Yule sheikh aliyevimbiwa ubwabwa na kuwataka waislam wasile chakula kilichoandaliwa kwa ajili ya sikukuu ya Christmas pia awashauri wasitumie kalenda ya wakristo.
Nchi nyingi duniani zikiwemo nchi za kiislam zinatumia kalenda ya Gregory na wala hawajawahi kusema ni haramu, inakuwaje chakula kwa...
Kila Mtu Tarehe Yake Ya Kuzaliwa Inaanguka Kwenye Kalenda Ya Yesu Kristo
Ulishawahi kufikiria hili?
Tarehe yako ya kuzaliwa, iwe 1990, 2000 au 2025, haijajitegemea. Imehesabiwa kwa msingi wa miaka tangu kuzaliwa kwa Yesu Kristo.
Historia yote ya ulimwengu imegawanyika sehemu tatu:
BC (Before...
Kalenda ya minada ya dhamana za serikali ni ratiba rasmi inayotolewa na Benki Kuu ya Tanzania (BOT) ikionesha tarehe na aina ya minada ya dhamana za serikali zitakazofanyika kwa kipindi fulani (kwa kawaida mwaka mzima au kila robo mwaka). Sasa jana kupitia kurasa zao BOT, wametoa kalenda ya nusu...
23 June 2025 historia kwenda kujirudia . Mwanazuoni rabbi afafanua
https://m.youtube.com/watch?v=tCx0oNy1DnI
Rabbi anaingia kwa kina kuangalia historia hii katika kitabu kitakatifu :
Katika Kitabu cha Esta, siku ya 23 ya mwezi wa Kiebrania wa Sivan iliashiria kipindi cha badiliko kutoka...
Salam wakuu.
Nimekuwa nikimpima huyu kijana wangu mara kwa mara ila nahuzunika kuona hawezi kumaster mtiririko wa masaa na kalenda.
Mfano leo nimemjaribu na mazungumzo yakawa hivi;
Mimi: "..kwanin hujaenda shule wakati leo jumapili?.."
Mtoto: "...leo ni jumatano mwalimu kasema hatuendi shule...
Ngoja nikuelezee kwa ufupi,
Mwezi Oktoba mwaka 1582 ulikuwa wa kipekee kwa sababu ya mabadiliko ya kalenda yaliyotokea. Huu ndio mwezi ambao Kalenda ya Kijuliani ilibadilishwa na Kalenda ya Kigrigori, ambayo ndiyo tunayotumia leo.
Mabadiliko Muhimu:
Papa Gregory XIII aliamuru Kalenda ya...
Chadema ilitakiwa kufanya uchaguzi wa chama mwaka 2022 kama sehemu ya mkakati wa kujiandaa kwa chaguzi muhimu zinazokuja.
Uchaguzi huu ungekuwa na umuhimu mkubwa kwa sababu ungewapa nafasi wanachama wa chama kuweka msingi imara kwa ajili ya uchaguzi wa serikali za mitaa mwaka 2024, ambao ni...
Japo haijulikani wala kupewa umuhimu na kila mwanadamu, waislam wana kalenda yao.
Waliamua kuwa na kalenda yao wakidukua Ukristo ulioanza kuhesabu tangu alipozaliwa Yesu.
Pamoja na yote hayo, kwanini waislam, kisheria, wanatumia kalenda ya Kikristo?
Je ni halali kwa mataifa yote kutumia...
Kesi inayomkabili mshtakiwa Derick Derick Junior, ambaye alionekana katika kipande cha picha jongefu (video) kilichosambazwa katika mitandao ya kijamii, akimshambulia mtu mwingine kwa mateke na kitako cha bastola, imepangwa kuanza kusikilizwa ushahidi Januari 21, 2025, katika Mahakama ya Wilaya...
Nilianza kufanya mchakato wa maombi ya kupata Pasi ya Kusafiria kwa kufuata njia halali, awali nilienda Kibaha Mkoani Pwani, kuna staff mmoja wa pale akanishauri kuwa kama nina haraka nifanye mambi yangu mtandaoni kisha nielekeze nikachukue Passport yangu hiyo Dar es Salaam
Nikafanya hivyo...
ZFF ni Zanzibar Football Federation kwa Kiswahili ni Shirikisho la Soka la Zanzibar sawa na TFF.
Kimenishangaza ligi ya Zanzibar inaendelea wakati huu ambapo mechi za timu za mataifa zikiendelea.
Timu za Simba na Yanga zimecheza mechi za kirafiki kwa angalizo la kutooneshwa ama kutangazwa kwa...
Kesi ya Diwani wa Chanika wilayani Handeni, Tanga, Abdallah Chihumpu imeshindwa kuendelea baada ya hakimu anayeisikiliza kutokuwepo mahakamani.
Diwani huyo anashitakiwa kwa kosa la kumdhalilisha mfanyabiashara, Stanley Lyakundi kuwa ameiba eneo la wazi la Shule ya Msingi Chanika.
Shauri hilo...
Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Manyara, imeahirisha rufaa ya jinai iliyokatwa na Hashim Ally dhidi ya Mbunge wa Babati Mjini, Pauline Gekul baada ya mjibu rufaa huyo kutopewa wito wa kuitwa mahakamani.
Leo Jumatatu Machi 18,2024 Mahakama hiyo ilipanga kusikiliza rufaa hiyo namba 577/2024...
Hii naileta bila salamu!
Karne ya 17 na 18 wazungu ndipo walipogundua teknolojia nyingi.
Vitu ambavyo wazungu walivumbua Karne ya 17 -18 mpaka sasa Waafrika hatujagundua mithili ya hivyo. Tunapeleka watoto shule Ili waweze kutumia vitu ambavyo wazungu walivumbua miaka zaidi ya 300 nyuma ...
KALENDA NYINGI DUNIA MOJA
1. Kalenda ya Gregorian
2. Kalenda ya Pawukon (Bali, Indonesia)
3. Kalenda ya Ethiopia
4. Kalenda ya Kiyahudi
5. Kalenda ya Kichina
6. Kalenda ya Hijira
7. Kalenda ya Kiajemi
8. Kalenda ya Kijapani
9. Kalenda ya Julian
10. Kalenda ya Buddha
11. Kalenda ya...
Hii ndio taarifa ya sasa iliyotolewa Mahakamani hapo, na kwamba kuahirishwa huko kumetokana na dharula iliyompata Mwenyekiti wa Jopo la Majaji.
Usiku wa deni hauchelewi, Alhamisi siyo mbali.
Habari zaidi, soma:
Sakata la DP WORLD: Rais Samia asema Serikali itatafuta mbia wa kuiendesha bandari...
Kalenda ya mihula ya shule kwa mwaka huu 2023 haieleweki Kuna isyosema kufungua ni 17/4/2023 na nyingine 11/4/2023 ipi Iko sahihi? Walimu tusaidieni maana Kuna mipango ya kifamilia inaharibika kwasababu ya hizo ratiba mbili! Aione mpwayungu village
Habari za muda huu wadau wa elimu,bila kupoteza muda nisonge kwenye mada husika;
Nimejaribu kupitia kalenda ya masomo iliyofanyiwa marekebisho,lakini kuna makosa kadhaa yamejitokeza hasa kwenye tarehe za likizo na mpangilio mzima wa vipindi.
Ikumbukwe kuwa kalenda hii imetolewa kama mbadala wa...
Kama mjuavyo katika kipindi hiki Cha mwisho na mwanzo wa mwaka vijana wengi hujishughulisha na uuzaji wa kalenda zilizonakishiwa kwa sura na picha mbali mbali.
Mojawapo ya picha ambazo zimezoeleka kupamba kalenda hizo ni picha mbali mbali za viongozi wa kitaifa, ambapo wanunuaji hununua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.