kamari

Kamari (Greek: Καμάρι) is a coastal village on the southeastern part of the Aegean island of Santorini, Greece, in the Cyclades archipelago with a population of approx. 1800 according to the 2001 census. It is part of the
Municipality of Thira and is situated approximately 8 km away from the island's capital Fira. Kamari was built by residents of the nearby village of Episkopi Gonias, which was almost flattened by a devastating earthquake that hit Santorini in July 1956.
The village got its name from a small arch (Greek: Καμάρα, Kamara) that still rises at the south end of its beach and is what remains from an ancient sanctuary dedicated to Poseidon. Today, it stretches along a beach covered with black pebbles,
which is the longest of the island. The beach extends in a northeast to southwest direction from Monolithos to the feet of the Mesa vouno mountain that rises up to a height of approx. 400m, being Santorini's second highest peak. Once an agricultural and fishing village, modern Kamari boasts a thriving tourist industry, offering a wide choice of accommodation, restaurants, cafes, bars and night clubs, plus several water sport activities.
In 2002, an archaic sanctuary dedicated to Achilles was discovered in Kamari.

View More On Wikipedia.org
  1. ngara23

    Kwenye Uislam, Bima ni Haram kama ilivyo kamari

    Wanazuoni wa kiislam, wanaelimisha kuwa ni vyema muislam kujiepusha na aina zote za Bima Aidha iwe ya afya, chombo cha moto, nyumba, biashara n. K Bima ni gambling tu, yaani pata potea, Kwa tafsiri ya kiislam ni kamari maana unaweza pata usichostahiri Mfano unaweza kuweka Bima laki 5...
  2. DR SANTOS

    Kipi kinakupotezea pesa na kuharibu uchumi wako

    Najua kuna wahanga wa hizi mambo hebu weka kura yako halatu tusaidiane kujinasua
  3. stakehigh

    Forex ni kamari ya kimtandao: "Emmanuel Mpawe Tutuba (Governer Bank of Tanzania)"

    https://youtu.be/PjijaoFf9Tk?t=1163 ikiwa ni mwezi mwingine tukiendelea kuwakumbusha vijana wa forex kwamba mnafanya kamari na tunaonekana hatuna akili basi leo Governor wa benkikuu ya Tanzania amenyoosha maelezo kwamba Forex ni kamari, ndugu zetu kina Fbn Nuru2023 heartbeats Extrovert...
  4. M

    Madubwi mashine za kamari zinazomeza pesa yapigwe marufuku yabaki Casino tu, Watu wazima wanalizwa na sasa watoto wanaiba hela wakacheze

    Hizi machine zipo mpaka vijiji ambavyo hujawai kudhania Mashine zinameza sana coin, ni chipu ya computer imesetiwa kumeza karibia asilimia 70 ya pesa zinazoingizwa na kutema asilimia 30 tu. ukiziona Klugger zina mchina basi kuna asilimia kubwa yupo safarini kuchukua coin zilizomezwa,
  5. TATIBU SALUM

    Ukweli kuhusu kamari na hasara zake na namna ya kujinasua

    UKWELI KUHUSU KAMARI Habari yako mwana jf unaesoma uzi huu, leo nataka nizungumze na wewe, uwe mkamali au sio mkamalia huu ni ujumbe muhimu kwako KAMARI NI NINI Kamari ni mchezo wa kukusanya pesa kwa washiriki na kumpatia mmliki, kisha mmiliki kutoa kiasi kidogo kwa baadhi ya washiriki ili...
  6. Meja Jenerali Isamuhyo

    Kwanini MO havai jezi yenye wadhamini wakuu wa Simba Sports ambao ni kampuni ya kamari ya Betway?

    Tiririka & serereka.
  7. mcTobby

    Hivi mtanzania anaweza kwenda China na kuwekeza kwenye michezo ya kamari kama za Madubwi.

    Nauliza tu kwa nia njema , je inawezekana? Maana sisi ni nchi rafiki since 1960s kama inavyosemekana. 😎😎. Maana kuna mmoja anaitwa steven mchina. Anakusanya hizo 200 kama mchanga huko vijijini ndani ndani sana alipoyatega.. nauliza tu wadau sio kwa nia mbaya.
  8. Mfalme_wa_Nyika

    Naombeni Msaada Niweze kuacha Kamari ya Aviator, Maisha yangu hayaendi vizuri, Kamari hii Inataka kunitoa Roho

    Wadau kila mtu ana siri za maisha yake. Mimi kifupi ni mtu mzima nina maisha nimeenda shule na nina njia zakujipatia kipato. Kifupi nina rafiki yangu daktari alinionesha kwa simu hii kamari ya hili game - Aviator siku moja tukiwa tumepumzika mahali. Kuanzia siku ile mwaka 2022 mpaka leo maisha...
  9. proton pump

    Ewe kijana huwezi kutajirika kwa kucheza kamari, betting, kununua malaya, kuhonga na ulevi. Kimsingi hakuna cha rahisi

    ⚠️⚠️⚠️⚠️⚠️❌❌❌ 𝗡𝗮𝗽𝗲𝗻𝗱𝗮 𝗸𝘂𝘀𝗵𝗶𝗿𝗶𝗸𝗶𝘀𝗵𝗮 𝘃𝗶𝗷𝗮𝗻𝗮 𝘄𝗲𝗻𝘇𝗮𝗻𝗴𝘂 𝘄𝗮𝗮𝗰𝗵𝗮𝗻𝗲 𝗻𝗮 𝗵𝗶𝘃𝗶 𝘃𝗶𝘁𝘂, kamari, betting, malaya, pombe na kuhonga. yuko wapi MO, AZAM DANGOTE ANA KUNDI LA CASINO, BETTING? 𝐒𝐡𝐭𝐮𝐤𝐞𝐧𝐢 𝘸𝘢𝘭𝘦 𝘸𝘢𝘮𝘦𝘸𝘦𝘬𝘦𝘻𝘢 𝘬𝘸𝘦𝘯𝘺𝘦 𝘷𝘪𝘵𝘶 𝘢𝘴𝘴𝘦𝘵𝘴 𝘯𝘢 𝘴𝘪𝘰 𝘭𝘪𝘢𝘣𝘪𝘭𝘪𝘵𝘪𝘦𝘴. 𝗘𝗪𝗘 𝗞𝗜𝗝𝗔𝗡𝗔 𝗛𝗔𝗞𝗨𝗡𝗔 𝗞𝗜𝗧𝗨 𝗞𝗜𝗥𝗔𝗛𝗜𝗦𝗜 𝗔𝗠𝗞𝗔 𝗙𝗔𝗡𝗬𝗔 𝗞𝗔𝗭𝗜 𝗞𝗪𝗔...
  10. kavulata

    Wapiga kura tusichague wacheza kamari uchaguzi ujao, watoto wetu wanaathirika

    Kamari zimetapakaa hadi kwenye vitongoji vya vijijini kila mahali penye umeme nchini. Redio zote kuanzia za umma na watu binafsi zote ni kamari tu. Kijijini nimeshuhudia kijana kauawa kwenye dubwi kwa kugombea TSH 4000 tu wakati wakibishana juu ya nani amekula, ni za nani. Wanafunzi wanabet...
  11. B

    Serikali yazima matangazo yote kuhusu kamari (mkeka) nchini

    SERIKALI, kupitia Bodi ya Kudhibiti na Kusimamia Kamari (BCLB), imesitisha matangazo yote ya kamari katika majukwaa yote ya vyombo vya habari nchini kwa kipindi cha siku 30, kufuatia ongezeko la shughuli za kamari na uraibu unaoathiri jamii. Katika taarifa iliyotolewa Jumanne, Aprili 29...
  12. Voltaire

    KERO Responded Serikali ipige marufuku mashine za Kamari Gudugudu, hakuna uzalishaji wala huduma inayotolewa zaidi ya uraibu kwa vijana na tishio kwa taifa

    Wasalaam bandugu. Naona tujadili hili suala la kamari ya raia wa kigeni "mchina" alias "GUDUGUDU" kwa mtazamo huu.. Uchumi unatuambia muamala unafanyika pale uzalishaji au huduma inapotolewa. Hizi machine za kamari zinaenda tofauti kabisa kwani hakuna hayo mawili niliyoanisha zaidi ya kodi...
  13. Just Pray

    Mwanafunzi akutwa amejinyonga baada ya kukatazwa kucheza kamari

    Mwanafunzi wa kidato cha nne shule ya sekondari Kagemu iliyopo Manispaa ya Bukoba mkoani Kagera Caren Mwemezi (18) amekutwa amejinyonga nyumbani kwao mtaa wa Nyakanyasi huku sababu zikitajwa kuwa ni kulazimishwa kuhudhuria masomo na kukatazwa kucheza michezo ya kubahatisha (bonanza)...
  14. R

    PreGE2025 Mfupa uliomshinda Magu, Heche na CHADEMA wanauweza.

    Hello! Magu na uzalendo na upendo wake kwa wananchi maskini alishindwa kupiga marufuku kamari ambayo kwa jicho la haraka ni Kodi kidogo inaingia serikalini, lakini inaleta hasara kubwa kwa kuwafanya vijana wengi kutofanya kazi wakiamini betting ni mojawapo ya kazi. Pesa nyingi inaenda nje...
  15. Kiwondi

    Sitawasamehe Wenye Mamlaka kwa Kuruhusu Wawekezaji wa Kamari wa Kichina Kuwekeza Mashine Zao za Kamari Kijijini Kwetu Ngangu

    Hivi karibuni, nilienda kijijini kwetu Ngangu kilichopo Kata ya Kilema Kati Wilaya ya Moshi Vijijini kwa nia ya kusalimia ndugu na jamaa. Ni karibu mwaka mzima umepita tangu niende huko mara ya mwisho. Kijiji hiki kimezungukwa mandhari nzuri ya miti iliyotapakaa kila sehemu. Katikati ya miti...
  16. Megalodon

    Viongozi wa Tanzania, endeleeni kucheza kamari na mali zenu, ya Zelensky hayapo mbali

    Trump anawakilisha hisia za wamarekani wengi. Hakuna atakaemuua Trump as many believe. Trump strategy ni kila nchi isimamie resources zake na kuzibadilisha kuwa fedha. Kuacha ujinga na focus na nchi yako. Kwa nyie ambao mnauza bandari huku hakuna kilichobadilika kwenye operation za bandari...
  17. Mstahiki Mea

    Kijana ajinyonga baada ya kuliwa kwenye kamari

    Kijana Baraka Isaya Kapange (23), dereva bajaji mkazi wa mtaa wa Nkuyu Jijini Mbeya amejinyonga jana Februari 9, 2025, ndani kwake baada ya kuliwa pesa kiasi cha shilingi elfu 60 katika mchezo wa kamari na kuacha ujumbe mzito wa kuomba radhi kwa familia, mama yake, mke na mtoto wake. Chanzo...
  18. Kichuguu

    Kiuchumi: Faida za Kamari ni Zipi?

    (1) Hupunguza hamasa ya uzalishaji kwa kuwafanya watu waamini kuwa wanaweza kupata pesa kwa kucheza kamari tu. (2) Husaidia sana kuongezeka kwa idadi ya masikini na idadi ya matajir na hivyo kupanua pengo baina ya masikini na matajiri. (3) Hutengeza maskini wengi sana kwenye jamii na kupunguza...
  19. S

    Nchi ina kampuni 21 za kucheza kamari halafu uniambie tutakuwa na vijana jasiri na wapenda mabadiliko

    Nchi yeyote ukipumbaza vijana basi utashinda na ndo ccm ilipofanikiwa. sasa hivi vijana hawa uwezo wa kushinikiza wapate ajira wao wanakomaa na kamari . psychologically kamari hua inatengeneza matumaini hewa kwamba ipo siku utawin mwisho wa siku unageuziwa kibao
  20. Trainee

    Kweli hakuna mkate mgumu mbele ya chai: Matangazo ya kamari, riba na pombe yameingizwa mpaka sehemu ambazo zilionekana ngumu kufika

    Zamani (kabla ya smartphone) nilikuwa nikitaka kudownload miziki naingia Waptrick. Simu kubwa zilipokuja nikaona process za kudownload kwenye browser ni ndefu kwanza vitu vyenyewe unakuta vimeongezewa au vimepunguzwa mfano ukidownload kupitia mdundo lazima ukiplay mwanzo yasikike maneno "...
Back
Top Bottom