kaka

Ricardo Izecson dos Santos Leite (Brazilian Portuguese: [hiˈkaɾdu iˈzɛksõ duˈsɐ̃tus ˈlejt͡ʃi]; born 22 April 1982), commonly known as Kaká (Portuguese: [kaˈka] (listen)) or Ricardo Kaká, is a Brazilian retired professional footballer who played as an attacking midfielder. Owing to his performances as a playmaker in his prime at A.C. Milan, a period marked by his creative passing, goal scoring and dribbles from midfield, Kaká is widely considered one of the best players of his generation. With success at club and international level, he is one of eight players to have won the FIFA World Cup, the UEFA Champions League and the Ballon d'Or.Kaká made his professional club debut at age 18 at São Paulo in Brazil in 2001, and his performances with the club led him to joining Serie A club AC Milan in 2003. In Italy, Kaká helped Milan finish runners up in the 2004-05 UEFA Champions League with him being the top assist provider of the tournament, and named the UEFA Club Midfielder of the Year. He led Milan to win the 2006-07 UEFA Champions League and was the tournament's top goal scorer. His performances saw him win the FIFA World Player of the Year, the 2007 Ballon d'Or, the UEFA Club Footballer of the Year and the IFFHS World's Best Playmaker awards. After six years with Milan, Kaká joined Real Madrid in 2009 for a transfer fee of €67 million, which was the second highest transfer fee at the time. However, after four injury troubled seasons in Spain, which saw his physical mobility rapidly decline, he returned to AC Milan for a single season in 2013, prior to joining MLS expansion club Orlando City. He initially returned to his former club São Paulo on loan, before relocating to the United States in 2015 and retiring in 2017.
Kaká made his debut for the Brazil national team in 2002, and was selected for their victorious FIFA World Cup squad that year, as well as the 2006 and 2010 tournaments. He was also a member of Brazil's 2005 and 2009 FIFA Confederations Cup-winning squads, winning the Golden Ball Award in 2009 as the tournament's best player.
In addition to his individual awards, between 2006 and 2009 he was named in both the FIFA World XI and the UEFA Team of the Year three times. In 2010, he was named in the A.C. Milan Hall of Fame. One of the world's most famous athletes during his playing career, Kaká was the first sportsperson to amass 10 million followers on Twitter. Off the field, Kaká is known for his humanitarian work, where he became the youngest ambassador of the UN World Food Programme in 2004. For his contributions on and off the pitch, Kaká was listed by Time as one of the world's 100 most influential people in 2008 and 2009.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Brother wangu wangu amesema nitoke nyumbani baada ya kumla mke wake, kwahiyo amesema akitoka London asinikute nyumbani! Najuta kumla mke wa kaka sheme

    Wapi nitaiweka sura yangu? Na huu u Jobless wangu? Au nirudi nyumbani maganzo nikalime pamba na kuchunga ng'ombe jamani ujanja wa kiboya umeni cost kiukweli brother hataki kuniona kabisa 😢 😭 😿 na amesema akitoka London asinione la sivyo ataniua Wakuu si mnakumbuka post yangu ja jana ya kumla...
  2. JamiiForums Tanzania Building Better Tomorrow (BBT): Hongera Bashe, sisi wakulima tunasema piga hela za Rais Samia haswa, zile kwelikweli Kaka!!

    Mawaziri wanapishana tu kuja na vimiradi uchwara vya upigaji Pesa ! Mnakumbuka Makamba akaja na ya kukodi Wahindi kufatilia Ukatikaji wa Umeme Mabilioni ya Kitanzania ?. Sasa Ukiwa Waziri ,mwenye akili ya Ulaji, Kwa Samia lazima upige , yes unapiga kwakua Samia sio mfatiliaji, ili mradi...
  3. JamiiForums Tanzania Nimemla shemeji mke wa kaka yangu baada ya kaka kwenda London

    Nilimuambia brother huyu mke wako nitamla ILa brother alikuwa mbishi na kiburi kwa sababu anasema mke ni mwaminifu nikasema bwana mke wako mbona ananitega? Kwasababu akienda bafuni anaenda na kanga moko halafu anitingishia matakro ila sijajua kwanini ananitega kwasbabu mimi nina akili au nini...
  4. JamiiForums Tanzania Kaka Kama umeoa we tulia tu na moron maana nyumba ndogo ni kubwa kuliko nyumba kubwa

    Kama umeoa tulia tu na mkeo , maana nyumba ndogo Ni kubwa kuzidi nyumba kubwa . Mnaweza Kupata ushauri kwa wenye nyumba ndogo.
  5. JamiiForums Tanzania Simba Bob Junior wa Serengeti apinduliwa na kuuawa

    SAD NEWS… Taarifa ya kifo cha Simba maarufu huko Serengeti ajulikanae kama Bob imezistua Nyoyo za Watu wengi Duniani ambao walifanikiwa kumuona Simba huyo ambae alikuwa kipenzi cha Watu kwa kuwa hakuwa na tabia za kujificha wala kukwepa Camera. Bob alikutwa na umauti baada ya kundi la Simba...
  6. JamiiForums Tanzania Video chafu ya askari wa kiume akiingiliwa inaleta picha gani?

    Huyu askari kadharirisha jeshi la polisi kiukweli . Serikali inafumbia macho masuala haya why? huyu yuko na familia na watoto . Kuna watu wanasema tunamchafua kwani alikuwa kaelewa kusema labda kabakwa au katekwa amejitakia mwenyewe na unaonekana amejirekodi . Video ya pili anaonekana anapigiwa...
  7. G

    JamiiForums Tanzania Naumia sana nikikumbuka usumbufu wa kaka ulivyomfanya mama awe analia na kupata stress, wengine mpo ambao mliona mama anakosa raha kisa mtoto?

    Ilikuwa 2005 hai 2007 wakati kaka akiwa na miaka 16 hadi 18, alikuwa anamfanya mama alie sana na mimi nilikuwa najisikia vibaya sana kumuona mama analia machozi na kupiga ukunga wa maumivu, very painfull! Kaka alihamishwa shule kibao kwa utoro, uhuni, n.k. Alijiunga na makundi mabovu ya wavuta...
  8. JamiiForums Tanzania Kaka umetukosea kumtesa wifi, mapenzi yake kwako yalionekana dhahiri, sidhani kama atakubali

    Rafiki yangu alimlaumu kaka yake, nami nikaumia kwa kuwa nilifahamu kisa cha ndoa ile. Nitaelelza machache nayofahamu ambayo yaliniumiza. Sitaelelzea ndoa yao kiundani ndugu wa rafiki yangu hawa ambao kwa makadirio walifunga ndoa mwaka 2016 na kubarikiwa mtoto 1 huku binti akiwa alikuwa na...
  9. JamiiForums Tanzania Diamond asema yeye na Zuchu ni dada na kaka

    Mwanamziki aliyefanikiwa zaidi Tanzania, Diamond Platnum aka Simba ameweka wazi kuwa yeye na Zuchu ni dada na kaka na sio wapenzi kama wengi walivyokuwa wanafikiria au kujua. Kupitia insta story ameshea ujumbe huo kwa mashabiki wake.
  10. JamiiForums Tanzania DR. Mwaka amesoma CUBA hongera sana kaka

    wasomi wote wa Cuba tuonane hapa Yule mwanamke alijipanga maana nimeona tamaa za wazi kisa kale kajumba ndio analeta vilio na unafiki mitandaoni salute kwa wasomi wa CUBA .
  11. JamiiForums Tanzania Azam wameamua kuwa wahuni kama kaka zao sasa ligi kuu itanoga

    Kalimangonga Ongara ni mtoto wa mjini,tangu aichukue timu kuna mabadiliko nayaona. Timu imeamua kuwa ya kihuni kama wahuni wa jangwani na msimbazi. Azam sasa kuna viashiria vya kununua mechi kama wanajangwani Azam sasa kuna viashiria vya ndumba kama msimbazi Azam sasa wanafanya uhuni kwenye...
  12. JamiiForums Tanzania Mika Mwamba ndiye Producer mwenye uwezo mkubwa wa kutengeneza beats kali kuwahi kutokea kwenye historia ya Bongofleva

    Jina lake ni Miikka Kari, Hapo kwenye Kari alibadili iwe kwa kiswahili na tafsiri yake ni Mwamba, hivyo aliamua kujiita Miikka Mwamba ila wengi tukaizoea Mika Mwamba Ngoma za huyu mwamba zilikuwa na vinanda vyenye ma-vibe ya kufa mtu: Tamara + ni wewe - Hard Mad Eno maiki - Ziggy Dee...
  13. JamiiForums Tanzania Mimi na kaka yangu tulipiga kura za hapana lakini matokeo yanaonesha kura ya hapana ni moja kule Dodoma

    Tulikuwa tumekubaliana hivyo kabla ya vikao lakini baada ya matokeo kaka akaanza kunifokea kwanini nilifanya kinyume na makubaliano. Hapo ndio nikaelewa kumbe kilichotokea Dodoma ni upotoshaji mkubwa kwasababu mimi pia nilipiga kura ya hapana.
  14. JamiiForums Tanzania Urafiki kati ya mwanaume na mwanamke yaani kaka na dada unawezekana?

    Kwa kuheshimu muda wako, ngoja niandike kwa ufupi sana. Je, urafiki kati ya mwanaume na mwanamke tena mke wa mtu, unaojionyesha kwa code ya "Kaka" na "Dada" huwa upo kweli au kuna kitu kinafunikwa hapo? Ndugu yangu, sina sababu ya kuelezea kilichofanya niulize swali hili hapa, lakini bila...
  15. JamiiForums Tanzania Kama watoto wadogo wanaweza piga mbizi na kwenda na kasia mpaka kwenye ndege ilozama wakati wana maji wakiogopa kusogelea Je tubadili mfumo wa Elimu?

    Nimejiuliza sana juu ya hivi Kwanini lisiwepo somo la self defense Kama Ulaya mtu ajue kuogelea na kujikinga na baadhi ya majanga? Simaanishi waliopata ajali ndo waogelee namaanisha mfumo wetu wa elimu wa ku kalili mambo ya kinjekitile kichwani bila msaada wowote bora Liwepo somo la uokoaji...
  16. JamiiForums Tanzania Kaka mkubwa USA awa mpatanishi wa majirani wa Urusi waliokuwa wananyukana

    Kwa sasa Urusi hana ushawishi wowote ukanda huo, hiyo ni baada ya kuvurugwa na kataifa kadogo Ukraine.... The US-organized peace talks between Armenia and Azerbaijan in Washington come only a week after a summit hosted by Russian President Vladimir Putin in Moscow. The foreign ministers of...
  17. JamiiForums Tanzania Video: Ona maisha ya upendo yalivyo kati ya ndugu hawa

    Ebu Tazama upendo kwa mtu na Kaka yake katika hawa yatima na namna wanavyopitia Magumu. Let love LeAd Mungu awapiganie na waweze Kupata Muangaza wa Maisha Yao.🙏🙏🙏
  18. JamiiForums Tanzania Kwetu mimi pekee sijaelimika ila useremala unanibeba, kaka na mdogo wangu walioelimika wanasota, nashauri VETA kabla ya chuo

    Sisemi kwamba watu wasisome, La Haha! bali wawe na "back up a.k.a Plan B, Sio vibaya mtu mwenye degree awe na ujuzi wa kushona, ujenzi, useremala, upishi, n.k. huu ujuzi una uhakika zaidi wa kumlisha kuzidi nafasi za kazi ambazo wachache huajiriwa, anapomaliza chuo awe na uhakika wa kuanza...
  19. JamiiForums Tanzania Mchambuzi Ally Kamwe Kaka zako tulikuonya kuacha Kujipendekeza Yanga SC, kwa Manara na kuwa Mnafiki ili uwe Msemaji wao hukusikia

    Haya sasa Ally Kamwe nakuwekea hapa Maelezo marefu ya Mhamasishaji Mkuu wa Yanga SC Haji Manara dhidi yako ili umjue alivyo Mnafiki na Mfitini hata kwa Marafiki zake na wana Yanga SC Wenzake. Ally Kamwe MImi Binafsi kama GENTAMYCINE nimeshawahi Kukuonya hasa kule katika Kurasa zako za Instagram...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Je, ni sawa kumpelekea moto mtoto wa kaka yake na bibi?

    Bibi yangu mzaa mama ana kaka yake mdogo ambaye ana binti mzuri sana na nahisi tunapendana, kwa ufupi ni binamu yake mama. Je, kiafrika naruhusiwa kumpelekea moto au ni mama yangu mdogo?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…