipato funga kamba vizuri uzikaze.

    Kama umeoa mwanamke mwenye kipato au unampango wa kuoa mwanamke mwenye kipato funga kamba vizuri uzikaze. Kusimama kama mwanaume ni kazi hatakama anakuonyesha heshima kiasi gani. Jambo kubwa unalofaa kufanya ni kutoweka budget ya kipato chake kwenye kuendesha familia yenu. Stand as a man...
  17. Masalu Jacob

    Nyamagana: Tujenge reli za kamba za Gari umeme

    Habari yako Nyamagana ! Mnaonaje pakijengwa Gari Umeme zenye kutumia reli za waya kuzunguka Nyamagana. 1. Hii ianzie Mkuyuni - Igogo - Mrungushi - Sahara (Main Station). 2. Hii ya pili iwe Lango lango - Mabatini - Buzuruga - Mahina - Mahina - Mkuyuni . Oya hii itakuwa sawa sana na mji...
  18. Gabeji

    Kauli ya Rais Samia na Changamoto ya Rushwa Inavyoathiri Taifa: "Kuleni Kulingana na Urefu wa Kamba Zenu"

    Mheshimiwa Rais, nakusalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Pole na majukumu yako mazito ya kitaifa, kwani hakika mambo ni mengi na muda ni mchache. Katika ngazi yoyote ya uongozi, ni muhimu sana kwa kiongozi kuwa makini na maneno anayoyatamka, hasa akiwa mbele ya watu. Kwa...
  19. Waufukweni

    Binti kusafirishwa akiwa amefungwa Kamba kwenye basi Katavi – Moro, Polisi yatoa ufafanuzi

    Jeshi la Polisi mkoa Morogoro limetoa ufafanuzi kuhusiana na taarifa inayosambaa kwenye mitandao ya kijamii kuhusiana na Binti anayesafirishwa akiwa amefungwa kamba kwenye basi la Happy Nation 519 DXH inayotokea Katavi Mpanda kwenda Morogoro ambalo limeondoka Dodoma asubuhi ya leo Oktoba 2...
  20. Mzee makoti

    Biashara ya kamba kochi(lobster)

    Wakuu kuna mtu ameniambia kuwa kuna biashara anafanya ya kuchukua kamba kochi toka Msumbiji na kuwaleta Dsm,soko lake kubwa lipo kwa wachina . Tupeana info kwa mwenye kujua zaidi hii biashara ipoje na changamoto zake, na bei ya soko ipoje!? Na je sio nyara za serikali kweli
Back
Top Bottom